BONGO STAR SEARCH SEASON 11 EP 1 Part 2 | ARUSHA AUDITIONS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Bongo Star Search
    Follow Our Pages
    Facebook: / bongostarsearch
    Twitter: / bongostarsearch
    Instagram: / bongostarsearch
    SnapChat: BongoStarSearch

ความคิดเห็น • 694

  • @edwinhotay4227
    @edwinhotay4227 3 ปีที่แล้ว +43

    Judges hawapo professional, wanaongea wakati watu wana performe watu wana loose confidence mbadilishe hiyo tabia bss

    • @saumsalim9966
      @saumsalim9966 3 ปีที่แล้ว +2

      Hvyo ndio inafaa kwa compee inafaa u concentrate

    • @florakibona8042
      @florakibona8042 3 ปีที่แล้ว +2

      Hii n audition dear sio mashindano audition dunia nzima judges wanakuaga ivo tuu

    • @brendajumah9487
      @brendajumah9487 3 ปีที่แล้ว

      Bana haifai wacheke

  • @aisharamadhan5257
    @aisharamadhan5257 3 ปีที่แล้ว +33

    Gonga like km umemuona kwa mara ya nyingine tena MAJANABA MAKUBIII

  • @elizabethlizy2731
    @elizabethlizy2731 3 ปีที่แล้ว +41

    😂😂😂😂😂😂dah! Arusha yetu ni shidah siyo kwa vituko hivyo nawapenda wanajiamin sana na ngeli inapanda sana😂

  • @anniedanty8229
    @anniedanty8229 3 ปีที่แล้ว +15

    Am new but imebidi ni comment hii ya Rita ni achie my wangu 😂😂😂noma

  • @mtokambali2320
    @mtokambali2320 3 ปีที่แล้ว +56

    😂 Arusha Nchi nyingine. Rita niachie My Wanguu 😂😂😂. Am dead 💀

    • @enjoytv3329
      @enjoytv3329 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 3 ปีที่แล้ว +23

    Duh dada alofungua mwnz kanichekesh 😂😂

  • @dativagabriel672
    @dativagabriel672 3 ปีที่แล้ว +21

    😂😂😂😂😂😂😂litha niachie my wangu 😂😂😂😂😂hakyaMungu nimechekaaaa,arusha jamanii eti nilikuwa sijapiga vituuu

    • @ruthsima8152
      @ruthsima8152 3 ปีที่แล้ว

      Yaaani niecheka mpaka sauti imeniishaaa

    • @saumsalim9966
      @saumsalim9966 3 ปีที่แล้ว

      Nmetoka kulamba k2

    • @dativagabriel672
      @dativagabriel672 3 ปีที่แล้ว

      @@ruthsima8152 😂😂😂😂😂😂

    • @daviimollel9137
      @daviimollel9137 3 ปีที่แล้ว

      Et niachie mywangu😁😁😁😁

  • @zaudiakajeze8375
    @zaudiakajeze8375 3 ปีที่แล้ว +11

    Nimechekaa kifalaa lita niachie my Wang u😂😂😂😂

  • @mariamzukas500
    @mariamzukas500 3 ปีที่แล้ว +17

    Haaaah no stress no love 😂😂😂😂

  • @rahabumshani8671
    @rahabumshani8671 3 ปีที่แล้ว +16

    🤣🤣🤣ila idris shenzii sana eti mm simpendi bilnas 🤣🤣aki wewe utachomwa moto wa pekee akoo

  • @mchambuzitv
    @mchambuzitv 3 ปีที่แล้ว +23

    Kama unakubali bss gonga like hapa

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 3 ปีที่แล้ว +11

    Huyo Mcongo Christian Bella amshike mkono aiseee...👏🏾👏🏾👏🏾

  • @angelpaul2048
    @angelpaul2048 3 ปีที่แล้ว +17

    I love youuuuuuuuuuu 💖 arushaaaa Lita niachie my wangu😂😂😂

    • @victoriarobert1971
      @victoriarobert1971 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @djb2kzer0
    @djb2kzer0 3 ปีที่แล้ว +8

    Natamanigi youtube iwe Na comment za voice cause Na chekanga sana apa aiseeee😂😂😂😂

    • @veeJesus
      @veeJesus 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @claratawete1568
      @claratawete1568 3 ปีที่แล้ว

      Ingekua noma sanaa 😁😁

  • @ankokrishna8066
    @ankokrishna8066 3 ปีที่แล้ว +5

    Nilikua sijalamba babu😁😃😄😃😃😃😅😂😂

  • @dannyelias382
    @dannyelias382 3 ปีที่แล้ว +33

    Bangi sio nzur nimecheka kinoma ya yule sister wa kwanza alivo sepa bwan😂😂😂😂😂😂

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 3 ปีที่แล้ว

      😄😄😄😂😂😂😂 Hata mimi

    • @dannyelias382
      @dannyelias382 3 ปีที่แล้ว

      @@saumuhassan6365 😂😂😂

    • @ommymio3261
      @ommymio3261 3 ปีที่แล้ว

      Yani dah 😂😂😂

    • @dannyelias382
      @dannyelias382 3 ปีที่แล้ว

      @@ommymio3261 had sio vzr😂😂😂😂

    • @josephemmanuel3175
      @josephemmanuel3175 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 3 ปีที่แล้ว +10

    Jamaa wa kiCongo ni motooo 🔥🔥🔥 na the rapper wa kwanza yuko vizuri

  • @HenriHSP
    @HenriHSP 3 ปีที่แล้ว +17

    BSS need to treat this guy Alexandro good. Bcoz he the reason they got a lot views

    • @juliusimtoi1232
      @juliusimtoi1232 3 ปีที่แล้ว +1

      Aruxha kuna vituko xan 😃😃😃

    • @nasramege1823
      @nasramege1823 3 ปีที่แล้ว

      Exactly! Wampitishe tuu 🤣

  • @queenrosemen4139
    @queenrosemen4139 3 ปีที่แล้ว +50

    Rita niachie my wangu,no stress no love🙋🙋🙆

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 3 ปีที่แล้ว +11

    Huyu mtu wa 3 sio type ya R dah 😂😂😂😂😂 anafaa kuwa dsm

  • @edwinwanjala4107
    @edwinwanjala4107 3 ปีที่แล้ว +7

    Huyo msee wa milk ako juu my favourite you guys should give a job his the most intertaining ati inatoa masumu hahaha

  • @marthaamon821
    @marthaamon821 3 ปีที่แล้ว +11

    Bangi sio chai🤣🤣🤣🤣🤣😍😍 Rita niachie my wangu🙆😂😂😂😂😂😅🤣🤣🤣🤣🤣

  • @yessekindi4625
    @yessekindi4625 3 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha jamaa mwenye no 0404 ameua mbaya too bad Madame alikua anataka kumkataa na amesikika anamnong'oneza Bella "Mi uyu simtaki" mbaya jamaa ana kipaji kikubwa sana kuliko hasira yake, Madame usimind sana ata AGT kuna washiriki huwa wanaingia bila kuongea na judges na wanakichafua, punguza ubabe na kutake things personal, sawa show ni yako lkn kusalimiana pia sio lazma, unasaka vipaji concetrate kwenye hilo, mtu hajakudisrespect ameamua kuja tu na style yke bila kumsemesha mtu, samahani lkn km mtamaindi. Jay safi kwenye hilo umestick kwny kipaji chake zaid. ✌

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 3 ปีที่แล้ว +7

    This guy ameimba pesa madafu as I knw him...kasoma CBE dodoma

  • @edinaisaya6229
    @edinaisaya6229 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyu namba moja alikuja kuchekesha watu hakiamungu🤣🤣🤣

  • @m.s.a.b.b.y
    @m.s.a.b.b.y 3 ปีที่แล้ว +23

    I thought #Kenya tuko na vituko until I saw these auditions 😅😅😅😅

    • @claratawete1568
      @claratawete1568 3 ปีที่แล้ว +1

      Kenyan your fun but this bss is too much fun

    • @saidikarisa1250
      @saidikarisa1250 3 ปีที่แล้ว +1

      Hii bangi wanatumia nitaanza ku import Kenya naona nikiomoka 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @alicekoli5765
      @alicekoli5765 3 ปีที่แล้ว

      @@saidikarisa1250 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @jayneeeeeee
      @jayneeeeeee 3 ปีที่แล้ว

      Aki am dying with laughter

  • @munaaabdillah9097
    @munaaabdillah9097 3 ปีที่แล้ว +6

    Lita niachie my wng 😆😆😄madam rita ss anavyoshangaa 😄🤣🤣🤣🙌

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 ปีที่แล้ว +23

    Waleo mbona wananivunja mbavu jmn🤣🤣🤣🤣

  • @hildakaaya1138
    @hildakaaya1138 3 ปีที่แล้ว +5

    Raha sana kuzaliwa chuga woyoooo ✌️❤️❤️❤️

  • @Sakaboytz
    @Sakaboytz 11 หลายเดือนก่อน +1

    Oi ivi uyu jamaa mwenye namba 258 anaitwete yan kaimba vzr sana
    Wannahofia nnikiija tawakimbizaa, nami kila nnikiija nawakimbizaah.
    Uyo jamaa 14:05 anatumia jina gan saiv

  • @kevinmwamba1009
    @kevinmwamba1009 3 ปีที่แล้ว +27

    Yule mucongo is on fire 🔥

  • @ntihaboseadonis8746
    @ntihaboseadonis8746 3 ปีที่แล้ว +7

    Bongo star search yamwakahuu ni fire 🔥 inachekesha sana

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 3 ปีที่แล้ว +2

    😅😅😅😅😅😅🙌sura Kama malaika 😅😅😅😅 Lita niachie Mai wangu

  • @maireshsaid1628
    @maireshsaid1628 3 ปีที่แล้ว +3

    Ritha niachie my wangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwanzo kaimba kama mtu kweli vile🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @precs_jones
      @precs_jones 3 ปีที่แล้ว

      Alikuwa ajalamba babuu🤣🤣

  • @veronicakg7372
    @veronicakg7372 3 ปีที่แล้ว +11

    This show never get old🤣❤️

  • @maryritahmkwizu28
    @maryritahmkwizu28 3 ปีที่แล้ว +3

    Yani kuna Tanzania Alafu kuna Arushaaa😂😂😂😂😂

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 3 ปีที่แล้ว +9

    Mbona kama word salad at 09:50 🤣🤣🤣😂
    If you know you know , lmao
    Jamaa wa 14:08 anajua , mmependa bure ☺😍
    Tisa kumi huyo dada bonge , danng.....vocal yake siyo ya nchi hii

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 3 ปีที่แล้ว +16

    Aliyevaa socks za green amekimbia changing room ya team ya Nigeria ?

  • @aishal1953
    @aishal1953 3 ปีที่แล้ว +7

    Arusha wamenivunja mbavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 3 ปีที่แล้ว +8

    Dah Machaliii wa R bangi sana😅😅😂😂

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila nimependa msimu hu majaji mnatumia kauli nzur kuwambia washiriki💕💕💕✌🏻👌asant kwahilo nimepend sn

  • @hawahawa6915
    @hawahawa6915 3 ปีที่แล้ว +3

    Lita nhachie my wangu 😁😁😁

  • @ednakawawa690
    @ednakawawa690 3 ปีที่แล้ว +1

    258🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 ปีที่แล้ว +10

    Jini mkatakamba akaongea 🤣🤣🤣jmn idris uwa unanikosha raho kwakuongezea maneno tu🤣🤣

  • @winfridamilton6820
    @winfridamilton6820 3 ปีที่แล้ว +5

    Uwiiiii ritha niachie my wangu

  • @osmaneibrahim142
    @osmaneibrahim142 3 ปีที่แล้ว +3

    Lita niachie moyo wangu no stress no love jamn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nakupenda bure

  • @chugagirl4094
    @chugagirl4094 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimewaharibia upuuzi jumla semeni kwikwi 😂 😂 😂 😂 😂 😂

  • @mbanokareem2087
    @mbanokareem2087 3 ปีที่แล้ว +4

    Arusha tumsapoti Elisha James kipaji hiki Wana wa sua wanaelewa Hip hop never die

    • @djwizkid7984
      @djwizkid7984 3 ปีที่แล้ว

      Hichi kipaji ni noma, nakumbuka back in days advance Mwenge singida 2011 jamaa alikuwa anatupa free style za kushato

  • @shukranjs4307
    @shukranjs4307 3 ปีที่แล้ว +27

    Rita niachie my wangu🤣🤣🤣

    • @tatukachingwe7451
      @tatukachingwe7451 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @marymasanyiwa5738
      @marymasanyiwa5738 3 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁😁😄😄😄😄🤸🤸🤸🤸🤸

    • @mkaljoh751
      @mkaljoh751 3 ปีที่แล้ว

      🤩🤩

    • @Momo_96
      @Momo_96 3 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅

    • @tatuhongeranurushaus485
      @tatuhongeranurushaus485 3 ปีที่แล้ว

      @@tatukachingwe7451 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shiishii5118
    @shiishii5118 3 ปีที่แล้ว +2

    Arusha kama wakenya🤣🤣🤣

  • @Praiseitela
    @Praiseitela 3 ปีที่แล้ว

    HUYU MAJANABA AKISETIWA VIZURI KWENYE KUPANGILIA TU VITU ANAWEZA KUFANYA MAKUBWA

  • @florabaruti8032
    @florabaruti8032 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyo alie imba salama nikiwa nawewe ata kama ninashida nasahau dah.... hahahahah

  • @kodackdeblack7982
    @kodackdeblack7982 3 ปีที่แล้ว +4

    Idris anachoma kuhusu nguo za wajeda iv anaakili😂😂😂😂

  • @bigchain5551
    @bigchain5551 3 ปีที่แล้ว +26

    I’m just wondering if those judges are only there to laugh at them or promote talents😡y’all need to stop that

    • @santodelove4351
      @santodelove4351 3 ปีที่แล้ว +1

      You can't stop your Laughter,let them me
      As you can see some of them they ain't serious with that

    • @dannyelias382
      @dannyelias382 3 ปีที่แล้ว

      Go and watch American got talent

    • @santodelove4351
      @santodelove4351 3 ปีที่แล้ว

      @@dannyelias382 do you want people to imitate others 😅

    • @marysaituni4584
      @marysaituni4584 3 ปีที่แล้ว +1

      Same here

    • @marysaituni4584
      @marysaituni4584 3 ปีที่แล้ว

      Nawashangaa mie

  • @latiffamohammed9373
    @latiffamohammed9373 3 ปีที่แล้ว +3

    Lita niachie maiwang

  • @edwardbayyo7090
    @edwardbayyo7090 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama umesikia billnas katajwa like2 tuuu

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 3 ปีที่แล้ว +17

    I can't stop to Laugh😂

  • @Issah254Tv
    @Issah254Tv 3 ปีที่แล้ว +4

    Lita niachie mai wanguu😂😂😂💔💔

  • @fredamwenda6565
    @fredamwenda6565 3 ปีที่แล้ว +2

    Niwaaribie upuuzi jumla..!?semeni KWIKWI😂 IMEISHA IYO 11:03

  • @isunga1964
    @isunga1964 3 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣🤣🤣Mbeya ilikuwa ya moto jamani kubwa na nusu nimecheka sana

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 ปีที่แล้ว

    Jamani nacheka kama mwehu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Chuganian mmenishinda nyie people 🤣🤣🤣🤣🙌

  • @EricksonChivatsi
    @EricksonChivatsi 4 วันที่ผ่านมา

    Awa Majaji wako Na utoto usichambe MTU live kama ambae mko Kwa comedy bana

  • @neemacalvin633
    @neemacalvin633 3 ปีที่แล้ว +1

    Raha za bss zimerejea ten jaman jaman

  • @offecalmsechu8739
    @offecalmsechu8739 3 ปีที่แล้ว +6

    Uyu jamaa wa ipop yuko sawa

    • @soaromy928
      @soaromy928 3 ปีที่แล้ว

      Sijui tatizo nn

  • @albertomollel9719
    @albertomollel9719 3 ปีที่แล้ว +1

    Ritha niachie wangu my

  • @chani_tayra_official1860
    @chani_tayra_official1860 3 ปีที่แล้ว +2

    Lita niacie moyo wangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nakufa mm😂😂😂😂😂

  • @adelinaaudax2572
    @adelinaaudax2572 3 ปีที่แล้ว +3

    😢😢😢😂😂😂😂😂😂😂mpaka machozi

  • @Chida
    @Chida 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani jamani jamani duuuuh Episode gani hii vichekesho tu

  • @edithtemu9606
    @edithtemu9606 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii bangi iliyovutwa imevundikwa haha nimecheka Sina mbavu

  • @naslee1010
    @naslee1010 3 ปีที่แล้ว +10

    et jamaa anasema simpendi #billnas kabisa🤣

  • @paulagoga6837
    @paulagoga6837 3 ปีที่แล้ว +6

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 i literally laughed the whole episode

  • @tausihasheem5051
    @tausihasheem5051 3 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa cjaramba bado🤣🤣🤣

  • @mcheshcomedy5809
    @mcheshcomedy5809 3 ปีที่แล้ว +1

    Watu wanapigana kuja DAR es laam wakati sis imeshatuxhosha tunatamani kuish mikoani!!!!💪,😜😜😜😜

  • @machetebogota4218
    @machetebogota4218 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyo wa pesa madafu nimemkubali

  • @suzanaronald488
    @suzanaronald488 3 ปีที่แล้ว +4

    Rita niachie my Wang😃😃🤣

  • @kevooambakisye7018
    @kevooambakisye7018 3 ปีที่แล้ว

    Majanaba markuba...
    Ety niwaaribie upuuzi jumla ???
    Semeni kwikwi...hahahhahaa uyu ni komedian ful

  • @zahorjacob2730
    @zahorjacob2730 ปีที่แล้ว

    Niwaharibie upuuzi jumla semeni"qwiqwi" wadau " qwiqwiiii" !!!! Imeisha hiyoooooo!!!!

  • @djwizkid7984
    @djwizkid7984 3 ปีที่แล้ว +5

    Am proud to see ma home boy Elisha pacha #beiYake

  • @mgmiles1138
    @mgmiles1138 3 ปีที่แล้ว +13

    Eti billnass.. Idris kawa lufufu😂😂

  • @kevintv9032
    @kevintv9032 3 ปีที่แล้ว

    Je MB zako zinawai kuisha bila sababu ?? Sasa jifunze jinsi ya kuzuia MB kuisha mapema . gusa ayo maneno na ujifunze chap th-cam.com/video/W8prF6nPvuM/w-d-xo.html

  • @thomasvenance5186
    @thomasvenance5186 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani Dada mjanja kaona arudishe hela ya form 🤣🤣🤣

  • @shabanimajid
    @shabanimajid 3 ปีที่แล้ว +16

    Bongo Star Search is a big platform but one thing I hate is how the judge act during the audition. Someone hasn’t yet singing but the judges are there shouting or kinda like ain’t interested to someone’s performance. It’s time step up as a platform to the next level instead of keep repeating the same mistakes over and over. #NOHATE #ONELOVE

    • @daeto4601
      @daeto4601 3 ปีที่แล้ว

      I agree

    • @ngwasikilulu2590
      @ngwasikilulu2590 3 ปีที่แล้ว

      Me too, this kinda of boring, why do they judge people by shouting so careless

    • @matanamaduhu8699
      @matanamaduhu8699 3 ปีที่แล้ว

      True they should let them finish and then judge

  • @itangakubuntusamuella769
    @itangakubuntusamuella769 3 ปีที่แล้ว +3

    Arusha Shikamoooo 😂😂😂😂

  • @thelastking5180
    @thelastking5180 3 ปีที่แล้ว +11

    Huyu dada wa kwanza bangi Sanaa😂😂

  • @mwijaku7268
    @mwijaku7268 3 ปีที่แล้ว

    Hapa mkongo ana sema simpendi bilnass
    th-cam.com/video/dOIriHgst3g/w-d-xo.html
    👆👆👆👆👆👆👆👆👆

  • @victrychuwa4151
    @victrychuwa4151 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ndo arusha chuga man gonga like Kama unapakakubali chuga

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 ปีที่แล้ว +5

    Uyu dada wakwanza jmn haelewi 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @amzaamidu7851
    @amzaamidu7851 3 ปีที่แล้ว +3

    Majanaba namkubar sanaa aseee

  • @ragnusempireworldwide7583
    @ragnusempireworldwide7583 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Dem amevaa T-shirt ya red Akirecord hiyo track ameimba sijui rita itakuwa noma sana..

  • @minnahjay7676
    @minnahjay7676 3 ปีที่แล้ว +4

    😂😂et jini mkata kamba akaongea😂😂

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 3 ปีที่แล้ว +1

    bwana janaby

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 ปีที่แล้ว

    Majanaba hamia dar mzee huko shamba unadeal na issue zipi jamaa yangu hujui ww ni comedian mmoja wa mwendokasi.

  • @munaaabdillah9097
    @munaaabdillah9097 3 ปีที่แล้ว +2

    Unakulaga mchicha🤣🤣🤣😁ommy jmny

  • @annamarry2033
    @annamarry2033 3 ปีที่แล้ว +6

    Watu wa chuga wallah hamna vipaji bali ni vichekeaho🤣🤣🤣🤣

  • @bettybetty3518
    @bettybetty3518 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimerudi kusikiliza 'Rita niachie moyo wangu' 🤣👍🙃

  • @hamisibakari-ng3zv
    @hamisibakari-ng3zv ปีที่แล้ว +1

    duuh sio poaa utacheka na hii video hii jamaa anachekesha........kinoma 📿

  • @LordFashionTz
    @LordFashionTz 3 ปีที่แล้ว +2

    Hii Hapa Kali zaidiiiii BSS 2020 th-cam.com/video/tdF8f5IJfNM/w-d-xo.html

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 3 ปีที่แล้ว +6

    Salama nikiwa n ww ata km nina shida nasahau 😂😂😂😂😂

    • @asyalukman4661
      @asyalukman4661 3 ปีที่แล้ว

      Hhhh😂🤣🤣😀😅😀😀nimechek Hadi nikagaragara

    • @khamoshmikidadi9262
      @khamoshmikidadi9262 3 ปีที่แล้ว +1

      @@asyalukman4661 yao bongo star search n zaid ya comedy 😂😂

    • @fredamwenda6565
      @fredamwenda6565 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @helgamodaha634
      @helgamodaha634 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂 aseee

  • @kajolo1288
    @kajolo1288 3 ปีที่แล้ว +22

    The first audition🤣🤣🤣

  • @treasureesther8446
    @treasureesther8446 3 ปีที่แล้ว +1

    Kila kitu kina mbei yake hahahaha