Konde BOY Jeshi Wa Bongo Star Search | Harmonize hapa kakalishwa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 พ.ย. 2021
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 12 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - บันเทิง
Wallah asante Mungu kunifanya nizaliwe Tz hzi raha ningezipata wap🤣🤣🤣🤣🤣
One thousand for each person 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umetisha mazee👏👏👏👏
😂😂😂😂😂Naipenda nchi yangu Tanzania 🇹🇿
Konde boy everywhere... Bigup bro
Aya maisha ya bongo star seag yana nipa raha sana😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
I love my country Tanzania today tommorow and forever🤝🤝🤝
Nampenda Sana Harmonize,,konde Boy,Jeshii
Tanzania nchi yangu naipenda Sana😅😅😅😅
Nyie bss majaji wananenepa kwa vituko ...
Lakn IPO siku watafyatuliwa kweli nmecheka kama mjinga
salama nae mnaaa kama nini hata kusupport utani hataki kila kitu kwake anaweka roho mbaya
Salama katisha sana.
Unajituma Sana Teacher robot nikiwai kukwambia utafika mbali best keep it up ........mama prince anakufatilia sana
Aki nimecheka hahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂
Tanzania ni nchi pekee ya amani na uzalishaji mwingi wa watu wenye vituko
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We mavi nn
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uyu mavi kweli
Bro niko pamoja nawewe kweli watu vituko
😂😂😂😂nimejikuta na cheka kwa nguvu jamani huyu Konde noma
Jesh njoo uku kuna somo Yko
Yes yakumuhogopa Jeshi 🤣🤣
Kweli jua kali bongo hadi watu wanachanganyikiwa kmk😂😂
Nani kafika mpaka pale jamaa anasema mbona hajaniambia yes or not😂😂😂👏👏👏
Jeshiiiiiii 🔥🔥🔥🔥
Bange.
Kamanda katisha😂😂😂😂
😆😆 Noma sanaa kondee
Noma
Tz tamu sana
Nipo sana
😂😂😂😂Tanzania sihami🤣🤣
Yan mpk aibu naskia mm apa
Wow
Huyu jamaa ni kama anatisi mtu flani🙃🙃😂
🔥🔥🔥🔥💯
I❤️Tanzania😂❤️
Kr talenti
Huyu jamaaa amekuja kufanya nini.
Mbona hamja sema yess!!!!!!
Hahahahahahahahahah.
Hajaimbaaaa yes itatokajeee
Good
Jamaa kaua kwa style hii
Ana kizungu kizuri kushinda kondeboy
😂😂😂 dah yan bongo sihami
😂😂😂😂 wallah balaa hii, nimechoka yangu yote.
anatafuta jina keywords yake iweze kuwa na nguvu ... maana Ni muigizaji
Manshahallah
People wow😍😍😍🤩🤩🤩💯💯💥💥
😀😀😀. Huyu jamaa kanizidi u-serious.
Hahahahahaa
Hiii nfo tanzania jamn
Bongo raha sanaaaaaaaa😆😆😆😆
Mkali sana
My country yooo😂😂😂😂 nakwambiaje sihamn
Salama hoi
Hivi huyu ukute ni mume wa mtu 😂😂😂😂😂
Umewaza nini😂😂
Harmonize 👐
A man who loves his own country,let's go kondeboy,100% god intervene in your trying harder
Kondee boyii
Nimecheka sanaaa
Jeshiii
Nzurii😁😁😁😁
Konde anapaswa awashe moto mwingine awachome kabisa 🔥🔥🔥🔥
inasemekana kwamba wataalamu wapo maabara kutafuta chanjo za kupunguza vikatuni tanzania🤣🤣🤣
Jamani 😀😀😀😀😀😀😀😀😀☺☺☺☺
Jamaniii c mwaona vituko
Konde boy jeshi😅😅😅😅konde kila mahali
Upuuzi konde boy
Hahaaah uwiì mbona jeshiii ila bangi c mboga majan hahaah eeh Mungu tusamehe
Haaaaa bongo siami mimi
❤❤❤❤❤
Kamanda🤣🤣🤣🤣💥💥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bangi ni mbaya sana!
On Africa Tanzania 💪
Nimecheka sana duh
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Basi tupeane mkono 🤝 tuone nano kashinda
He is serious wallah
Wou
Mtu akutoe tz akupeleke WAP jmn kwa raha hiz hahaa
😂😂😅 hatareee
Mashabiki wa konde
Nime cheka sana
😂😂😂😂Nyiye wa tanzania nyiye😂😂
😃😃😃😃
Wah jeshii amaetisha😆😆😆
AHAHAHAAAAAAAAAAAAA eti nakufyatuaa😂😂😂😂
Konde boy ana kijiji 😁😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣Hililijamaa halielewi Kwan nimashindano ya usoja hayo
Hii ni bongo soldier search
Jaman nyie😂😂😂😂😂😂
he is hilarious
Amepiga hela anatembea zake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jeshi
I really wish there were audition like this in Kenya
Me to 😅
Sure
😀😀😀
Oho
Siku nyingine muwe mnafanyia BSS karib na Milembe..hawa wengine iwe rahisi kuwasukumia Milembe.
Huyu jamaa muigizaji
🤣🤣 haya bana
Konde njoo uone huku pacha wako 😅😅😅
😂😂yauya
Jeshi baba😄😄😄
Jamani ivi wanafanyanga makusudi huwa hawajui sasa hapo ndo kaimba au kuvuruga mda tu poleni majaji
Madam Ritha Mwanagalieni Usoni nyieeee 😂😂😂😂😂😂😂Aliogopaa 😂😂😂😂
Hahahha😀yah kwel sema lzm uogope weee
😅😅😂😂jamani watanzania
Daaaaaah