KUMBE HILI NDILO AMBALO LILIMSHINDA BACHU | WENGI WAMESHANGAZWA NA UMARIDADI WA UST SAID KATIKA HILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ย. 2023
  • #subscribe #like #share #comment #ulipotupo ‪@KHAIRIYYAONLINETV‬
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 295

  • @abassyakoub1464
    @abassyakoub1464 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu atupe Ufahamu wenye Maslah kwa Umma wa Kiislamu na sio kujifakharisha Kitaaluma ili kuonekana Sheikh fulani anajua sana. Qibri hasa katika Uislam ni DHAMBI iliyotiliwa Mkazo kwamba Haifai kwa Muslamu yoyote kuwa na QIBRI kwa hilo ni VAZI la ALLAH (sw). Masheikh zetu rudini kwa ALLAH na muache kujifakharisha Kielimu kwa walikuwepo MAIMAM wakuu lakini hawakufanya mnayoyafanya nyinyi sasaivi. Allah awaongoze nyinyi na sisi kwa ujumla.

  • @RayRey-ji1em
    @RayRey-ji1em 10 หลายเดือนก่อน +28

    WALLAHI NIME AMINI MAULID SIO KITU KIBAYA KAMA NI KWELI SHEHE WETU BACHO ANGEJIBU ILI TUSONGE MBELE ILLA KASHINDWA KUJIBU NITASOMA MAULIDI TOKA LEO INSHAALLAH NA MIMI PIA NAKUPENDA MTUME WA MUNGU NA NITAMSIFU INSHAALLAH

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 10 หลายเดือนก่อน +1

      Pole sana Allah akuhifadhi.
      Mteyeaji wa maulidi mwenyewe kakubali riwaya hiyo ni mbovu maneno hayo ni machafu hayafai hata kutumiwa.
      Na wewe unakusudia kumshirikisha Allah.......!!!!

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kashindwa wapi.
      Acha kua mnafiki.
      We kama unakusudia kumshirikisha Allah Kazi kwako.
      ila Dunia nzima hakuna mwenye uwezo wa kutetea maulidi na kama hamna wa kuweza tetea uongo na ushirikina huo na wewe unakusudia maisha yako yote kuyaweka katika kumzushia mtume na kumshirikisha Allah ukifa katika itikadi hiyo ya kishirikina usimlaumu mtu bali moto ndo stahiki yako.
      Ushahidi huu hapa.
      { إِنَّ ٱللَّهَ لَا یَغۡفِرُ أَن یُشۡرَكَ بِهِۦ وَیَغۡفِرُ مَا دُونَ ذَ ٰ⁠لِكَ لِمَن یَشَاۤءُۚ وَمَن یُشۡرِكۡ بِٱللَّهِ فَقَدِ ٱفۡتَرَىٰۤ إِثۡمًا عَظِیمًا }
      [Surah An-Nisāʾ: 48]
      Huna msamaha mbele ya Allah katika ushirikina.
      Na uzushi kumzushia mtume.
      Mtume amesema Katika mafuhumu ya hadithi kua.
      Ujiandalie makazi motoni.
      Nasaha zangu.
      Tengua nia yako ya kumzushia mtume na kumsifu kwa uongo na kumshirikisha Allah.
      Yote hayo yapatikana katika maulidi

    • @madrassatulihyaa-ilislaami2911
      @madrassatulihyaa-ilislaami2911 10 หลายเดือนก่อน +2

      Ikiwa kumswifu mtume ni kumshirikish mungu bas acha tumshirikishe

    • @hassancharo1332
      @hassancharo1332 10 หลายเดือนก่อน +1

      wew ulikuwa taari mtu wa twarika acha unafik

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 10 หลายเดือนก่อน

      Km unampenda sana si bora ukamswalia na kufuata maamrisho yake ni bora zaidi kuliko kufanya kitu chenye khitilafu wengine wanasema kinafaa na wengine hakufai. Akhera usije kujikuta ni mzushi. Au ww unapata faida gani kusoma maulid ambayo faida hio ukikaa peke ako au nawatu ukamswalia Mtume kwa kusoma “duruud Sharif/Ibrahim” utakikosa???

  • @waziiralmaal7263
    @waziiralmaal7263 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mtume wetu s.a.w amesema hii umma Yake itagawanyika katika vikundi 73 na kundi 1 Tu ndio itaingia peponi, maswahaba wakamuuliza ni lipi Hilo kundi 1 la kuingia peponi, Mtume s.a.w akawajibu ni wale ambao wako juu ya Yale ambao leo hii Mimi Niko juu Yake pamoja na maswahaba zangu. Mtume wetu s.a.w hajafanya maulidi na maswahaba pia hawajafanya maulidi sasa wewe msoma maulidi uko katika kundi lipi Kati ya hizo kundi 73 . Jambo la msingi hapa ni kutambua Hilo kundi 1 la kuingia peponi alafu ujiangalie wewe kama unalingana na hilo kundi. Assalamu Aleikum.

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork 10 หลายเดือนก่อน +5

    Ni dhahiri Bachu hajapata bado wakujadili naye hii mada.... Hii ilikua nafasi ya dhahabu ya Saidi kuokoa maulid kwa kuitetea na kutangaza na kudhihirisha UKWELI wake lakini masaa karibu matatu, Bachu amekuwa akifundisha peke yake mbele yao wakiwa kimya kabisa. Alhamdulillah... Ukweli umedhihirika

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 10 หลายเดือนก่อน +1

      Saidi elimu anayo yenye baraka kwa Allah ndiomana ametulia.bachu elimu yenye baraka hana aharibu muda kwakubwabwanya jibu aliliona lakusema sijui lakini hasemi kwakua amezoea uongo mnasihini aende mamburui akasomeshwe bure hatalipa chochote

  • @eshaaly5404
    @eshaaly5404 10 หลายเดือนก่อน +7

    Shekh SAID nakuomba mtukue bachu mpeleke CHUONI kwahisani yako

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 10 หลายเดือนก่อน +1

      Unaropoka sana.
      Akamfundishe ushirikina wenu huo wa maulidi.
      Ama nini.
      Amfundishe ibada za kishia.
      Ibada za watu wa itikadi za kuabudu makaburi😂😂😂😂😂😂😂

  • @zulfajuma3115
    @zulfajuma3115 10 หลายเดือนก่อน +4

    Barzanji katumia hadithi za urongo na yy ni mrongo
    No need kutoa ushahidi Tena na ww ushajua urongo upon katika maulidi

  • @LASSUH4947
    @LASSUH4947 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wallhy kusoma raha sana bachu kapata funzo kubwa sana hatosahau maisha yake yote hichi kidonda mpk kufa kwake hii ni aibu ya miaka ndo mana hata speed yake imepungua hatumuoni tena skuhizi akituma clip zake yuko kmyaaa kma sio yy

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 10 หลายเดือนก่อน +4

    shekhe wa twarika anakuambia hata mashekhe wake hatowasikiliza. sasa kuna nini hapo ww ushakubali kua hadithi ni mbovu sasa upewe ushahidi gn na mada imesha isha kua shairi hilo ni UONGO. walitaka tu kuharibu ila dunia imeelewa kua ktk mAulid kuna uwongo. sasa atakaesoma ni yeye tu. ila haki imefika.

  • @usseneandurabe9733
    @usseneandurabe9733 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kueli watu wamepumbazua na awa masufi,nikuambieni masufi ni watu hatar sana Ila nyinyi wafuasi wa kisufi amujui na amulioni Ilo ,awa jama wameweka taratibu zao kwamba mtu akifiwa analazimishua awapikie chakula bala ya wao kumsaidiya aliefiwa,sasa awa masufi ni tatizo kubua sana katika jamii yetu ya kiisilam

  • @maulidmaulid2106
    @maulidmaulid2106 5 หลายเดือนก่อน +3

    Muhammed bachu yupo sahihi kabisa.mtume akusherehekea siku yake ya kuzaliwa wala maswahaba awakusherehekea.maulid itabaki kuwa uzushi nanidhambi kusherehekea kitu ambacho mtume muhammad swalallahu alayi wasalam akuruhusu kifanyike.ACHENI KUSHEREHEKEA MAULID,ACHENI KUFATA MKUMBO.SHEIKH SAID MUOGOPE ALLAH, KWENYE QURAN AMNA SEHEMU ALLAH AZZA WA JALLA AMERUHUSU MAULID...

  • @user-rq7hr8ee7i
    @user-rq7hr8ee7i 10 หลายเดือนก่อน +2

    Dah huyu ustadhi mwengine kumbe pasua mm kichwamaji nimemfahamu bachu

  • @nassoro5341
    @nassoro5341 10 หลายเดือนก่อน +3

    Watu wa bidaa washapigwa miuli hata siku moja hawajubali ukwelii japo kua wanaelewa

  • @user-rt6lx1mp3c
    @user-rt6lx1mp3c 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huna hoja mana hujaweza kutetea hoja yako ya kusema kwa wanya munadanganya watu na hupotosha watu ila mungu anawaona nakama ni utashi wenu huo mujue akhera mutalipa

  • @MuhammadMuhammad-gr2qv
    @MuhammadMuhammad-gr2qv 10 หลายเดือนก่อน +4

    USTADH SAIDI SIBANDUKI KAONA KIBOKO KIMOJA KIMEMUHARISHA AKAAMUA ASIBANDUKE KWAMANA KESHA AZIRIKA MAPEMA ANGEJARIBU KUBANDUKA ANGEHARA AKACHAFUA MAZINGIRA YA TWARIKA LEO KIMENUKA HATARUDIA TENA KUMCHEZEA BINGWA SHEKH BACHO

    • @rashidswalehmwanjama3404
      @rashidswalehmwanjama3404 10 หลายเดือนก่อน +2

      Ebu skia point 😂😂😂😂 acha ushabiki soma 😂😂😂😂😂

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 10 หลายเดือนก่อน

      Heheheheehe sasa bachu kma kidume alikua aseme tu cjui kisha uone wanyama walitamka au laa lkn hataki kujibu swali la kwnza tutaenda vp la pili wakati la kwanza bado hehehehehe bachu ametia aibu fedheha alikua hataki kusema hajui ameona bora aseme hajawah kuona lkn kusema hajui ameshindwa sasa hapo nani kakimbia hoja tumeona bachu ni zero

  • @sanda960
    @sanda960 10 หลายเดือนก่อน +4

    Quran na Sunna ndy sahihi. Waislamu tunatetea maneno ya watu badala kutetea maneno ya mtume Muhammad s.a.w

    • @princefeisla3692
      @princefeisla3692 10 หลายเดือนก่อน

      Ilipokua bachu yuatusi na kuwavunjia hishMa ilikua hamusemi kama nimekosa Leo kaata mzidi wake kafinywa ndo mnajitetea,?waswahi wasema mcheza pweke hatolewi makosa. Leo kapata Simba 3rd eleven kajikojolea kitini?

  • @abumaryam6909
    @abumaryam6909 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie mnapenda kufuata shubha! Swali liloulizwa halina mashiko ndio majibu aliompa bachu kama majaz ameng'ang'ania majahazi majahazi! Badala ya kusonga mbele

  • @AliIbrahim-lv5cq
    @AliIbrahim-lv5cq 10 หลายเดือนก่อน +2

    Muogopeni Allah .. mtaenda kuulizwa kwa uzushi wenu maulidi hayafai hilo lielewekeee...

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 10 หลายเดือนก่อน +1

      Haifai kwani wakisoma huwa wanatukana ?

    • @HabibuHemed-hy5qr
      @HabibuHemed-hy5qr 10 หลายเดือนก่อน

      Tupe dalili

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kwan kumtaja mtume vibaya?

    • @AliIbrahim-lv5cq
      @AliIbrahim-lv5cq 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@HabibuHemed-hy5qr mimba ya mtume SAW ilipoingia wanyama walizungumza,je niyaukweli? Nani alokua akitafsiri hao wanyama kwenye kitabu cha barzanji?

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 10 หลายเดือนก่อน

      @@AliIbrahim-lv5cq kwani kumtaja mtume vibaya ?

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu nakua nakufatilia sana lakini leo umebanwa hufurukuti hamna kitu leo

  • @AshushabuSaidi
    @AshushabuSaidi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani mnafikiri watu wa maulid haujuw ukweli wallah wanajuwa saana tu
    Masikitiko ni kwa watu wadogo wa dogo masikin wasiyo kitu wana wadanganya wana Fata mkumbo
    Wallah kwa mwenye burasa bila ujinga wake ameona ukweli uko wapi mimi nimejifunza kitu kwakweli
    Mtu kitabu chenu na mnakiamini
    Una ulizwa swali na ww unauliza swali 😢
    Ingebidi utunufaishe ukiteteye hadi tuamini ukweli wake.hakika kuelewa ni kwawenye akili

  • @user-sw8qk6cw8o
    @user-sw8qk6cw8o 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo said amewekwa hapo kumtetea sharif abdulkadir ame karirishwa kuwa hoja yoyote ikitolewa asema hivo na asiachilie msikani...kwasababu ya kuepuka aibu ya kushindwa kujibu.... BACHU ameshajibu kuwa hicho kitu hakuna sasa yeye ndio alikuwa asema hayo maneno ni kweli wanyama walitamka kiarabu ama ni urongo....hii inaonesha dhahir kuwa watu watwarika wataka kutia watu motoni......maulid sisomi tena after huu mjadala

  • @user-gb6ny3ct7r
    @user-gb6ny3ct7r 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kutoka msumbiji nasikitshwa sna na walinganizi wengi wapotevu kutoka TZ na Kenya kumtiya makosani mtume wa Allah kwa kitendo chao cha kuitakidi maulid kuwa ni ibada! Kwasababu iyo inaonesha kuwa mtume amefanya khiana katka da'wa yake na hali ya kuwa mwenyewe anasema katka hadiith kwamba akuna khery yeyote ispokuwa mimi nimeifikisha kwenu!

  • @arrisalastriker9813
    @arrisalastriker9813 10 หลายเดือนก่อน +2

    Iblis amewaghuri na maulidi zenu pia sisi tulikua huko ila ukweli ukidhihiri muislam huna budi ukubali tumcheni Allah. Leo amekataa kuyasahihisha yaliyomo kwenye kitabu cha barzanji lakini kwa Allah kesho mutamjibu hao wanyama waliozungumza mumweleze yeye.Muhammad Bachu mutampasua kifua bure suummun bukmun ghumyun

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      Bachu ameshindwa kujibu swali na ameshindwa kuthibitisha kwa wanazuoni said ametoa na dalili ukweli usemwe na ww muogope mungu

    • @arrisalastriker9813
      @arrisalastriker9813 10 หลายเดือนก่อน

      Haya anshindwa waambieni masheikh zenu sasa watutengezee mada ya kuzungumzia yaliyoandikwa ndani ya kitabu cha barzanji.haina haja ya debate.yeye sheikh Bhachu kila leo aizungumza barzanji.mbona sijaona hata clip moja ya masheikh wa kisufi kuzungumzia hicho kitabu.mimi kama si sheikh Bhachu nsingejua barzanji ameandika nini tulikuwa twaimba tu mungu atusamehe.sasa ni wajib kwa wanaoitumia hiyo barzanji kuifundisha akhy

  • @marialumbanga
    @marialumbanga 7 วันที่ผ่านมา

    Bachu allah azid kukusimamia

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bachu mkaidi kama ndacha ata ukambana kazi ipite ufanye kazi kweli

  • @osmanabdifattah4947
    @osmanabdifattah4947 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi bado ni mwanafunzi wa Bachu tunasoga mbele

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 5 หลายเดือนก่อน

      Usimuache mkono Mpe moyo

  • @user-gb6ny3ct7r
    @user-gb6ny3ct7r 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona aukuthibitisha usahihi wake ewe kijana said?

  • @user-ws7fb8ph9q
    @user-ws7fb8ph9q 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bacho muhammad allah akuhifazi kwakilahatuwa ukosahihi mahulidi aramu

  • @djhabib6688
    @djhabib6688 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh Said atuelimishe basi dalili gani ama ni mtu gani alishuhudia wanyama wakitamka

    • @zeitunMohammed
      @zeitunMohammed 10 หลายเดือนก่อน

      Alaaaa,kaka utakufuru sasa,nkama utauliza pia nani ameshuhudia Kama maiti anaadhibiwa kaburini heri unyamaze

  • @asifznz
    @asifznz 10 หลายเดือนก่อน +3

    Jamma wa tarika said yeye hajali kwamba kitabu cha barzanji ndani munauwongo yeye anataka tu barzanji asiitwe murongo au muongo 😂😂😂😂😂sasa kitabu kime jaa uongo shirki kibao he doesn't mind what his people are reading is inauthentic he doesn't mind at all 😂😂😂😂😂people are going astray from the right path he doesn't mind 😂😂he wants people to not call jaffer barzanji a liar, kumekucha!!!!waafuasi wake wacha waende mtoni kwakufanya shirki lakini BARZANJI asiitwe MUONGO 😂😂😂yeye KASHINDWA kabisaaaaa kuitete kila kitabu cha BARZANJI Dahhhhh what loss,halafu anarukaruka eti kashinda,hoja hata moja haijajibiwa ,na yule jamma alova miwani anapokea simu za watu wakati mjadala unaendelea mwambie ashikilie hapo hapo😂😂😂😂😂halafu saidi anazugumza kalegeza mikono ,WEEEEEWE,😂😂😂😂😂Eti kashinda😂😂😂😂

  • @rahmasaid7084
    @rahmasaid7084 10 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani wakenya wabishi sana wanajifanya wana i'lmu kumbe c chochote nampongeza sana bachu Allah akulinde tokea mwanzo wakenya walikua wanakutafuta kwa baya lkn Allah atakulinda na cc tunaamini kua maulid ni bid' wala usitahayari tuko pamoja na nnnñ

  • @Rooney1184
    @Rooney1184 17 วันที่ผ่านมา

    Mtihani sana kama kauli ina mattzo ni kauli ambayo imeekwa katika udhaifu kwann mnaisoma

  • @user-gb6ny3ct7r
    @user-gb6ny3ct7r 10 หลายเดือนก่อน +2

    Allah amewajaalia macho lakini awaoni,awsikii,awatafakari enyi watu wa maulidi hatta kama mungekusanyika dunia mzima ili muweze kuitetea maulid amuezi kamwe kwasababu amuna burhaani yeyote ile ibada gani mtume aijuwi makhalifa awaijuwi maimamu wanne awaijuwi?

  • @nassoro5341
    @nassoro5341 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanza swali limejibiwa sema watu wa bidaa hawataki jibu kwasababu hawataki kushindwa

  • @bellalygeomecky1145
    @bellalygeomecky1145 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hpa ni usaniii tu huyu shekh said......kawa km wale mapadri ba mazing3

  • @giltaemi4017
    @giltaemi4017 10 หลายเดือนก่อน +2

    HIZI CHANNEL ZA WAANDIKAJI WA TITLE ZA KUHAMASHISHA KUTAKA WATU WAANGALIE VIDEO ZAO HAWANA ELIMU YEYOTE MATOKEO YAKE WANABADILI MANENO WANAFIKI HAWA.

  • @masjidhamzainstitute8890
    @masjidhamzainstitute8890 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha kugeuza na mcheni Allah mulitaka amxungumze mtu asiye kwepo!?

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tukiachia hili kuna mambo mengi pia ya kujadili kuhusu viiip tutawaleta watu kwenye ya Dini ya ALLAH SUBHANA WATAALA??

  • @MuhammadMuhammad-gr2qv
    @MuhammadMuhammad-gr2qv 10 หลายเดือนก่อน +1

    USTADH SAIDI SIBANDUKI AMETUONYESHA SARAKASI TUPU LEO HANA HUJA WALA DALILI HATA MOJA KUTETEA MAULID... AMEAZIRIKA SANA KAMA ALIVYO AZIRIKA MAJAZ AL KUBRA ... HUYO YAKE ILIKUWA KIBOKO KIMOJA TU AKAAMUA ASIBANDUKE ASKILIZIE TU UCHUNGU WA KILE KIBOKO KIMOJA.. MAJAI AL KUBRA ALIJITAHIDI AKAVUMILIA VIBOKO 19

  • @jumahassan9168
    @jumahassan9168 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh said aliukwepa mjadala,,,mjadala ni kuhusu kitabu Cha sheikh barzanji hayo mengine sheikh said Kama wazushi wengine amezua kuukwepa mjadala.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 หลายเดือนก่อน

      Masikio yako yalikuwa yanasikia wapi kaka?! Bacho ndiye aliyeulizwa mwanzo badala ya kujibu akakwepa akauliza swali, hivi utaratibu wa mjadala unapoulizwa swali nawe urudishe swali?! au swali urudishe jibu?!

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa jaman mbona hatulati taaluma nzuri za kiielmu hapa, tunataka faida za kielmu kwan mnaangalia mtu au jambo lake alozungumza mbona hatujaelewana😊. Halafu naona mnavutia tu upande flani lakin hamna ithbati. Naona bora mngeeka mada makhsus ili tuwaelewe. Salaam

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu alikua sahihi sana

  • @nassoro5341
    @nassoro5341 10 หลายเดือนก่อน +4

    Shida sio bachu kua na elim shida ni kwamba masheikh wenu wa bidaa barazanj bidaa tupu

    • @Ramadhaniabdallahmohammedi
      @Ramadhaniabdallahmohammedi 10 หลายเดือนก่อน

      wewe unaijua bidaaa

    • @areyoureal2723
      @areyoureal2723 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Ramadhaniabdallahmohammedi bid'aa si ni haya ya maulidi 😂😂

  • @salimabdalla6290
    @salimabdalla6290 10 หลายเดือนก่อน +1

    Na ni kweli hawakuendelea

  • @fakikombo7114
    @fakikombo7114 10 หลายเดือนก่อน +3

    Maulidi yasomwe kwa wingi kumbe huyu bachu hajaona andiko lolote wala hajawahi kuskia andiko popote linalomfanya yeye aseme maulidi hayafai na niuongo, kumbe alikaatu kwaakili yake mwenyewe akaona awatukane mashekhe na awatukane waislam woote wayasomao maulidi sasa nikwambiet kua masuala ya dini hukumu kupitia kur'an hadithi na hata rai za wanazuoni usitowet yakot kichwani......

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 10 หลายเดือนก่อน +1

      Maulidi yanasomwa na watu wajinga tuuuu sio watu walio na elimu na ujinga sio tusi maana hua hamkawii kupayuka ushahidi Quraani Suratul huud aya ya 45 hadi 47.
      Mjadala mpaka umeisha watu wa maulidi wameshindwa kutetea kua wanyama walizungumza na wengine wakapeana bishara kua mimba imetungwa huo ni uongo.
      Lakini imeshindikana kutetea kua ni ukweli.
      Mashia wameanzisha maulidi na nyinyi mnasema dini.
      Au ndo walewale mashia ndo mnao comment huku.

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 10 หลายเดือนก่อน +1

      Maulidi imeanzishwa na Mashia.
      Haiwezi kua dini.

  • @nassoro5341
    @nassoro5341 10 หลายเดือนก่อน +4

    Wallah bachu ana elim kwanza hoja zake hata mtu asipokua na elim Hawa watu wa bidaa hawana elim ndo maana hawajamuelewa

  • @user-du8vn3wp9g
    @user-du8vn3wp9g 10 หลายเดือนก่อน +2

    Bachu akasome

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 10 หลายเดือนก่อน +2

    Thibitisha kuwa wanyama walizungumza?

  • @khamisikhalfan4720
    @khamisikhalfan4720 10 หลายเดือนก่อน +3

    😢 kama maulidi ni jambo la dini maswahaba wangelifanya

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 10 หลายเดือนก่อน

      Na kama kigawanyo cha Tauhid mwanzo wangegawanya Maswahaba na Mashindano ya Quran pia wangelifanya Maswahaba

    • @hashimkhalifa8734
      @hashimkhalifa8734 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@abubakaromar6101Ahsante😅

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 5 หลายเดือนก่อน

      Hata usalafi wangelijiita MASWAHABA kwanza

  • @AshaMbwana-hv8po
    @AshaMbwana-hv8po 10 หลายเดือนก่อน +2

    Assalaam Alaykum Warahmatullaah... Sheikh Bachu anasema kulingana na yeye yaani anamaanisha yeye na nafsi yake ndo anapinga.

    • @IslamTv254
      @IslamTv254 10 หลายเดือนก่อน

      Kitbu hicho kip sawa ila mahala pale pakusema minyama .bahar walijua. Hapo sio ukweli ni makosa hapo pekee ila kwa maulidi iko sawa iwapo mtume hakufanya .. sote tuko kufanya ibada hapa sioni mwenye kushinda ila Allah ndiye mushindi.
      Nasema hyvi sheikh bachu anaeza kusema hyvo kumbe ni makosa . Alaf sheikh omar pia anaeza kua ni wa makosa sote tufanye kile tunacho ona kina thawab .na wanaona. Ile ni mbaya muache. Sote tupatane pale kwa Allah ila maulidi iko sawa kwangu nafanya na sipigi kelele na mtu Allah knows best of it...

    • @salimkhatri8064
      @salimkhatri8064 10 หลายเดือนก่อน +1

      Said kataka aonyeshwe hukumu ya wanazuoni kuwa anayenukuu hadeeth munkari ni muongo. Bachu kajibu kwa kutoa nukta ifuatayo:
      Wanazuoni wanahukumu MTU iwapo huyo mtu ni mpokeaji wa hadeeth. Hivyo mtu anaposimulia ama kunukuu hadeeth munkari (ambayo Said amekubali kuwa ni kweli hadeeth Munkar), wanazuoni wanatoa hukumu kwa kile kilichosimuliwa ama kunukuliwa. Hiyo ni COMMON-SENSE kwani wanasema akili ndogo hujadili mtu/watu, akili kubwa hujadili wazi/hoja. Sasa unajiuliza kipi kigumu kuelewa hapa? Ama ndiyo kweli huko Mombasa common-sense is not common anymore?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      @@salimkhatri8064 BACHU KASEMA KUWA " HADITHI MUNKAR MAANA YAKE NI UONGO". ALIPOAMBIWA ATHIBITISHE MADAI YAKE KWA WATAALAMU WA HADITHI, NDIO BACHU AKAJIKOJOLEA NA KUJIULIZA SUALA JENGINE NA AKAJIJIBU ILA HAKUJIBU SUALI ALILO ULIZWA. NAJUA UNA MAPENZI NA BACHU NA UWAHABIYA, LAKINI HAMKUMJIBU SHEKH SAID SUALI ALILO ULIZA.

  • @Munshid_Rajab
    @Munshid_Rajab 10 หลายเดือนก่อน

    unatetea maneno..asa si utetee jaman..mnachosha kweli🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

  • @jumaame5606
    @jumaame5606 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hamu yetu tulikuwa tunataka kujuwa yaliomo ndani ya barazanji . sio mtu hamjatutendea haki .

    • @waziiralmaal7263
      @waziiralmaal7263 10 หลายเดือนก่อน +2

      Mtume wetu s.a.w amesema hii umma Yake itagawanyika katika vikundi 73, na zote zitaingia motoni isipokua kundi 1 Tu ndio itaingia peponi, maswahaba wakamuuliza ni lipi Hilo kundi 1 la kuingia peponi Mtume s.a.w akawajibu ni wale ambao wako juu ya Yale ambayo Leo hii Mimi Niko juu Yake pamoja na maswahaba zangu. Maulidi mtume hajafanya maswahaba hawajafanya sasa wewe msoma maulidi uko katika kundi lipi Kati hizo 73. Jambo la msingi hapa ni kutambua Hilo kundi 1 la peponi ambao wako juu ya Sunna za mtume wetu s.a.w alafu ujiangalie wewe kama unalingana na hili kundi la peponi. Assalamu Aleikum.

  • @alisharifsalim
    @alisharifsalim 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna ayah katika surah nnamli,mwenyizi m'ngu anasema (litakapotimia neno juu Yao tutawatolea mnyama wa ardhini kusemesha watu) sasa atazungumza na watu lugha gani?

    • @khamisali5978
      @khamisali5978 10 หลายเดือนก่อน

      Nadhani ht huyo anaetetea maulid hujamfahamu.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      @@khamisali5978 na anaopinga mauli hatujui nini tatizo lake?

  • @user-gn2xp9yp7t
    @user-gn2xp9yp7t 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa kutamka kwa wanyama si ajabu kwani hmjui kua chungu alitamka wakati wa nabii Sulaiman

    • @khamisali5978
      @khamisali5978 10 หลายเดือนก่อน

      Ungefatilia ukajua kinachozngmzwa ndo ukatoa mawazo lkn umechanganya vitu viwili tofauti hapo,ungefatila tena ukafahamu ,dalili ulotaja na dalili alotaja huyo Sheikh ndo utaelewa.

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 10 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh mbona Bado husemi unachoulizwa na Bachu?

    • @MohammedAli-fp9vn
      @MohammedAli-fp9vn 10 หลายเดือนก่อน

      Jawabu ilikuwa bachu ajibu cz aliitowa hadithi ni yy

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 10 หลายเดือนก่อน

    First 11

  • @mody-guyngido2792
    @mody-guyngido2792 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wacheni unafik sikilizeni hoja na mucomment ukweli kama kweli mumeelewa hoja sio kuzidi kupotosha umma,Sheikh Said ni kama mwanafunzi Kwa Bacchu aseme Tu Alikua anahamu yakukutana nae lakini kihoja bado mchanga Sana.

    • @rashidswalehmwanjama3404
      @rashidswalehmwanjama3404 10 หลายเดือนก่อน

      Angekojoa basi😂😂😂😂😂 amekojoa waahabi wenuuuu😂😂😂

    • @mody-guyngido2792
      @mody-guyngido2792 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@rashidswalehmwanjama3404 hii ndio elimu muliyonayo watu wakufata mpunga,midomo michafu.

    • @HawaOmary-fb6wo
      @HawaOmary-fb6wo 10 หลายเดือนก่อน

      WENYE ELIMU PEKE YAO NDIO WAMEELEWA KWANINI LIMEULIZWA SWALI ILO,BACHU AKABAKI KAMA NDEGE ALIEFUNGWA MABAWA ASHINDWE KURUKA.KRIPU ZAKO TUNAZO ULIZOMWAMBIA MARHUM SAID NABARZANJ,MSHIRIKINA NA MUONGO,,,JIBU SWALI AMA SEMA SIJUI,NALO NI JIBU PIA.

    • @HawaOmary-fb6wo
      @HawaOmary-fb6wo 10 หลายเดือนก่อน

      Tunasubiri majibu NI MWANACHUONI GANI?

    • @HawaOmary-fb6wo
      @HawaOmary-fb6wo 10 หลายเดือนก่อน

      SWALI HALINA MAJIBU,,,KUMBE MIWAHABI INASOMA VITABU KAMA MAGAZETI

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 10 หลายเดือนก่อน

    Waumini barzanji si Quran kuwa na makosa inawezekana ila yanaweza kurekebishika maulidi ya kasomwa kama kawaida

  • @isaack100
    @isaack100 หลายเดือนก่อน

    Nmefurahika snaa bhachu kusema hawajadili msimulizi,na clips zake zote alikuwa akisema barzanji no mwingo

  • @saidomarkiroboto8229
    @saidomarkiroboto8229 10 หลายเดือนก่อน

    Angesema hajui tu angeoa....jibu lingekuja ama laa lakini bachu hakutaka kukubali hilo....angesema.....SIJUI KISHA ANGEONA JIBU...bachu amefili mana mambo yako wazi tu wallah

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hamkosagi maneno tuuu.
      Hapa mnatafuta jinsi ya kujitetea ili kuendeleza uovu wenu wa maulidi ulio Anzishwa na Mashia waovu.
      Endeleeni na Kufru na ushirikina wenu msipotubia kinawasubiri kibano siku ya mwisho wasio kua na haya kumshirikisha Allah na kuwaunga mkono MASHIA kwaajili ya wali tuuu maskini.
      Yaaani wali tuuu.
      Njaaa hizi mmmmmmm.

  • @MohammedAli-fp9vn
    @MohammedAli-fp9vn 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu alikuwa ajuwa jibu alitakali said litamtia matatani so ndio akakimbia kujibu

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 10 หลายเดือนก่อน

    Uongo kwa Mtume, Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani
    الكذب على النبي صلى الله عليه وسلم ، منكر عظيم ، وإثم كبير ، وذلك لقوله صلى الله عليه وسلم : " إن كذبا علي ليس ككذب على أحد من كذب علي متعمدا فليتبوأ مقعده من النار" رواه البخاري (1229) ، ورواه مسلم في مقدمة صحيحه (3) دون قوله : " إن كذبا علي ليس ككذب على أحد " .
    وقوله صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ : " لا تكذبوا علي فإنه من كذب علي فليلج النار " رواه البخاري (106).
    وقوله صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ : " من حدث عني بحديث يُرى أنه كذب فهو أحد الكاذبِِينَ" رواه مسلم (1).
    وقد ذهب جماعة من أهل العلم إلى كفر من تعمد الكذب عليه صلى الله عليه وسلم

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      SIO SUALA ULILOULIZWA WEWE MUWAHABI. HUO NI UJANJA WENU WA KUWAPOTEZA WATU. HUJAAMBIWA UTAJE UONGO WA WATU WANAOMZULIA MTUME SAW. SUALI MLILOULIZWA MAWAHABI. JEE ITTIFAQI GANI YA MUSTALAHU LHADITHI IMESEMA MTU AKITUMIA HADITHI MUNKAR HUWA NI MUONGO AU KITABU HUA UONGO?. JIBUNI KWAZA SUALI. Kisha mtaleta hadithi nyengine tuchambue nayo.

  • @jumaame5606
    @jumaame5606 10 หลายเดือนก่อน

    Tunawapenda kwa sababu. Nyote ni Wailamu .

    • @AsmanMwanza-kr5fw
      @AsmanMwanza-kr5fw 10 หลายเดือนก่อน

      Watoaji maoni wee ndio umetoa comment safi na ni kweli hawa wote ni walimu sasa tusiwakashifu wanatufundisha

  • @BakariSechala
    @BakariSechala 10 หลายเดือนก่อน

    Mwenye akiri kubwa anaelewa anachokisema Bachu ila mbulula wanachanganywa na ujanjaujanja wa walamauridi

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mtoto wa bachu jibu swali

    • @yassinm69
      @yassinm69 10 หลายเดือนก่อน +1

      Swali gani

  • @user-sl7bt2rw1y
    @user-sl7bt2rw1y 10 หลายเดือนก่อน +3

    Tumefahamu vya kutosha kuwa maulidi yafaa inshallah tusomeni Kwa wingi

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 10 หลายเดือนก่อน +1

    Leo mpatikana

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 10 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikh bachu upo sahihi sana Allah akuhifadhi

  • @swabrianwar1020
    @swabrianwar1020 10 หลายเดือนก่อน

    semaa SIJUI!!!

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kinachokufanyika wanaopost midaalo hii wote wapo upande wa kuiunga mkono Barazenji na ndo maana wanaopost video kwa kukerza mjishike wanyama waliongea vipi? Ni uzushi tu katika dini

  • @salimkhatri8064
    @salimkhatri8064 10 หลายเดือนก่อน +2

    Acheni UONGO. Mwanzo wa mdahalo Bachu aliweka sawa maudhui na kusema kuwa wako pale siyo kujadili mtu bali kujadili jambo. Shekhe wenu alikuwa anatumiwa vikaratasi na wasikilizaji (kinyume na kanuni za nidhamu ya wasikilizaji). Kwenye video inaonekana kabisa anayetakiwa kuwa mhakiki akiongea na wasikilizaji wengine halafu wanamuambia Said kwa ishara ang'ang'anie asikubali kujibu maswali ya Bachu.
    Bachu kaeleza waziwazi kuwa Jaffar Barzanji siyo mpokeaji wa hadeeth bali ni msimuliaji wa hadeeth. Nakuna hukumu ya wanazuoni kwa mtu ambaye siyo mpokeaji wa hadeeth bali hukumu inatolewa kwa maneno yaliyonukuliwa ama jambo lililosimuliwa. Baada ya shekhe wenu kuendelea kusisitiza kuwa hatoendelea mbele mpaka aonyeshwe hukumu ya wanazuoni kwa msimuliaji, Bachu akasema basi "tufunge kikao tukapate lunch".
    Sasa kwa sababu hamna maarifa ya Logic and Critical Thinking na badala yake maarifa yenu ni kwenye utunzi wa mashairi mnaona UTOTO aliyoufanya shekhe wenu ni umahiri.
    Shekhe wenu alitandaza vitabu si chini ya ishirini na bookmarks si chini ya 3 kwa kila kitabu LAKINI kashindwa kusoma lolote kutoka kwenye vitabu alivyoleta. Sasa unauliza vile vitabu vyote vilivyotandazwa mezani vilikuwa kuleta mbwembe tu?
    Mlikuwa na fursa nzuri ya kuthibitisha kuwa yanayodaiwa kuwa UONGO na Bachu ni UKWELI lakini mmeshindwa.
    Mnakumbushwa, makaburini mtaingia mmoja mmoja. Hakutakuwa na mashabiki wala ushabiki. Na kwa Allah pia utasimama peke yako. Sasa rejea Quran 6:70 halafu angalia adhabu anazowaahidi wale waliogeuza dini kuwa no mchezo na starehe ya kushabikia. Muogope Allah.
    "Waachilie mbali walio ifanya dini yao ni mchezo na pumbao, na uhai wa dunia ukawaghuri. Nawe kumbusha kwayo, isije nafsi ikaangamizwa kwa sababu ya iliyo yachuma, nayo haina mlinzi wala mwombezi ila Mwenyezi Mungu. Na ingatoa kila fidia haitokubaliwa. Hao ndio walio angamizwa kwa sababu ya yale waliyo yachuma. Wao watapata kinywaji cha maji ya moto kabisa, na adhabu chungu."
    Qur'an 6:70

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      ACHA KUPOROJA, MADA ILIKUWA SIO MWANZO WA MJADALA BACHU KASEMA NINI, MADA ILIKUWA UONGO NDANI YA BARZANJI. NA BACHU ALISEMA SHEKH JAAFAR NI MUONGO NDIO MAANA TUKAMUITA MAMBRUI KWA MADA HIO. SASA KAMA YEYE ANATAKA MADA NYENGINE KWANZA AIMALIZE HII MADA ALIOITIWA. ACHENI KUGEUZA MADA. NA KWANINI MNAOGOPA MADA.

  • @BrotherMasoud
    @BrotherMasoud 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bacho hapo kaongea point ambayo kama hujasoma huwezi kufahamu. Jamanai tukasome kwanza ndipo tutafahamu ukweli wa haya mambo waAllahu Yaalam.

  • @ramadhanisaidi5449
    @ramadhanisaidi5449 10 หลายเดือนก่อน

    Jibu suali Basi Mambo yaendelee

  • @SalumMohammed-kr2do
    @SalumMohammed-kr2do 10 หลายเดือนก่อน

    Bachuuuu akasome aaaache porojoooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 10 หลายเดือนก่อน +1

      Akasome nini sasa.
      Mpaka mjadala unaisha mteteaji katetea chochote hata kimoja zaidi ya kukubali kua hadithi ni haifai kutumika katika kumsifia mtume kwasababu hadithi ni chafu chafu kabisa.
      Katetea nini sasa Huyo mtu wa Maulidi zaidi ya kushindwa kuleta hoja hata moja.
      Ndo walewale kina Sabbas.

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 4 หลายเดือนก่อน

    Kwanza hapo mfunzeni kuongea kimombasa asitumie nguvu 😂😂😂😂 kibri acha bin bachu😂😂😂😂

  • @zeitunMohammed
    @zeitunMohammed 10 หลายเดือนก่อน +28

    Wah,nlikuwa wahabi lakini kwakuwa bhachu nlimpenda kumbe kashindwa na huyu kijana mdogo.wallah ctakosa kusoma maulidi tokea leo.

    • @yshabakar-ci3kl
      @yshabakar-ci3kl 10 หลายเดือนก่อน +1

      Alhamdulillaah na mungu akujaalie usiache kusoma maulid mpaka kiyama

    • @OmaryKhalfani-ko8qx
      @OmaryKhalfani-ko8qx 10 หลายเดือนก่อน +1

      Tkbiiiiirrrr asnte sana 😄😄😄😄😄

    • @yassinm69
      @yassinm69 10 หลายเดือนก่อน +5

      Basi we ulikua mnafki

    • @alwysaggaf
      @alwysaggaf 10 หลายเดือนก่อน +2

      @@yassinm69😂
      Nyinyi mwajua kukufurisha tuu bila ya dalili. Kusoma muhim sana.😊

    • @areyoureal2723
      @areyoureal2723 10 หลายเดือนก่อน

      Dah lau kama ungelikuwa kafiri wewe ungelipoteza watu zaidi 😂

  • @naahla19
    @naahla19 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hamjatosheka tu kusema uongo juu ya Maulidi sasa mwasema uongo kumhusu M.Bachu. Acheni urongo sio desturi katika uisilamu! Lol! Nyinyi ni wafalme wa urongo

  • @gongayaigongayai6346
    @gongayaigongayai6346 10 หลายเดือนก่อน

    TATIZO NI AKILI NDOGO HADITHI MUNKARI MANENO YA UONGO MMESHINDWA KUYATETEA AAARUN ALAYKUM

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 10 หลายเดือนก่อน +2

    Bachu kakojolea kiti au jashooo

    • @taiba1784
      @taiba1784 10 หลายเดือนก่อน

      Hahah

    • @princefeisla3692
      @princefeisla3692 10 หลายเดือนก่อน +1

      Yale maji mingi alikua akinywa 😂😂😂

  • @issaisandeko6217
    @issaisandeko6217 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ukisoma kichwa Cha habari tu inatosha kuelewa hii Channel inaupande inaosimamia, Uislam ni dini Moja ni vema mijadala ikawa wazi ili tujifunze, hii kazi ya ku-edit na kushabikia upande flani haina afya ya kuufanya umma kujifunza

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hata wao Katika channel zao Hali ni hiyo.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      Sio tatizo Hilo.

  • @saidahmada9118
    @saidahmada9118 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu kweli muimba tarabu atauzungumzaji wakewaonesha mtu was mipasho

  • @RahimaIbrahim-hk9xh
    @RahimaIbrahim-hk9xh 10 หลายเดือนก่อน

    Asalamalaykum wanyama wa kuthibitisha chui lkni mnyama kama nyoka ambae alimsubiri Mtume wetu kipenzi chetu wakati waliingia katika lile pango na khalifa Abubakar na yy alikuwa anaziba zile tundu ile pasitokee. mnyamaa wa kuuwauma na huyo chatu alimuuma saýidna Abubakar r.a sasa bachu atakakubali hii riwaya

  • @faridsaid60
    @faridsaid60 10 หลายเดือนก่อน +3

    Asalam alekum warahmatullah wabarakatu wale watu wa zamani waliangamizwa kwa kufata mababu kwa mababu megine jiangalie na nabii suleiman ndio alikua akisikia lugha ya wanyama huo wakati mtume alipo zaliwa nani mwengine alikua akisikia luga ya wanyama shekh said ameshindwa kutetea maulid

    • @mbwanasembizi511
      @mbwanasembizi511 10 หลายเดือนก่อน

      basi usimfate Imam yyte shekhe na hao maswahaba pia usiwafate kwasbb na wao huingia hko hko kwenye mababu kama watu wazamani dini inataka ushahidi kutoka kwa Quran, hadith , sunnah na kauli za wanachuoni juu ya jambo hisik na ndicho alichulizw shekh wko

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      Kwaio tusifate MABABU zetu waislamu na maswahaba na tuvumbue dini mpya?

  • @user-zj3ov6ht8n
    @user-zj3ov6ht8n 10 หลายเดือนก่อน +3

    Maulidi halali tusomeni kwa wingi maighwa

    • @osmanabdifattah4947
      @osmanabdifattah4947 9 หลายเดือนก่อน

      Mimi niko na Bachu

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@osmanabdifattah4947pole Mpe moyo kipigo si Cha nchi hii kachezea

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 10 หลายเดือนก่อน

    Eti Mimi Nimesoma. Eti Mimi Nimesoma Sijaona. Wewe Ninani. Wewe Umesema.

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kama wewe umeona sema hapa kwenye comment tuone ukweli wako upi.
      Ama na wewe ndo wale wale watu wa maulidi zilizo anzishwa na MASHIA.
      SHIA WAANZISHE KITU IWE DINI.
      SUBUTU.
      Labda kam si dini ya ALLAH.

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 10 หลายเดือนก่อน

      @@giltaemi4017 Kwani Nimjomba Wangu Au Mjomba. Ukae Kwa Kwakutulia.

  • @omarali1053
    @omarali1053 10 หลายเดือนก่อน +1

    Maulidi yafaa bwana Toka zamani tukiyasoma mababu na mababu,

    • @salehmohd5231
      @salehmohd5231 10 หลายเดือนก่อน +2

      Dini sio mila ila uislamu ni sharia

    • @user-ci5wm8fb1x
      @user-ci5wm8fb1x 10 หลายเดือนก่อน

      Hilo ndilo tatizo lenu wat wa bidaa acheni ujinga faten ya dini

    • @omarmohammed5157
      @omarmohammed5157 10 หลายเดือนก่อน

      Kwan kila walichokifanya mababu wetu wapo sahihi??

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      @@omarmohammed5157 wapo sahihi ndio wakiwa waislamu, la kama walikuwa makafiri basi hawawi sahihi. Sasa jiulize babu zako kundi gani?

  • @user-rf4cz5dy4v
    @user-rf4cz5dy4v 9 หลายเดือนก่อน

    Huk ni kuporomok kwa dini masheikh kwa masheikh wanazozan na wana elimu zao sas sis tulokuw hatun elimu itakuwaj...?
    Kwa sas ikhtilafu haziondok mpk mwish wa dunia kilobak kila mtu afany lile alolisom. Samhanin masheikh lakn kubishan bor iwe bas

  • @LupambaSaidLupamba
    @LupambaSaidLupamba 20 วันที่ผ่านมา

    Bachu wasikubabaishe hao hawana jipya

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bachuuu kumbe humo

  • @jumaame5606
    @jumaame5606 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanini hamtaki kujadili yalio andikwa mnataka kumjadili mtu ?

    • @user-oc8uo9rl3u
      @user-oc8uo9rl3u 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ukisema kilichoandikwa ni uongo si inamana na alieandika ni muongo??
      Au itakuwa kilichoandikwa ndo uongo ila muandishi mkweli??
      Lakini pia ukumbuke alishamuita Shekhe Barzanje kuwa muongo Sasa kwanini Leo hataki kukiri kuwa Shekhe Barzanje muongo??

    • @cjchannel2572
      @cjchannel2572 10 หลายเดือนก่อน

      @@user-oc8uo9rl3u mutu anazumgumza oungo kweli tutamuita muongo, lkni leo tumeshuhudia watu wa mowlidi hawana lolote

    • @alwysaggaf
      @alwysaggaf 10 หลายเดือนก่อน

      Mwanzo tunataka kurekebisha alivomkufurusha Sheykh Ja’afar Barzanji.
      Kama ataka kujadili kitabu basi atoe video kurekebisha vile alivomkufurisha mwanzo. Na atoe Quran’an an Hadithi za kurekebisha maneno yake nwanzo.

    • @yassirswaleh7127
      @yassirswaleh7127 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@cjchannel2572mambo ni matatu bachu ajibu swali au aseme sijui au maulidi yaendelee kusomwa

    • @rashidswalehmwanjama3404
      @rashidswalehmwanjama3404 10 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@cjchannel2572mwenye Yuko nacho ndio ametoroka hivyoo na alivyoo jikojolea km namuonaaaa vileeeee bachuu beach boy😂😂😂😂😂

  • @HarunaMohamed-ui7nq
    @HarunaMohamed-ui7nq 10 หลายเดือนก่อน

    Wenzenu wanachukua bandarini ninyi mnabishana kuhusu maulidi

  • @sheeqassim6274
    @sheeqassim6274 10 หลายเดือนก่อน +2

    bachu debe tupu

  • @abutafawa
    @abutafawa 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama wewe (said) umekubaliana na bachu kuwa hadith ni Munkar kwanini mwaisoma kila mwaka, na wewe Shaikh wa thwarika wajuwa kuwa hadith ni Munkar na umekuja kuiteteya Munkar? Na hiyo ni Moja tuu kwa zile hadith ziliomo ndani ya kitabu cha barzanji hadith Munkar.

    • @alijabu6226
      @alijabu6226 10 หลายเดือนก่อน

      Yeye kaulizw shekh bachu ni mwanachuon gan alisema ukitumia hadith munkar unakua muongooo c angejib tukaendeleaa

    • @abutafawa
      @abutafawa 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@alijabu6226
      Na ndiyo yeye bachu akamuliza ulama gani kasema kutimia hadith Munkar si urongo, mada ilikuwa si kuulizana ulama gani alisema kuwa kutumia hadith Munkar huwa ni urongo bali mada ilikuwa jee hadith zinazo patikana ndani ya barzanji kama ya wanyama walizungumza za thibithi? Jee niukweli wanyama walizungumza? Hiyo ndiyo jambo said alitete atupe dalili.

  • @SuleimanSalim-qu9hi
    @SuleimanSalim-qu9hi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu kasome tena

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanzo mwisho M.bacho ni msanii 🤣🤣🤣🤣

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nawauliza watu wa Bid-aa wapi mmetoa hadithi ya Rasoul (s.a.w) kuwa Wanyama walisema?

    • @wardalwena5846
      @wardalwena5846 10 หลายเดือนก่อน

      Toa hadith kwamba wanyama hawakusema

    • @madrassatulihyaa-ilislaami2911
      @madrassatulihyaa-ilislaami2911 10 หลายเดือนก่อน

      Ww kazi yko ni kutembelea kila channel kusema wapi wanyama walitamka n je ww toa wapi hawakutamka acha ujaahil

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 10 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikh said kiboko ya bachu

    • @feiz3180
      @feiz3180 10 หลายเดือนก่อน +1

      sio kweli. angalia body language yake.

  • @ShafiiMkawa-yl9du
    @ShafiiMkawa-yl9du 8 หลายเดือนก่อน

    She bachu achana nao hao watakusumbua kichwa kwa sababu washaelewa

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli wameelewa swali Moja tu chaliiiiiiii said anaejua munaqash

  • @user-nh1xi9vy4s
    @user-nh1xi9vy4s 10 หลายเดือนก่อน +2

    Bado Muhammed Bachu NI mtoto sanaa kwenye Elimu. Hana Elimu ya kutoa FATUA.
    BADO AKASOME FAHABI HUYU.

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nawauliza watu wa Bid-aa wapi mmetoa hadithi ya Rasoul (s.a.w) kuwa Wanyama walisema?

    • @HawaOmary-fb6wo
      @HawaOmary-fb6wo 10 หลายเดือนก่อน

      LETENI NYINYI SASA HATA YA GAZETINI INAYOSEMA WANYAMA HAWAKUSEMA SIO KUPINGA KWA MIBICHWA YENU,,MAJAHILI MUBIN NYINYI.

    • @AllySekondo-zf2kr
      @AllySekondo-zf2kr 10 หลายเดือนก่อน

      Hadithi ya kutamka wanyama mbona imetolewa na imepokelewa n Alhaafidh Abuu Nuaimu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      @@AllySekondo-zf2kr MIE NAJIULIZA, HIVI HAWA MAWAHABI HUWA WATU WANAPOSKILIZA MIJADALA HUWA WAO WANAPAKULIWA HATA MPAKA HADITHI IKITAJWA HUWA HAWAISIKIII? 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️.

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 10 หลายเดือนก่อน +2

    Maulid kwenda mbele ee. Utasema mwisho utalala. Simbaaa shekh said 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @shokashara1511
    @shokashara1511 10 หลายเดือนก่อน

    Kma sio uongo ushahidi wa maneno hyo ni yapi Ili uwe ni ukweli

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน

      BACHU ANGEJIBU SUALI UNGEUJUA UKWELI, NA SISI TUMEJUA UKWELI PALE BACHU TU ALIPOSHINDWA KUTOA HUKMU YA HADITHI MUNKAR NA TUKAJUA BACHU KUMBE PURURU NYINGI HANA AJUALO ILA MAKELELE MENGI.