Ibraah Feat. Harmonize - Dharau (Official Lyrics Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ก.พ. 2024
- Dharau” Featuring “Harmonize” Is Ibraah’s Latest Single . “Dharau” Is An Emotionally And Melodically Captivating Bongo Flava & Zouk Banger , Guaranteeing Fans An Emotional Rollercoaster Like None They’ve Experienced From Either Of The Artists. Tune In And Enjoy
Download and Stream on all Digital Platforms Link
onerpm.link/Ibraah-Harmonize-...
Prod By Chibby
Mixing & Mastering By Mixing Killer
Subscribe for more official content from Ibraah:
/ ibraah
Follow Ibraah
Instagram: / ibraah_tz
Twitter: / ibraah_tz
Facebook: / ibraah255
Listen to Ibraah
/ ibraah
Audiomack: audiomack.com/ibraah-tz
Apple Music : / ibraah
Spotify : open.spotify.com/artist/0Dxcb...
Boomplay: www.boomplaymusic.com/share/a...
The official TH-cam channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: Ibraahmanagement3@gmail.com
Call: +255 718 712 420
#Ibraah #Dharau #Harmonize - เพลง
Ahsanteni Sana Mashabiki Zangu Mnaoendelea Kunisupport Kijana Wenu! Nawapenda Sana ❤❤❤
ibraah for life
Pamoja sana home boy
Ibra nipe namba yako
Nipe namba
Chinga❤
Kama huyu wimbo unaeza rudia marambili kama mimi nipee like❤
Siyo mara mbili hadi mara buku
Adii Mara kumii
Actually konde gang mnajua sanaaa . Me naonaga tuh shida ni management ikikaa sawa hakuna upinzani mziki wanaujua
Mpaka nimeboo watu
nakupa zaidi ya tano.....nipo Beijing ila nahis kama nipo mitaa ya home TZ👍👍👍👍👍👍
Nipeni like mbili tu ❤❤❤
Mbn zimezid like
❤❤❤
kama huna #DHARAU gonga like hapa kumsuport IBRAA
Harmonize mfunze vizuri Ibraah aje kuwa namba one Tanzania🇹🇿 kama wewe ❤❤❤
Wakwanza Mimi jamani naomba like 50k tu Zina nitosha ❤😅😅😅
Courage a toi my friend 🧡 ❤
Aliyeimba mwenyewe hajapewa hizo likes wataka upewe ww 😂 thubutu
😊😅😅
❤❤❤
Sawa wajina
Kama anajiona kichwa shingo nani❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️aki hii jeneredhion😢
Hili ngoma napiga kila siku haipiti sijapiga 🎉🎉umeuwa ibrah
Nataka like moja tu kwa ajili ya familia❤
Moto Sana bumu❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nice 👍
❤
umeonaee@@kenyatv2545
@ERICkKi❤plagat-bt8sh
🎉🎉🎉 watu mna roho mbaya 😮 hamnipei likes za chinga hata mbili, nipate kuhema?? 😢😢
P
hahahahahhahaa
Chukua🎉
😂😂😂 pokea na hii basi❤
Ikusaidie na nini sasa
Hiyi ngoma njo inatrend Burundi iko fiti kbsa.naomb like ka 2k
Harmonize is that type of an artist that ten years down the line you can till hear his music......they are never waves💯💯🇰🇪♥️♥️🔥🔥
Jaman roho mbaya mnashindwa kunipa like za chinga kweli 😢😢 ❤❤❤❤ dharau au sio
Like mwenyewe
Nimeukubali sana yaan! Bora ugalidagaa kwenye aman kulikon walinyama kwenye vita
Mungu anampa kila mtu ibraah tulikua nae sokoni karume ana uza makoti Leo star duu music ni wakila mtu ongera dogo pambana sana
Hii wimbo yanifanya nakumbuka mbali wakati dem wangu alikua akinihangaisha kwa mapenzi.
Nigerians 🇳🇬, south Africans 🇿🇦, tanzanians 🇹🇿, Rwandans 🇷🇼, Ugandans 🇿🇼, Kenyans 🇰🇪, Burundians 🇧🇮, Zambian 🇿🇲, Congolese 🇨🇩 Americans 🇺🇸,, my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
But that not Uganda flag it's Zimbabwe flag
Harmonize my bro did it...... ❤❤❤❤👊🏿👊🏿Kama upo na mimi nipee like 😙
Konde boy Ni mkali umeona video Ni Kali ,nipatieni likes Jamani
Me sijuhi ndo wa mwisho kucoment sijuhi watu watanipa ata like 5😢
Heri nyimbo tulivu kwenye ngeu kuliko kelele mingi kwenye gemu,huu wimbo hautokii masikioni nadharau wanaoudharau huu wimbo mnisaidie Likes Jameni watanzania hamjawai niipa haki yangu leo timizeni🎉🎉🥳🥳
Na sisi tunakupenda Sana pamoja. Na konde tutakuwa pamoja mpaka dakika ya mwisho
🎂💅💌🥰🧐🎊💖🦾🇹🇿🎁🎇💏💐🌹🟣❤️❤️
Nasikiliza wimbo malanyingi najua kuuwasha tu pakuzimia sipaonagi jaman mpk nifosi wimbo wangu wamwaka❤❤❤❤❤❤❤❤
Acha like hapa kama umependa verse ya chinga zaidi
Wakwanza kutoka congo 🇨🇩 munipe like basi leo tena musinipe 🙏 like bas
Mapenz ulienpa wee skutaman mwangne wakiapoo daaah hii ngoma inankumbusha meng sna
Kiboko chao, Jeshi nakuamini sana you're my role model ❣️❣️
Tanzania ni nyimbo tu ya harmonize ambayo naweza kuyisikiza mala 10 na siichoki.love frop🇧🇮
Where there is Ibraah and harmonize we must have a national Anthem song,,Kenya is happy 😊,East Africa is celebrating 🎉,We approve this hit from 🇰🇪🇰🇪Naomba likes jamani msikuwe wachoyo
Pamoja sana Ibrah kwa nyimbooo nzuriiiiii pamojq sana tupoo nyuma yakooo tunakusaport katika kaziii zako munguu akutangulie🎉
Tulio nnje ya Tanzania let’s gather here ❤
Hii nyimbo imepiga kabisa story yangu...#KondeMusicWorldwide
Naomba like jmn cjapata kitambooo
Mtu mbaya kabisa kwny indrastry ya hu mziki tembo harmonize ameupiga mwingi xana bila kumsahau chinga anae kuja kwa kasi xana chini ya conde world wide from Tanzania 🇹🇿 ♥
Unajua sana ibraah like zangu nawadai from tz☺️🇹🇿
Inamfaa zuchu kuisikiliza ktk kipindi hiki kigumu anachopitia yes like
Alfu wambea aty ibraah katoka konde gang mko wapi.konde gang for life .
😂😂😂😂 iko poa sana na mimi nipeni likes basi hata moja
Huu wimbo mwezi mzima utakuwa trending 1
Usjar dumu katika kumuomba Mungu atakuzidishia kibar zaid ya hapo❤
Hii ngoma imehit kiutofauti sana, Yes this is Chinga from south Tz, mtaalam wa kucheza na hisia za wapenda music. Huyu ni mmi kabisa 😭🔥🔥
Awww...nyimbo tamu kisho kaongezewa Gigy herself ❤
Oya wewwew tumemtungua @diamondPlatinum na #Mapozi yake sasa tuko #1 like nyingiiiiiii❤❤❤
Yaani likes zote kwa giggy - yaani that role umependeza kweli love ❤
Big hup from kenya mnipee likes zangu 💪
Na sisi tu akupenda sana na tulikuwa tuliku miss ki noma mungu akutangulie kwenye kazi yako amena itikia
Hit kali ndugu ibraah ,,bora ule ugali dagaa kwa amani kuliko wali nyama vitani
Hii ngoma inataka usikilizee ukiwa umetuliaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Aisee achana na likes angalia na sikiliza talent iliyotumika humu ndani hatariii ogopaa
🎉🎉🎉kama wewe ni shabiki wa harmonize na ibraah basi muwape like 🎉🎉🎉🎉 dharau Kali sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 chinga the King of Time
Ukiachana na Ngoma kua Kali kumpanga gigy kumenikosha yupo very realistic ❤❤❤❤❤
Wa kwanza jamani ibraa namkubali sana 🎉 naombeni likes zenu wadau na mungu atawabariki insha'Allah😢
Toka Mwaka 2024 Ume anza sija wona wimbo mzuri kama huyu ❤ Naomba like zangu Jameni 😂
Nice song 👍🏻👍🏻 JESHI & Chinga ❤❤🎉🎉 my favourite song 🎉🎉🎉 usisahau like zangu 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
Kama wimbo unakukumbusha Ex wako basi nipe like 😢😢
Unajua adi unajua tenaaa mwaaaah nawapenda sanaa ❤❤❤❤
Kenyans🇰🇪🇰🇪 likes ziko wapi
Nataka like 1 tu kwaajili ya ❤RIP❤ my brother
Na mm msanii wa kenya FantahB nadai likes 100k🤣🤣
Ibrah umeua sana huu wimbo mi naaamini utakuwa wimbo Bora wa mwaka Dunia nzima
Motoo 🔥🔥 sanaa. Chinga na Konde on lit. Likes and more Love ❤❤ from Kenya 🇰🇪
Kwann wakeny lazim.ujitaj kinya ndionini
KONDE KAPEWA VERSE 😄🔥🔥🙌🏽 BIG TUNE CHINGA
Gigi killed it ...Harmonize and Ibrah too...Bora ugali dagaaaaa...
Washa moto kaka nakukubali sana saluti kwake brza konde boy namkubali sana kuliko kitu chochote kile brooo bigapu kwenu kwani wamakonde munatupa eshima sana
Oya hawa jamaa kwa music hawafai wanafanya wonders 🔥
Konde anajua ata kenya tumemkubali❤❤❤❤
Hongera sana konde music world wide hii nyimbo ni kali sana hakika unyama ni mwingi kwenye hii ngoma
Bora ugali dagaa kwenye amani kuliko ugali nyama vitani,,, heavy on this🇰🇪🇹🇿
Waliorudia zaidi ya mara moja kama Mimi like zenu❤
KONDE GANG FOR EVERBODY❤
Kaka mnaweza weza sana 💪 japomimi sijatokakimaisha ila najua iposiku kiukweli ibra unapambanasana jikaze mzee hiyo nikazi kamakazizingine fanya muziki kamakazi usiugeuze muziki kua sitarehe 🙏💯💪💥
Umetisha sana ❤❤❤
Bora ugali dagaaa kwenye Amani kuliko wali nyama vitani,,,,, Ngoma imeenda shule
Hii ngoma kali sana sikutarajia
Wimbo umejaa kweli za duniani
iii nyimbo ni kali sana.nawaombea watu wa kipato na viongozi wawasapoti ili wasirudi nyuma.
I missed you ibrah ...then my boy harmonize never disappoint 💪💪💪💪💪
Harmonize is Diamond updated version😊😊😊
Ibra is the king of young generation 👏👏🤠👏😊👌
Napenda huu wimbo na stream kutoka Nairobi Kenya 🇰🇪
0:21 straight up from ❤🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥 1:02 🎉🎉🎉🎉
Chinga namba wan🔥🔥🇱🇷
Nipen like zangu tuuuu
Konde gang will always be the best music gang in Tanzania... Can I get a like for Chingaa
Bonge la wimbo yaan mmejua kuutendea haki wimbo huu🌷🪷🌸 hongeren Sana n vile sina zawad ya kuwapa ila hakika wimbo n mkali.. harmonize hajawahi niangusha🎆
Ibraah naipenda sauti yako. Heri njema ya mafanikio broo.Much love outta Kenya 🇰🇪
Ina wk 2 trend mjini yutube, ingekuwa Diamond hapa media zte zngekuwa hazna habari nyingne za ya trend wmbo wa Diamond. Tumewaelewa machawa
The truth is I understand 5 % of the song but the sweetness in the song is top notch. Dharau
Uganda representing
Wangapi tunaikubl.Hiii nyimbo
Naomb like zenu
Why can't we give tembo likes wivu niya nin
When we talk of talents these two fall in the category,they are most talented artists,the combination of these two is always lit 🔥
Huku kenya tumewakubali kinoma ✌️❤️
Ibrah kanileta kuona huu wimbo kila mara
KING KONDE AND PRINCE CHINGAA.KAZI SAFI💰
Nikiamini mi mtu wa mtu 🔥💔
Sio kukusapot nyimbo kali hii
Kazi nzurii sanaaa
Ibraah this song deserves 100M views ...If you agree this leave a like....I felt this song and played it the whole day when I was arrested with my own girlfriend whom I expected to marry....DHARAU MANYANYAZO SIWEZI😢
1🇹🇿ON TRENDING VIDEO MUSIC🎉🎉
KAMA UMEFURAHI HII NYIMBO KUFIKISHA 1 MILLION LEO HII LIKE HAPA
Mpk leo nyimbo namba moja on trend duh hii n maajabu
nimeikubali star APA kila muda nairudirudia umepambana kijana 🙏
Kusemakweli iyingoma niyakipekee piya naikumbukwe iyinihakili yaharmoniz hata alivoanza magoma kamahaya yalikuwepo alivokuwa akimushawishi diamonde kutembeleya nyayo zake