Asante sana mtumishi umegusa maneno mazito sana tumapaswa kunadilika na tuache dhambi ila kubwa kuliko yote uliyosema niniloondoka nalo Leo ni uliposema YESU amesema amebakisha sekunde chache aje kwa hakika ujio wa YESU ni WA hakika tazama yuaja na mawingu na kila jicho litamwona ufunuo 1:7 nakushukuru BWANA YESU kwa kutupatia ujumbe huu mzito jioni ya Leo naomba utubadilishe tabia zetu
Mtumishi asante sana, dah! Masanja sikutegemea lakini kuna kipindi nilihisi kutokana aliwaita kanisani kwake akina suguye, na wengine wa giza nikajiuliza imekuaje Masanja yupo na hawa mashetani hapo ndipo nilipoanza kujiuliza,sasa leo Mtumishi umenizibitishia nami nakuamini mtumishi katika KRISTO YESU, MUNGU akuinuwe sana na akupe viwango tofauti tofauti
YESU KRISTO Wanazareti MUNGU alie hai, unirehemu Mimi masikini mwenye Zambi, unisafishe kwa Damu yako KRITO, nakupokea wewe uwe BWANA na MWOKOZI wa maisha yangu, Amina,
Glory be to Yahuah. Jesus Christ my righteousness Amen. The Holy Spirit had convinced me since day one not listen to Bite and Martha music. Not only them but also shushu. For we don't move by sight but faith. I was I follower of mwamposa, but a some year ago I went to his church, I witnessed demonic activities including in him, When he saw me the demons started manifesting in him. I testify that the congregation in that church is a lost sheep. May the Lord have mercy for the their soles Amen. Am not slandering, but I say to you today, we should pray for Makonda, he's under an influence of demonic attack, because the truth is not in him, and we shall know the truth and the truth shall set us free, he needs prayers and deliverance for his soul to be recovered from divination. Am not judging, but I am speaking Righteousnessely not self-righteous but in Yeshuah Messiah. I pray for the spirit of repentance in the country of Tanzania. I pray against the spirit of divination and profan worship in the country, I pray against self righteousness, I pray against the abomination in the land, the child sacrifices, prostitution, murder, sheding of blood and abortion. I pray against homosexuality, I pray against witchcraft abd sorcery, i pray against evil alters and religion Lord Jesus Christ, I confess them has sin and I ask you to forgive us and cleanse me with the precious blood of Jesus Christ Amen. All nations repent for the kingdom of God is at hand, Heaven suffered violence only the violent takes it by force. Jesus is the way and the truth and the life, no one goes to the father but through him. John 3:16: "For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life"
Nilimpenda sana shusho na Martha mwaipaja kwa kuwa nyimbo zao zilnibariki sana na roho yangu hua inaumia ,ninajua wameskia watumishi wa Mungu wakiwaonya neema bado ipo dada zanguni kila mmoja amrudie muumba, Yesu yuaja kufumba na kufumbua tusipogairi tutamlaumu nani? Manabii wengi wamesha onyeshwa na aliyetufia siku 3 akafufuka kwa ajili yetu sisi wote
Akuna mtu atakae kuambia uyo niwakweli kama sio Roho wa Mungu pekee, moyo wa mwanadamu umejahila sana na kwa hila hizo shetani nae utumia njia hiyo hiyo kuleta mafunuo yake, apo ndiyo ina tajika umakini sana, kila mtu aliye mwamini yesu umepewa ROHO MTAKATIFU NABILA ROHO MTAKATIFU UWEZI KUZALIWA MARA YA PILI YEYE NDIYE ANAYE TUZAA UPYA KIROHO TUNAPO AMINI KAZI YA YESU MSALABANI
The day masaja welcomed Kiboko ya wachawi on his pulpit I knew he wasn’t on the right path also he supported celebrating of Christmas so God have mercy on us
9 Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia. Warumi 14:9 10 Lakini wewe je! Mbona wamhukumu ndugu yako? Au wewe je! Mbona wamdharau ndugu yako? Kwa maana sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Warumi 14:10 11 Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu. Warumi 14:11 12 Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu. Warumi 14:12 13 Basi tusizidi kuhukumiana, bali afadhali toeni hukumu hii, mtu asitie kitu cha kumkwaza ndugu au cha kumwangusha. Warumi 14:13
Wewe ndiyo unaandika kwenye kitabu cha uzima kujuwa lipo amaalipo ingekuwa hiyo aseee ingekuwa wengi wange baki sana maana tumejihesabia haki sana sijui ujasiri huo mnautoa kwa nani kujua jina lafulani lipo ama alipo, jitahidi kujifunza neno na msipende mapendekezo ya mtu fulani mtatenda dhambi kila siku ya itwapo leo
KUMBUKUMBU LA SHERIA 32 3 Maana nitalitangaza Jina la BWANA; Mpeni ukuu Mungu wetu. 4 Yeye Mwamba, kazi yake ni kamilifu; Maana, njia zake zote ni haki. Mungu wa uaminifu, asiye na uovu, Yeye ndiye mwenye haki na adili. Wapendwa katika BWANA, Tuzidi kumpa Mungu utukufu na kutangaza jina lake , kwa maana yeye peke yake anastaili kuabudiwa na kupewa Utukufu, mpendwa leo usipo Mshukuru mungu na kumpa Mungu alieumba mbingu na nchi utukufu kumbuka kunskujibu maswali sikuile. Kwa maana yeye peke yake ndio alie kuwa mkamilifu, sifa na Utukufu ni kwa Mungu Mwenyezi tuzidi kumpa ukuu wake siku zote. MPE MUNGU NA MUUMBA WAKO UTUKUFU KWA MAANA ANASTAILI JALELUYA AMINA. Mtumishi wa BWANA wa Majeshi Regina Johnson
Wote hao alafu wana letamchezo busy na comedy na kucheka cheka sell many souls to hell Lord have mercy Alafu sharit lingine wana pewa awataji Yesu Kristo huruma sana
Unazingua wewe kijana acha uongo Mwelewe Baba ako hana mambo yako hayo Hakuna anaeweza kumwacha Yesu akimpokea 😂😂😂 Yesu hatakaa akarudi weww unasomaje bibilia Yesu hatakaa akarudi mwongo tu wewe Wewe unamngoja arudi sisi tunaishi nae wewe ni mwongo sana
Mithali 26:4-5 NEN [4] Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. [5] Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, ama atakuwa mwenye hekima machoni pake mwenyewe.
@@mtumishiselemani sasa ndo nini hiki Hayo maneno petro alikua anawambia wakina nani Alikua anawahubiri wa yahudi ndo walimwacha Mungu kumbuka petro alikua mtume kwa wayahudi tu sio kwa watu wa mataifa Afu pia petro alisema hayo Kwa sababu ambazo aliziona yeye kwa hao wayahudi wao walimkataa Yesu wakafata njia za torati 😂😂😂😂 ambazo nawewe unazifata
@@mtumishiselemani hayo ma mithali Hayana uzima kabisa uzima upo katika mimi Wewe umebarikiwa sana wewe ni baraka Upumbavu wa mwanadamu ni hekima kwa Baba Na hekima ya kibinadamu ni Upumbavu kwa Baba 😂😂😂😂 Hua unasema vitu ambavyo Sio vya ufalme wa Baba labda kama ni vya mungu
@@NeemaSamweli-t4c huna adabu wewe domo lako hulioni umefuata nini hapa toka pepo mkubwa na ushindwe kwa jina la Yesu Kristo waovu watawekwa waziiii kweupee umetumwa kumtukana masihi wa BWANA
ETI WEWE PEKE YAKO NDO MTUMISHI WA MUNGU NA NDO JINA LAKO LIMEANDIKWA KWENYE KITABU CHA UZIMA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 WAPUMBAVU WENZAKO TU NDO WATAKUAMINI.
@valentinanduku8718 Kuna watu ukiwaangalia na kuwafikiria unashindwa hata kuwatafsiri, wahubiri wengi ukiwaskiliza wanajiona wao ndiyo top hawaamini wengine😂
Hakuna dini wala mtumishi wa kweli hata mmoja wote tumedanganywa na wakoloni shetani ndio yupo nyuma ya dini zote.na yy ndiye anayewaletea maono.kwa haya na mengi mfuatilie imani mcimbwa youtube utashangaa
KWA HIYO KILA ANAEKUTOKEA KWENYE NDOTO AU MAONO NDIO YEYE HALISI? PUMBAVU SANA WEWE......SI UNGESUBIRI AKUTOKEE LIVE ILI NDO UTHIBITISHE? ETI MTU KAKUTOKEA KWENYE NDOTO BASI NDO IMEKUWA KWELI 😂😂😂😂😂😂😂HUU UJINGA WAKO IPO SIKU UTAKUDHARIMU.
@@NeemaSamweli-t4c masanja alipostiwa na mkuu wa fremason Tanzania akaandika injili itahubiriwa kivipi mtu wagiza akuposti? Kuna urafiki gani kat ya giza na nuru umeumia masanja kutajwa kuwa nimtu wagiza pole wee tunamjua kitambo wanawake namisuruali kanisani
Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU akuzidishie na akubariki 🙏 BWANA YESU KRISTO atusaidie sana tuwe na mwisho mwema 🙏🙏🧎♀️🧎♀️
Amen sana
UNAKOSEA SANA KUMUEKA GWAJIMA APO MKUU, JAMAA INJILI YAKE IKO VERY PURE HAINA MAKANDO KANDO
HONGERA SANA KWA KUWA MUHUKUMU... THAWABU YAKO NAWE UMEKWISHAIPATA!😢
Naomba mawasiliano yako Mtumishi wa MUNGU
Mungu akutetee baba nasi tunazidi kukuombea
This is profound. May the Lord JESUS CHRIST deliver those who are willing to be delivered.
Muongo
Wewe Brother
Unaganganya sana
Amen Amen
Ubarikiwe sana mtume kwa kutujulisha
Tell them the truth..holiness and repentance is the only Gospel which should be preached
Dah!!! Jamani mweee!!! Mungu atuhurumie ,tusilitumie jina la Bwana linatajwa vibaya.
Mungu akubariki mtumtumishi wa Kristo Yesu ahsante kwa kutufungua macho
Asante sana mtumishi umegusa maneno mazito sana tumapaswa kunadilika na tuache dhambi ila kubwa kuliko yote uliyosema niniloondoka nalo Leo ni uliposema YESU amesema amebakisha sekunde chache aje kwa hakika ujio wa YESU ni WA hakika tazama yuaja na mawingu na kila jicho litamwona ufunuo 1:7 nakushukuru BWANA YESU kwa kutupatia ujumbe huu mzito jioni ya Leo naomba utubadilishe tabia zetu
Amen mwenye sikio na asikie.
Mtumishi asante sana, dah! Masanja sikutegemea lakini kuna kipindi nilihisi kutokana aliwaita kanisani kwake akina suguye, na wengine wa giza nikajiuliza imekuaje Masanja yupo na hawa mashetani hapo ndipo nilipoanza kujiuliza,sasa leo Mtumishi umenizibitishia nami nakuamini mtumishi katika KRISTO YESU, MUNGU akuinuwe sana na akupe viwango tofauti tofauti
Acha ujinga wewe tena acha ujinga kabisaaa.
Ni ukweli kabisa yule jamaa sio mtu kabisa
Wewe umepata wapi ujasiri wa kumtukana mtumishi mbona unamwambia aache ujinga afadhali umepita tuu bila kucoment
Amen mtumishi nahomba nipatenambayako
Mnaweza hisi ana haibisha familia yake ,kumbe ndo uponyaji wa watumishi wengi
YESU KRISTO Wanazareti MUNGU alie hai, unirehemu Mimi masikini mwenye Zambi, unisafishe kwa Damu yako KRITO, nakupokea wewe uwe BWANA na MWOKOZI wa maisha yangu, Amina,
Bwana Yesu Asifiwe Mtumishi wa Mungu. Umesema ukweli kabisa. Tuzidi kuwasihi Hawa ndgu zetu waache njia mbaya wamrudie Mungu. Mungu aturehemu zote.
Asante mtumishi wakati wa Mungu ndio mzuri amen.
Amina mtumishi wa Mungu, niombee nami pia, hizo roho za shetani zishindwe kwangu, Mimi naitwa Fadhili Atanasio mrope,
Glory be to Yahuah.
Jesus Christ my righteousness Amen.
The Holy Spirit had convinced me since day one not listen to Bite and Martha music. Not only them but also shushu. For we don't move by sight but faith.
I was I follower of mwamposa, but a some year ago I went to his church, I witnessed demonic activities including in him, When he saw me the demons started manifesting in him. I testify that the congregation in that church is a lost sheep. May the Lord have mercy for the their soles Amen.
Am not slandering, but I say to you today, we should pray for Makonda, he's under an influence of demonic attack, because the truth is not in him, and we shall know the truth and the truth shall set us free, he needs prayers and deliverance for his soul to be recovered from divination. Am not judging, but I am speaking Righteousnessely not self-righteous but in Yeshuah Messiah.
I pray for the spirit of repentance in the country of Tanzania. I pray against the spirit of divination and profan worship in the country, I pray against self righteousness, I pray against the abomination in the land, the child sacrifices, prostitution, murder, sheding of blood and abortion. I pray against homosexuality, I pray against witchcraft abd sorcery, i pray against evil alters and religion Lord Jesus Christ, I confess them has sin and I ask you to forgive us and cleanse me with the precious blood of Jesus Christ Amen.
All nations repent for the kingdom of God is at hand, Heaven suffered violence only the violent takes it by force. Jesus is the way and the truth and the life, no one goes to the father but through him.
John 3:16: "For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life"
Mungu akubariki niombee nimjue Mungu zaidi
Barikiwa mtumishi bwana awe name katika Jina la yesu kristo amen
Masan ja sold out long time anacheka cheka tu huruma sana
sasa naomba umtoe Baba yetu askofu Gwajima
Kweli mtumishi
Warohoni wataelewa Yale asemayo roho wa Bwana kwa dunia
Nilimpenda sana shusho na Martha mwaipaja kwa kuwa nyimbo zao zilnibariki sana na roho yangu hua inaumia ,ninajua wameskia watumishi wa Mungu wakiwaonya neema bado ipo dada zanguni kila mmoja amrudie muumba, Yesu yuaja kufumba na kufumbua tusipogairi tutamlaumu nani? Manabii wengi wamesha onyeshwa na aliyetufia siku 3 akafufuka kwa ajili yetu sisi wote
Walikuwa wanatafita prsa, sio kwuimbia Mungu wa mbingu
Kumbe Pascal Cassian anasema kweli! Sio wewe tu!
Ndugu yangu Hali ya KANISA imekuwa mbaya sana😭 kaza msuli💪
Ni kweli MTU wa Mungu unasema ukweli kabisa kwanza huyo masanja hata mkewe wote ni wale wale
Amina Mtume Bwana Atuwezeshe ,Bwana nirehemu
BWANA YESU KRISTO atuwezeshe,,tusije kupotea Kwa hao watu
Hauziwezi weza kuwataja wote.
Mwogope mungu ww
Amen barikiwa sna
Kumbe ndio maa a wanautajiri wakupitiliza mungu wasaidie sana
AMINAA SANA. HALLELUJAH.
Mungu wetu tupee macho ya kiroho tuwajue
Amen Amen halleluya ubarikiwe mno
Kuusu masanja sishangai Roho yangu ukikataa nilijua mda tuu ni wa ibilisi .. masanja ni mchawi mno
ASANTE SANAA MTUMISHI WA MUNGU.
Mmh mungu akuponye binti
AKIKUKUBALI YESU MWENYEWE BASI INATOSHA. ACHANA NA WATU.
AMINA BABA
Ameen
ATA mie wamenifatilia sana lakini nimesimama na enjili, Mungu atusimamie tupate kushinda amen
Mmmh hatariiii
Hallelujah amen
Amen niuruma sana
Amen, amen, amen
Inatia huruma sana
AMEEN.
Amina
Amen
Mtumishi wa Mungu mali ya Bwana tafathali mshike mkono vanessa
Glory to God Amén Vanesa God show me when you mention first time
UBARIKIWE SANAA MTUMISHI WA MUNGU. TUNAOMBA UENDELEE KUFAHAMUSHA HIZO HABARI ZA WACHUNGAJI WASIO WA KWELI ILI TUSIPOTEE. MAANA SISI NI HINAADAMU .
Akuna mtu atakae kuambia uyo niwakweli kama sio Roho wa Mungu pekee, moyo wa mwanadamu umejahila sana na kwa hila hizo shetani nae utumia njia hiyo hiyo kuleta mafunuo yake, apo ndiyo ina tajika umakini sana, kila mtu aliye mwamini yesu umepewa ROHO MTAKATIFU NABILA ROHO MTAKATIFU UWEZI KUZALIWA MARA YA PILI YEYE NDIYE ANAYE TUZAA UPYA KIROHO TUNAPO AMINI KAZI YA YESU MSALABANI
@@pastormalitiushuhuda9965Amina Mtumishi umefafanua vemaa ubarikiwe sanaa
NA INAWEZEKANA HAMPI MAMA YAKE HELA AU MATUNZO, NI KWA SABABU YA MASHART YANAMKATAZA .
Awo waimbaji wote waliingiya freemason
Ukweli kaka hapo nimekuelewa injili ya kweli ni mahubir juu ya kuacha dhambi
It's truee
UTAJILI WA KUPITA.
Sasa mtumishi mungu anapo kuonyesha kitu si kwamba Ana taka uombe hili kisitokee
Mariam musa AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
The day masaja welcomed Kiboko ya wachawi on his pulpit I knew he wasn’t on the right path also he supported celebrating of Christmas so God have mercy on us
True brother
It is so pain so sad, only God
9 Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia.
Warumi 14:9
10 Lakini wewe je! Mbona wamhukumu ndugu yako? Au wewe je! Mbona wamdharau ndugu yako? Kwa maana sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.
Warumi 14:10
11 Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu.
Warumi 14:11
12 Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu.
Warumi 14:12
13 Basi tusizidi kuhukumiana, bali afadhali toeni hukumu hii, mtu asitie kitu cha kumkwaza ndugu au cha kumwangusha.
Warumi 14:13
MUNGU nisaidie mimi jamani
Huyu nadhan n mpare
No sio:asili yake ni DRC
Kijana, niondolee gwajima askari wa ufalme wa MUNGU[YAHWER ] wa mbinguni hapa duniani
Who then can be saved
With God nothing is impossible
umemuweka picha ya Baba yetu gwajima toa hiyo picha hapo
Akili hana uyo, nikajinga kamoja tu
Yaani mtumishi wa MUNGU Tanzania imechafuka sana kunawatumishi wanaibuka lakini ukichunguza misingi ya ni kutoka kwa manabii wa uongo
Kabisa
Kama ni madanja inawezekana hata maisha yake yapo wazi,
Betrith ,Bado haujafunguliwa Mwanamke kuwa mchungaji?
Nliskia katekela akisema ety mwamposa n babake wa kiroho nikashindwa hapo napo n aje mtumishi
Unasikiliza watu hakikisha mwenyewe upate uhakika
Beatrice jina lake lipo ktk kitabu cha uzima
Wewe ndiyo unaandika kwenye kitabu cha uzima kujuwa lipo amaalipo ingekuwa hiyo aseee ingekuwa wengi wange baki sana maana tumejihesabia haki sana sijui ujasiri huo mnautoa kwa nani kujua jina lafulani lipo ama alipo, jitahidi kujifunza neno na msipende mapendekezo ya mtu fulani mtatenda dhambi kila siku ya itwapo leo
KUMBUKUMBU LA SHERIA 32
3 Maana nitalitangaza Jina la BWANA; Mpeni ukuu Mungu wetu.
4 Yeye Mwamba, kazi yake ni kamilifu; Maana, njia zake zote ni haki. Mungu wa uaminifu, asiye na uovu, Yeye ndiye mwenye haki na adili.
Wapendwa katika BWANA, Tuzidi kumpa Mungu utukufu na kutangaza jina lake , kwa maana yeye peke yake anastaili kuabudiwa na kupewa Utukufu, mpendwa leo usipo Mshukuru mungu na kumpa Mungu alieumba mbingu na nchi utukufu kumbuka kunskujibu maswali sikuile.
Kwa maana yeye peke yake ndio alie kuwa mkamilifu, sifa na Utukufu ni kwa Mungu Mwenyezi tuzidi kumpa ukuu wake siku zote.
MPE MUNGU NA MUUMBA WAKO UTUKUFU KWA MAANA ANASTAILI JALELUYA AMINA.
Mtumishi wa BWANA wa Majeshi
Regina Johnson
Je wakitubu mtumish Mungu si atawasamehe?
Wakitubu, Mungu atawasamehee
Mbona masanja tulimjua mapema,walikaribishwa kuimba akiwa yeye na Rozi,Emanuel Mgogo,ilikutwa bili ya pombe ktk hiyo hotel
@@OdiloMwemezi mwana wa Mungu umenichekesha bili ya pombe daa aisee
Wote hao alafu wana letamchezo busy na comedy na kucheka cheka sell many souls to hell Lord have mercy
Alafu sharit lingine wana pewa awataji Yesu Kristo huruma sana
Na hiya rasta YAKO unategemea KWENDA mbinguni?
Uwe makini na huo uongo wako
Mbona picture ya gwajima. Hujaambiwa chochote acha uongo wende ukanyow kwanza. Biblia inasema siku za mwisho kutakuw na manabiii wa uongo
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wataendaje kwa kiboko ya wachawi alafu wakumbuke familia zao?
Unasema ukweli mtumishi wa Mungu..niliona ushuhuda wa dada aliyekua mnamtumikia shetani ,alieleza gospel wengi na pastors, bishops wako freemasons
Unazingua wewe kijana acha uongo Mwelewe Baba ako hana mambo yako hayo
Hakuna anaeweza kumwacha Yesu akimpokea 😂😂😂
Yesu hatakaa akarudi weww unasomaje bibilia
Yesu hatakaa akarudi mwongo tu wewe
Wewe unamngoja arudi sisi tunaishi nae wewe ni mwongo sana
Mithali 26:4-5 NEN
[4] Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. [5] Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, ama atakuwa mwenye hekima machoni pake mwenyewe.
2 Petro 2:15 NEN
[15] Wameiacha njia iliyonyooka, wakapotoka na kuifuata njia ya Balaamu mwana wa Beori aliyependa mshahara wa uovu.
@@mtumishiselemani sasa ndo nini hiki
Hayo maneno petro alikua anawambia wakina nani
Alikua anawahubiri wa yahudi ndo walimwacha Mungu kumbuka petro alikua mtume kwa wayahudi tu sio kwa watu wa mataifa
Afu pia petro alisema hayo
Kwa sababu ambazo aliziona yeye kwa hao wayahudi wao walimkataa Yesu wakafata njia za torati 😂😂😂😂 ambazo nawewe unazifata
@@mtumishiselemani hayo ma mithali
Hayana uzima kabisa uzima upo katika mimi
Wewe umebarikiwa sana wewe ni baraka
Upumbavu wa mwanadamu ni hekima kwa Baba
Na hekima ya kibinadamu ni
Upumbavu kwa Baba 😂😂😂😂
Hua unasema vitu ambavyo
Sio vya ufalme wa Baba labda kama ni vya mungu
Picha ya Gwajima..yafanya nn hapo?
Mimk mwenyewe nimeshangaa
Mm nashangaa pia
HAPO KWA KIBOKO YA WACHAWI NDO SIJAKUEKEWA , UNAMAANA KIBOKO YA WACHAWI NI MTUMISHI WA UKWELI?.
Ebu toa domo lako hapa hilo unadhani karama ya Mungu niya waropokaji hovyo?
Kwani wewe umelazimishwa kusikiliza au kufuatilia? Makasiriko ni ya nini?
@@NeemaSamweli-t4c huna adabu wewe domo lako hulioni umefuata nini hapa toka pepo mkubwa na ushindwe kwa jina la Yesu Kristo waovu watawekwa waziiii kweupee umetumwa kumtukana masihi wa BWANA
Wewe ni Mtumishi Mungu Gani una Rasta????? Njoo nikunyoe hizo nywele
Samson Eliya Yohana Mbatizaji wote hawakunyoa nywele zao. Soma Biblia Kwanza kabla ya kuanza kukurupuka
ETI WEWE PEKE YAKO NDO MTUMISHI WA MUNGU NA NDO JINA LAKO LIMEANDIKWA KWENYE KITABU CHA UZIMA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 WAPUMBAVU WENZAKO TU NDO WATAKUAMINI.
Shoga huogopi 😂😂😂😂🙌
😂😂😂
@@NeemaSamweli-t4c mwana joka la majoka shindwa wewe wakuzimu toka pepo humkamati mtu hapa ajenti wakuzimu wewe
Mtu mwenyewe umekaa kama mchawi
😅😅 wewe ndiyo umeshika kitabu Cha waenda mbinguni
😂😂😂Jamani ww
@valentinanduku8718 Kuna watu ukiwaangalia na kuwafikiria unashindwa hata kuwatafsiri, wahubiri wengi ukiwaskiliza wanajiona wao ndiyo top hawaamini wengine😂
Wewe mwenyewe jina lako limeondolewa kwenye kitabu cha uzima.
Hakuna dini wala mtumishi wa kweli hata mmoja wote tumedanganywa na wakoloni shetani ndio yupo nyuma ya dini zote.na yy ndiye anayewaletea maono.kwa haya na mengi mfuatilie imani mcimbwa youtube utashangaa
Mtumishi basi wewe Namba ya simu ni gani?
Munaanza kukimbia watu wanaomitaji!
Kanyoe nywele kwanza sio kuwasema watumishi wamungu vibaya .
Amina
Wewe ni ajenti mkuu wa shetani uliyevaa ngozi ya kondoo....lakini safari yako ni fupi sana sana na hutafanikiwa kabisa.
KWA HIYO KILA ANAEKUTOKEA KWENYE NDOTO AU MAONO NDIO YEYE HALISI?
PUMBAVU SANA WEWE......SI UNGESUBIRI AKUTOKEE LIVE ILI NDO UTHIBITISHE?
ETI MTU KAKUTOKEA KWENYE NDOTO BASI NDO IMEKUWA KWELI 😂😂😂😂😂😂😂HUU UJINGA WAKO IPO SIKU UTAKUDHARIMU.
@@NeemaSamweli-t4c masanja ni freemason asiyemjua nani labda wewe zezeta wakiroho
@@NeemaSamweli-t4c masanja alipostiwa na mkuu wa fremason Tanzania akaandika injili itahubiriwa kivipi mtu wagiza akuposti? Kuna urafiki gani kat ya giza na nuru umeumia masanja kutajwa kuwa nimtu wagiza pole wee tunamjua kitambo wanawake namisuruali kanisani
Amen