Kutambulisha CHAMA | S01Ep01 MGOMBEA |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ต.ค. 2021
  • Created By Oka Martin
    Assistant Mwalimu Caroza
    Follow us on Instagram :
    Oka Martin : / oka_martin
    Mwalimu Carpoza : / officialcarpoza
  • ตลก

ความคิดเห็น • 568

  • @wanyabi
    @wanyabi  2 ปีที่แล้ว +231

    Tunashukuru kwa uwepo wenu.

    • @nzamiltv4788
      @nzamiltv4788 2 ปีที่แล้ว +3

      Mlihadmika...

    • @markdaprincekenya9739
      @markdaprincekenya9739 2 ปีที่แล้ว +3

      Nduthi 💔😂😂😂😂
      Kijana hajakutambulisha vyema... Upuuuzii 🤣😂😂😂😂😂😂

    • @haafidhaboubakary3097
      @haafidhaboubakary3097 2 ปีที่แล้ว +4

      🤣🤣🤣🤣
      Mheshimiwa #Carpoza kazingua, mkutano wa siasa na kutambulisha wake zake wapi na wapi😂😂🙌🙌
      All in all you guys mnafanya kazi nzuri na Bora Sana kwaajili ya fans wenu much respect to you Guys🔥🔥

    • @michaelboaz8108
      @michaelboaz8108 2 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣

    • @josephallamano6335
      @josephallamano6335 2 ปีที่แล้ว +1

      One of your biggest fun from 254,wekeni content Kila weeky

  • @mkushiandikayakoachananaya7944
    @mkushiandikayakoachananaya7944 2 ปีที่แล้ว +57

    "Tukipata, mtukumbuke, mtasubiri sana" aah tumepigwa!

  • @ephraimmalecela1541
    @ephraimmalecela1541 2 ปีที่แล้ว +23

    Namshukuru mama angu kwa kupata tabu San ya kuolea tahira hili 😂🤣🔥🔥🔥😏

  • @hatibuhashim4092
    @hatibuhashim4092 2 ปีที่แล้ว +36

    Tumepigwaaaaaaa😂😂😂😂😂 mtasubiri sanaaa 🙆🙆🙆Chama Cha walaji pekeee yaan nyieee

  • @dr.rimack8484
    @dr.rimack8484 2 ปีที่แล้ว +9

    '...Sungusungu ntakupa vifaa vyote mpigane wenyewe mpaka muuwane..' ha ha haa what a comedians make me ribs break

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 2 ปีที่แล้ว +19

    Nimecheka Sana tena Sana jamani

  • @sadikizuberinganzi6387
    @sadikizuberinganzi6387 2 ปีที่แล้ว +5

    Nawakubali ndugu zangu mwenyezi mungu awalinde mxitengane muzidi kutufuaraixha nimefurai kwakweli kwa aidia za uchekexhaji mnazo kuja nazo

  • @norbertcplyian5138
    @norbertcplyian5138 2 ปีที่แล้ว +6

    Nyie viumbe sjawahii jutia kuwaangalia safii sana hii combination hatrii sana utafikrii hamtoact mmemaliza thanks a lot kazii nzurii🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤️❤️

  • @mshambaflan
    @mshambaflan 2 ปีที่แล้ว +14

    Mnabadilisha upepo unexpectedly 🔥👍

  • @mirrorayotech2914
    @mirrorayotech2914 2 ปีที่แล้ว +7

    Sana sana sana wanyabi nawakubali

  • @denicejumah9891
    @denicejumah9891 2 ปีที่แล้ว +5

    Nyie majamaa mnatakiwa mzeeke mkiwa hvo hvo

  • @uniquehandxome6238
    @uniquehandxome6238 2 ปีที่แล้ว +8

    Bodyguard nae hana kazi kama nyinyi😂😂😂

  • @bilahimwalia1452
    @bilahimwalia1452 2 ปีที่แล้ว +10

    Nakubali sana.
    One love from Mozambique 💪💪

  • @leahdaudi9104
    @leahdaudi9104 2 ปีที่แล้ว +5

    Daaah hakika ubunifu mzuri... Nimecheka sana aisee... Mtasubiri sana 🤣🤣🤣🤣

  • @teknodramaboy8376
    @teknodramaboy8376 2 ปีที่แล้ว +7

    nimefurahi sana jamani na natamani siku moja nijutane na ninyi live

  • @raikamsela
    @raikamsela 2 ปีที่แล้ว +8

    Hongera sana tupo pamoja

  • @victzjohn7058
    @victzjohn7058 2 ปีที่แล้ว +10

    Oka na carpoza ndio wachekeshaji Tanzania wengine wanapiga kelele tu hii creativity ni ya level nyingine Mungu awalinde

  • @innomchaga
    @innomchaga 2 ปีที่แล้ว +10

    Mmetisha sana,. Nakubali🔥🔥🔥🔥

  • @jacksonmachela6063
    @jacksonmachela6063 2 ปีที่แล้ว +17

    Daaaaaaaaaa maselaaaaa 🤣🤣🤣🤣🙌🏾

  • @josephallamano6335
    @josephallamano6335 2 ปีที่แล้ว +36

    "Mimi ata sielewi😟"
    "Tulia wewe 😠"

    • @wanyabi
      @wanyabi  2 ปีที่แล้ว +4

      Hahaaaa!

  • @mrfesto6480
    @mrfesto6480 2 ปีที่แล้ว +3

    ukipataa....
    Mtasubiri sana
    gonga like twende

  • @abygaelshadrack4819
    @abygaelshadrack4819 2 ปีที่แล้ว +10

    Hahahaha nawapenda mno

  • @pesambilimusic3859
    @pesambilimusic3859 2 ปีที่แล้ว +7

    Wazee hamjawai niangusha 🔥🔥🔥

  • @robinmdamu3938
    @robinmdamu3938 2 ปีที่แล้ว +4

    Haha Carpoza weuweee utasubiri saana,kazi nzuri mkuu

  • @michaelaiko5114
    @michaelaiko5114 2 ปีที่แล้ว +9

    😂😂😂 mtasubiri sana

    • @kawazfa
      @kawazfa 2 ปีที่แล้ว

      Utaipenda na hii
      th-cam.com/video/GwFfgbiz9aM/w-d-xo.html

  • @kitunganolwebo7570
    @kitunganolwebo7570 2 ปีที่แล้ว +5

    Tukipataaa…!! : » mtukumbuke… » , 😜😉mtasubirii sanaa…

  • @stephentemba7639
    @stephentemba7639 2 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂😂😂😂😂waipitii woyeeee

  • @baristaramsay1491
    @baristaramsay1491 2 ปีที่แล้ว +4

    Dah wanyambii mumetisha respect

  • @masumbukojackson9675
    @masumbukojackson9675 2 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂😂😂 mtalima sana Kwa masululu

  • @ottonmbona2842
    @ottonmbona2842 4 หลายเดือนก่อน

    Show kali nawakubali ma brother wangu❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @alexandermvella4549
    @alexandermvella4549 2 ปีที่แล้ว

    Yah haha haha haha haha nyie noma aise na cheka mwenyewe hapa

  • @omarmazoka5063
    @omarmazoka5063 2 ปีที่แล้ว +14

    Bom trabalho 💪💪🇲🇿

    • @GibiGene
      @GibiGene 2 ปีที่แล้ว

      Oooh😂

  • @lordsmenas3267
    @lordsmenas3267 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongeren kwa KAZI nzur

  • @samahsoundz3410
    @samahsoundz3410 2 ปีที่แล้ว +2

    Aseeee!! Bonge la ubunifu wazeee,,, nakubaliii🔥🔥

  • @DrNick-hg6il
    @DrNick-hg6il 2 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo la kulima kwa jembe lamkono nitaliondoa kwa kuleta masululu , mtalimia sana masululu mpaka ardhi itaeleza🤣🤣🤣

  • @shebyrostam6816
    @shebyrostam6816 2 ปีที่แล้ว +4

    Walaji pekee Tanzania duuuh

  • @Flore9
    @Flore9 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli,Kweli,Kweli mtasubiri sana inachekesha, ila mi sicheki😂

  • @rasmbegu
    @rasmbegu 2 ปีที่แล้ว +2

    Heshima kwenu nimependa ubunifu siku zote nawaamini katika upende wa ubunifu mmetisha sana

  • @kingfeb.churichuri3823
    @kingfeb.churichuri3823 2 ปีที่แล้ว +4

    Mimi siitwi NDUZI mimi naitwa NDUZI baba angu ndio NDUZI🤣🤣Babekriiii

  • @dngodahtv826
    @dngodahtv826 2 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂 mnajua mpak mnajua tena

  • @mayalejerusalem5165
    @mayalejerusalem5165 2 ปีที่แล้ว +4

    Yaleoo kaliii😂😂😂 nimeipendaa

  • @saedyhussein5510
    @saedyhussein5510 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyieee jamaa sio poa

  • @josephmwanda3
    @josephmwanda3 2 ปีที่แล้ว +1

    si hapa tumkusanyika na hatuna kazi

  • @tygertanayza
    @tygertanayza 2 ปีที่แล้ว +3

    YPT or WPT 😂😂😂,Sema mnatisha sana wajumbe always🔥🔥

  • @samweltv2064
    @samweltv2064 2 ปีที่แล้ว +1

    WPT iki chama chetu naona kama kitanifaa sana haisee maana mgombea ni taira so nikipatikana mm mjuaji tutaelewana sana🤣🤣🤣🤣🤣

  • @johnmutinda4903
    @johnmutinda4903 2 ปีที่แล้ว +3

    Manze kameua man🔥💥nmeipenda Sana kaka

  • @suleim505
    @suleim505 7 วันที่ผ่านมา

    Aseee izi namba vunjambavu : mtasubirisana😂😂😂

  • @dicksonleeson3121
    @dicksonleeson3121 2 ปีที่แล้ว +4

    Hhhhhhh
    IYO KIREFU YA WPT PEKEE LAZM UJUE UMEPIGWA APO

    • @wanyabi
      @wanyabi  2 ปีที่แล้ว

      Hahahaaaaa!

  • @kingsrtz2968
    @kingsrtz2968 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyie watu sio poa😁😁😁😂🤣

  • @howtogetmoneyonline1544
    @howtogetmoneyonline1544 2 ปีที่แล้ว +21

    These people always Break my ribs mature and talented 🤣🤣

    • @kawazfa
      @kawazfa 2 ปีที่แล้ว

      You gon like this also😂
      th-cam.com/video/GwFfgbiz9aM/w-d-xo.html

    • @hassanabdulrahman3837
      @hassanabdulrahman3837 2 ปีที่แล้ว

      @@kawazfa yyyyyyyyyyyuuuy

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 ปีที่แล้ว

      P0. th-cam.com/video/L0HUlvg01XA/w-d-xo.html

    • @bashiruhassani1017
      @bashiruhassani1017 ปีที่แล้ว

      Nakubar

  • @michaelhakeem5097
    @michaelhakeem5097 2 ปีที่แล้ว +1

    😄 🤣 😂 😆 mama alipata taabu sana kulilea hilia taira

  • @robbyksultan6886
    @robbyksultan6886 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaan Hawa jamaaa wabunifu Sana nimecheka Sana mkipata mtukumbuke then mtasubiri Sana😂😂😂😂😂😂

  • @jumamarwa2795
    @jumamarwa2795 2 ปีที่แล้ว +2

    Mamaangu amepata tabu kulilea hli taila🤣🤣🤣🤣

  • @kadommedia8967
    @kadommedia8967 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣umefanana na muheshimiwa hapana Mimi sio mbaya hivo🤣🤣🤣

  • @manjaruu679
    @manjaruu679 2 ปีที่แล้ว +4

    Mtasubiri sanaa😂😂😂😂

  • @restomundo3644
    @restomundo3644 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtasubiri sana

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 2 ปีที่แล้ว

    Daah very creativ inakuja inakataa tutaelewana tuu

  • @bashirurashidi3450
    @bashirurashidi3450 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa kazi zuli yenu bg up

  • @mosesromanking5069
    @mosesromanking5069 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwalimu nyerere

  • @Mastoryy
    @Mastoryy 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtasubili sana😂😂💥💥💥💥

  • @richardmakene7780
    @richardmakene7780 2 ปีที่แล้ว

    Duuuuuu mbav zngu jmn OK na mpuuuuz mwenzio nawakubal

  • @markdaprincekenya9739
    @markdaprincekenya9739 2 ปีที่แล้ว +4

    Wendawazimu 💔😂😂😂😂😂😂

  • @shehushagari7167
    @shehushagari7167 ปีที่แล้ว

    Dah eti nashukuru mama kwakulea taila hili😄 🤣 😂

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 ปีที่แล้ว

    Wanasema ww umefanana na mueshimiwa 😃hapana bhna mimi siyo mbaya ivyo 😃😀

  • @imaxshine2210
    @imaxshine2210 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah bongo tujivunie kuwa na hawa watu aisee

  • @simonmadiba2053
    @simonmadiba2053 2 ปีที่แล้ว

    Ipo vizuri sana hii

  • @selemanemanuel4583
    @selemanemanuel4583 2 ปีที่แล้ว

    Yupo kwenye chama pia

  • @AronMasanja
    @AronMasanja 18 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 daah bro na iyo midevu yako ingekuwa kweli street ungegombaniwa chap

  • @deejaybaybe
    @deejaybaybe 2 ปีที่แล้ว

    Oka hivi mpka leo bro huwezi kutofautisha Y na W

  • @yonamakeleleilenge2545
    @yonamakeleleilenge2545 ปีที่แล้ว

    Mwenye nawa kubali sana

  • @mwombekikatabalo9046
    @mwombekikatabalo9046 2 ปีที่แล้ว +9

    This is lit!

  • @habaritvtanzania5562
    @habaritvtanzania5562 2 ปีที่แล้ว

    Tumepigwa apa"sante sana

  • @hassanrukeha9945
    @hassanrukeha9945 2 ปีที่แล้ว

    Waze nyie noma

  • @adamgadieli8839
    @adamgadieli8839 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaaah. Nimecheka kinyama 😂😂😂😂

  • @dullah__theking9529
    @dullah__theking9529 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂🙌🙌🙌hamjawahi niangusha nyie jamaa mna miujinga mingi sana😂😂😂mkipata mtukumbuke___mtasubiri sana😂😂😂

  • @experiuskamugisha6863
    @experiuskamugisha6863 2 ปีที่แล้ว

    Kweli huwa tunasubiri sana

  • @sweetbertjulius7323
    @sweetbertjulius7323 2 ปีที่แล้ว

    Kapoza noma sana aisee

  • @simonfortunatus2859
    @simonfortunatus2859 2 ปีที่แล้ว

    nimecheka saan toka mwanzo

  • @petroatanas8988
    @petroatanas8988 2 ปีที่แล้ว

    Hii Kali nimeipendasana

  • @petersukuru4342
    @petersukuru4342 2 ปีที่แล้ว

    Mgombea katisha sana.... Mtasubili sana

  • @calvinmaturo1063
    @calvinmaturo1063 2 ปีที่แล้ว

    Wako vizur Sana vijana

  • @chrissinyinza1172
    @chrissinyinza1172 2 ปีที่แล้ว

    Wanasema wewe umefanana na mimi ila wewe mbaya sana,, hahahahaaa

  • @eliyamakala9663
    @eliyamakala9663 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha nakubaly Sana wazee

  • @princessringo2879
    @princessringo2879 2 ปีที่แล้ว

    Tutasubiri sana aloo tumepigwa

  • @bedsonjohn2051
    @bedsonjohn2051 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyie wapuuz 🤣🤣mnajuwa sana

  • @nzeyimanaabdallah131
    @nzeyimanaabdallah131 2 ปีที่แล้ว

    Oyeeeee saaaafi sana msemaji wetu

  • @immanueltimothy1873
    @immanueltimothy1873 2 ปีที่แล้ว

    Yaani mda wote naicheki nikiwa nimetabasamu Tu 😀😀😀

  • @yusuphnyamsha3276
    @yusuphnyamsha3276 2 ปีที่แล้ว

    Mmetisha sana

  • @4realstudio728
    @4realstudio728 2 ปีที่แล้ว +1

    Tupo nanyi kwenye CHAMA

  • @mpenzisamaki9488
    @mpenzisamaki9488 ปีที่แล้ว

    Mnanichekesha sana aisee

  • @kitunganolwebo7570
    @kitunganolwebo7570 2 ปีที่แล้ว +13

    WPT= walaji pekee Tanzania 🇹🇿
    Huku tumelia kwa kicheko mpaka basiii….
    Hiyo combination yenu…ni basi tu

  • @nassorseif5991
    @nassorseif5991 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mgombea tumepigwa na kitu chenye ncha kali

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii ndio baada ya watu wote wakisha chomwa chanjo zao za Corona taifa la TZ sasa limekuwa lakipumbavu sana

  • @mohamedlawa3304
    @mohamedlawa3304 2 ปีที่แล้ว

    Eti mtasubiri sana

  • @orandobenson6023
    @orandobenson6023 2 ปีที่แล้ว +5

    I don't know what to say am just laughing loudly in town

  • @nyanzajohn2117
    @nyanzajohn2117 2 ปีที่แล้ว

    Hahaaaa hatari sana wapigaji kweli

  • @richmavokotz
    @richmavokotz 2 ปีที่แล้ว

    WPT oeeeeee mtasubili Sanaaaah¶¶

  • @greysonbaraka8558
    @greysonbaraka8558 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahah 🤣😂 mtasubiri sana

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtasubiri sana!!

  • @jommyaudax3319
    @jommyaudax3319 2 ปีที่แล้ว +1

    Fundi wangu ananishoneaga nguo kwa vipande vinavyo baki

    • @MOTHERFLOWERS385
      @MOTHERFLOWERS385 2 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hataki pesa anataga nimtagi