Daktari huyu anaeleza makosa unayofanya kwenye chakula ulacho, UTASHANGAA, epuka Kisukari etc- Pt 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Boaz Mkumbo MD, ni Daktari wa magonjwa ya binadamu. Ni Mkurugenzi wa Healthy Eating Co.Ltd na Healthy Eating Academy ambayo imejikita katika kupenyeza elimu ya sayansi ya mapishi na magonjwa ya lishe.
    Fuata link hii kusubscribe kwenye channel yake ya TH-cam
    / @drboazmkumbomd

ความคิดเห็น • 49

  • @mylesaman4542
    @mylesaman4542 3 ปีที่แล้ว +13

    Ninacho kipenda hapa SNS mpo kama kachumbari... Afya,entertainment, sports, lifestyle, story, uchambuzi wa taarifa mbalimbali.. N.k....congratulation nyingi kwenu i see you in SNS GLOBAL MEDIA (SGM)

  • @shangwenyanjigamanyasi1495
    @shangwenyanjigamanyasi1495 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante doctor umeniongezea maarifa :Barikiwa sana

  • @khamisrajabu1107
    @khamisrajabu1107 3 ปีที่แล้ว +3

    Nilianza kumfaham kitambo sana huyu doctor na kununua kitabu chake 2018,namkubali sana sana,i wish wabongo tumfatilie

  • @eddimalon6051
    @eddimalon6051 3 ปีที่แล้ว +2

    Kasheshe mwaka huu, hongera sns kwa interview mzuri kama hizi,
    watching from Ireland.

  • @Papaachina
    @Papaachina ปีที่แล้ว +1

    Asante doctor Boaz Mkumbo Nsambo Polyclinic

  • @owlbig
    @owlbig 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante doctor 👨‍⚕️

  • @alineolivia2392
    @alineolivia2392 3 ปีที่แล้ว +1

    This guy is the real doctor yani doctor wangu alinambia hivyo hivyo.

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah! shukran sana

  • @SUNDAYMRGAMINGTZ
    @SUNDAYMRGAMINGTZ 3 ปีที่แล้ว +3

    Sns mwaka 2021 itatimiza subscribers 1M na mpaka mwaka 2021 ukiisha.. tutakuwa na 1.5M .... nyie ni watoa habari no 1 ...nikisema online tv yenye power na yenye mashabiki damu damu... ni nyie....

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  3 ปีที่แล้ว

      Tunashukuru sana Sunday

    • @geturdablatch9706
      @geturdablatch9706 3 ปีที่แล้ว

      Nawapenda sio wale wanatoa kichwa tofauti na habri tofauti

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 3 ปีที่แล้ว +2

    Dakitari leo amepatikana,maswali magumu kutoka kwa sns.

  • @stephanieeunice8572
    @stephanieeunice8572 3 ปีที่แล้ว

    Wow I love this,every educative

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza kitu 🤝🙏❤🇹🇿🇨🇭

  • @CreshaRevelian-wb6ky
    @CreshaRevelian-wb6ky 5 หลายเดือนก่อน

    Nataman nikutane nae Kwan alinisaidia kwa tatizo la kisukari hususan diet ya juma Tatu Hadi jumaplil. Asubuh mchana jion.mungu awapaliki wazaz na walimu wake.kitabu hicho ni kizur sana nilitakiwa nife 2019.

  • @rosemshilla8025
    @rosemshilla8025 3 ปีที่แล้ว +1

    Watching from Germany,Nimependa mazungumzo haya, Daktari amefafanua vizuri lakini hakuambia wanainchi kua kuna kisukari aina mbili, diabetic type one ambao hailetwi na lifestyle wala uzito wa mwili, ambayo haiko reverseable na diabetic type two ambayo yeye ameiongoleya inayo letwa na uzito na lifestyle ambayo ni reverseable. Pls sns jaribuni kufafanulia wanainchi vizuri.

    • @khamisrajabu1107
      @khamisrajabu1107 3 ปีที่แล้ว

      Soma kitabu chake dada,mimi nimesoma huyu jamaa anatupenda watanzaia

    • @geturdablatch9706
      @geturdablatch9706 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli nafikiri ameepitiwa tu. Ila kitabu chake kimeeleza

  • @sophiasophia9713
    @sophiasophia9713 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kwa elimu nzuri.

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 3 ปีที่แล้ว

    Asante docta upo vizur sana

  • @nasibndaro6281
    @nasibndaro6281 3 ปีที่แล้ว +1

    Vipi mungeweka pia katika Amazon ama Ebay ikawa rahis kupata kwa sisi tuliopo mbali huku Emirates.na tuhitaj kukipata Mr.sky .

  • @mapenziluwa8061
    @mapenziluwa8061 6 หลายเดือนก่อน

    Asante no nimezipata Dr.

  • @aminatundondege9384
    @aminatundondege9384 3 ปีที่แล้ว

    Daktari nimekuelewa vizuri asante.

  • @emanuelpetro7701
    @emanuelpetro7701 8 หลายเดือนก่อน

    asante kwa elimu

  • @mwajiranimesalimu5509
    @mwajiranimesalimu5509 3 ปีที่แล้ว

    wallahy huyo daktari yuko vzri sana hayuko kibiashara kama madaktari wengine.

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 3 ปีที่แล้ว +1

    GMP

  • @mohamedidd3145
    @mohamedidd3145 3 ปีที่แล้ว

    Dr Boaz Mkumbo 💪 💪 💪

    • @khamisrajabu1107
      @khamisrajabu1107 3 ปีที่แล้ว

      Nafurah kujua wamfaham

    • @mohamedidd3145
      @mohamedidd3145 3 ปีที่แล้ว

      @@khamisrajabu1107 Najifunza vingi sana kutoka kwake Mungu ambariki sana

  • @africano98.
    @africano98. 3 ปีที่แล้ว +3

    Iko kitabu kama angeweza pia kukiweka amazone kwa sisi tuliokoo nje ya nchi tuweze kukinunua by Amazon

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 ปีที่แล้ว

      Wazo zuri

    • @salmaabdulla5214
      @salmaabdulla5214 3 ปีที่แล้ว +1

      Anakuwa anaweka Amazon.Mie nipo Uk nilikuwa kwenye programme yake na nimeloose 10 kilo for 3 months 👌👌👌God bless him😍

    • @africano98.
      @africano98. 3 ปีที่แล้ว

      @@salmaabdulla5214 👍🏼👍🏼

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu baba kanisaidia sana nimepungua kilo ndani ya mda mchache yupo vizuri

  • @eddyevarist2593
    @eddyevarist2593 3 ปีที่แล้ว

    yan hapo aliposema ubwabwa na juice utadhan kaniona navyokula had ham ya chakula imeisha

  • @mwasitiiddy7425
    @mwasitiiddy7425 3 ปีที่แล้ว

    Apo kweny sukar dokt mbon mtihan kway sod tusinywe ata juic zakutengenez naz tusinywe matund je kam nanan mua emb nahay tusile😭

  • @DAMUSAFI
    @DAMUSAFI 3 ปีที่แล้ว

    NINGEPENDA NIJUE NI AINA GANI YA CHAKULA NAWEZA KULA KWA MWWZI AU SIKU YISINI KAUPARA KANGU KAKAPOTEA KWASABABU NIKO KAONA NAPOTEZA NYWELE NIPE KITU GANI NAWEZA KULA ILI NYWELE ZI RUDI KAMA KIJANA

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 3 ปีที่แล้ว

    Hahaha mie mwenyewe situmie tena sukari natumia Asali , Hahaha ila wanasema bora asali honey 🍯 kuliko sukari. Hummmm inabindi tukaache vyote sasa 😊😀😉

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 3 ปีที่แล้ว

    Ee siku hizi sasa watu wameanza kufunguka kweli kweli.

  • @mapenziluwa8061
    @mapenziluwa8061 6 หลายเดือนก่อน

    Dr naomba tuma no yako ya simu tafadhali

  • @emanuelmbondo4598
    @emanuelmbondo4598 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee, wauza asali mmenikosa sasa.

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 6 หลายเดือนก่อน

    😂Samahani.wamiliki wa vyombo uhabarishaji eg mitandao ya kijamii,,msituletee watu wa ajabu.Huyu ndiyo awé mfano kwenu..

  • @greatmangii
    @greatmangii 3 ปีที่แล้ว

    Kama watu watafata hili watabadilika miili yao maana zipo dhana potofu kuhusu lishe

  • @mapenziluwa8061
    @mapenziluwa8061 6 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️