Yupo vzr at mm sipendi maisha yakujionyesha, napenda maisha yangu yajionyeshe yenyewe sio kila mda unajifanya tajili, yani maisha ya hivi ni simple sana.
@@lucia20240nyongeza pia kutokana na ustar wao watu hupenda mionekano yao kuanzi nywele na nguo hvyo hutumia furusa hiyo kuwashika mashabiki kiurahisi ktk mitundo ya nguo na viatu nk
MaashaaAllah umemtanguliza Mungu..tena kwakusema kwa uwezo wa Allah...Mungu azidi kukuongoza kwenye njia ilisahih....
Amina ❤
Very well spoken.
Kaongea vizuri mno!!
Classy and sassy!!
Hua naamini mwanamke akipata changamoto akiwa mdogo baadae anakua super woman amiini iyo
Ni kweli sio huongo na Ongera nyingi kwa wazazi kwa kumuelimixha pia Maana alipitia changamoto kubwa na umri vilikuwa vitu viwili tofauti
@@verobecamfipa8655 yes
Ni kwel
Ni kweli kabisa
Majizo kapata mke bora sio bora mke
Hakika ka Said hakutafuta uzuri katafuta mwanamke kichwa namaanisha brain😂😂😂
Sahihi Sana.
Factly❤
Kweli kbs
masha allah
Safi sana Lulu biashara sio ya kuanzia juu!! Lazima tujue hilo wangapi wanakurupuka kufungua miduka mikubwa alafu kwa muda mfupi wanapiromoka,
Umesema vizuri
Wow.. She is very articulate 👍🏽
Lulu ni mdogo lkn anabusara sna nimfano wa kuigwa mashallah 🎉
Hongera Lulu pambana mama G Mungu yu pamoja nawe❤ NAKUPENDA SANA mrembo na akili nyingi
The level to which this lady has grown🎉🎉🎉🎉weeeee 👸 👑 mashaAllah
Hongera mwaya hongera Sana mchana mdogo akili nyingi
Lulu nakupenda from Burundi 🎉🎉❤
Yupo vzr at mm sipendi maisha yakujionyesha, napenda maisha yangu yajionyeshe yenyewe sio kila mda unajifanya tajili, yani maisha ya hivi ni simple sana.
Nampenda sana Lulu ana akili huyu msichana jamani🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉lulu umeongeya vizur Mashaallah
Hongera sana dada Lizy❤
Wao lulu Elizabeth unaakili sana na mke bora sana 💖💖💖
Duh safi san lulu kam sio wewe uncle jj
The way you struggle the way you win.stay blessed Lulu.
Umevaa wigi umekuwa kama kinyago, mbona una nywele original zenye thamani kuliko hayo manywele kama yamelambwa na mbwa.
Nakupenda dada wew alafu nilicho kipenda zaidi Kulcha zako ziko naturel 🥰
Actually, respect to her
❤ She's Beutiful and pretty
MashaAllah 🎉🎉🎉God bless
Yes hayana hadhi kabisa😂
Big up sana kipenzi
Lulu amekua sana Mungu amzidishie 🥰🥰🥰
Mungu akiwa Upande Wako, hakuna wa Kinyume chako Eliza. Hongera sana.
Forever for Lulu beauty with brains
Huyu dada anaakili jamani dah hongera kwake
Wifi Pete Iko wapi 😢
Itakusaidia nn
Masha'allah Lulu unajitambua
Upo vzr sn nakupenda kucha fupi sio km wenzako km jini
Gigy
Nakupenda lulu my role model ❤❤
Wao kiukweli mi nampenda uyu mdada ❤❤❤❤❤
Hata mm
Wigi halijakupebdeza
Nilikua natafuta mtu aliona ili nikajua pekee yangu 😂
Masha Allah lulu ana akili kawashinda mastaa wengi dar
Jamani uyu lulu huwa namkubalisana ❤
Eti wigi halijampendeza limempendeza mwenyewe nalitamani semeni tuu bichwa zenu zina chogo
Sister Elizabeth inabidi Sasa UFANYE tuwe na NGUo na viatu vya brand yako
Una jina zuri, fanya mpango tupate brand ya Lyms
Hongera mdogo wangu lulu upo juu
Ur so smart....Liz❤❤❤
I dont understand the language but lulu una akili sana dada
😂😂😂😂😂pumbavu
@@zaitunirashidi5532😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@zaitunirashidi5532😂😂😆
❤❤ nakupenda sn Lulu
nakupenda xn Lulu unakili mungu akuogoze
Fungua na kkoo my dear
Wewe ni mpambanaji.
Why mastar wengi ni maduka ya nguo kutwa kucha, sijui business za nguo, viatu zinaenda vizuri sana?
Hongera Lulu kwa kazi.
Biashara ya vitu vya kuhesabika(stock) ni rahisi kucontrol na kupunguza hasara kuliko za kupima.
@@lucia20240nyongeza pia kutokana na ustar wao watu hupenda mionekano yao kuanzi nywele na nguo hvyo hutumia furusa hiyo kuwashika mashabiki kiurahisi ktk mitundo ya nguo na viatu nk
@@joshuamuro9494hii point nimeikubali kabisaaa
Hongera Sana Sana una akili nyingi
Unajitahidi kuwajibu vzri sana,rahaa ya biashara ujuwe uchungu wake
Lulu anakakili sana
Ongera Sana Lulu ❤❤❤
Hongera lulu she is cute, ana swagger flan hv ya kutembea you have cut walk, i like it
Cat walk
Busara na hekima ya kuongea . Ni kw lulu tu tunaipata. Hya mama gg upo classic
Nakukubali mno pia najifunza sana kutoka kwako
Am Uganda but much love for you Lulu Lizzy 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Kwahiyo hatutotoka na kitu tunacho weza kukimudu au sio
Majibu mazuri dear❤❤
Nakupebda buree tunajifunza pia
Hongera sana umeongea sahihi❤❤❤
nakupenda lulu mpambanaji, sio wengine kazi kuzurura kutafuta kodi kujizungusha na bandia za mwili
😂😂😂😂😂😂😂😂 na wao ndo maisha yao
Mchaga siku zote hakati tamaa sijui mimi nlikwama wapi😢😢
Muhaya huyo siyo mchaga
@@user-uz4kc5he7v Wee Mrombo huyo tena usisahau ni Mashirima🤣🤣
Niwajibu wote lulu ni mchanganyiko wa mhaya na mchaga. Hivyo quality zote kachota kote kote
😂😂😂😂😂
Akili kubwa ❤
Nilikupenda lulu na nazidi kukupend
akili nyingi sana lulu.. respect
❤❤❤
Nakupenda lulu
Akili kubwa 🎉
Aisee we dogo nakupenda sana
Sawa nigekuwa na hela nigekuja Tanzania 🎉🎉
Barikiwa sana mwanangu
Big brain❤
Nimekupenda sana lulu na nimejifunza
Uongo mwingi, na king"eng"e Cha mchongo 😁😁😁 wig SS
Unaumia ukiwa wp
kumbe kuna makasiliko juu ya mtu sasa wig la mtu linakukwazaje??
@@najmasalim-rg6ow mtandaoni wig bovu 😁😁
Pete ya uchumba na ndoa
Hongera sn mom❤
Mrembo lulu
Pesa z Mume cyo Mke
Majizzo bahiri sana
Mbona hujafungua YOMBO ukawasogezea
Hilo wigi halina hadhi....
Kikubwa limempendeza
Linakuhusuu nn
Pambe tuu
😂 😂😂 kamuua kuvaa ilo Wigi lengo kumjibu Mange umesahau hayo ndo mawigi ya Mange
Elizabeth Michael Lulu Majizo
Lulu amekua jmnii
Penda sàna❤❤❤❤❤
Mbona hana pete jamn
Nampnda huyu mdada juu kila siku kila mara anamtaj Allah ilaa sijamsikia akisema yesu..ilaa munisameh kwa hili...
Uzuri anamjua Yesu na anajua ndio alimtoa kwenye Ile changamoto kwahiyo kutomtaja haimaanishi hamjui nooo pls
Mashallah lulu beautiful ❤❤❤❤❤❤
Mastaa wa bongo , longo, longo nyingi...
MAJIZO💯✅🤣🤣🤔
❤
Wig kama diaper😅
Wigi Sasa 😄😄😄😄
Liko sawa
❤❤🎉
Wooow nakupenda lulu
Pete wap ma g.
Lulu yupo smat sana akili yake
Huyu si mlokole mbona anatoa credit to Allah ? Ndo maana hafanikiwi yuko mguu moja ndani moja nje
Kwa hiyo ulitaka aseme God ndio uelewe !??😂 Au aseme Mulungu ndio uelewe anamaanisha Mungu...my dear hiyo ni lugha tu
Wewe uliengia miguu yote umefanikiwa nn mxiew? Hebu acha ujinga wewe
Yani kuna wat hawana akili mung ni mmoja ila majina ndo tofauti hhuyo choko analeta udini tu nenda Palestina
Umewaza kama mm
Vuguvugu tuu huyu hakuna ktu hapo, kanatafutaga credits kwenye ulokole
Very well spoken.
Kaongea vizuri mno!!
Classy and sassy!!
❤❤❤❤❤
Mbona hujafungua YOMBO ukawasogezea
❤❤
❤❤❤
❤❤❤