Napenda sana unavo chambua haya mambo yama NABII wa uwongo. Pia ulivo jaribu kushusha sauti ili tukuelewe vizuri. Ikiwezekana shusha tena kigogo sisi tunataka kukusikia sana mtumishi. Asante Nakufuata toka South Africa 🇿🇦
Ati mna sema mna ongozwa na roho mtakatifu 😂😂 sasa mngekua mna ongozwa na roho mtakatifu mbona kila mmoja ana sema lake uyu yesu Mungu uyu yesu so Mungu uyo kuchinja zambi uyo so zambi yani wakristo nyie porojo tu hamna lolote 😂
Naweza elewa kuwa yuko sahihi kwasababu hiyo desturi ya kuchinja wanyama ilkuwa wakati wa manabii wa zamani tu, katika agano la kale tu. Ila sisi tulishakombolewa kupitia kifo cha Yesu pale msalabani yeye alichinjwa mara moja tu for us so inatakiwa tumwombe Mungu kupitia jina Yesu ambaye ndiye mwanakondoo pekee aliyetolewa kwaajil ya ukombozi na kututoa ktk uchinjaji wa hao wanyama,,,, Amina tubarikiwe sote Mungu atusaidie kufatilia maandiko vema na kufatilia vema agano jipya na agano la kale ,🤝
Sema mtumishi wa Mungu watu wafunguliwe huyu mtu kashaangusha watu wengi sana Paschal Casiani Mungu akubaliki sana na akujalie miaka mingi ya kuishi ili uendelee kuwasaidia watu wa Mungu wanaodanganywa na ibilisi
2 Wakoritho 8:9 Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.
😂😂 Kweli upo kwny Industry ..... Hayo n zaman sio Sasa ....hyo Industry yako inakupoteza na kupoteza wengne.....Kauli za kihunii mnoo ...."nko smart sn Bro"
Watu wangu wanaangamizwa kwakukosa maarifa,kanisa lakristo, walikabidhiwa mitume wa yesu kristo, hakuna mafundisho hayo kwa kanisa la kristo hakuna, nakubaliana na pascal kasian kwaasilimia mia, hamna mtumishi humu, wakristo iweni macho hizi ni nyakati za mwisho.
Mmi hapa siwezi Amini yeyote Yule heri nijisomee tu bibilia mwenyewe, juu ipm anaongea yaliopo kwenye agano la kale, Na Yesu alisema vizuri kabisa sikuja kuitengua Sheria Bali kuikamilisha😂😂😂😂
Ufunuo 5:9 Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa , MTUMISHI umeongea kweli kabisa, nakuomba mtu uliye okoka usitoe sadaka kwa njia ya kuchinja wanyama hapo itakuwa umempa adui sadaka na si Mungu wa kweli, Toa sadaka mbele za Mungu kama shukurani mbele za Mungu na si kama kafara Mungu awabariki sana, Mtumishi songa mbele na kazi ya Mungu
😅DAMU YA YESU kazi yake ni Nini kwani kuwapa maskini nyama ya mnyama aliyechinjwa kawaida Kuna Nini. Waebrania 9:12 Wala si Kwa damu ya mbuzi na ndama, Bali Kwa Damu yake mwenyewe aliingia mara Moja tu katika Patakatifu,akiisha kupata ukombozi wa milels
Manabii kama hawa ni wamejifunua wazi wazi kuwa mawakala wa shetani. Kumbe Yesu sio sadaka ya kafara! Yesu ndiye sadaka ya milele. Hakuna kafara nyingine itatolewa kwa ajili ya dhambi za mwanadamu. Ipm ni mwongo asiyejificha. Kwanza hajaokoka yaani hamtambui Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yake.
Usiukumu kuja naneno watu wengi awajuwi bibilia tuongee ukwili tunafaa tumupe mungu sataka sawanyama ndiyo sataka nzuri pesa aiwesi kumu kusamungu wanyama ndiyo sataka nzuri
Acha Imani ya kushikiwa wewe!Yesu alivyokufa msalabani ilikuwa ni sadaka kubwa iliyotolewa ya kumwaga Damu ,sadaka za kuchinja zimebaki zinatumiwa na shetani
Ndo maana tunaambiwa tusome biblia nzima na tuelewe tukiongozwa na roho mtakatifu! Sasa huyu mchungaji anatumia neno langu Mungu vibaya kwa kutafsili jinzi anvyo taka yeye 😢
Unamuitaje mwenzako shetani, je nan kati yako na yeye ni shetan.. ILA WACHUNGAJI NYIE BHANA😂😂😂. Kachinja ni ibada, na wakisikia neno kafara bas wanafikiria kama neno lenye maana fulan, shida ni lugha😂
Ndio nduguyangu amevamia ,sasa anapotosha jwa masilai yake tu! Yesu ndiye kafara yetu hakuna damu nyengine ipasayo kufungua wala kuokoa ila ni YESU tu Hallelujah 🙌
Kila mtu anasema chake kuusu bible. But watu tunaangalia namnagani ya kupata mafanikio makubwa So akuna wakumuamini apo chamsingiiii angalia upande unaotufaaa mana watu tunataka mafanikio Mkuu Wacha tumsikilize IPM mana kiukweli watu tunataka kutobowa
Usiposema utadaiwa siku ya mwisho ,Mungu anasema ametuweka Kama walinzi, ukiona mwenzio anakosea unatakiwa kumrejesha, akikubali au akikataa Damu yake haiko juu yako Ila usipomwambia na akaenda jehanam utadaiwa siku ya mwisho
Ubarikiwe sana P kassian umejitoa kwaajili ya huu ukwel Mungu akurinde sana kama chombo chake ❤❤❤❤
Napenda sana mtumishi wa Mungu anaesimamia kweli kristo iliyo hai yenye nguvu ya Mungu,ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Mungu akutie nguvu na akujase na neema pia roho mtakatifu uenderee kutufijulia mengi tujue manabi waungo barikiwa Sana mtumishi WA mungu
Napenda sana unavo chambua haya mambo yama NABII wa uwongo.
Pia ulivo jaribu kushusha sauti ili tukuelewe vizuri. Ikiwezekana shusha tena kigogo sisi tunataka kukusikia sana mtumishi. Asante Nakufuata toka South Africa 🇿🇦
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu Cassian.
Asante sana mtumishi wa Mungu paschal Mungu akutie nguvu na kutufundisha
Huyo ni mpotevu ,jeuri muislamu asiyejua thamani ya bwana yesu kristo,, ashindwe kwa jina la yesu kristo.
Ati mna sema mna ongozwa na roho mtakatifu 😂😂 sasa mngekua mna ongozwa na roho mtakatifu mbona kila mmoja ana sema lake uyu yesu Mungu uyu yesu so Mungu uyo kuchinja zambi uyo so zambi yani wakristo nyie porojo tu hamna lolote 😂
CASSIAN Mungu aliye ndani yako ni mkuu sema ukweli tuponeeeeee
Ayubu 22
21 Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.
Mungu akubariki mtumishi wa MUNGU Pascal endelea na kaz ya MUNGU
Napenda sana injiri unayoitoa na mafundisho yote.... Mungu akuongeze zaid uzidi kuisema kweli yake kwa ujasili
Mungu akubariki sana mtumishi cassian kwa kueleza ukweli na akutie nguvu na uwezo pamoja na ujasiri
Amen mtumishi wa Mungu, nimekuelewa vizuri Sana na kwa utarativu
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa kujitoa muhanga kwa ajili ya kristo
Hongera sana Cassian kwa injili nzuri ya kweli
Ubalikiwe sanaaa mtumishi wamungu
Hahahahaha hii nimecheka sana mtumishi ila umeongea kweli kwa sasa matapeli ni wengi sana kweli kabisa mtumishi hapo umenena
100% true! Be blessed Mr. Cassian
Shetan kabisa huyo, Mungu akubariki sana Pascal cassian uliyetolew sadaka na Yesu kuhusu kuusema ukweli wa Yesu
Makubwa 😢 kweli uyo ni shetani ataa mimi nimeshutukaaaa❌🇰🇪💘🔥
Mungu amrehemu maana hajui atendalo..
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
Huyu ni kiongozi kipofu, anawatumbukiza shimoni wote anaowaongoza.
Pole yao.
Naweza elewa kuwa yuko sahihi kwasababu hiyo desturi ya kuchinja wanyama ilkuwa wakati wa manabii wa zamani tu, katika agano la kale tu.
Ila sisi tulishakombolewa kupitia kifo cha Yesu pale msalabani yeye alichinjwa mara moja tu for us so inatakiwa tumwombe Mungu kupitia jina Yesu ambaye ndiye mwanakondoo pekee aliyetolewa kwaajil ya ukombozi na kututoa ktk uchinjaji wa hao wanyama,,,,
Amina tubarikiwe sote Mungu atusaidie kufatilia maandiko vema na kufatilia vema agano jipya na agano la kale ,🤝
Ubarikiwe sana
Hana Mungu! Hana neno wala Roho mtakatifu.Amen
HONGERA SANA Mtumishi unasema kweli wa neno na tunazidi kukufatilia tunaona nisahihi kabisa
sadaka za kuchinja zilikuwa enzi hizo, Ilifika kipindi Fulani Bwana Mungu Alikataa sadaka za Hivi. Kufanya hivi unatoa sadaka kwa shetani
Asante Baba ni ukweli❤❤❤❤
Sema mtumishi wa Mungu watu wafunguliwe huyu mtu kashaangusha watu wengi sana Paschal Casiani Mungu akubaliki sana na akujalie miaka mingi ya kuishi ili uendelee kuwasaidia watu wa Mungu wanaodanganywa na ibilisi
Sema kwerii baba waaambie na tuzidi kumuomba MUNGU atusaidie atuepushe
Jamani haya mambo yanaogopesha sana sanaa,ila nazidi kuamini kuwa Yesu yupo anarudi kuchua kanisa lake.
Ameen ameen mtumishi lia naomba utuwekee pale tiktok ili wengi wabarikiwe na injili hii maana vijana wengi wanashinda tiktok🙏🙏🤝🤝
Kwa kweli my dear
Hongera sana mtumishi wa mungu wakweli poster Cassian kwakututoa kwenye Giza nene
Nilikuwa sijui haya Kwa uyu jmaaa Asante sana kwatufungulia haya
Sadaka kuu ni Yesu Kristo tu!!!!
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 penda Sana mahubiri yako
Ubarikiw Sana mtumishi wa Mungu
Mungu atusaidie sana jaman
Asante sana kusema kweli ❤❤
Kwa kweli tusipojisomea Biblia wenyewe, Roho Mtakatifu akiwa kiongozi wetu,tutaangamia bure eti kutoa kafara si vibaya??? Mungu atusaidie
Nipepo iyo sisi wengine tuliinuliwa na Mungu mbila kutowa sadaka yakafara
2 Wakoritho 8:9
Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.
Damu ya Yesu ilimaliza yote,ndiyedhabihu ya milele.
😂😂 Kweli upo kwny Industry ..... Hayo n zaman sio Sasa ....hyo Industry yako inakupoteza na kupoteza wengne.....Kauli za kihunii mnoo ...."nko smart sn Bro"
Mungu akulinde
IPM, huo sio ukristo huo ni uganga wa kienyeji au ni agano la kale wewe humwadhimishi kristo.
Naaam
Mungu akubariki sana
Nakuelewa sana cassian Mungu akubaliki mtumishi wake
YESU KRISTO AKUTIE NGUVU KUSEMA UKWELI HUU AMINA
Yesu Kristo kifo chake msalabani kimemaliza yote yeye akawa sadaka Kwa ajili yetu na pia yeye ndie Kuhani mkuu
Wewe Sadaka ya Damu YESU alikuja kufungua kazi, Sadaka ya Damu sahv hamna.
Pole sana mtumishi wewe bado ungalimisri kwahiyoajui kwamba yesu ndiye aliyejitolwakafara kwaajiliyetu
Ni kweli yesu amejitoa kafara ila jambo la msingi ni kwaajili ya dhambi zetu(za ulimwengu) utajiri ni na mengine ni ziada tu mtu wa Mungu.
@@brushisageni79Haswaaaaa wengi hawasomi biblia wanapenda kutiwa moyo lakini mafanikio hayaji kiholela
Nakupenda Sana mutumichi
Wa mungu unaongea ukweli kabisa
Amin
Hizi ni nyakati ngumu,Yesu atusaidie
Nikweli tuzid kumtafuta MUNGU
Merci beaucoup
Mungu akutiye nguvu
Duh mungu shuka Tena
Kwahiyo Yesu Hana kazi Tena yan
Asantee mtumishi ❤
Watu wangu wanaangamizwa kwakukosa maarifa,kanisa lakristo, walikabidhiwa mitume wa yesu kristo, hakuna mafundisho hayo kwa kanisa la kristo hakuna, nakubaliana na pascal kasian kwaasilimia mia, hamna mtumishi humu, wakristo iweni macho hizi ni nyakati za mwisho.
Mmi hapa siwezi Amini yeyote Yule heri nijisomee tu bibilia mwenyewe, juu ipm anaongea yaliopo kwenye agano la kale, Na Yesu alisema vizuri kabisa sikuja kuitengua Sheria Bali kuikamilisha😂😂😂😂
Daah😢
Nyiewachungaji kilammoja anavutakambakwake hapo ukweli niyule atakae kuelewawewe!!🎉yesu alimwaga dam kwa thambi TU sio kwaaendeleo ya mafanikio
Kwakweli nihatari mungu atusaidie
Umenifunulia kilicho jificha kwa IPM Mngu akubariki sana 🙏 anajifanya anavikiripu vya kuelimisha kumbe hamna kitu
Huyu ni wa kuzimu direct
Ufunuo 5:9 Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa , MTUMISHI umeongea kweli kabisa, nakuomba mtu uliye okoka usitoe sadaka kwa njia ya kuchinja wanyama hapo itakuwa umempa adui sadaka na si Mungu wa kweli, Toa sadaka mbele za Mungu kama shukurani mbele za Mungu na si kama kafara Mungu awabariki sana, Mtumishi songa mbele na kazi ya Mungu
Hiyo mikafara Yesu aliimaliza pale msalabani
Kwani kipindi cha Ayuobu watu wote walikuwa matajiri,Elewa YESU alijitoa kwa ajili yetu kwahiyo yote yalikwisha pale Kalivari yaani msalabani
😅DAMU YA YESU kazi yake ni Nini kwani kuwapa maskini nyama ya mnyama aliyechinjwa kawaida Kuna Nini. Waebrania 9:12 Wala si Kwa damu ya mbuzi na ndama, Bali Kwa Damu yake mwenyewe aliingia mara Moja tu katika Patakatifu,akiisha kupata ukombozi wa milels
NIMEKUELEEEEEEWA EV PASCHAL CASSIAN❤❤❤❤
Hii ni roho ya mpinga kristo na nabii wa uongo
IPM hajui maandiko. Ainaingiza mafundisho ya kiislamu katika Ukristo. Ni kweli ni tapeli wa maandiko. Hafai
Kwa hiyo wanachinja wanawapa masikini wale kwa sababu masikini wao wanataki kula mikosi ya matajiri?😢😢😢Mungu atusaidie
Manabii kama hawa ni wamejifunua wazi wazi kuwa mawakala wa shetani. Kumbe Yesu sio sadaka ya kafara! Yesu ndiye sadaka ya milele. Hakuna kafara nyingine itatolewa kwa ajili ya dhambi za mwanadamu. Ipm ni mwongo asiyejificha. Kwanza hajaokoka yaani hamtambui Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yake.
Apo Me nakataa et atukuletwa Duniani Ili kuwa matajili Kwa Dunia ya Sasa Mkuu apana mbona mfalme Daudi alikuwa ni tajili
Ebr 9:18-22....watu hawasomi ndio shida inapoanzia...wamekaririshwa mapokeo!!!
Na je yesu alikufa kwaajili ganiii
Huyo ni shetani anaongea kupitia kinywa cha nabii wake wa uongo amen.
Pastor lpm, some things are spiritual not physical,eve Witchers are doing that, like tuliokoka mambo yetu ni spiritual
Mtumishi Paskali kwahili nakuunga mkono. JPM ni muislam aliyevaa ngozi ya ukristo. Huyo nishetani.
Mmmh damu ya Yesu inatosha
❤❤❤❤
Usiukumu kuja naneno watu wengi awajuwi bibilia tuongee ukwili tunafaa tumupe mungu sataka sawanyama ndiyo sataka nzuri pesa aiwesi kumu kusamungu wanyama ndiyo sataka nzuri
Acha Imani ya kushikiwa wewe!Yesu alivyokufa msalabani ilikuwa ni sadaka kubwa iliyotolewa ya kumwaga Damu ,sadaka za kuchinja zimebaki zinatumiwa na shetani
Jitafakari na uelewa wako
Wewe bado niwa shetani
Dunia imeisha
Hii ni heresy sababu Yesu Kristo alijitoa Kafara msalabani. Atuhitaji kafara ya wa nyama tena. Hii ni uchawi.
Ndo maana tunaambiwa tusome biblia nzima na tuelewe tukiongozwa na roho mtakatifu! Sasa huyu mchungaji anatumia neno langu Mungu vibaya kwa kutafsili jinzi anvyo taka yeye 😢
Unamuitaje mwenzako shetani, je nan kati yako na yeye ni shetan.. ILA WACHUNGAJI NYIE BHANA😂😂😂.
Kachinja ni ibada, na wakisikia neno kafara bas wanafikiria kama neno lenye maana fulan, shida ni lugha😂
Kweli ni pepo kabisaaa kutoka kuzimu moja kwa moja.
Mimisimlaumu tatzo kaivamia bibilia kwa mbele, angetulia afundishe, kafara ishatolewa yesu amekuakafara yetu sisi
Ndio nduguyangu amevamia ,sasa anapotosha jwa masilai yake tu! Yesu ndiye kafara yetu hakuna damu nyengine ipasayo kufungua wala kuokoa ila ni YESU tu Hallelujah 🙌
Jamani huyoo ipm ata mimi nisie sali nilshamshitukia kitambo hakunaga nabiii wa ivyoo,
Kila mtu anasema chake kuusu bible.
But watu tunaangalia namnagani ya kupata mafanikio makubwa So akuna wakumuamini apo chamsingiiii angalia upande unaotufaaa mana watu tunataka mafanikio Mkuu Wacha tumsikilize IPM mana kiukweli watu tunataka kutobowa
Nikweli muchungaji
Ningekuwa na uwezo nisingekula nyama ya kiumbe chochote
Kafala ni Agano la kale Yesu alitoa Damu yake ndio ya thamani !
Uisilam hakuna mchanganyo😂
Yesu tusaidie
Ingependeza ukihubiri YESU,WATU WAACHE ZAMBI UZINZI,WATUBU WAKIKOSEA,MOTO UNAKUJA NA WACHUNGAJI WAMEACHA KWELI WANAHUBIRI PESA,UNABII WA UWONGO.CASIANI KAZI NZURI
Usiposema utadaiwa siku ya mwisho ,Mungu anasema ametuweka Kama walinzi, ukiona mwenzio anakosea unatakiwa kumrejesha, akikubali au akikataa Damu yake haiko juu yako Ila usipomwambia na akaenda jehanam utadaiwa siku ya mwisho
Au ww miongon mwao
HAKUNA MJINGA KAMA WEWE SOMA WAEBRANIA 10:5-13
HONGERA SANA MTUMISHI WA MUNGU..
Mtumishi ,naomba umpinge kwa hoja mimi nakufatilia naona unabwata tu, maandiko hakuna tu,maandiko ya kupinga hili tupe utamu