Ni kweli 💯 Kama mapenzi yamewashinda 💔 Na kabla hamjafikiria kuachana,itabidi mzungumze Kadri ya uwezo wenu 🇰🇪🌍 Ili kujua tatizo liko wapi !?? Na kujua Jinsi mtakavyo lisuluhisha Hilo tatizo bila chuki ❤️🔥 Au mkishindwa kupata suluhisho Na muamue Ni Bora muachane !!! Basi itabidi muachane Na kila mmoja aishi Maisha yake kivyake bila YA ata kumtatiza mwenzake kivyovyote vile 🇰🇪🌍Move On 🦉✌️
Aaaaah Aaaah Aaaaah Aaaah [Verse 1] Kama Imeshindikana Kunirudia Isiwe Taabu Usiuforce Moyo Kupenda Usipostahili Ya Nini Kung’ang’ania Nishachoka Kuwekwa Sub Siwezi Ooh Na Mapenzi Nishaghaili Tena Niko Tayari Vipigwe Vinumbi Kengere Kwa Sherehe Kinaghaubagha Mbele Ya Umati Tuachane Na Kama Hautojali Tuite Waumini Mapadre Na Masheikh Yaishe Labda Sa Kwa Nini Tutesane Kweli We Ndo Nikupendae Ila Unanipa Ghadabu Jina Tusitoane Nyongo Na Kama Umenichoka Eh Niache Kistarabu Jina Usinipe Chongo Miee [Bridge] Mwili Umebaki Kongoro Nyama Sina Ni Mifupa Naiona Ndomboro Kabisa Siwezi Furukuta Penzi Kiporo Limeshachina Linanuka Huishi Kokoro Purukushani Kutwa Kucha Iyeeh [Chorus] Bora Tuachane Bora Tuachane Siwezi Bora Tuachane Yamenishinda Mapenzi Mi Naona Bora Tuachane eeh Tuachane Siwezi Bora Tuachane Yamenishinda Mapenzi [Verse 2] Ni Dhahiri Kisima Kimekauka Maji Ndo Maana Naona Kata Sina Maana Tena Nilifikiri Mi Gonjwa Langu Limepata Mponyaji Umeniongezea Homa Mwili Wote Wantetema Mi Naona Basi Labda Si Ridhiki Yangu Kama Hunitaki Acha Tu Niende Zangu Ya Nini Mishikaki Ntatafuta Boda Yangu Nijinafasi Niipande Peke Yangu [Bridge] Mwili Umebaki Kongoro Nyama Sina Ni Mifupa Naiona Ndomboro Kabisa Siwezi Furukuta Penzi Kiporo Limeshachina Linanuka Huishi Kokoro Purukushani Kutwa Kucha Iyeeh [Chorus] Bora Tuachane Bora Tuachane Siwezi Bora Tuachane Yamenishinda Mapenzi Mi Naona Bora Tuachane Eeh Tuachane Siwezi Bora Tuachane Yamenishinda Mapenzi
Duuuu! Ila Mungu kamwaga baraka za vipaji vya kuimba Tanzania,,,, ila tuache utani Lavalava una kipaji OG kifanyie kazi utafika mbali na Mungu akusaidie
TRANSLATION [Verse 1] Kama Imeshindikana Kunirudia Isiwe Taabu (If its difficult to come back to me lets not make it harder) Usiuforce Moyo Kupenda Usipostahili (Dont force your heart to love where it don't deserve) Ya Nini Kung’ang’ania Nishachoka Kuwekwa Sabu (no need of clinging am tired of being an option) Siwezi Ooh Na Mapenzi Nishaghairi (I cant ooh for love i changed my mind) Tena Niko Tayari (And again am ready) Vipigwe Vinubi Kengele Kwa Sherehe (Let drums beat and bells ring in celebrations) Kinaghaubagha Mbele Ya Umati Tuachane (Openly and in front of the crowd lets call it off) Na Kama Hautojali Tuite Waumini Mapadre Na Masheikh (And if you wont care lets sermon the faithfuls the pastors and sheikhs) Yaishe Labda Sa Kwa Nini Tutesane (Lets end it why now should we torture ourselves) Kweli We Ndo Nikupendae Ila Unanipa Ghadhabu (Its true its you that i love except that you hurt me) Tusitoane Nyongo (We shouldn't vomit the bitter bile) Na Kama Umenichoka Eh Niache Kistarabu (And if you're tired of me eh leave me in dignity) Usinipe Chongo Miee (Dont give me a blind eye) [Bridge] Mwili Umebaki Kongoro (My body remains just a figure) Nyama Sina Ni Mifupa (No flesh just bones) Naiona Ndomboro (I see my grave) Kabisa Siwezi Furukuta (Completely i cant help myself win this fight) Penzi Kiporo (Love has become an overnight meal) Limeshachina Linanuka (Its stale and it smells) Kuishi Kokoro (Living has become troubles) Purukushani Kutwa Kucha Iyeeh (Fights all night and all day yeah) [Chorus] Bora Tuachane Bora Tuachane Siwezi Bora Tuachane (Better if we go our separate ways i cant take it anymore) Yamenishinda Mapenzi (Am done with love) Mi Naona Bora Tuachane eeh Tuachane Siwezi (I see its better we go our separate ways i cant take it anymore) [Verse 2] Ni Dhahiri Kisima Kimekauka Maji (Its obvious the well has dried up) Ndo Maana Naona Hata Sina Maana Tena (Thats why i find myself of no use) Nilifikiri mi gonjwa Langu Limepata Mponyaji (I thought i got a doctor for my illness) Umeniongezea Homa Mwili Wote Wantetema (Instead you rose the fever my whole body is shaking) Mi Naona Basi Labda Si Riziki Yangu (I think its enough maybe its not my provision) Kama Hunitaki Acha Tu Niende Zangu (If you don't want me just let me go) Ya Nini Mishikaki (no need of mere excuses) Ntatafuta Boda Yangu Nijinafasi (i will find my own hustle to survive) Niipande Peke Yangu (And deal with my own problems)
Lakini, nita tafuta boda boda ... niipande mwenyewe... maana yake halisi ni nini? I've had heard this phrase in several bongo flava songs. Ni boda boda yaani piki piki za kubeba watu?
@@dhahabu9219 thank you too and you're welcomed. yeap uko sawa "ntatafuta boda yangu "( atatafuta kazi ya bodaboda or pikipiki ambayo ni sawa na kuhustle). kwa mfano hapa inamaanisha kupambana na umaskini wake au hali yake ya kuwa heart broken."niipande peke yangu" inamanisha hatohitaji usaidizi wa yoyote.that phrase ni sawa na msemo wa 254 kusema atapambana na hali yake peke yake. furthermore,many songs za bongo zina mafumbo(idioms) if you give direct translation it will bring confusion instead inafaa uchukue maana iliokusudiwa coz sometimes mafumbo have different meanings in different situations.
@@hassanomar4543 Asante tena. I think in the song Ninogesha by Nandy @ 0.43 "boda boda yangu kwanini nipandne mishikaki... siwezi".. means something else. Maana hapo sioni kama anazungumza kuhusu side-hustle. Ama nimekosea?
@@dhahabu9219 nimekuelewa,haha,sawa basi maana ya ndani ya "bodaboda" yake ni mshikaji ,na mishikaki ni nyama zilizopangwa kwenye kijiti kimoja yaani kushare mshikaji.thanks umenifunza pia ill have to edit it. YOU ARE RIGHT.
Je me souviens qu'il y a 5 ans passés, j'avais un problème en m'avait pris mon mari avec une cousine a maman, , j'ai souffert , je faisais que écouter cette chanson, depuis mon île de Mayotte
ni wanga pi mashabiki wa huu msani keep it up bro WCB SIMBA LAVALAVA DIAMOND PLATNUMZ HARMONIZE RAYVANN RICH MAVOKO NICE MUSIC'S OR SONGS KEEP IT UP BROTHER GOD BLES YOU GUYS NICE MUSICIAN LOVE YOU GUYS
I dont understand why people dislike this song...I think those people they dont have brain, eyes,ear's, ....its such romantic song such emotional.. Wow you're such talent love you............................
Don't understand any swahili word but I played this song from 8pm to 1am. Was obviously late for work, but first thing I did was plug in my earphones and play the song again. A Zimbabwean working thousands of miles away from Africa and addicted to Tanzanian music, but this song is just in a class of it's own! I HAVE to learn Swahili.
The 2k wenye hawajatambua this song... I think you are just jealous people who don't appreciate music and the meaning of songs or maybe you totally don't understand the language. I LOVE THIS SONG. LOTSA LOVE FROM +254
was in Malindi when he dropped this as his first visual, little did I know that this was how my journey into the art would begin , thanks for inspiring people like us...♥
Nyimbo yangu bora katika nyimbo bora kuwai kutokea masikioni mwangu hii ni moja wapo why,lavalava usiimbee tena aina ya hii nyimbo najua tunaisubiri kwa muda sasa aina hii ya music
Honestly am Kenyan but im jealous because The Tanzanian Industry is taking over East Africa and Africa at Large.......Nampa pongezi Diamond kwa motisha anayowapa wasanii wake na pia maagizo .....i really wish we had a Diamond in Kenya....bless up Wasafi....Lava Lava this is an awesome track...ive watched behind the scenes and u really put some hard work...good job
Nilifikiri donda limepata mponyaji........umeniongezea homa mwili wote watetema....penda sana ii song...naburudika nkiwa Bahrain....but am from Kenya...wapi wale wa (+254)
jumbo sonata kayango rahivani Asante sana parkour game Mari Connie Asante sana what musician casa Hindi cool to me cool to make a musician movie mongo our Juliet mahali popote neposika Santa cacao hulali mahali salama ❤️🍄🌹
I like his voice my Gosh, very sharp, heavy and deep I cried watching this song ....swahil sounds good nakuambia....I m a Rwandan and i understand swahil this song is full of emotions...............
Someone will be left with no other option, but to learn this musically sweet language. I can't get even one word from this song but my soul tells me this is good music.
Ni dhahiri, kisima kimekauka maji, Ndo maana naona, hata sina maana tena. Nilifikiri...mi gonjwa langu limepata mponyaji, Umeniongezea homa, mwili wote wantetema... Mi naona baaasi, labda siridhiki yangu, Kama hunitaaaki, acha tu niende zangu, Ya nini mishikaki...katafuta boda yangu, Nijinafaasi, niipande peke yangu... #tuachane
Ni dhahiri kisima kimekauka maji,ndio maana naona ata sina maana tena,nilifikiri hili gonjwa langu limepata mponyaji umeniongezea homa mwili wote watetema😢😢😢😢😢😢😢 2024 23 Dec
umeweza kuliko wote wasafiiiiiiii,,,,,,,,,,,we all appreciate your start,,,,,,,love from kenyan boy,,,,,,,,#SAND BOY KENYA,,,,KEEEP MORE FIRE BLAZING,,,,,,,
I don’t understand But I listen all your songs What an amazing singer Most important what a great voice I love all your songs All the way from Armenia 🇦🇲
Nani mwengine anafunga nayo mwaka 2024.....bora tuachane aaaah 2025 welcome 🔥🔥
This has been my favorite song since 2020❤May God keep Lavalava🙏🏽Wakenya tunakupenda sana😊🇰🇪
Mine too❤
Me too here again
@@sharonbaariu2056😍😍
@@aishayusuph5349😍😍
Listening nikiwa nimegongewa na bestie mapenzi Yana wenyewe🙌🙌
Wangapi wako single...❤❤❤❤ Like tukisonga 🇰🇪🇹🇿
😅
Mhh jamani kama mnapenda muziki wa Tanzania gonga like zifike hata 80 tu japokuwa tupo kwenye kipindi kigumu cha ugonjwa wa corona 2020 hatunajinsi.
هعععع
Ujadnganya ndgu mziki mtamu sana Tanzania tunajivunia kuwa na vijana wenye vipaji.
@@happyjohn5882 ⁹jb
@@samsko1709dx zxdxd zx. Xx z
Vipi
kidogo itabidi nimejifunza kutopenda nyimbo za waliovunjika moyo, laini hili kubwa sana
Wangap wamechoka na mapenzi. Tuko rikizo sasa😢💔💔💔
Penda mwenye anakupenda
Kweli kabisa, 😅
Ni kweli 💯 Kama mapenzi yamewashinda 💔 Na kabla hamjafikiria kuachana,itabidi mzungumze Kadri ya uwezo wenu 🇰🇪🌍 Ili kujua tatizo liko wapi !?? Na kujua Jinsi mtakavyo lisuluhisha Hilo tatizo bila chuki ❤️🔥 Au mkishindwa kupata suluhisho Na muamue Ni Bora muachane !!! Basi itabidi muachane Na kila mmoja aishi Maisha yake kivyake bila YA ata kumtatiza mwenzake kivyovyote vile 🇰🇪🌍Move On 🦉✌️
Wakenya tumekubali TZ rules. Maaaad hit. Quality 100%. Kila kitu kiko sawa. Lyrics, video vocals yoooote sawa
Hivi samahani Kenya kuna muziki mzuri wa mapenzi wenye sauti tamu kama huu ??
kama Kenya ni wee kamuu!! hapo unaona kama kuna mesaage?
Huu wimbo nimeanza kusikiriza tangu ulipotoka mpaka sasa sijasikiriza nyingine tofauti na huu. Daah!! unakipaji Sana kaka✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊
mistari kwenye hii nyimbo iko swafi 😻😻😻 kama hanitaki basi niache niende mwaaaaaah
Trizah Shiro inanitia unyonge nyimbo hii ndogo yuko vizur sana
Trizah Shiro safi sn
Nzuri
Safi sana
Ilke
As a black American, I really enjoy Bongo music. Diamond Platinumz is the real deal. Well done motherland !!!
Wenye bado wamerudi kuskiza hii nyimbo 2024 baada ya kutendwa piteni na like alafu tupatane nyuma ya tent😢😢😢
Listening to this while it happened two days ago
@@sandrawanga5390 woooi pole mamaa usijali yatapa
@@sandrawanga5390 woooi sorry 😔😐
💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔
@@A-dcha_14 💔💔
waaah hii song tamu sana ,,,,lavalava umeweza na utaenda mbali I say,,,keep it coming us Kenya twakupenda sanaaaa!!
Me moreee
unaimba kipekeee sikufananishi na msanii yeyote hapa.bigup sana.sichoki usikiliza
Rahma Mavura
Farida salumu
love it
Rahma Mavura umeona eeh jamaa kidesign fulan hv amaizing uimbaj wake
Wangapi wanaskiaza hii song 22 DEC 2024
Waooo WCB Mmwaah Penda sana nyie Sio watu wamchezo mchezo nani sababisha, like comment kuwapa sapoti
hao ni xhiiiiiiiiiidah
Mbilu Kadr sanaaa
saf ase
nampenda xana
Eliza Niko can you explain what this song is all about in English for me pls?
Wangapi wanampenda lavalava gonga like
mbele ya Umati tuachane hawakuwezi bro angusha Moja kitaarabu
Nn
bora tuachane yamenishinda mapenzi december 2024
Aaaaah Aaaah Aaaaah Aaaah
[Verse 1]
Kama Imeshindikana Kunirudia Isiwe Taabu Usiuforce Moyo Kupenda Usipostahili Ya Nini Kung’ang’ania Nishachoka Kuwekwa Sub Siwezi Ooh Na Mapenzi Nishaghaili Tena Niko Tayari Vipigwe Vinumbi Kengere Kwa Sherehe Kinaghaubagha Mbele Ya Umati Tuachane Na Kama Hautojali Tuite Waumini Mapadre Na Masheikh Yaishe Labda Sa Kwa Nini Tutesane Kweli We Ndo Nikupendae Ila Unanipa Ghadabu Jina Tusitoane Nyongo Na Kama Umenichoka Eh Niache Kistarabu Jina Usinipe Chongo Miee
[Bridge]
Mwili Umebaki Kongoro Nyama Sina Ni Mifupa Naiona Ndomboro Kabisa Siwezi Furukuta Penzi Kiporo Limeshachina Linanuka Huishi Kokoro Purukushani Kutwa Kucha Iyeeh
[Chorus]
Bora Tuachane Bora Tuachane Siwezi Bora Tuachane Yamenishinda Mapenzi Mi Naona Bora Tuachane eeh Tuachane Siwezi Bora Tuachane Yamenishinda Mapenzi
[Verse 2]
Ni Dhahiri Kisima Kimekauka Maji Ndo Maana Naona Kata Sina Maana Tena Nilifikiri Mi Gonjwa Langu Limepata Mponyaji Umeniongezea Homa Mwili Wote Wantetema Mi Naona Basi Labda Si Ridhiki Yangu Kama Hunitaki Acha Tu Niende Zangu Ya Nini Mishikaki Ntatafuta Boda Yangu Nijinafasi Niipande Peke Yangu
[Bridge]
Mwili Umebaki Kongoro Nyama Sina Ni Mifupa Naiona Ndomboro Kabisa Siwezi Furukuta Penzi Kiporo Limeshachina Linanuka Huishi Kokoro Purukushani Kutwa Kucha Iyeeh
[Chorus]
Bora Tuachane Bora Tuachane Siwezi Bora Tuachane Yamenishinda Mapenzi Mi Naona Bora Tuachane Eeh Tuachane Siwezi Bora Tuachane Yamenishinda Mapenzi
Vp
Hahhhhhh ama kweli love no vita
Cool
😭😭😭❤❤❤❤❤
Shairi nzuri sana
Duuuu! Ila Mungu kamwaga baraka za vipaji vya kuimba Tanzania,,,, ila tuache utani Lavalava una kipaji OG kifanyie kazi utafika mbali na Mungu akusaidie
Theresia Ndasuya bj
Nice lavalav
vah redxu my sag auyijech
Theresia Ndasuya siio rogoo ni kole
I love this song
Kweli wewe ndo nikupendaye .....
Mwili umebaki kongoro.......
Yanini mishikaki ntatafuta boda yangu......
👑 king lava lava wale munakubali lavabait ebu twende tukasike chuma kipia Ajibebe
TRANSLATION
[Verse 1]
Kama Imeshindikana Kunirudia Isiwe Taabu
(If its difficult to come back to me lets not make it harder)
Usiuforce Moyo Kupenda Usipostahili
(Dont force your heart to love where it don't deserve)
Ya Nini Kung’ang’ania Nishachoka Kuwekwa Sabu
(no need of clinging am tired of being an option)
Siwezi Ooh Na Mapenzi Nishaghairi
(I cant ooh for love i changed my mind)
Tena Niko Tayari
(And again am ready)
Vipigwe Vinubi Kengele Kwa Sherehe
(Let drums beat and bells ring in celebrations)
Kinaghaubagha Mbele Ya Umati Tuachane
(Openly and in front of the crowd lets call it off)
Na Kama Hautojali Tuite Waumini Mapadre Na Masheikh
(And if you wont care lets sermon the faithfuls the pastors and sheikhs)
Yaishe Labda Sa Kwa Nini Tutesane
(Lets end it why now should we torture ourselves)
Kweli We Ndo Nikupendae Ila Unanipa Ghadhabu
(Its true its you that i love except that you hurt me)
Tusitoane Nyongo
(We shouldn't vomit the bitter bile)
Na Kama Umenichoka Eh Niache Kistarabu
(And if you're tired of me eh leave me in dignity)
Usinipe Chongo Miee
(Dont give me a blind eye)
[Bridge]
Mwili Umebaki Kongoro
(My body remains just a figure)
Nyama Sina Ni Mifupa
(No flesh just bones)
Naiona Ndomboro
(I see my grave)
Kabisa Siwezi Furukuta
(Completely i cant help myself win this fight)
Penzi Kiporo
(Love has become an overnight meal)
Limeshachina Linanuka
(Its stale and it smells)
Kuishi Kokoro
(Living has become troubles)
Purukushani Kutwa Kucha Iyeeh
(Fights all night and all day yeah)
[Chorus]
Bora Tuachane Bora Tuachane Siwezi Bora Tuachane
(Better if we go our separate ways i cant take it anymore)
Yamenishinda Mapenzi
(Am done with love)
Mi Naona Bora Tuachane eeh Tuachane Siwezi
(I see its better we go our separate ways i cant take it anymore)
[Verse 2]
Ni Dhahiri Kisima Kimekauka Maji
(Its obvious the well has dried up)
Ndo Maana Naona Hata Sina Maana Tena
(Thats why i find myself of no use)
Nilifikiri mi gonjwa Langu Limepata Mponyaji
(I thought i got a doctor for my illness)
Umeniongezea Homa Mwili Wote Wantetema
(Instead you rose the fever my whole body is shaking)
Mi Naona Basi Labda Si Riziki Yangu
(I think its enough maybe its not my provision)
Kama Hunitaki Acha Tu Niende Zangu
(If you don't want me just let me go)
Ya Nini Mishikaki
(no need of mere excuses)
Ntatafuta Boda Yangu Nijinafasi
(i will find my own hustle to survive)
Niipande Peke Yangu
(And deal with my own problems)
What a beautiful translation. Imetusaidia sisi wa 254 maana hicho kiswahili! Thanks
Lakini, nita tafuta boda boda ... niipande mwenyewe... maana yake halisi ni nini? I've had heard this phrase in several bongo flava songs. Ni boda boda yaani piki piki za kubeba watu?
@@dhahabu9219 thank you too and you're welcomed.
yeap uko sawa "ntatafuta boda yangu "( atatafuta kazi ya bodaboda or pikipiki ambayo ni sawa na kuhustle). kwa mfano hapa inamaanisha kupambana na umaskini wake au hali yake ya kuwa heart broken."niipande peke yangu" inamanisha hatohitaji usaidizi wa yoyote.that phrase ni sawa na msemo wa 254 kusema atapambana na hali yake peke yake. furthermore,many songs za bongo zina mafumbo(idioms) if you give direct translation it will bring confusion instead inafaa uchukue maana iliokusudiwa coz sometimes mafumbo have different meanings in different situations.
@@hassanomar4543 Asante tena. I think in the song Ninogesha by Nandy @ 0.43 "boda boda yangu kwanini nipandne mishikaki... siwezi".. means something else. Maana hapo sioni kama anazungumza kuhusu side-hustle. Ama nimekosea?
@@dhahabu9219 nimekuelewa,haha,sawa basi maana ya ndani ya "bodaboda" yake ni mshikaji ,na mishikaki ni nyama zilizopangwa kwenye kijiti kimoja yaani kushare mshikaji.thanks umenifunza pia ill have to edit it. YOU ARE RIGHT.
Kama bado unasikiliza wimbo wa lavalava tuachane nipe like zakutosha
2020
Nimzr
Je me souviens qu'il y a 5 ans passés, j'avais un problème en m'avait pris mon mari avec une cousine a maman, , j'ai souffert , je faisais que écouter cette chanson, depuis mon île de Mayotte
jamaa we ni mkali sana umetisha sana #iamlavalava
2024 heartbreak ni real😂yamenishinda mapenzi
😢
Ii ndo wimbo napenda kati ya nyimbo zote za lavalava, the words though, just loving it
judy king'oto pole sana my dea utapata boda yako ya kupanda peke yako.
Saf tuu iyo mbaya
Kisha jaribu lake linaloitwa HABIBI.
@@powellbenard1491 haha
bolaa tuachane hahahahaaa song kali sanaaa wazeee
ni dhahili kisima kimekauka maji,,,,,noma saana toka NYUMBANI WCB.....shukran toka hapa hapa kenya
Ausiyo: unamukubali ravarava pw bac
Love. It
Wag wan
Kama bado 2020 unapenda hii ngoma na uko single,gonga like hapa😂😂
Team mate😑
Hehee
@@phoebemirikwa557 yi
@@chamalawanabaluani5387 yees
Bora tuachane siwezi kukulazimisha unipenda😭😭😭😭😭😭
2024 This is song is hard😭😭😭😭enzi zile akiimba nlikuwa mdogo😅
Would you mind translating it
😂😂😂😂😂 daaaah
Umetokea wapi hii afrika mwenzangu?
ni wanga pi mashabiki wa huu msani keep it up bro WCB SIMBA LAVALAVA DIAMOND PLATNUMZ HARMONIZE RAYVANN RICH MAVOKO NICE MUSIC'S OR SONGS KEEP IT UP BROTHER GOD BLES YOU GUYS NICE MUSICIAN LOVE YOU GUYS
Eri Mat good
Eri Mat 👆
I dont understand why people dislike this song...I think those people they dont have brain, eyes,ear's, ....its such romantic song such emotional.. Wow you're such talent love you............................
Sabrin Ibrahim
Top
Sabrin Ibrahim very true wajina
nice voice kaka uko poa
Sabrin Ibrahim nice
Sabrin Ibrahim has for me l think they don't know the meaning of this 👍and this 👎 teach them so that wajuwe mahana yake lol
Don't understand any swahili word but I played this song from 8pm to 1am. Was obviously late for work, but first thing I did was plug in my earphones and play the song again. A Zimbabwean working thousands of miles away from Africa and addicted to Tanzanian music, but this song is just in a class of it's own! I HAVE to learn Swahili.
you should.....the more you listen, the more unajifunza.
Wooow salute lavalava l love your song, hizo ndio Huwa naskiza na my hubby tukiwa free
Wangapi wako single ata sahizi tunaskiza gonga like ya 2024😢😢
Eu
Tuko apa
Sisi wote tuko single
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉😢😢😢😮😮😅😅😅😊😊❤❤smdoiy777328901
Why single come baby am single 😏
The 2k wenye hawajatambua this song... I think you are just jealous people who don't appreciate music and the meaning of songs or maybe you totally don't understand the language. I LOVE THIS SONG. LOTSA LOVE FROM +254
Exactly
Yeah
kilicho baki n collabo na CEO chibu hatare sana wasafi tukutane wasafidotcom
""Nitatafuta boda yangu""....i like dat reaction....awesome!
From Uganda and i don't know swahili but it's 2 years of playing this masterpiece and i got word for word at heart. 🔥
salute broo,,, hiyo voice nimeikubali sanaa
Tyga show-sea ni wimb
best ever listened. hongera
Ioved this song
safi sanaa
Tyga show-sea khf
great work lavalava we love you soo much here in Kenya.
ladha ya mta me 2 from kenya
how can i get connected with you plz
me
+Ahmed Alshammari 😂😂😂😂😂😂😂
+Ahmed Alshammari just waiting for him in kenya
Ambae bado anasikiliza Ngoma hii 2025 gonga like apa🎉
Usiuforce moyo kupenda usipostahili👌💕💕💕💕🙅🙅🙆
Kweli
Christine Kibui ndio Ukweli 🙏🙏🙏❤️❤️❤️💗💗💗
😍😍😍😍😍😍😍😉😉😉
@@najma.abdiwahab5845 kwer
Ma
💞💞
nimeipenda sana unanikumbusha Mbali mungu akusaidie hakupe umri mwingi bro kazi nzuri sana
namkubali sana bigapppppppp@@@@@@
#Lavalava aisee wee jamaa nyoko sana umeuwa mwanangu kichupa ataree
Hassanova junior umeonah eehh
Honestly tuliachana na baba mtoi so lavalava hakukosea akiimba huu wimbo tuachane
Heart break 💔 ndo inanifanya nkumbuke my x 🇰🇪 representing
I am from Zimbabwe but I have fallen in love with Tanzanian music, beautiful music guys keep up the good work 😍
Bora Tuachane😍
@@yourcountrysidebae3270 😂😂😂😂
May God bless them
I'm died napenda sana jamaaniii😄💗big up WCB
Kwa Nini unaipenda
pendeza sana jamani i 💘 love this song so much hooo my god nicely 😭😭😔😒😂😂😂✌📦
Linda Sophia *Dead, sorry
Kama imezidikana kunrudia iciwe taabu uciu force moyo kupenda ucipo staili ili this song 🔥 🔥🔥 very true 💪💪💪👊👊
Kama bado unapenda hii Ngoma na upo single 2022 gonga like
Nimzur una weza kurejea
Aaàa¡
Nko hapa 2023
@@sisilyamgen9351 you must move on with life
still single 2023..am in love with this song
was in Malindi when he dropped this as his first visual, little did I know that this was how my journey into the art would begin , thanks for inspiring people like us...♥
2023 still can't get enough of this song🥹🥹🥹💔🇸🇸🇸🇸🇸🇸
Pamoj San I'm from Tanzania, Dodoma
South Sudanese 🇸🇸
I still remember this song big up lava lava
Nyimbo yangu bora katika nyimbo bora kuwai kutokea masikioni mwangu hii ni moja wapo why,lavalava usiimbee tena aina ya hii nyimbo najua tunaisubiri kwa muda sasa aina hii ya music
Dah huyu msani mpya hatari sana. kuliko wasani wote including Diamond himself 💥🔥
Steve john can you pls explain this song to me in English?
tok solo the guy is complaining about the drama her girl does to him so he's saying its better we break up hes fed up
Steve john hajafika kiwango cha simba
Yes
Heeheeh, umekamuliwa kila mahali , nyama imeenda umebaki mifupa...
musa ayub from Qatar gonga like apa kama 254 imeweza big up lava lava
Musa Ayubu broo vipi Qatar huko naomba unicheki +255764679887
Ukiachwa tafta nyimbo z lava lava ulie vizur
😅😅😅
+254 represented! A big chune there kijana wa Bongo, watching from Nairobi!!!
Honestly am Kenyan but im jealous because The Tanzanian Industry is taking over East Africa and Africa at Large.......Nampa pongezi Diamond kwa motisha anayowapa wasanii wake na pia maagizo .....i really wish we had a Diamond in Kenya....bless up Wasafi....Lava Lava this is an awesome track...ive watched behind the scenes and u really put some hard work...good job
am a kenyan toooo inlove with TZ music industry
Nk
Ohohoh ohohoh ohoh ohohoh
lol
Rhymeking kenya its true
wayaaa.... ngoma Kali n video Kali, ila aw wcb noma Kama mnawaelew gnga like tukmbizan n mwendokas from wcb
nc songe ikosawa kuliko
Kijana kaanza vizuri
yuko vizur sana uyo jamaa
vhey
SAM RTZ 1
Nani Yuhapa 2024 ,Jameni Mapenzi Yaleta Malaria 😭😭😇😇🥰🔥🙌🏾🙌🏾❤️❤️🇰🇪
Nilifikiri donda limepata mponyaji........umeniongezea homa mwili wote watetema....penda sana ii song...naburudika nkiwa Bahrain....but am from Kenya...wapi wale wa (+254)
Nyimbo yangu pendwa All the time..... Good job broo
jumbo sonata kayango rahivani Asante sana parkour game Mari Connie Asante sana what musician casa Hindi cool to me cool to make a musician movie mongo our Juliet mahali popote neposika Santa cacao hulali mahali salama ❤️🍄🌹
My favorite
254 Tuonyeshye upendo kwa like! Bonge la hit!
Kweli kabisa bro mapezl inatesa
Daaaah unajua ndugu mpka raha ila swala muimu ndugu
Abduly Makamba safaana
saafi sana
bora tuachane ndio maana yake
😭
Lavalava noma sana inapendeza xana
Bora tuachane. Nakubali uimbaji wako lava lava. You are great and you I'll go far 👏👏👏.
I like his voice my Gosh, very sharp, heavy and deep I cried watching this song ....swahil sounds good nakuambia....I m a Rwandan and i understand swahil this song is full of emotions...............
kaka coco Hello , contact me at yugakiyumbi05@gmail.com
kaka coco the
Same we r together
Sawa uko fiti
kaka coco Mambo vipi huko Rwanda?
Daaah kweli nilisha pokonywa tonge mdomon
kaza buti lavalava.. I love you wasafi
this song kills me,no need to stay in relationship if you're hurting,bora muachane...lavalava is GREAT!!!!
This is real true ,no need of being in a relationship ,hata nmejifunza kuanza kuomba bongo walae will look for this man to join😔😔😔
Bado naskiza hii ngoma 2019 kma ukna na Mimi nipee like
Wahir
bolatuwachane2 kulikomanyanyaso namkubalisana mwanangu lavalava
Abdi Malik th-cam.com/video/E2iUxMvJbEc/w-d-xo.html
Abdi Malik makini
Respect Bwana Lava lava wa rundi tunagupenda sana
Badoo nasikilizia huu wimbo kenya wapi like
bora tuachane 😠😠
Nasikia sauti kama ya kasim mganga kwa mbaaalllllliii
great lavalava
Who's with me as we end 2020 just like please ,nyinyi ndio wanapendae 🕺🕺
nimekuja tena hapa😢😢😢 ndungu zangu
big thumbs from uganda
it so touching song It brings bak mi past in love when I was still down in tabata wth a swt muchaga gal
broda u cant love a chagga girl ..u live with them under contract
#sweetmtimamanenoz 😎
Zziwa Hamidu Kazai damn you sexy my african king
Bora tuachane bora tuachane siwezi minaona bora tuachane yamenishindaa mapenzi ni dhahiri kisima kimeisha maji
umeonae
Noor Abubakar mambo
Great job Mr lavalava.
Ni voh
Who else is deeply in love with this so like I do... Likes za this song
Ya nini mishikeke natafuta bda yangu nijinafac niipande peke angu
Wow! sina la kunena TZ yangu hiyooooo ! Kenya watani wetu mlie tuu!
Kweli wewe ndio nikupendae lakini unanipa ghadhabu!!! Bora tuachanee..... Yamenishinda mapenzi😢
Inanikumbusha mbali sana
Someone will be left with no other option, but to learn this musically sweet language. I can't get even one word from this song but my soul tells me this is good music.
Ni dhahiri, kisima kimekauka maji,
Ndo maana naona, hata sina maana tena.
Nilifikiri...mi gonjwa langu limepata mponyaji,
Umeniongezea homa, mwili wote wantetema...
Mi naona baaasi, labda siridhiki yangu,
Kama hunitaaaki, acha tu niende zangu,
Ya nini mishikaki...katafuta boda yangu,
Nijinafaasi, niipande peke yangu... #tuachane
Ero kamano inya. Hawa watu watatumaliza ni hizi nyimbo zao. Noma sana.
gacw19 this song is so hoooot. The guy is definitely on fire. Karibu sana
Hi
gacw19 2
oscar oduor ungetoa full lyrics brathe
Lavlava nakukubali San bro wew n unaimba tena unaimba sana uzur unaimba kwa hisia ujue nakubl sana by melina
Anyone 2024💔🥺😢😭
Yes am here crying like a baby 😢😭😭😭😭🙌💔💔
Every morning when I wake up 🤣🔥♥️
mimi aki 😢😢😭
Hell yeah 💞😭
@@fuadahmed2475pole😂😂😂
Bado nko hapa 2023, can't get enough of this song ♥️♥️♥️
Wat a song.........Diamond Ali kiba R.I.P a star has been born welcome broda enjoyed ur track to de fullest🙌🙌👍👌
Zahadi Hassan unatema ubani kwa karanga za kuonjeshwa?
Zahadi Hassan ushasema
Zahadi Hassan hahaha
Ni dhahiri kisima kimekauka maji,ndio maana naona ata sina maana tena,nilifikiri hili gonjwa langu limepata mponyaji umeniongezea homa mwili wote watetema😢😢😢😢😢😢😢
2024 23 Dec
Mwili umebaki kongoro nyama sina ni mifup december 8 2019
Amazing! Never get enough of this song; truly a classic!!!
Yes
umeweza kuliko wote wasafiiiiiiii,,,,,,,,,,,we all appreciate your start,,,,,,,love from kenyan boy,,,,,,,,#SAND BOY KENYA,,,,KEEEP MORE FIRE BLAZING,,,,,,,
Tumeachana kabisa
Hii ngoma iwekewee mji pale mjin dodoma
I don’t understand
But I listen all your songs
What an amazing singer
Most important what a great voice
I love all your songs
All the way from Armenia 🇦🇲
is better being alone than being with someone who makes u feel lonely
exactly
True
So true
True
Hy Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👉🏻🇪🇹 I lm Ethiopian I like Tanzania music nii qalii
I love this song
I
Ha
Lavlav kazababa unajw
Yes me
We fight a lot for love even when its obvious the other person is not worth it.
Mapenzi kiporo kweli😢
Usinitoe nyongo bureee
Bora tuachaneeee 😢