HONGERA SANA POLISI KATA ,UNASTAHILI KILA AINA YA PONGEZI ,HAKIKA UMETIMIZA WAJIBU WAKO KAMA MTUMISHI WA UMMA, ENDELEA NA MWENDO HUO MALIPO YAKO UTAYAPATA HAPAHAPA . WITO KWA MAAFANDE WENGINE TUJIFUNZE TOKA KWA HUYU BWANA HAMJACHELEWA MUDA BADO MNAO KULISAFISHA JESHI NA KURUDISHA MATUMAINI YALIYOPOTEA.
Huyo anaweza kutembea vizuri na kufanyiwa matibabu hasa miguu inaweza kunyooka mimi nilikua na mwanafunzi mwenzangu mwaka 69 wslikuja wachina wakamwekea kama unga na kufungwa miguu na baada muda akatembea vizuri msaidieni
Huyo Afande namkubali sana hapa Mtimbira anajua kutimiza wajibu wake anaigusa jamii moja kwa moja (YUKO VIZURI SANA) Mungu amjaalie Hamis apate msaada sio tu wa kusoma bali wa malezi yote.
Wekeni Namba ya simu na jina lake lisome kwenye nida kama ametimiza miaka 18...... Watanzania tutamchangia AU HUYO POLISI ATUSOMEE NAMBA YA SIMU YA KIJANA
Duu kijana handsome Pia MUNGU kampa hakili 🙏🙏🙏
Hongera sana polisi kwa kujali mahitaji ya wengine. Mungu akubariki na uzao wako. Maana Watu kama wewe ni wachache sana.
Hakika Mungu ni Mungu hajawahi kukosea
HUYO POLISI KATA MUNGU AMBARIKI SANA. YEYE PAMOJA NA UZAO WAKE.
❤❤ mashallah hongera ndogo kwa jitihada ulizo nazo mola yupo nawe inshallah
Askari polisi mungu akubariki sana afande❤❤❤
Maashaallah tabarrak allah, allah akufanyie wepes kwa masomo yako
We polisi chukuwa 🎉 🎉🎉🎉❤❤❤ na polisi wengine wafuate Tabia yako!!
Pole sana mwanangu Mungu asimame katikati Yako na police Mungu akuinue
Dah pole sana kaka
Mashaallah mwenyezimung atakufanyia wepesi utatimiza ndoto zako
Polesana bibi mungu akusaidie pia tuna omba selekali yetu wasaidie watu kama hawa
Hongera Askari na mwenye kiti cjui mjumbe mungu awazidishie muwe na moyo huo huo police kata na huyo mjumbe
Ongera mungu akubarik wew nauzao wake ww poris
Serikali mpo wap sasa yaaan mungu anawaona wenye uwezo na mamulaka
pole sana ndugu serekali naiomba iwasimamie hawa watu
Huyo polsi,Mungu ambariki
Mungu ampenguvu nawatiemoyo watanzania pia huyu polisi kata anafanyakazi nzuri selikali imwangalie kwajicho jingine kimotisha napegalake liendelekuchafuka maishayake yakawemaradufu
Ongera kamanda👍👍👍🎉🎉🎉
Mwenyezi mungu ataleta kheri utasema
Afande umetenda yatupasayo kutenda
Mungu akubariki
Hakika wewe ni polisi jamii.
Na dada ake pia asaidiwe aende Shule
ingekuwa huku angeshapata shule nzuri
Safi sana kamanda wetu
Mwenyezi Mungu atakujalia kwa kila kitu
Kijana uyu serikali imusaidie
Pole sana goddess you
Maaskari naombeni muige Mfano wa huyu askari. Sio tabia ya kupindisha haki za watu!!
Makonda popote ulipo naomba ufike kwenye Familia hii Mwenyezi Mungu Ndio atakayekulipa 😢😢😢😢😢😢
Angepelekwa hospital toka mtto angerud sawa
Kweli nahisi kama polio
Lkn watu maskini ndio wanaoumwa hatà kupeleka hosp ni shida
@user-ft2vq5on6l Kweli angegeuzwa hiyo miguu
Serikali mnao uwezo hao ndio watu wa kusaidiwa
Muachen mungu aitwe mungu😊
Allah atamsaidia
Ndugu zangu hawa jamani 😢serekari wasaidiye jamani
Pole
MAMA SAMIA MWONE HUYO MWANAO. TUNAOMBA MSAADA
God bless you
Serikali iko wapi jamani Hawa ndio wanaitwa masikini msaada kwenu jamani
Polesana eemungu tenda miujiza kwa huyu kijana pia tuna omba selekali musaidie kijana
Nendausiogope Mungu atatenda
Tale ama munger muhusika hizo ndo kazi zenu tunaomba msaada kwa hao wtt ktk elimu
❤❤❤🎉🎉
MUNGU AKUJALIE WEWE KIJANA. HAKUNA KM MUNGU
❤❤❤
HONGERA SANA POLISI KATA ,UNASTAHILI KILA AINA YA PONGEZI ,HAKIKA UMETIMIZA WAJIBU WAKO KAMA MTUMISHI WA UMMA, ENDELEA NA MWENDO HUO MALIPO YAKO UTAYAPATA HAPAHAPA . WITO KWA MAAFANDE WENGINE TUJIFUNZE TOKA KWA HUYU BWANA HAMJACHELEWA MUDA BADO MNAO KULISAFISHA JESHI NA KURUDISHA MATUMAINI YALIYOPOTEA.
Maua Yako afande n.G CPL dar.
Jaman ajuae ni mola atakusimamia
Mbunge na diwani wa hapo wako wapi?
Huyo anaweza kutembea vizuri na kufanyiwa matibabu hasa miguu inaweza kunyooka mimi nilikua na mwanafunzi mwenzangu mwaka 69 wslikuja wachina wakamwekea kama unga na kufungwa miguu na baada muda akatembea vizuri msaidieni
Huyo Afande namkubali sana hapa Mtimbira anajua kutimiza wajibu wake anaigusa jamii moja kwa moja (YUKO VIZURI SANA)
Mungu amjaalie Hamis apate msaada sio tu wa kusoma bali wa malezi yote.
Habati Nzuri kwa sasa amesha pata msaada na yupo shule
Amen
Kwa nini hawajampeleka kuombewa ila mungu anamaajabu yake
Tunaomba namba jamani ya hiyo kijana au asikari tupe namba tumchangie
Namba zimetolewa ukiangalia video hadi mwisho utaziona
Wewe ni askari unayestahili kupata safasi ya IGP mama samia naomba umuangalie huyu askari.
Wekeni Namba ya simu na jina lake lisome kwenye nida kama ametimiza miaka 18...... Watanzania tutamchangia AU HUYO POLISI ATUSOMEE NAMBA YA SIMU YA KIJANA
@@dennisngonyani1795 mamba ya simu ipo hapo ndgu
Cjaiona hiyo Namba naomba unitumie cna kitu but ntajitahidi nitume hata laki moja@@NDC-Online-Media
Namba ya kuchangia wekeni
Babu tale huyo mtt hayuko ktk jambo lako huko morogoro?
Mtoto mashallah
Wangemsaidia kumpeleka hospital pia pengine angeludi sawa
Watanzania tupo tayari kuwachangia mamilioni ya shilingi Kwa masaa, wahalifu wanaotenda makosa,lakini kwanini tusimchangie huyu mtoto mlemavu?
Afisa elimu mkoa husika na ustawi mkoa husika walitakiwa wawe karibu na mtoto huyo tangu akiwa msingi
Jukumu la serikali kuangalia hali za watu namna hiyo, ASILA mali zote zilokiwepo bado watu wako hali mbaya pesa wanagawana wakubwa
Afande kijana abadilishiwe shule
Niko na cuzo wangu pia hutumia miguu sababu mikono yake miwili iko na vidole enn pekee sai yuko JAPAN
@@harrietajiambo229 habari
0672573061 naomba nitafute WhatsApp
Hongera yake
Police wote wangekuwa na imani km huyo tungeshkuru
Mwenyezi mungu ataleta kheri atasoma
Maana halis ya MUNGU hakupi vyote
Rais ameskia atamsidia tu hata nawengine tuko tayari kumsaidia
Mleteni kwangu ntamlipia
ungeweka namba yako ya kukutafutia
😂😂