SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ต.ค. 2023
  • Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
    TH-cam: / @babdeomiladu

ความคิดเห็น • 549

  • @selemaniselemani7014
    @selemaniselemani7014 9 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu shekhe alinifurahisha sana siku ile kwakweli, allah amuongoze na sisi wote,! Amiin

  • @litimbaify
    @litimbaify 9 หลายเดือนก่อน +8

    Jazaakallah khayran Bachu umewaweka watu bize na wewe, Allha akuzidishie zaid masufi hawalali na kusoma zaid lakin bado haijatoka hoja juu ya Barazanj na Kufur zilizopo, Sh Said mpaka ujibu hoja kwanza,
    Tunajua haujaanza wewe kutetea Maulid na haiishi, sis tumeshapita hayo itetee Marazanj kwanza!

    • @sudisalehe192
      @sudisalehe192 9 หลายเดือนก่อน +2

      Hakuna kitu hapo

    • @hamisimwalimu7333
      @hamisimwalimu7333 หลายเดือนก่อน

      Sheikh we hata huelewi

    • @hamisimwalimu7333
      @hamisimwalimu7333 หลายเดือนก่อน

      Yani nyinyi mawahabi vita vyenu maulidi tu shida mawahabi hamjasoma wallah

    • @litimbaify
      @litimbaify หลายเดือนก่อน

      @@hamisimwalimu7333 huna hoja bora upite tu si lazima na wewe ucoment kwa elimu gani ulokuwa nayo, usishangae hata juzuu Âma haujamaliza

  • @faisalyunus4283
    @faisalyunus4283 9 หลายเดือนก่อน +10

    Mashaallah shekh said mungu akuzdishie ilmu na akuruzu fahamu uzidi kutuilimisha shukran

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 9 หลายเดือนก่อน +14

    Mashallah shukran sana ustadh saidi, hiyo ilmu ulio itoa ni kubwa mno, mawahabi hawaja elewa chochote kamwe ndo wanazidi kupoteza maarifa

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 9 หลายเดือนก่อน +2

      Wajua maana ya Elimu wewe au ndio huo ushabiki???

    • @user-hx8bh1jt4k
      @user-hx8bh1jt4k 9 หลายเดือนก่อน

      @@abuurayaan3902 Mi nadhani ifike wakati Sasa tuitumie Ile Aya"Lakum Diinukum waliya Diin"Kwa sababu hamjataka kuketi na kuendelea kudadisi na kujifunza,bali mmevishwa misimamo ambayo hata hamjui athari yake.

    • @tahanyjaffar8321
      @tahanyjaffar8321 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ni sharti usome ndio uwe n ilmu sio mawahabi wako kama bendera hawasomiiiii wao wapinga tu

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 9 หลายเดือนก่อน

      @@tahanyjaffar8321
      wewe Umeifadhi juzuu ngapi kwanza na kitabu Gani Cha Cha Hadithi Ulicho kihifadhi

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@tahanyjaffar8321
      Alafu naona umendandia tu
      Jubu swali unajua maana ya Elimu wewe kilugha na kisheria????

  • @rashidishak3991
    @rashidishak3991 9 หลายเดือนก่อน +16

    بارك الله فيك يا شيخ سعيد اطال الله عمرك ونفعناالله بك ❤❤❤❤

  • @AyoubAbdullrahmanAmir
    @AyoubAbdullrahmanAmir 9 หลายเดือนก่อน +10

    Babdeo hii iko sawa kabisa maana ilikata kata mno...Allhamdullilah.....tumsif Mtume ...

    • @tahanyjaffar8321
      @tahanyjaffar8321 9 หลายเดือนก่อน

      اللهم صل وسلم عليه

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline 9 หลายเดือนก่อน +16

    Duh... Tuwache ushabiki, tuyasikilize vizuri haya maneno.. Ni Darasa nzito. Allah akuweke habyb na akufunguliye elimu zaidi na zaidi.

    • @yusufuzuberi9884
      @yusufuzuberi9884 9 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo tunywe tembo au

    • @user-sm1ux6nj7b
      @user-sm1ux6nj7b 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@yusufuzuberi9884ww kichwa chako cha panzi kavute bangi tu

    • @abdulhamidbakar2461
      @abdulhamidbakar2461 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@yusufuzuberi9884ufaham mdogo rejea usikilze

    • @alhilaltvonline
      @alhilaltvonline 9 หลายเดือนก่อน +4

      Huwezi kumlazimisha mtu Kufahamu maana ufahamu pia ni rizki.

    • @yasiniselemani3917
      @yasiniselemani3917 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@yusufuzuberi9884sikiliza vizuri halafu kuwa na ufahamu uache ushabiki kwenye dini hujui kaa mbele ya mwalimu ufundishwe

  • @user-jn4fb3mh9v
    @user-jn4fb3mh9v 9 หลายเดือนก่อน +7

    Mashannlha habibi hay ñi Matunda ya mwalim wa mwalim wangu sheighe Muhammad alibiz ,,shukuran aghii

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaalah ostaz said jazakallahu kheir,nakushauri hutubazako uzungumze pole pole usiharakishe ukiharakisha tunashindwa kulewa tembo lachelewa kutulewesha ,wengine vichwa vyetu ni vizito,na tembo Kwa Tanzania ni pombe.tumefahamu jazakallahu kheir.

  • @saidishekalaghe3496
    @saidishekalaghe3496 9 หลายเดือนก่อน +6

    Swadakta Sheikh wangu, Allah akupe Kila Lakheri, Afya Njema, na Umri Mrefu tuzidi kustafidi. Allahumma Aamiin.

  • @allyfundi6405
    @allyfundi6405 9 หลายเดือนก่อน +14

    Nimetosheka na huyu mtu wallah nilikua narudi rudi sana nyuma kwenye maulidi ila sasa kwenye maulid nitaenda kila mara

    • @safikapanga6989
      @safikapanga6989 9 หลายเดือนก่อน

      ❤pqg

    • @alafasyquran9806
      @alafasyquran9806 9 หลายเดือนก่อน +1

      som kijan acha kufuata mkumbo

    • @tahanyjaffar8321
      @tahanyjaffar8321 9 หลายเดือนก่อน

      Masha Allah mkono kwa mkono hadi peponi

    • @user-xn5je7uv3e
      @user-xn5je7uv3e 9 หลายเดือนก่อน +1

      endelea kupotea tu

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 9 หลายเดือนก่อน +12

    Kila siku inabidi kutetea maulid kila atae simama lkn bahat mbaya nikua kila anayesema Akimaliz anajikuta hajasem kitu haya mngeyajibu maswali ya Bachu mbele yake yote 19 . Kisha mkauliza sasa msingepata tabu lkn hii itawagharimu kila siku.mfano haitokei mtu kuteteA swala funga zaka n.k kwasababu nisahihi lkn hya maulid inabid uyatetee kila siku kwasababu ni uzushi

    • @elbattawy2864
      @elbattawy2864 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ibada sio tu swala, kufunga na kutoa zaka, Ibada ni nyingi sana, kuhusu khadithi ambayo bachu huitumia kupinga maulid sheikh saidi amempeleka shule vya kutosha kuhusu kula bidaa dhalala wa kula dhalala fi nnar., rudia usikilize tena na tena, bachu hawezi kuona ndani hapo

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 9 หลายเดือนก่อน +1

      Nenda kasome wewe acha ushabiki kwnye dini ya mungu unaona watu wanazungumza ukafikti wanayatoa tu hawana uhakika nayo

    • @SuleimanMakame-ex2eh
      @SuleimanMakame-ex2eh 9 หลายเดือนก่อน

      Swaddakta somo

    • @user-hk1jy6rl5e
      @user-hk1jy6rl5e 9 หลายเดือนก่อน

      Wahab nyinyi mtatseka sna mkiona vip kunywen sum mfee. Tu lakin kama Bado mpo maulid yatasoma mwapaka uchochoron kwen mpka mue mnakwepa njia

    • @user-ug8wh1hg6r
      @user-ug8wh1hg6r หลายเดือนก่อน

      Sema WWE kitu ueleweke kwnz

  • @user-gy8wl2jj5g
    @user-gy8wl2jj5g 9 หลายเดือนก่อน +4

    Maa Shaa Allaah
    Allah akuhifadhi akulinde na akuweke tuzidi kuilimika na kufaidika IN SHAA ALLAAH

  • @uthaymaanashshiraaziyy2413
    @uthaymaanashshiraaziyy2413 9 หลายเดือนก่อน +6

    ماشاء الله
    جزاك الله خيرا وبعد خير جنة النعيم
    Allah akuhifadhi Shekhe letu tuzidi kuilimika
    متعك الله طول عمرك
    صلوا على سيدنا محمد

  • @user-ys1kb7zk6k
    @user-ys1kb7zk6k 9 หลายเดือนก่อน +6

    WALLAAHI ELIMU INARAHA SANA UKIISIKILIZA
    ALLAAH ALLAAH ALLAAH
    WALLAAHI TUSOME SANA NA ALLAAH ATUPE FAHAMU

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 9 หลายเดือนก่อน +13

    Ukiona comment za kupinga niza mawahabi siajabu hata mtume walimpinga.al habiib saidi allah akujaze kheri nyingi wafikishie ujumbe elimu ya fani hawana japokua wanachukia

    • @AbuuAbdillah-hb8li
      @AbuuAbdillah-hb8li 9 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe ndio upumbavu uliopandikizwa kichwani mwako kwamba mwenye kupinga maulidi kampinga mtume swalallahu aleihi wasallam soma dini ya ALLAH acha ujinga wa kuburuzwa

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@AbuuAbdillah-hb8li wewe ndio uache ujinga munaacha kukemea maovu uzinzi ulevi kutosali n.k mwatoa povu na maulid acheni ujinga someni dini ya Allah

    • @twayibshaykhmuhammad1034
      @twayibshaykhmuhammad1034 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbuuAbdillah-hb8li
      MASWAHABA NA MASALAF NA MASUUFI wame elewa yakuwa BIDAA ni mbili Sayidina OMAR asema نعمة البدعة BIDAA nzuri na IMAM SHAFII amezigawanya BIDAA nzuuri na mbaya SWALI kwa MAWAHABI ??? Je muna ILIMU kuwashinda hao ??? لا والله na je munamtegemeya nani katika MASWAHABA NA MASALAF yakwamba amekataa BIDAA kugawanwa ???

    • @subirajuma5678
      @subirajuma5678 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mashia nao vipi sielewi mimi wanapinga maulidi au wanakubali

    • @tariquexplore
      @tariquexplore 9 หลายเดือนก่อน

      Muongo sana uyuuu😊

  • @ismailhashimu6467
    @ismailhashimu6467 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allahu Akibaru ❤❤❤MashaaAllah

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 9 หลายเดือนก่อน +13

    Mara ya tatu hii video naangalia🤸‍♀️🤸‍♀️wewe kama humkubali. Saga. Chupa. Unywe ❤😂😂

    • @Amina-rr8ve
      @Amina-rr8ve 9 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉 mimi ndo naanza hapa😂

  • @qaseemayoub6758
    @qaseemayoub6758 9 หลายเดือนก่อน +8

    Maa shaa Allah TabaarakaAllahu❤

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 9 หลายเดือนก่อน +5

    يمضي الليل بلا قيام
    ويمر الاثنين والخميس بلا صيام ويفوتهم الفجر وهم نيام
    ويحتفلون بالمولد دون برهان
    ما هكذا كان يفعل خير الأنام

    • @user-xt6bb6lx2r
      @user-xt6bb6lx2r 26 วันที่ผ่านมา

      هذا كلامك أنت استحي من الله يا كذاب وإلا فهم يصومون ويقومون الليالي ويصلون فى المساجد مع الجماعة.... ويحتفلون بنبيهم سيدنا وحبيبنا ومولانا رسول الله صلى الله عليه وآله وصحبه وسلم.

  • @alisudiramadhan3151
    @alisudiramadhan3151 9 หลายเดือนก่อน +9

    Shukran Akhii mungu akujaze kwa kurekebisha habari itawafikia

  • @rashidishak3991
    @rashidishak3991 9 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran babdeo tv❤❤

  • @RamadhaniMwandambo-fx9sb
    @RamadhaniMwandambo-fx9sb 9 หลายเดือนก่อน +80

    Mashaallah, kuanzia Leo naanza kuhudhuria hadhara za maulidi , na nikipata uwezo ntasomesha nyumbani kwangu Kila mwaka mara Moja.

    • @rashidswalehmwanjama3404
      @rashidswalehmwanjama3404 9 หลายเดือนก่อน +2

      Masha Allah

    • @user-ys1kb7zk6k
      @user-ys1kb7zk6k 9 หลายเดือนก่อน +1

      صلى الله عليه وعلى آله وصحبه وسلم

    • @hemedhamdan
      @hemedhamdan 9 หลายเดือนก่อน +3

      Hahahaha, yaani hii dunia ilko na vihoja. Allah atuongoze sote jamii Islaam, Aamiin🤲

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 9 หลายเดือนก่อน +3

      Na motoni utaingia na huyo bwana wako
      Endelea kufanya haramu

    • @i_gabbykisalo4280
      @i_gabbykisalo4280 9 หลายเดือนก่อน

      Masha'Allah...😂Allah akupe unachoitaji amiin

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 9 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa ALLAH. Ustadh Said. MUNGU akuzidishie ilimu nnaafi3

  • @subirajuma5678
    @subirajuma5678 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo sijaona barnzanj ikitetewa, bali naona hadithi inayokataza uzushi ikichambuliwa kilugha. Lakini uhongo ndani ya barnzanj wabakia pale pale kua uhongo.

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 9 หลายเดือนก่อน +7

    Sku zote nawaambia shkhe said anakitu cha ziada kapewa na mungu tuache hasadi tchukue elimu kwake

    • @swalehahmed6579
      @swalehahmed6579 9 หลายเดือนก่อน

      Kabisa ndugu yangu @abubakarymaulidi5681 hawa mawahabi ni mahasidi na hawataki kufahamu Al Ustadh Muhammad Shariff said Al Beidh alisema kitambo hawa mawahabi hata kwambiya nini hawatakubali hata kama wao wajua wana makosa hii ni tabiya yao ndiyo ukaona wengi wao ilimu yao ni ndogo sana nawale wafuai wao wasojua kitu ndiyo ma mufti wakubwa mpaka kuna mmoja hapo asema tutangiya motoni pamoja na sheikh said yaani akusuduya watu wa maulidi Wallahi sijui ninani alowapa vibali vya kuingiza watu motoni yaani waingiliya kazi ya Allah je haya ndiyo mahaba wanayo dai wampenda mtu au ndiyo Sunna hiyo? Maana mtume hakuambiya watu wewe utaingiya motoni

    • @uwesundembo5147
      @uwesundembo5147 9 หลายเดือนก่อน

      Hata elimu yakupiga Gita navinanda nayo nielim

  • @rashidishak3991
    @rashidishak3991 9 หลายเดือนก่อน +5

    ما شاء الله تبارك الله

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 8 หลายเดือนก่อน +1

    يذهب الصوفية للقبور متبركين بمن يزعمون أنهم أولياء
    ولكن الله تعالى يأمرنا أن نقول :
    قُلْ أَغَيْرَ اللَّهِ أَتَّخِذُ وَلِيًّا فَاطِرِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَهُوَ يُطْعِمُ وَلَا يُطْعَمُ ۗ

  • @jumamukoko6662
    @jumamukoko6662 29 วันที่ผ่านมา

    May Allah (SWT) protect you

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 9 หลายเดือนก่อน

    جزاك الله خيرا على هذا الموضوع

  • @subirajuma5678
    @subirajuma5678 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hizo hoja zako zote zilivunjwa kitambo na sheikh Kassim mafuta alipofanya mdahalo na kina sheikh dede na kazuba kule tz mpaka sheikh dede alitaka kulia jinsi Kassim mafuta alivyowabana sawa sawa.

  • @jumamwarabu9307
    @jumamwarabu9307 9 หลายเดือนก่อน +5

    MAULIDI YATA ZIDI ::NA NYUMA HAYATA RUDI;;:WAUM IE MAWA HABI:::NA NYINGI ZAO LAWAM

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 9 หลายเดือนก่อน +9

    WALLAH umetufurahisha habiib BAARAKALLAHU FIIKUM

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 9 หลายเดือนก่อน +12

    ❤❤❤❤Nakupend hadi naumwa 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @iddswalehomar1323
    @iddswalehomar1323 9 หลายเดือนก่อน +8

    Bacho sio wakuenda mamburui kufundishwa niwakumtafuta ustadh said amfundishe

  • @ibrahimnoordin3420
    @ibrahimnoordin3420 9 หลายเดือนก่อน

    Salute.. kwa hii bahri.. Allah akuzidishie ilm ust. Said.

  • @subirajuma5678
    @subirajuma5678 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nilipokua mtoto nilisikia sifa za mambrui kuwa na elimu mpaka nikatamani niende nikasome huko. Alhamdullillahi wazee wangu walinipeleka na nikapata nafasi pale al ghanahu ul islamiya kwa sheikh mohamad, na wakati huo sheikh alikua bado yuko hai mwenyezi mungu amrehemu. Basi nilifaidika sana chini ya sheikh. Mwaka wa 2002 kulikua na harakati za mijadala mingi sana baina ya sisi watu wa twariqa na mawahabi. Kulipamba moto sana mpaka nikawa najiuliza kwani mawahabi nikina nani mbona wanasumbua sana waislamu. Wakati mwingine sheikh mohamad alikua akija pale madrasah baada ya kutoka kwenye mdahalo, anaema sana kwa pressure huku akasema mawahabi leo wametusumbua sana ata kama walikuwa kwenye haki lakini hoja zetu zina nguvu kutubana wametubana. Kumbe mawahabi wako kwenye haki, mpaka leo ili swali najiuliza, na twariqa wanalijua hili kua mawahabi wako kwenye haki.

    • @thefoodshaikh811
      @thefoodshaikh811 9 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli Dadangu alienda manazilul abraar kwa ustadh abdulraheem mambrui. Watu wa sunnah wako kwenye haki siku zote. Hawa watu wa twariqa wanataka kutetea bid'aa wakitumia njia zote.

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 9 หลายเดือนก่อน +9

    Naona porojo TU hapa sjaona dalkli ya kutetea maulid Bado sana hamna hoja hapo
    Tetea kwanza barzanji wapi wanyama walizungumshana siku ya kuingia mimba ya mtume Swalla llaahu alayhi wasallama?

  • @user-rk8gk5xw4f
    @user-rk8gk5xw4f 9 หลายเดือนก่อน +2

    Shukrani sheikh wajazaka Allah khairah

  • @zainabusadi6469
    @zainabusadi6469 9 หลายเดือนก่อน +4

    الله يحفظك يا شيخ سعيد ❤

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy 9 หลายเดือนก่อน

    Maashaalah ustadh said

  • @user-on1vh9nf9k
    @user-on1vh9nf9k 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah Allah akuhifadhi na hasadi Inshaĺah

  • @adamkilembwe.
    @adamkilembwe. 9 หลายเดือนก่อน +4

    ماشاء الله

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 9 หลายเดือนก่อน +7

    Wallwaahi umezungumza kwa uchache Laakin Elimu uliyoitoa ni kubwa saana Habeeb
    حفظك الله ورعاك

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 9 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu akuhifadhi kijana chetu uzid kutupa elm

  • @travellertraveller4505
    @travellertraveller4505 9 หลายเดือนก่อน +3

    Maashaallaah❤❤❤

  • @hajikatanje5961
    @hajikatanje5961 9 หลายเดือนก่อน +5

    Shekh sisi waislamu tunajuwa ulishindwa kuwaelimisha waumin wapenda maulidi nnabai ile siku ndio ilikuwa bora zaidi kwa yule mwenye kutaka kuelewa ila ni wazi maulidi ni bidaa kubwa tu maana huna hadithi wala ktk vitabu vya hadithi wala qur an hayapo shekh usituletee tafsiri ya nahau wakati nahau ni matumizi ya lugha tu

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

      Sasa alishindwa kujibu bachu hadithi munkar haijui wanazuoni wasemaje kuhusu hadithi munkar bad badili kusema hajui asema hajaona alafu kitu chengine nyinyi mawahabi wapotoshaji mwamzushia mtume tawhed tatu mumezitoa wapi mtume hajafundisha wala maswahaba hawazijui tawhed tatu hio hujaona kama bidaa

  • @user-mk7ts6ss9d
    @user-mk7ts6ss9d 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi us uzidi kuwaelimisha wasiolewa: na akulinde na macho yamahasidi

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 9 หลายเดือนก่อน +2

    Maasha allah

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 9 หลายเดือนก่อน +3

    Maulidi ni ibada ? Na kama ni ibada mfumo wake ulisahauliwa kwenye kurani na hadithi ? Acheni kuunganisha unganisha ili muhalalishe ni badaaa hiyo haipo katika dini😅😅😅😅

  • @BriXGuru
    @BriXGuru 9 หลายเดือนก่อน +3

    Barakallah feek shekh Said

  • @abrahmanifarouckissa5662
    @abrahmanifarouckissa5662 9 หลายเดือนก่อน +1

    Enyi masheh mungu anawanaa Mungu atuongoze

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 9 หลายเดือนก่อน +1

    وقد بين النبي صلى الله عليه وسلم لأقرب الناس إليه أنه لا يغني عنهم من الله شيئا، كما في الأحاديث الصحيحة ، ومن ذلك ما في الصحيحين أن أبا هريرة رضي الله عنه قال قام رسول الله صلى الله عليه وسلم حين أنزل الله عز وجل (وأنذرعشيرتك الأقربين) قال: " يا معشر قريش أو كلمة نحوها اشتروا أنفسكم لا أغني عنكم من الله شيئا . يا بني عبد مناف لا أغني عنكم من الله شيئا . يا عباس بن عبد المطلب لا أغني عنك من الله شيئا . ويا صفية عمة رسول الله لا أغني عنك من الله شيئا. ويا فاطمة بنت محمد سليني ما شئت من مالي لا أغني عنك من الله شيئا ".
    والحاصل أن المؤمن الموحد لا يسأل إلا الله، ولا يدعو غيره، ولا يطلب الشفاعة من الشافع في الدنيا، وإنما يسأل ربه أن يجعله أهلا للشفاعة، وأن يأذن للشافع حتى يشفع له .

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860 9 หลายเดือนก่อน +2

    Allah azidi kukubariki elimu Kijana waliokusomesha ni Wazi Allah Aliwatunuku

  • @elmahestro6242
    @elmahestro6242 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah Allah akujaze kila la kheri uzidi kuzindua watu kutoka kwa akili za kijahil

  • @abdurazaqiamisi1463
    @abdurazaqiamisi1463 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi sheikh wangu

  • @maulidmaulid2106
    @maulidmaulid2106 5 หลายเดือนก่อน +1

    maulid itabaki kuwa uzushi nanidhambi kusherehekea kitu ambacho mtume muhammad swalallahu alayi wasalam akuruhusu kifanyike.ACHENI KUSHEREHEKEA MAULID,ACHENI KUFATA MKUMBO.SHEIKH SAID MUOGOPE ALLAH, KWENYE QURAN AMNA SEHEMU ALLAH AZZA WA JALLA AMERUHUSU MAULID...

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd 9 หลายเดือนก่อน +2

    sahihi kabsa jaxakallahw elim
    kumbe kias umwambie barabarani angie kwenye kiti

  • @mkubwamasoud2776
    @mkubwamasoud2776 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kwanza salam tu ameshaweka bida'a halafu mnajitapa kwenye batwil mko wengi sana

    • @user-hk1jy6rl5e
      @user-hk1jy6rl5e 9 หลายเดือนก่อน

      Hayo tushayazoea leten mengine nasim ulotumia kuangalia haya mawaidha nayoo bidaa uitupe Yan bidaa unayoo halaf unamtukana mwenzio wahab nyinyi omben mungu awape ufaham wa elim.yan mpka mnatia kinyaa mlivyohamelewagi

  • @AishahMuigu
    @AishahMuigu 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hii kheri ya maulid, aliijua ama hakuijua mtume swalallahu alayhi wasalam? Naam au la… na ukisema la ushaanguka kwenye msiba. Kama ndio, je alifundisha? Kama jibu ni ndio, nipe dalili… kama hakufundisha ushamtuhumu kwa khiyana …. Audhubillah! Allah aniweke mbali na kizazi changu na ushirikina na bidaa… na maulid.na atuongoze sote… na atujaalie aqeedah swahihi.

  • @user-ch2zh8sd2u
    @user-ch2zh8sd2u 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaa allah

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 9 หลายเดือนก่อน +5

    نحن لا نلزم أحد بشيء وإنما ننصح ونبين السنة ونحذر من البدعة شاء من شاء وأبى من أبى فمن قَبِلَ فالحمد لله ومن عاند فأمره إلى الله
    "كل نفس بما كسبت رهينة"
    توحيد الله عقيدتنا....

    • @zahorokombo6881
      @zahorokombo6881 9 หลายเดือนก่อน +2

      ما شاء الله كن حيث أنت 😊

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi 9 หลายเดือนก่อน

      لا تجمجم

    • @ABUUMARYAMA
      @ABUUMARYAMA 9 หลายเดือนก่อน

      دع ما يريبك إلى ما لا يريبك

    • @ABUUMARYAMA
      @ABUUMARYAMA 9 หลายเดือนก่อน +1

      كلنا أمرنا إلى الله ،وكل مسلم توحيد الله عقيدته

    • @swahibually8349
      @swahibually8349 9 หลายเดือนก่อน

      انت جاهل مركب.بل نرجو انتفهموا شيٸا فشيٸا ان شاٸﷲ

  • @jumahory859
    @jumahory859 9 หลายเดือนก่อน

    برك الله فيك

  • @infocontentchannel
    @infocontentchannel 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hafidhwakallah shaikh

  • @salmaali7080
    @salmaali7080 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awahifadhi mashekh wetu inshaallah na awape umrr inshaallah

    • @khadijashee9105
      @khadijashee9105 9 หลายเดือนก่อน

      Lazima wakusifu sababu tunajua tzn waongoza kwa usanii huyo said huku kwetu ni msanii

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 9 หลายเดือนก่อน +5

    MAWAHABI UFAHAMU WAO NI MDOGO KAMA BACHU

  • @nabiljumbe
    @nabiljumbe 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah

  • @AliMuhammad-hs8ds
    @AliMuhammad-hs8ds 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hapa mawahabi hawaelewi kitu waeza pandisha marohani wakiskia maneno haya 😅😅

  • @aljahuur
    @aljahuur 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah barakallah

  • @AishahMuigu
    @AishahMuigu 9 หลายเดือนก่อน +1

    إن كذبا علي ليس ككذب على أحد، من كذب علي متعمدا فليتبوأ مقعده من النار

  • @elbattawy2864
    @elbattawy2864 9 หลายเดือนก่อน +2

    bachu hawezi kukanyaga tena mombasa sheikh said yuko vizuri sana, Ivi kumbe bachu hajuwi fiqhi kwa kiwango hiki? sasa ndo naelewa madhaifu ya bachu yako katika taaluma

  • @user-yr5bo2pd4r
    @user-yr5bo2pd4r 8 หลายเดือนก่อน

    allah akuifadhi mwalimu wangu❤❤❤

  • @user-je6qh6it5w
    @user-je6qh6it5w 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asantaaaaaa Sanaa sheikh said walai kusoma Rahaaaaaa sanaaaaaaaa

  • @khalfanidriss8931
    @khalfanidriss8931 9 หลายเดือนก่อน

    Mashalah Waa,Allah Yaalaamu

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 9 หลายเดือนก่อน +6

    MARHABAN HABIIB KAMA HII HAIKATI SAUTI BC AHLAN WASAHLAN

  • @saidishekalaghe3496
    @saidishekalaghe3496 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hilo Darsa kubwa Sana Sheikh wangu, Kuna watu hawaelewi kabisaa wanatia wenzao uharami usiokuwa na mashiko, Kisa Kuswaliwa Mtume Muhammad ( s a w). Tupaze Sauti Kila Kona waislamu wapate kuelewa na hatimaye Maulidi Yasomwe Duniani Kote. InshaAllah!

    • @rmdhnhmz512
      @rmdhnhmz512 9 หลายเดือนก่อน

      Allahumma aamin

  • @latifaayoub6126
    @latifaayoub6126 9 หลายเดือนก่อน +1

    Somo na nusu ... حمياه .. daaah Allah akuhifadhi ustadh said .. watu wataka kufasiri vitabu kwa ilimu hizi zetu za vyumo jamaaa walotunga walikua waarabu jamaaa

  • @fahadbabuy
    @fahadbabuy 9 หลายเดือนก่อน +7

    Simple mathematic😂😂😂MAULID HAIJATHIBITI MIONGO YOTE MITATU ALIYOSEMA MTUME (s.a.w) sasa we jichanganye ujifanye mjuwaji🔋😂

    • @samirharun7993
      @samirharun7993 9 หลายเดือนก่อน +1

      we bado umelala jitaidi kasome elim ni bahari acha kubaki apo kama maji yalio tuwam na yakatoa harufu mbaya

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 9 หลายเดือนก่อน +4

      Wewe unayo Dalili kuwa Maulid hayakuthibiti alishindwa shekhe lako mpaka kajikojolea kitini

    • @suleymansalim5732
      @suleymansalim5732 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@abubakaromar6101😂cheki huyu alivyo muongo mada ilikua ni kuthibit au. Alafu msiwe mnabebwa na propaganda unatak kusema shekhe aloshika kiti alishika mikojo? Haiingii akilin mkojo unajulikan tu na huwez shika mkojo ilhal wajua ni najsi na unashika kwa misingi ipi na unashika bado hujui km ni mkpjo au maji eti unajiuliza.....huo ni mtego kwa wewe mtazamaj ndo utaropoka mkojo lkn kitwndo cha Shekhe kushika huo si mkojo ungekua mkojo asingeshika tazam vzr

    • @elbattawy2864
      @elbattawy2864 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ile amri iliyotoka katika Quran kumsalia Mtume s.a.w je unaikubali? Je ni dhambi kujua Sira ya bwana mtume s.a.w? chakarika ulete fatwa hapa

    • @user-hk1jy6rl5e
      @user-hk1jy6rl5e 9 หลายเดือนก่อน

      Yan kwasasa mawahab mtaisoma namba tu kadrii mnavyotukana ndo maulid yanasomwa zaaid mwaka huu mmetukana barazanji yamesomwa mpka milangon endelen kutukana yatasoma mpka misikitin kwenye

  • @kingofshorts6824
    @kingofshorts6824 8 หลายเดือนก่อน

    Mashalah sheikh wetu👑 🇰🇪

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 9 หลายเดือนก่อน +3

    Bachu kiukweli na huyu mwamba ni mbingu na ardhi. Bachu ni mtoto mno kielimu na Shekh Said

  • @dodokibbah3513
    @dodokibbah3513 9 หลายเดือนก่อน +3

    Leo tunawafunzaa lugha kwanza,maashaAllah😊

  • @user-iv3ou4qg4d
    @user-iv3ou4qg4d 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli alifanya kazi kubwa ya kumzulia Mtume S.A.W.

  • @makamekombo-qy6dx
    @makamekombo-qy6dx 9 หลายเดือนก่อน +1

    Maulidi muta yatetea kwa kujenga hoja zenu za kiali tuu
    lkn Hamto soma Aya Wala hadithi
    za Mtume swahihi kuonyesha kuwa Ni ibada poleni sana
    Tuna kusubirini kwa Allah kuhusu Ibadahiyo

  • @muftiahmadimahmudulemba1918
    @muftiahmadimahmudulemba1918 9 หลายเดือนก่อน +1

    ماشاءالله

  • @abdiabdu7179
    @abdiabdu7179 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kichwa hiki bachu hapa ame achwa mbali hata elewa kitu

  • @abdulaisha4145
    @abdulaisha4145 2 หลายเดือนก่อน

    Siku hizi kila sheikh ana wafwasi wake kama machester na arsenal... Subhana Allah

  • @user-qm4qd8yk2x
    @user-qm4qd8yk2x 9 หลายเดือนก่อน +1

    shekh said hayo maneno yote unayozungumza. kama shelh mohd bachu sio mkweli je baada ya kufariki mtume maswahaba wote pamoja na maimamu wanna walikosea kwa kutosoma maulid. kumbuka imam mmoja kati ya maimam wanne alisema mtu akiingia katika usufi asubuhi jioni keshakua mwendawazimu

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 9 หลายเดือนก่อน +1

    Na pia naona Sheikh ajajuwa hasa maana ya neno bidaa!(BIDAA NI JAMBO LINALOLETWA NDANI YA DINI ASILOLILETA MTUME)sasa Maulidi kama mutasema ni sehemu ya ibada badi jibu utatowa wewe!

  • @user-ze8rk9ye6r
    @user-ze8rk9ye6r 11 วันที่ผ่านมา

    porojo tupu za kikhurafi hamna kitu hapo lakini wenye mmezoe ngoma hizo mtashabikia bt umjud ipo siku tutasimamishwa mbele ya allah acheni mchezo na dini

  • @Jamalhusen7025
    @Jamalhusen7025 9 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤

  • @ilyashamidi3811
    @ilyashamidi3811 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna kitu hapa porojo tuu

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 9 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah

  • @rushu1232
    @rushu1232 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mawahabi wachaneni uhasadi hamulazimishwi kabisa musome au muhudhurie maulid nasisi tunahuja zetu tuwacheni tutahukumiwa na Allah na amal zetu na nia zetu.

  • @mudhihirinjonjolo5620
    @mudhihirinjonjolo5620 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allahu Akbar.Swallu alaa Nnabiy.

    • @tahanyjaffar8321
      @tahanyjaffar8321 9 หลายเดือนก่อน

      اللهم صل وسلم عليه

  • @Masouds21
    @Masouds21 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ogopa matapeli. Kiufupi waislamu tusomeni tuepuke kutapeliwa

  • @subirajuma5678
    @subirajuma5678 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo lugha nyingi ya nahau ungetetea barnzanj kwa kuthibitisha hoja ya wanyama kuongea iliyojengwa na shk bachu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 9 หลายเดือนก่อน +4

    Swahaba gani kafahamu ivo

  • @aiowhussein1889
    @aiowhussein1889 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @user-ry1pe3tu5s
    @user-ry1pe3tu5s 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kilichoandikwa ndani ya maulidi ndio tunataka ajibiwe bachu, ,,zile hoja 19 zijibiwe kwanza, ,na pale Mombasa lile suala moja limekugandisha anaona kajibu kumbe bachu ndie alieshinda, ,,matwarika jibuni hoja za bachu kwanza, ,msipige porojo