NGUVU YA MSALABA WA KRISTO MAISHANI || PR. DAVID MBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Mkutano maalumu wa kukomboa familia yako, mafundisho makuu yanaletwa na mchungaji David Mbaga. Utakutana na masomo ya afya na malezi, pamoja na masomo yenye kukutia moyo katika changamoto unazozipitia wewe kama mwanafamilia. Karibu sana.
    #pizzoonlinetv #family #familyvlog #familylove #atape #ATAPERetreat2024 #mbeya #greencity #ibadahonline #sdasermon #sdachurch #sda

ความคิดเห็น • 49

  • @annamariakambi9858
    @annamariakambi9858 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe sanaa Pastor kwa mafundisho ya ukweli

  • @thobiasmwalimo775
    @thobiasmwalimo775 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe pastor kwa kutufunulia haya ambayo yanatufanya turudi nyuma

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana 🙏

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nabarikiwa sana
    Mungu atusaidie tufike Mbinguni tukae nae

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  4 หลายเดือนก่อน

      Amina, na iwe hivyo

  • @Alan-g2t
    @Alan-g2t 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwakweli mtumishi tangia nianze kusikiliza mahubili Yako nabarikiwa sana tena sana, Mungu akulinde na akutumie apendavyo yeye.

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  4 หลายเดือนก่อน

      Hallelujah ubarikiwe sana Mwana wa Mungu

  • @thobiasmwalimo775
    @thobiasmwalimo775 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe pastor kwa kutufunulia haya

    • @pizzo9500
      @pizzo9500 18 วันที่ผ่านมา +1

      Amina

  • @deboramsangi360
    @deboramsangi360 4 หลายเดือนก่อน +9

    Hii kula au kulala Kwa mchawi inategemea na ukiroho wa mtu binafsi baba. Napenda kukusikiliza sana

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  4 หลายเดือนก่อน +3

      Endelea kubarikiwa

  • @jacquelinebyaombe9729
    @jacquelinebyaombe9729 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @mariamkibebeti1254
    @mariamkibebeti1254 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mchungaji ubarikiwe , ila naomba unisaidie tofauti kati ya viumbe walio tupwa pamoja na shetani (pepo wa chafu na majini) na hao viumbe wengine wa sayari ambazo dhambi aikuingia.

  • @mshigilakarume4425
    @mshigilakarume4425 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amen pasta

  • @MaryWanjiku-tr8ji
    @MaryWanjiku-tr8ji 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asnte yesu kwaupatanisho

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  4 หลายเดือนก่อน

      Amina🙏🙏🙏

  • @BeatriceMathew-qy5lw
    @BeatriceMathew-qy5lw 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nilikuwa naangalia haya mahubiri gafla simu ikapigwa na ndugu zangu ambao sio wema sana kule kijijini kwetu kumbe moja wao anaumwa nikamwambia utapona yani nina kama mwaka moja sijawai ongea nae lakin leo amepiga simu uku nasikiliza mahubiri haya

    • @pizzo9500
      @pizzo9500 18 วันที่ผ่านมา +1

      Huu ni muujiza

    • @MiltonElmas
      @MiltonElmas 17 วันที่ผ่านมา +1

      AMEN AMEN

  • @YohanaJames-e2j
    @YohanaJames-e2j 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nilikuwa nalitafuta sana hili somo hili ubarikiwe sana

    • @pizzo9500
      @pizzo9500 18 วันที่ผ่านมา +2

      Amina, barikiwa sana

  • @BeatriceMathew-qy5lw
    @BeatriceMathew-qy5lw 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mtumishi naipate no yako ya simu nataka kuongea na wewe

  • @MurungiRaeli
    @MurungiRaeli 28 วันที่ผ่านมา +2

    Hakika nilitazama somo hili nikafunguliwa vifungo vilivyonitesa kwa muda mrefu.
    Hata sasa kwenye kazi yangu ninaufurahia ushindi wa Yesu.

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  26 วันที่ผ่านมา +1

      Amina, ubarikiwe sana

  • @thabitawanka963
    @thabitawanka963 4 หลายเดือนก่อน +3

    40:57 40:59 41:01 41:02

  • @raelkerubo2276
    @raelkerubo2276 หลายเดือนก่อน +1

    Nauliza ni wapi naweza pata nabari ya simu ya pastor mbaga

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  18 วันที่ผ่านมา +1

      Bofya hapa au ingia TH-cam tafuta account yenye jina la Mahubiri Tv utaiona juu kabisa kwenye ukurasa huo

  • @MussaAdballa
    @MussaAdballa 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤🤝👆

  • @annamariakambi9858
    @annamariakambi9858 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ufanikwe sana Pastor endelea kutupatia neno

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  10 วันที่ผ่านมา +1

      Amina ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aminaaa

  • @elietuyizere4129
    @elietuyizere4129 4 หลายเดือนก่อน +2

    kumbe guhama duka kwasababu yaucawi ni ujinga?

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  4 หลายเดือนก่อน +1

      Bila shaka,, inabidi uache mara Moja huo uoga🤗

  • @Edward_Ndaro
    @Edward_Ndaro 3 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana Pastor

  • @jacquesmwangu1541
    @jacquesmwangu1541 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hubiri hili Lina jenga tena saana mubarikiwe

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  4 หลายเดือนก่อน +2

      Amina, barikiwa pia

    • @pizzo9500
      @pizzo9500 18 วันที่ผ่านมา +1

      Hakika, tubarikiwe sote

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutunze, Mh. Mmbaga

    • @pizzoonlinetv
      @pizzoonlinetv  3 หลายเดือนก่อน

      Amina, barikiwa pia

  • @zabronemmanuel-eo1om
    @zabronemmanuel-eo1om 4 หลายเดือนก่อน +3

    Amina nabii wetu ubarikiwe sana