Mungu akubariki mtumishi wa Mungu sana, endelea kuhubiri tuzidi kujua kwamba Yesu ndie anaye ponya na kurejesha, watu waombe Yesu ni mkuu kuliko vitu vyote
Mungu atusaidie. Roho Mtakatifu atupe mafunuo ya kweli tuweze kupambanua kati ya Watumishi wa kweli na mbwa mwitu wakali. YESU anasema AAMINIYE NA KUBATIZWA ATAOKOKA. Je baada ya mafundisho yote watu hawa wanabatizwa? Ni agizo la MWENYE KANISA. Chagua hivi leo.
Yani mpaka hapo Imani haipo kwako tena unahitaji kutafakari kwa umakini kama unamwamini Mungu Omba Roho mtakatifu akufindishe hayo kwa mafunuo yake hutakaa na mitazamo ya akina mwamposa tena
Ukisoma Isaya 32:15, inasema kila mti ni Misitu, peleka Injili achana na kupinga pinga watu, Mzee. Utachoka Sana, kwa kufanya kazinambayo sio ya Mungu. Agizo kuu ni Injili, Amri kuu ni Upendo bro, Ukimpenda Mungu utafanya kazi yake achana na Mambo ya kina Mwamposa.
Asante yesu Kwa kunipa Neema yakujua maandiko nifunike Kwa dam yako takatifu na family Yang yote ili tuje kwako tusiufatishe namna ya ulimwengu uendavyo❤
Wewe hubiri neno la Mungu tu achana na habari za kusema watu na makanisa! Anayehukumu ni Mungu peke yake! Usijichanganye broo(Zingatia: acha kuongelea habari z watumishi wa Mungu na makanisa...wewe hubiri neno la Mungu tuu)
Mimi naona nawewe pia unatatizo kama mwamposa anakosea nayeye dhihirisheni kazi za Mungu ziwe kubwa kuliko shuhuda za kwa mwamposa hili tujie Mungu anakutumia maan hata Yesu alidhibitishwa kwa kazi zake
Mtumishi mwema ni mzee wetu Mwakasege mwenye busara ya Mungu hajawahi kugusa huduma ya mtu mwingine na kama una ujasiri wa kupinga mbona ujawagusa waislamu na hali unajua ndio wapinga Kiristo kumbe wewe ni muoga wa kufa unajua wakiristo ni wapole na wanyenyekevu wa moyo shambulia waislamu kama kweli una ujasiri wa kimungu
Mpinga kristo anaweza akawa mkristo au mwislam husomi biblia? We unafikili waislam wote hawaendi mbinguni wapi watakao kwenda nikama vile wakristo wapo ambao hawatakwenda na wengine wataenda waislam na ni taifa ambalo MUNGU alimbalikia Ishumail mtoto wa Ibrahim Alie zaliwa na msichana wa kazi kwa hiyo mpinga kristo niyule anaepinga mafundisho ya YESU na kufuata mafundisho ya shetani
@@PendopasilikaMBINGUNI HATUONDI KWA DINI BALI KWA NENO LA KRISTO. MARKO 16::16 AAMINIE NA KUBATIZWA ATAOKAKA, ASIYE AMINI ATAHUKUMIWA. YOHANA:3:5 YESU AKAJIBU, AMIN,AMIN, NAKUAMBIA MTU ASIPOZALIWA KWA MAJI NA KWA ROHO HAWEZI KUUINGIA UFALME WA MUNGU. WALA SIYO SINI HIYO, BALI NI WOKOVU. UNAPASWA KUOKOKA.
@@DeusdeditMichael Ni kweli tunakwenda kwa njia ya wokovu ambalo ni neno la kristo lakini je? Na kwenye hizo keki mie naona hiyo ni miujiza ya kipepo MUNGU akubariki
@@Pendopasilika IBADA YA KUMUABUDU YESU KRISTO HUFANYIKA SAWASAWA NA NENO LA KRISTO. AMBALO LINATUAMBIA KUTUMIA JINA LAKE PEKEE. YOHANA 14:13-14 YOHANA 16: 23 YOHANA ; 16:26 (Soma) YAZIDIYO HAPO, YANATOKA KWA SHETANI. 2WAKORINTHO 11;14 (Soma) Neno linasema; Mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi yao.
Imani yako ndo itakayo kuponya acha kukifikiria mwmpos yeye anafundisha neno ra mungu kazi yako nik🎉ua naiman na kire unacho fundisha make mungu anacho kiangaria niimani yako amin
Kwel broo fundisha neno la mungu achanana na mambo ya kuwaongelea watu mwenzio ameinuliwa waza na wewe mungu akuinue kama mwaposa huna kabisa maneno mengne watu wanashida na kiu tafuta vtu utakuwa juu tuu kama mwenzio acha wenge
Mungu awape hekma watumish wake waihubr kwel ya Mungu na sio kufata Oman potofu, swez mzungumzia mwamposa sabu sjamfahamu kiundan zaid, ila wateule kuwen macho hz ni Siku za mwisho shika sana ulcho nacho asje mtu kukunyang'anya
@@JoyceMbise-zr2xh hakunaga wito wa namna hiyo msitufanye km hatujui neno. kuna mahali amesema kwenye maandiko we ni nani unayekitoa kibanzi cha mwenzio. wakati kwako kuna boriti? wakemee dhambi za watu wote ili yule anayezitenda ahukumiwe abadirike, kutaja jina la mtu ni uchochezi
Ila binadam mnatumia nguvu nyingi kumchafua mwamposa na mungu alivo wa ajabu mwamposa anazidi kung'ara na Hana mda wakumuongelea mtu zaidi ya kuhubili neno la mungu 🙏🙏🙏🙏
Mungu akusaidie hakuna mtumishi pale Lengo la Yesu kuja dunian nikuja kuhubiri injili ili watu watubu dhambi zao waokolewe waende mbingun nasio kuja kukanyaga mafuta na keki hayo ni mafundisho ya mashetani hizi ni nyakati za mwisho mpendwa Yesu ilituachia jina lake nasio mafuta wala keki wala maji yaupako
Nakushauri ACHA KUWAZUNGUMZIA WATUMISHI WENGINE, FANYA KAZI ALIYOKUPA YESU Walete watu kwa Yesu kwa KUWAFUNDISHA WATU WOTE WAMJUE YESU NA KUDUMU NDANI YA YESU KRISTO WA NAZARETI.
@@Kamkono nakwambia wewe Acha to Ndo hivyo atuoneshe Mungu wake kafanya Nini Juu yake na kupitia Yeye na Kwa wengine Huku anapopasema kila siku shuhuda ni nyingi saana
Kumbuka hata Yesu alipoingia hekaluni mbona hakusubili wafe ndo wakahukumiwe huwezi kuacha injili inahalibiwa then unasem ni wivu hakuna cha wivu wala nini hivi ndivyo injili inavyotakiwa kuwa
Hubiri habari ya mungu ,usihubiri habari zakuponda watumishi was mungu,kikubwa usihukumu usije ukahukumiwa, mwamposa mbn huwa amhubiri mtu,,,anatangaza habari njema tu ya ujumbe wamungu
Kila siku maji ya upako hakuna upako isipokuwa neno lenyewe wazee tusali kwa imani akuna maji wala kitambaa waku tuwe makini shinda zisitufanye tukae mbali na mungu wetu🙋♂️
Paschal Fanya na wewe tunachotaka ni kufunguliwa,au wewe ndio unafungaga watu? Tatizo mlilonalo watumishi wa Leo mna WIVU na huduma za wenzenu, Watu wanataka uponyaji,watu wanataka kufunguliwa vifungo mbalimbali. Nakumbuka YESU akiwaambia wale Mitume waliokuta watu wa mataifa wanatoa pepo kwa jina lake,"Kama wanatoa pepo kwa jina langu,hao ni wa kwetu" Sasa wewe unaumia nini?? Acha WIVU na mtafute MUNGU na uwe na nguvu zake usaidie watu. Sisi tunafunguliwa bila kwenda kwa MWAMPOSA,mwacheni afanye KAZI ya MUNGU msimkatishe Tamas ni dhambi. MUNGU akusaidie Paschal 🙏🙏
Hata ukiwazungumzia unapoteaa muda kwasababu MAANDIKO yalikwisha tabiri manabiii wa uongo au watumishi wa uongo watakuwepo so huwezi kulizuia ,wewe unachotakiwa wafundishe watu kweli ya NENO la Mungu ,wamjue Mungu only that,Yesu NDIE atakayehukumu siku ya mwisho
Kama Mwamposa atumiwi na Mungu na miujiza inayotendeka kwenye ya arise and shine ni feki basi nyie mliowatumishi wa kweli fanyeni basi hiyo miujiza ya kweli tuone na kama hamwezi
Nilichogundua watumishi wengi wanaoshambulia wenzao wana Roho ya kifarisayo misishangai kuona watu kama hawa mm nashangaa sana badala ya kuhubiri injili wanahubiri mambo ya watu oh yule hivi oh yule vile is that a gospel? Biblia inasema kwenye matendo ya Filipino alishuka Samaria napale Samaria palikuwa na mtu mmoja mashuuri jina lake aliitwa Elima mchawi aliwashangaza watu wengi kwa uchawi wake lakini siku moja mtumishi wa Mungu alipokuja Mungu akamtumia Filipino kwa miujiza mikubwa sana watu walifunguliwa sana hata yule .mchawi akaonekana si kitu kwahiyo na hawa watumishi wanaoshambulia wanatakiwa kuudhiirissa za Mungu kama na kama hawawezi basi wakae kimya wasitabishe watu wakati wao hawawezi kuwasaidia
Ungekuw una simama na neno huenda ungekuwa mbali, lakn kwa kuwa una kaz ya kufatilia maisha ya wtu utachelewa sn.mama mungu si mwanadam na huwapinga wenye kibur
pastor paschal sijaluelewa kila mtumishi wamungu kwako unasema anakosea na hakuna mwanadamu aliye kamilika nadhani hata wewe unamapungufu mengi sana na ujakamilika
Madhabahu ni kwaajili ya kumzungumzia Yesu kristo pekee yake na sio kumzungumzia mtumish yeyote,watumishi wa Mungu wapo na WA shetani wapo USIPOTEZE MUDA kuwajadili watu kwenye madhabahu Bali tumia madhabahu kujadili mambo yahusuyo ufalme wa Mungu
Zaburi 30:3 [3]Umeniinua nafsi yangu, Ee BWANA, kutoka kuzimu. Umenihuisha na kunitoa Miongoni mwao washukao shimoni. O LORD, thou hast brought up my soul from the grave: thou hast kept me alive, that I should not go down to the pit.
Hakuna binadamu.awezaye kukuombea ili Mungu afute maovuyako isipokuwa wewemwenyewe kujiombea kabula yakifo chako. ndiyo maana hataka bulayakifo chaYesualijiombea yeye mwenyewekabula yakifochake kwakuwa yeye duniani hakuwanataji la uunguali alibebeshwa madhaifu ya binadamu ili kujumuikanao.
Tunamheshimu Bikira Maria kwa sababu Luka 1;28 Akaingia nyumbani kwake akasema," Salamu uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe Luka 1;42 akapaza sauti kwa nguvu akasema, " Umebarikiwa wewe katika wanaweka, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Tunaomba kwa maombezi ya Bikira Maria kwa mwanae na sio tunamuomba Maria kama Mungu yeye sio Mungu ila ni Mwombezi kwa kuwa amepata neema kwa Mungu na hakuna mtu kwe maandiko aliye pata neema kama yake
YESU Kristo ni yule yule Jana na leo na kesho, na Neno la MUNGU wa Mbinguni MUNGU YEHOVA wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Ndie anaehubiriwa na Mwamposa , na MUNGU ni pendo, aliupenda ulimwengu akamtoa Mwanawe Pekeee kila amwaminie ataokoka
Tangu umeanza kuwasema wenzio vibaya sijaona hata mmoja amekujibu ,wala hakuna aliyeanguka ,kaka fanya yako mwenye mamlaka ya kuhukumu ni MUNGU,huo muda unaopoteza kujisifa na kuwaponda wenzio ungewekeza sana kuombea watu wamjue huyo MUNGU wako
Tunajua wengine amutakubali kuambiwa ukweli akuna neno la mungu itakayo itaji pesa mtu yeyote ana nena neno la mungu ni zadaka tu sio pesa na zadaka aina kiwango ni chocho kitu Ulicho nacho sio ivyo walivyo manabii wa uwongo apana
Jamani mbona wachungaji na manabii hawatumii muda mwingi kubuni mbinu za kuleta ukombozi na uponyaji na amani wanajitahidi kukosoa wenzao ? Nakuwapinga wenzao tafuteni amani watu wapone mtapata baraka
God bless you pascal nakama nimtumishi wa mungu kwelikweli mungu wa mbinguni asikuache hapo ulipo akuinue kwa viwango
Mtumishi MUNGU akibariki sana kutimiza kusudi ra Mun gu ni gharama kubwa sana Mungu akutie nguvu
Cassian, nashukuru Kwa kukosoa mienendo mingine, Wala usiogope,wachane vizuri
Achana na mwamposa wewe hubiri
Kama angekuwa mwongo mbona watu wanakula mandazi kwa Imani kama keki wanapona? Ebu mwangalie mungu usimwangalie mwamposa
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu sana, endelea kuhubiri tuzidi kujua kwamba Yesu ndie anaye ponya na kurejesha, watu waombe Yesu ni mkuu kuliko vitu vyote
Mungu atusaidie. Roho Mtakatifu atupe mafunuo ya kweli tuweze kupambanua kati ya Watumishi wa kweli na mbwa mwitu wakali. YESU anasema AAMINIYE NA KUBATIZWA ATAOKOKA. Je baada ya mafundisho yote watu hawa wanabatizwa? Ni agizo la MWENYE KANISA. Chagua hivi leo.
Asnt sana Mtumishi wa Yesu
Walipuwe vizipu wamujue Mungu wa kweri.
LABDA ungehubiti Neno La Mungu kuliko kumtumia Nguvu nyingi kuhubiri watu. Yesu amekutuma kufanya hivyo kweli?? Pole sana
Ndivyo Yesu anachotaka. Kumuelewa mtumishi huyu ni neema ya Mungu. Usipoelewa unapungukiwa neema yake. Ukiona humwelewi shika imani yako hulazimishwi.
Kumjua Mungu si kutuma Nguvu,hata wewe ni mmojawapo unatafuta ulaji tu Amerika si Mbinguni,na niambie Maandiko yaliandikwa na nani.
Pole yake.kwa.kweli
Kwamawazo hayo Imani ulisha iacha mda Imani bila matendo imekufa
Yani mpaka hapo Imani haipo kwako tena unahitaji kutafakari kwa umakini kama unamwamini Mungu Omba Roho mtakatifu akufindishe hayo kwa mafunuo yake hutakaa na mitazamo ya akina mwamposa tena
Ukisoma Isaya 32:15, inasema kila mti ni Misitu, peleka Injili achana na kupinga pinga watu, Mzee. Utachoka Sana, kwa kufanya kazinambayo sio ya Mungu. Agizo kuu ni Injili, Amri kuu ni Upendo bro, Ukimpenda Mungu utafanya kazi yake achana na Mambo ya kina Mwamposa.
Aaah ananikwaza mimi kila cku ameattack mtu
Nakukubali casian waweke sawa
Sijakuelewa unahubiri au unkosoa watu kazi hiyo niya mungu mnatuchanga nya hubiri neno
Sema mtumishi iliwatu wawesalama
Je wew umejuaje haya congratulations kwa mwaposa maisha marefu
Asante yesu Kwa kunipa Neema yakujua maandiko nifunike Kwa dam yako takatifu na family Yang yote ili tuje kwako tusiufatishe namna ya ulimwengu uendavyo❤
Yesu na sio yesu✊
ameni ameni ameni
Mungu atuokoe
Wewe hubiri neno la Mungu tu achana na habari za kusema watu na makanisa! Anayehukumu ni Mungu peke yake! Usijichanganye broo(Zingatia: acha kuongelea habari z watumishi wa Mungu na makanisa...wewe hubiri neno la Mungu tuu)
Mungu akulinde cku zote mtumishi waambie ukweli wajinasue
Mimi naona nawewe pia unatatizo kama mwamposa anakosea nayeye dhihirisheni kazi za Mungu ziwe kubwa kuliko shuhuda za kwa mwamposa hili tujie Mungu anakutumia maan hata Yesu alidhibitishwa kwa kazi zake
Mtumishi mwema ni mzee wetu Mwakasege mwenye busara ya Mungu hajawahi kugusa huduma ya mtu mwingine na kama una ujasiri wa kupinga mbona ujawagusa waislamu na hali unajua ndio wapinga Kiristo kumbe wewe ni muoga wa kufa unajua wakiristo ni wapole na wanyenyekevu wa moyo shambulia waislamu kama kweli una ujasiri wa kimungu
Aliye lwambia wapinga Kristo ni waislamu tui?.
Je Kristo alipingwa au kukataliwa na waislamu?
Mpinga kristo anaweza akawa mkristo au mwislam husomi biblia? We unafikili waislam wote hawaendi mbinguni wapi watakao kwenda nikama vile wakristo wapo ambao hawatakwenda na wengine wataenda waislam na ni taifa ambalo MUNGU alimbalikia Ishumail mtoto wa Ibrahim Alie zaliwa na msichana wa kazi kwa hiyo mpinga kristo niyule anaepinga mafundisho ya YESU na kufuata mafundisho ya shetani
@@PendopasilikaMBINGUNI HATUONDI KWA DINI BALI KWA NENO LA KRISTO.
MARKO 16::16
AAMINIE NA KUBATIZWA ATAOKAKA, ASIYE AMINI ATAHUKUMIWA.
YOHANA:3:5
YESU AKAJIBU, AMIN,AMIN, NAKUAMBIA MTU ASIPOZALIWA KWA MAJI NA KWA ROHO HAWEZI KUUINGIA UFALME WA MUNGU.
WALA SIYO SINI HIYO, BALI NI WOKOVU. UNAPASWA KUOKOKA.
@@DeusdeditMichael Ni kweli tunakwenda kwa njia ya wokovu ambalo ni neno la kristo lakini je? Na kwenye hizo keki mie naona hiyo ni miujiza ya kipepo MUNGU akubariki
@@Pendopasilika IBADA YA KUMUABUDU YESU KRISTO HUFANYIKA SAWASAWA NA NENO LA KRISTO. AMBALO LINATUAMBIA KUTUMIA JINA LAKE PEKEE.
YOHANA 14:13-14
YOHANA 16: 23
YOHANA ; 16:26
(Soma)
YAZIDIYO HAPO, YANATOKA KWA SHETANI.
2WAKORINTHO 11;14
(Soma)
Neno linasema; Mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi yao.
Mungu akubariki muchungaji Tena akupemaisha marefu unasemaukweli lakini watuweeengi wamepotea kabisa
We ufie mbali unaetualibia apostal wetu mungu anakuona
Ameen barikiwa Sana baba Mungu akuinue, sema tupone.
Mimi ni Mkatoliki na Nina amini Sana mafundisho yanayofindisha kabisa Katoliki la Roma, hakuna WA kutoa huko. Imani yako ndiyo inayokuponya.
Imani yako ndo itakayo kuponya acha kukifikiria mwmpos yeye anafundisha neno ra mungu kazi yako nik🎉ua naiman na kire unacho fundisha make mungu anacho kiangaria niimani yako amin
Kwel broo fundisha neno la mungu achanana na mambo ya kuwaongelea watu mwenzio ameinuliwa waza na wewe mungu akuinue kama mwaposa huna kabisa maneno mengne watu wanashida na kiu tafuta vtu utakuwa juu tuu kama mwenzio acha wenge
Muhubir Yesu achaaa kuwasema watumishi wa Mungu.
utaongea sana kwa mwamposa fanya yako yawengne ayakuhusu mbwa wew mtaje mwingine usimtaje mwamposa
Sijui kwann Wakristo tunapigana vita kiasi hiki Ee Mungu
Amina Mtumishi wa YESU KRISTO❤
Huniambii kitu kuusu catholic ❤❤❤❤ rc
Mungu akusaidie sana, hujui unakokwenda
Fanya kazi ya Mungu mtumishi ukweli unauma sana wenye kupona watapona wajehanamu watakwenda kwa ugumu wa mioyo Yao!
Mungu awape hekma watumish wake waihubr kwel ya Mungu na sio kufata Oman potofu, swez mzungumzia mwamposa sabu sjamfahamu kiundan zaid, ila wateule kuwen macho hz ni Siku za mwisho shika sana ulcho nacho asje mtu kukunyang'anya
Imani yako ndiitakayo kuponya na mpenda San mwamuposa
Fanya kazi yako acha kusema maneno mabaya kwa watumishi wengine
Sijawahi kumuona huyu pascal kasian,akihubiri naona aanawapinga watumishi wa mungu,mungu akusamehe tu
Sio huyu tu yupo na mwingine yeye hadi anatukana❤
Ndo wito alioitiwa
@@JoyceMbise-zr2xh hakunaga wito wa namna hiyo msitufanye km hatujui neno. kuna mahali amesema kwenye maandiko we ni nani unayekitoa kibanzi cha mwenzio. wakati kwako kuna boriti? wakemee dhambi za watu wote ili yule anayezitenda ahukumiwe abadirike, kutaja jina la mtu ni uchochezi
Ev.Paschal we are together, I'm Emmanuel from Mombasa Kenya.🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Ila binadam mnatumia nguvu nyingi kumchafua mwamposa na mungu alivo wa ajabu mwamposa anazidi kung'ara na Hana mda wakumuongelea mtu zaidi ya kuhubili neno la mungu 🙏🙏🙏🙏
Mungu akusaidie hakuna mtumishi pale Lengo la Yesu kuja dunian nikuja kuhubiri injili ili watu watubu dhambi zao waokolewe waende mbingun nasio kuja kukanyaga mafuta na keki hayo ni mafundisho ya mashetani hizi ni nyakati za mwisho mpendwa Yesu ilituachia jina lake nasio mafuta wala keki wala maji yaupako
Pole acha kuteseka na karama ya mwenzako
@@janethesron1111 kichwachako kigumu sana kuelewa janethesron soma biblia kila sku loho mtakatifu atakushukia uelewe mengi ya silini 🙏✋
Tupopamoja mtumishi katika kumzihirisha
Mungu
Wa
Kweli.
Nakushauri ACHA KUWAZUNGUMZIA WATUMISHI WENGINE, FANYA KAZI ALIYOKUPA YESU Walete watu kwa Yesu kwa KUWAFUNDISHA WATU WOTE WAMJUE YESU NA KUDUMU NDANI YA YESU KRISTO WA NAZARETI.
Kwakweli kabisa yaani Mimi ananikela saana Yuko busy to kuchafua watumishi,
Kwakweli kabisa yaani Mimi ananikela saana Yuko busy kuwasema vibaya to unajua Mtu Mara nyingi aliyeshindwa hutaka kufanya na wengine washindwe to
Ni kweli kila siku anatufundisha Mungu wa MWAMPOSA, atufundishe Mungu wake. Mimi binafsi siamini kama ndicho alichotumwa na YESU.
@@Kamkono nakwambia wewe Acha to Ndo hivyo atuoneshe Mungu wake kafanya Nini Juu yake na kupitia Yeye na Kwa wengine Huku anapopasema kila siku shuhuda ni nyingi saana
Kweli sikio la kufa halisikii dawa
Pole Sana,kila mtu anaamini panapomsaidia
Safi San urichosem
Tena mungu anakuona kwakwa budu myungu
Mungu kamfundisha mwamposa kunyamaza kimya. Asije kuwa kama mataifa.
Hakika
Kabisaa
Wewe unawivu nawatumishi wa mungu Anya kazi ulioitiwa acha mungu ahukumu mwenyewe
Iyo ndiyo kazi ambayo MUNGU alikuitia??? Au kiki na wivu wa kishetani?
Kumbuka hata Yesu alipoingia hekaluni mbona hakusubili wafe ndo wakahukumiwe huwezi kuacha injili inahalibiwa then unasem ni wivu hakuna cha wivu wala nini hivi ndivyo injili inavyotakiwa kuwa
Hubiri habari ya mungu ,usihubiri habari zakuponda watumishi was mungu,kikubwa usihukumu usije ukahukumiwa, mwamposa mbn huwa amhubiri mtu,,,anatangaza habari njema tu ya ujumbe wamungu
Hivyo hubiri utukufu wa mungu siyo kuwasema watumishi
Muhubiri au mtumishi wangu unakosoa maneno is ya Mungu Mtumishi Mtumishi gani
Kila siku maji ya upako hakuna upako isipokuwa neno lenyewe wazee tusali kwa imani akuna maji wala kitambaa waku tuwe makini shinda zisitufanye tukae mbali na mungu wetu🙋♂️
Naomba namba za sim
Isaya 10:27 ........ Nayo nira itaharibiwa kwasabu ya kutiwa mafuta. IMANI BILA MATENDO IMEKUFA.
Wewe ubiri kutufundisha acha kukandia wenzako fanya kazi ya Mungu tupe neno c maneno ya kukandia wenzako
Mnatupoteza tunaowasikiliza na kutufundisha neno la Mungu.Kila mtumishi afundishe alichoinuliwa na Mungu.Msibadilike kuwa Wana siasa wanaoomba kura.
Barikiwa mwinjilist paschal
Anakupoteza vip sasa
Mungu akuwekehe ukuta WA Moto wake hadui asikufikie
Usiogope mutumishi wa Mungu hata watu wakutukane wakuzarau wewe endeleya kusema ukweli.mtangaza Yesu
Pole San ww kwakupoteza w2 Kama urivo wapotosha mamironi waw2 mungu wakwer anakuja utamujb nn ww
Paschal Fanya na wewe tunachotaka ni kufunguliwa,au wewe ndio unafungaga watu? Tatizo mlilonalo watumishi wa Leo mna WIVU na huduma za wenzenu,
Watu wanataka uponyaji,watu wanataka kufunguliwa vifungo mbalimbali.
Nakumbuka YESU akiwaambia wale Mitume waliokuta watu wa mataifa wanatoa pepo kwa jina lake,"Kama wanatoa pepo kwa jina langu,hao ni wa kwetu"
Sasa wewe unaumia nini?? Acha WIVU na mtafute MUNGU na uwe na nguvu zake usaidie watu.
Sisi tunafunguliwa bila kwenda kwa MWAMPOSA,mwacheni afanye KAZI ya MUNGU msimkatishe Tamas ni dhambi.
MUNGU akusaidie Paschal 🙏🙏
Hata ukiwazungumzia unapoteaa muda kwasababu MAANDIKO yalikwisha tabiri manabiii wa uongo au watumishi wa uongo watakuwepo so huwezi kulizuia ,wewe unachotakiwa wafundishe watu kweli ya NENO la Mungu ,wamjue Mungu only that,Yesu NDIE atakayehukumu siku ya mwisho
Fact, afundishe kweli yake, asitumie muda wake wote kuwa ATTACK hawa watu.
Kama Mwamposa atumiwi na Mungu na miujiza inayotendeka kwenye ya arise and shine ni feki basi nyie mliowatumishi wa kweli fanyeni basi hiyo miujiza ya kweli tuone na kama hamwezi
Nilichogundua watumishi wengi wanaoshambulia wenzao wana Roho ya kifarisayo misishangai kuona watu kama hawa mm nashangaa sana badala ya kuhubiri injili wanahubiri mambo ya watu oh yule hivi oh yule vile is that a gospel? Biblia inasema kwenye matendo ya Filipino alishuka Samaria napale Samaria palikuwa na mtu mmoja mashuuri jina lake aliitwa Elima mchawi aliwashangaza watu wengi kwa uchawi wake lakini siku moja mtumishi wa Mungu alipokuja Mungu akamtumia Filipino kwa miujiza mikubwa sana watu walifunguliwa sana hata yule .mchawi akaonekana si kitu kwahiyo na hawa watumishi wanaoshambulia wanatakiwa kuudhiirissa za Mungu kama na kama hawawezi basi wakae kimya wasitabishe watu wakati wao hawawezi kuwasaidia
Uyu nae ni muongo mahn anasimang watumish wa mungu na kuukum wakt yeye ni mwanadam 😂😂
@@ConfusedChicken-ze9fzAna njaaaa 😂😂
❤❤❤ iko kweri kabsaa waambie waache hyo tbia
Watumishiwengi wanapoteza watu Wa Mungu.saana
Mungu azidi kusema nawewe
Ungekuw una simama na neno huenda ungekuwa mbali, lakn kwa kuwa una kaz ya kufatilia maisha ya wtu utachelewa sn.mama mungu si mwanadam na huwapinga wenye kibur
Kwel kabisa
Wewe fundisha ulichotumwa na mungu
Ila Kuhusu kukosoa watumishi wa Mungu ni jukunu la Mungu mwenyewe na si la mwanadamu yeye ndiye aliwaita let God handle them.
Mungu ni mwingi wa rehema
pastor paschal sijaluelewa kila mtumishi wamungu kwako unasema anakosea na hakuna mwanadamu aliye kamilika nadhani hata wewe unamapungufu mengi sana na ujakamilika
Acheni kuupiga mwili wa kristo vita wote mnaburi yesu, mambo keki katika amri za Mungu haijaandikwa kula keki ni dhambi
Sawaaa yesu atapokuja atazihukumu Siri za wanadamu nani aweza kujisitri kwa macho ya mungu?
Madhabahu ni kwaajili ya kumzungumzia Yesu kristo pekee yake na sio kumzungumzia mtumish yeyote,watumishi wa Mungu wapo na WA shetani wapo USIPOTEZE MUDA kuwajadili watu kwenye madhabahu Bali tumia madhabahu kujadili mambo yahusuyo ufalme wa Mungu
Muurize humuelewi usiogope mfwate what'sapp yupo hapo kwaajili Yako
ANAGOMBANA NA MUNGU
You too you are not fair
@@ElizabethMubanga-mn1np ni USHAURI tu nimetoa sijamzungumzia mtumish wa Mungu yeyote vibaya
Hata ninyi hamjuw asipotaja watu watajuwaje kuwa wamepotea Iv huwa mnasoma biblia gan?maana huwezi kusoma au kutumia biblia bila kutaja watu?
Yaani mpaka umtaje mwamposa ndio Kiki yako pole sana
Anafunua uovu unaotendwa na mtu.... Mwaposa ni mtu....
UCHAWI NI KITU KIBAYA
Ila umetuchosha sana kasian yaani tumekuchoka mno, hubili injili achana na mwamposa, tumekuchoka sana, Kaz Yako kuharibu watu wa mungu,
Si tunahitaji kusikia ukichoka usifunguee pita tu mpendwa
Siku za mwisho utajibia vizuri kama ndio Mungu amekutuma kuhubiri injili au kuwahukumu watumishi wenzako funguka unapoteza kondoo kwa kukosa maarifa
Fanya kazi achana na watu wa Mungu mnafiki wee mbona unaomba sadaka?
Wewe nae c li ombaomba tu unafikitu tu wakusema wengine kila siku si ufanye yako au unajikuta mungu wa duniani Fanya kazi uombaomba tu
Kama wewe unaamini katika kukanyaga mafuta na keki huwezi kumuelewa hata siku moja
Zaburi 30:3
[3]Umeniinua nafsi yangu,
Ee BWANA, kutoka kuzimu.
Umenihuisha na kunitoa
Miongoni mwao washukao shimoni.
O LORD, thou hast brought up my soul from the grave: thou hast kept me alive, that I should not go down to the pit.
Hakuna binadamu.awezaye kukuombea ili Mungu afute maovuyako isipokuwa wewemwenyewe kujiombea kabula yakifo chako. ndiyo maana hataka bulayakifo chaYesualijiombea yeye mwenyewekabula yakifochake kwakuwa yeye duniani hakuwanataji la uunguali alibebeshwa madhaifu ya binadamu ili kujumuikanao.
Ndugu Mwamposa we are together I'm Emmanuel from Mombasa Kenya.🇰🇪🇰🇪🙏
Mungu akuongoze MTU wa Mungu
Watu hawana Imani na Mungu sasa hivi Wana imani kwa hawa manabii wa uongo wanaojitokeza kila siku
Muombe Mungu akupe upako na miujiza wewe na ukoo wako kwani kanisa lako linajaza kama unayemsema😂😂 TUMIA AKILI MUNGU NDO AYEUKUMU NA SIO WEWE ,
Hajahulum anakemea unazan bila injili yakweli kuhubiliwa nani angemjua kristo
Ubarikiwe na bwana
Wewe mwenye MUNGU wa kweli mdhihirishe tumuone
Tufundishe basi mungu wako,acha kufuatiria Imani za watu,
Mungu awe nawe
Kweli kabisa mimi nimewahi kuoteshwa mara tatu kuhusu mwamposa huyo ni freemason sema kwa Macho ya nyama ni ngumu sana kujua
We kama una Mungu tuonyeshe zaidi maana watu wana shida.
Tunataka upako aliouacha yesu
Mungu akusamehe mana hujuwi unacho kisema
Tunamheshimu Bikira Maria kwa sababu
Luka 1;28
Akaingia nyumbani kwake akasema," Salamu uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe
Luka 1;42 akapaza sauti kwa nguvu akasema, " Umebarikiwa wewe katika wanaweka, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Tunaomba kwa maombezi ya Bikira Maria kwa mwanae na sio tunamuomba
Maria kama Mungu yeye sio Mungu ila ni Mwombezi kwa kuwa amepata neema kwa Mungu na hakuna mtu kwe maandiko aliye pata neema kama yake
Fanya yako usiwaongelee wenzako mungu anakuona
UENDA MUNGU NDO KAMTUMA ILI WATU WAFUNGUKE MACHO NA KUJUA UKWELI
Anae hukumu siku zote ni Mungu pekee usimuhukumu mwanadamu mwenzioo.
sawa hao wanamwabudu shetaniii Mungu mwanamke
Usiogope mungu akulinde
Mbwa ww
Yesu ndiyenjia kweli tena uzima
Sawa mch madhabahu yako imependeza laking mbona nembo yake inatisha haifanani na Kristo Yesu
Mtumishi Mimi na kutia moyo endelea vivyo hivyo Mungu akutie nguvu
Kweli kabisa.
MUNGU akusameh Bure kaka mana uo mzigo ulio ubebe siku ya kiama mbingu utaisikia tu omba hekima sana
Watu wametekwa ufahamu watu wanahitaji ikomboz wa fikra YESU atusaidie kujua neno lake na kupata maarifa ya neno lake
Mtumishi mhubiri yesu yakina mwamposa waachie wao
YESU Kristo ni yule yule Jana na leo na kesho, na Neno la MUNGU wa Mbinguni MUNGU YEHOVA wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Ndie anaehubiriwa na Mwamposa , na MUNGU ni pendo, aliupenda ulimwengu akamtoa Mwanawe Pekeee kila amwaminie ataokoka
@@corrolesscps BWANA YESU AMETUAMURU KUTUMIA JINA LAKE PEKEE (MARKO 16;17)
HIVYO YAZIDIYO HAPO NI YA SHETANI.
@@gospeltv2415 kabisa yaani Yuko busy na kina mwamposa badala atangaze Jina la Yesu Tanzania nzima imjue
Subiri watu ufalme wa mbinguni sio kuchafua watumishi shindwa na ulegee😅😅😅😅😅😅 6:55
Wew kila mtumishi wa Mungu ni wa uongo em tuambie watumishi wa ukweli walipo!?
Uyu mtumishi mngu amuinue sana kwakusema kweli
Tangu umeanza kuwasema wenzio vibaya sijaona hata mmoja amekujibu ,wala hakuna aliyeanguka ,kaka fanya yako mwenye mamlaka ya kuhukumu ni MUNGU,huo muda unaopoteza kujisifa na kuwaponda wenzio ungewekeza sana kuombea watu wamjue huyo MUNGU wako
You are right
Kweli kabisa ndugu yangu@@MoksMokah
Simama kwa nafasi yako muhubiri Mungu , sio kumhubiri watu kajipange upya
Acheni awaambie ukweli makasiliko yann sema baba wapate kuponaaàaaa
Wapone Nani?hata we upone
Tunajua wengine amutakubali kuambiwa ukweli akuna neno la mungu itakayo itaji pesa mtu yeyote ana nena neno la mungu ni zadaka tu sio pesa na zadaka aina kiwango ni chocho kitu Ulicho nacho sio ivyo walivyo manabii wa uwongo apana
Jamani mbona wachungaji na manabii hawatumii muda mwingi kubuni mbinu za kuleta ukombozi na uponyaji na amani wanajitahidi kukosoa wenzao ? Nakuwapinga wenzao tafuteni amani watu wapone mtapata baraka
Wew utateseka sana,achana na kalama za watu utafika uendapo umechoka
Kunyamaza ni jibu kaka yangu mtume na nabii mwamposa chapa kazi hachana na hawa wanaobwabwaja juu yako vita ni vya bwana