Dogo anavipaji vingi mnoo 1)Confidence yake unexplainable 2)Anajua kuteka attention ya audience 3)Anajua kuimba hata asiposhinda atafika mbali asikate tamaa 4)Attention to details 5)Public Speaker 6)Charming not boring 7)Comedian 8)Knows times of being serious and joking time 9)Body language 99% 10)Smart❤
Dogo anavipaji vingi mnoo
1)Confidence yake unexplainable
2)Anajua kuteka attention ya audience
3)Anajua kuimba hata asiposhinda atafika mbali asikate tamaa
4)Attention to details
5)Public Speaker
6)Charming not boring
7)Comedian
8)Knows times of being serious and joking time
9)Body language 99%
10)Smart❤
xo thanks mzee baba
Umemaliza🎉
11. Hundred 💯 of eyes contact
Umemalizaaaaa
Si ameshasema hii kazi anaiweza ndio maana kaiomba,hakika anaiweza kweli.
Tulio mkubali rajabu gonga like 😂
Daaaah dogo anajuwa sana
Nimeangalia zaidi ya mara moja
😂😂😂 he is very charming wish to see him again
Nmempenda huyu jamaa anajua 😂😂😂
Nimempenda bure anajua sana comedian and Singer❤❤
Dogo anachangamsha na kwenye kuonyesha kipaj kafanya kweli, katisha bg up
Huyu dogo atafika mpaka final kwasababu atakuwa anachangamsha kampu
Hahahaaa anavibaji 3 kuimba na kuchekesha na mitindo Ni 🔥🔥🔥
Nimeangalia mara mbili mbili kwanza kateka attention ya majaji alaf kapiga bom manchuria kumalizia maiti 😅
Talented singer
Uyu jamaa na alieimba wimbo wa jay melody watakua wasanii wakubwa sana
Mchangamfu nimempenda 😂
oya mwamba hataki kufungiwa na basataaa😂😂😂 dah sio kweli😅
Mwana mitindo! Comedian and the Singer kipaji hicho
Ataweza kazi kweli au
❤❤❤❤Rajabu ongera sana.Halafu duniani watu wawili wawili:yaan kama baba Nassibu daimond
❤❤❤❤dogo ametisha
Uyu jamaa alivyo ingia ingia nikajuwa wale comedia kumbe anakitu safi sana
😂😂😂😂shishi kimemramba, jamaa ywajua sana
Umetisha🔥mi nimekukubali
Jamaa yupo vizuri aiseee🔥
Kaka Rajab ongera sana😂😂😂❤❤
Anajua sana😂
Aiseeee umetisha balaaaa
Congratulations keep it up good job ❤❤❤❤❤
Nmerudiaaa mpka bando limeishaa.....dogo alivojibu kaz anaiwezaaaa😂😂😂😂😂
😁😁😁kisha uyu dogo anaimba kwakweli sauti nzuri,aweke kwanza comedy pembeni kisha afanye kilicho mleta naoana kama atafika mbali kwenye BSS
Huyu kijana ni mmeru pure
Dogo kauwa sio pouwa
Vaipu Kali sanaaaa
Nimekubali 1000%
100% Nampa zote Kwa Kweli mungu ambless! 🔥
dogo ana confidence sana,, I like it
Huyu jama noma sana aje na guitar kabisa atatisha kinomanoma!
Uyu jamaaa😂😂🔥🔥🔥
Huyu akitoboa atakuwa bonge la chawa 😂😂😂
😂😂
Namkubali sana mtu wangu
His verry talented ❤😂😊
Ila rajabu
Ambia shilole akupe kazi
Dogo kafanana na mzee abdul baba Nasibu
😆😆🤝kweli kabisa
Si amesema anaitwa rajabu abdul
Jina lenyewe ni Abdul.mtoto wameze huyo.tutajuwa mbele siku zijazo
😂😂😂😂😂 hatali
Kweri kabisa wanafanana saana 🙌🙌👌👌
Keep it up rajab
Mpaka rahaa😂😂
Kajama kanaimba sana bwana ❤
Naiwedhaaaa😂😂 iyo iyo
Yani mimi mpaka sasaivi bado nacheka😂😂😂😂😂 tangu saa moja na nusu
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂yani nimecheka hadi machozi😅😅😅
Watoto wa shishi wataolewa mama yao akifaliki.kwasababu wakuringana nao wanampenda mama yao. Shishi unapendwa
Huuuu ni motooo
😅😅😅😅😅😅Rojaaaa
😂😂😂😂😂jamn wee kaka ww umenifurahisha
I love uyu kaka sichoki kumuagaliya
Anajuaaaaaa
Kauwa huyo kaka😂
Hii imeenda😂😂😂😂
Bingwa ametisha
mamtu ya hivi darasan yanapiga kelele mwish wa mtihani kagonga one😂
lijamaa limeuwa mwanza na na mwisho akauwa kabisaaaa😅😅
Km mzee Abdul juma
😂😂😂😂ila wwwe
Adiwameshindwa kumuuliza ninihilo alilolivaa shingoni ninaning'inia 😂😂😂😂😂😂
Una baya mwanangu Roja...😅😅😅😅
Yani dogo katisha hadi raha, huwa sina tabia yaku comment mpaka kanifanya ni comment 😂😂😂😂
Kachangamka adi Raha
Kijana katisha saan 😅😅😅
Katishaaaaaaa
Aje na guitar 🎸
Anajua
Kipaj sana
Hiiii bss ya mkoa gani please nataka kuangalia full
bongo bhan
Imebidi nirudie tena😂😂😂
Ndugu zangu kuna watu wanajua mpk wanapitiliza aisee😅
Diamond angemchukua huyu dogo anajua mpk kapitiliza
Hhhh sema fogo anaongea mcheshi sana
my MoMA favorite song❤
He knows what he si doing
Jamaa anavipaji vingi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ana sauti nzuri
😂😂😂😂confidence yake tu
Dogo anajua
Wowowoow 🎉🎉🎉🎉🤸♀️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️
Mnemuach amalizie sasa😂
nimerudiarudia afu nachekacheka kanikosha kwa kwel 😊
Dah😂
Shishi mwenyewe kalegea kbs Et jina la Mume wangu hilooo huku anarembua kbs ase dogo umejua kuteka hisia za mtu uko vzr
anajua huyu. hivi yuko wapi saiv?? alipita round two au aliishia apoapo round two..😀😀😀
Yani ukiona mpaka master J anacheka😂ujue sio poa
❤❤❤❤
Confidence 98%
Shishi ananyota ya watoto wake.wale wangekuwa wakwe kwake ndo wanampenda.dogo katisha
Kamsifia San 😂mpk wengine wakamaind
Jamaaa sauti anayo
Waooow
Mbna kafanana na dudulayo uyo
Dudulaayoo Nini?
Nahis ni baba ake c kasema hapo anaitwa rajabu abdul
dogo ata acposhinda ila amejua kuitumia fursa memkubali dogo ana vipaji vingi ukiachana na kuimba
Shilole unazinguwa
🔥
Rajabu Abdul kama sura ya Mzee Abdul wa Diamond
Chaming
Yani hao amna ki2 shi nikubalu mm nkupe kazi
Nilizani atakuwa kama watu wa chuga yaani anachekesha tu af ki oratorioaji cha kuimba 0