KIBOKO YA WACHAWI AWATUKANA WATANZANIA AONGEA MAZITO KUHUSU KUCHUKUA PESA NA KUFUKUZWA KAMA MBWA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 312

  • @FrankCharles-dr6dy
    @FrankCharles-dr6dy 4 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤ nakuelewa sana kiboko ya wachawi ikiwezekana nahtaj maombez yako baba

  • @GloryRichard-ly7kz
    @GloryRichard-ly7kz หลายเดือนก่อน +4

    Shida umeshtukizwa ulikuwa hujajipanga ukambiwa chomokaaa hukutegemea 😂😂 polee sana

  • @PendoMakundi-xv6nh
    @PendoMakundi-xv6nh หลายเดือนก่อน +11

    Huyu ni kama sungura sizitak mbichi iziii,roho inakuumaaa unanipenda sana tz yetuu

  • @AlexKinunda-j9l
    @AlexKinunda-j9l หลายเดือนก่อน +6

    Watanzania mnyifunze sio kwa kila mnachokipokea ni sahihi .Watanzania mlikuwa mkiandamana kwenye lile kanisa lake.Leo nini sasa anachoongea huyo tapeli.inaamana hana jambo lingine la kuongea kila siku habari za tz tu.

  • @gracesylvester3717
    @gracesylvester3717 19 วันที่ผ่านมา +1

    Can any tanzanian tell me Who is this person? 🤔
    He starts with maneno mengi adi nimegive up kumskiliza.

  • @BeatrecLwekela-ek8uj
    @BeatrecLwekela-ek8uj หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana huyu wenda wanao mchukia ni wa chawi mimi bnafu nampenda yeye na kazi yake kwenye umbea hapa ludi ❤

    • @jeanmusamba8448
      @jeanmusamba8448 หลายเดือนก่อน

      wacha tetea matapeli wewe,mimi nimekaa kote Congo na Tz,serikali ya tz iko makini sana simuhukumu ukiwa tapeli tz hu survive

    • @ElizaSechambo
      @ElizaSechambo 16 วันที่ผ่านมา

      Nani mchawi wewe n mfuasi wake yaani kwa akili yako wewe mpaka hapo haujajua yakuwa huyo siyo mtumishi wa Mungu au haujui kuchuja wala kujiongeza

    • @jeanmusamba8448
      @jeanmusamba8448 16 วันที่ผ่านมา

      @@ElizaSechambo Ni mtumishi wa Mungu hakuna mtu aliepewa kipaji cha juu cha kutunga nyimbo za injili kama huyu afrika nzima,kukosea mahali hakumtoi katika utumishi,wacheni hukumu kwa kutumia viwango vya akili si sawa kwa mkristo

  • @saadzubra0547
    @saadzubra0547 หลายเดือนก่อน +11

    Nimegundua kitu huyu anae jiita nabii kachanganyikiwa

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz หลายเดือนก่อน +3

    Yuko sahh,,, Mazuzu ndio wametutokanisha awa tunaonekana wa TANZANIAA wote Viaziii,,,

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu inaonekane hakulelewa na wazazi wawili alilelewa bila maadili hakukuwa na mtu wa kumlea vyema katika maishayake inawezekana keshawahi ku,,,,nyumenyume

  • @CatySungula
    @CatySungula หลายเดือนก่อน +3

    Mbona maneno mengiii? Ndio umefukuzwa kwa utapeli wako na WiFi wako mjinga wewe, hapa sio kwenu, unauma nn kufukuzwa? Ndio hatukutaki. Kama kwenu huko.

  • @ceciliaonyango5367
    @ceciliaonyango5367 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona aliomba arudi? Huyo anaumwa afya ya akili na hajielewi kaumbuka huyooo wakala wa shetani ondoka kwa jina la Yesu

  • @dinoboyarnold661
    @dinoboyarnold661 หลายเดือนก่อน +2

    Ushapiga Hela kausha mkuu watu wamepasuka tayari kaa kimya kula pesa maana unajichoresha tu watu hawakuelewi tena

  • @AllyhHassani
    @AllyhHassani หลายเดือนก่อน +3

    Huyu bwana inaonekana pesa zote ameziacha tz benki sasa kurudi ndio issue ndio maana roho inamuuma hana namna ya kurudi

  • @Mariam-c6b3o
    @Mariam-c6b3o หลายเดือนก่อน

    Upo sahii kabisa ukitaka kizuru lazima ugaramike sasa watu wanalalamika nini make watu walikuwa wanatoka majumbani mwao kuja kupata uduma sasa kelele wanapiga za nini make ulikuwa uwalazimishi

  • @GloryRichard-ly7kz
    @GloryRichard-ly7kz หลายเดือนก่อน +1

    Unaipenda sana Tz 😂😂😂 kwa nn usiendelee na maisha yako huko kwenu kila siku tz tz mm naomba serikali itsifishe mali zake zote anazomilik tz kufidia utapel aliofanya ili aropoke vzur yani mpka asemeee

  • @petergeordayo2503
    @petergeordayo2503 หลายเดือนก่อน

    NAMPENDA DOMINICK BIG UP SANA RAFIKI YANGU,
    KANUNI YA KUWA HUYU NI MTU WA MUNGU
    NI WINGU WA WATU WANAO KUCHUKIA NA WANAO KUKASHIFU
    MAANA BIBLIA INASEMA LILILOTUKUKA KWA WANADAMU MBELE ZA MUNGU NI CHUKIZO,

  • @JULIUSJASTINCHARLES
    @JULIUSJASTINCHARLES หลายเดือนก่อน +1

    Anamshukuru mungu yupi wakati huna karama ya mungu kazi ya shetani inamwisho 😂😂😂

  • @FilimonNgulo
    @FilimonNgulo 20 วันที่ผ่านมา

    UNARARAMIKA NINI KAA KWENU KONGO MPIGANE VITA HUKO MPUMBAVU WEWE UNA WAZARAU WA TANZANIA TAFUTA TAIFA JINGINE UKAISHI WEWE NDIO UMEZARIWA HUNA AKIRI PUMBAVU WEWE SIO SISI

  • @NehemiaZakeo
    @NehemiaZakeo หลายเดือนก่อน

    Wewe sio kiboko ya wachawi bali ulikuwa mkuu wawachawi tapeli mkubwa 😂😂😂 sasa umesha feli pole sana tengengeza kwenu isikuume peleka ujinga wako huko

  • @josephkaveya4284
    @josephkaveya4284 หลายเดือนก่อน +4

    Ukitaka kujua kuwa huyu jamaa amepoteza kitu kikubwa sana Tanzania ndiyomana anaiongelea sana anapapenda sana Tanzania my Fredi Tanzania umefukuzwa tuachie Tanzania yetu ya amani ujuwe siku zote matusi ni kama upepo lakini kweli nimeamini umepiga ngumi Tanzania nedraaaaaaaaaaaaaaa zako

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi namshauri ajaribu kwenda kufunguwa huduma hiyo RWANDA 🇷🇼 KIGALI 😂😂 UJIFUNZE KITU

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 16 วันที่ผ่านมา

    NAKUKUBALI SANA WEWE KIBOKO YAO

  • @AbihudiMbekomize-py8fb
    @AbihudiMbekomize-py8fb หลายเดือนก่อน +1

    Sema alie andika kichwa cha habari kakosea hapo sio watanzania ana iambia Dunia make watanzania anawasifia sana 😊

  • @elizabethmakaranga218
    @elizabethmakaranga218 หลายเดือนก่อน

    Kimya ww inaelekea TZ unaitamani yaani mate yanakudondoka hovyo ,kumbuka hakuna mjinga ktk maisha ya dunia hii,kiburi cha uzima ,na ww mbona hukugoma kuondoka ,unang’ang’nia kuongea tu si unyamaze tu ,

  • @sakuranitillya6088
    @sakuranitillya6088 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa sana Dominic umeongea vizuri

  • @komangohill5957
    @komangohill5957 หลายเดือนก่อน +1

    Ameanza kuchanganyikiwa. Soon anaingia kwenye financial depressions , rejection na mwisho ni majuto.

  • @godfreychegere9710
    @godfreychegere9710 หลายเดือนก่อน

    ningefurahi sana kama angeachwa kwanza nchini kisha akamatwe ajibu hizi tuhuma vizuri maana wengi wanaonekana kuchukizwa na matendo yake huyu mtu

  • @Elisha-zr8ms
    @Elisha-zr8ms หลายเดือนก่อน +1

    Hongera 🎉 sana kwa tuzo ya ujinga mwisho umefukuzwa Tanzanian imewe,ekana sasa kimebaki kitu kimoja ongea kanwisho mwiliwako sasa Anza kujenga na kaburi mapema maaana hakija utakufa

  • @LwidiSanga
    @LwidiSanga หลายเดือนก่อน

    Asante kiboko ya wachawi hawakujua kumbe wewe Ni mchawi wa wa chawi Njia za majibu ange jibu yesu alie uwawa sio wewe ulie fukuzwa tu unataka kutuloga Kama Nabii ondosha vita kwenu uwape majibu waasi

  • @FreemasonPesaZaMajini
    @FreemasonPesaZaMajini หลายเดือนก่อน

    RUDISHA KWANZA PESA ZA WATANZANIA ULIZOKUWA UMECHUKUAWA ZA KUFUFUA WAFU NA UKASHINDWA

  • @YohanaMwegoha-v6l
    @YohanaMwegoha-v6l 24 วันที่ผ่านมา

    Wewe jitokeze tanzania utaolewa

  • @carolinerubeya7817
    @carolinerubeya7817 หลายเดือนก่อน +5

    Jameni msimtukane Acheni aongee ako na uhuru kuongea anachoona ni sawa kwake😂

  • @Noelkashilila
    @Noelkashilila หลายเดือนก่อน +3

    Bwiga tu huna akili Tanzania unaitamani ila huwezi kuingia tena kibaka we unatapatapa kula kisamvu cha congo shetani mwenye kujichubua shoga tu na tapeli

  • @misscesty5817
    @misscesty5817 หลายเดือนก่อน +2

    Tuwapime kwa neno la mungu huyu ni tapeli wa kupoteza watu wanao tafuta mungu wa kweli kaeni macho.

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 หลายเดือนก่อน +1

    kwahiyo mliambizana na wakongo wenzio kwmb Tz ni nchi ya watu wajinga ndio wa kuwaibia kirahisi?!!
    Pole sana Kiboko ya wachawi

  • @h.t.ecompany3884
    @h.t.ecompany3884 26 วันที่ผ่านมา

    ukisoma discription na hiyo video hapo juu na kichwa cha hiyo video hivi watanzania mko seriously kweli madora tv rekebisha hiyo discription na hiyo title aviendani na videos uliyo iweka

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 หลายเดือนก่อน +1

    Umeshafukuzwa tayari,sasa fanya toba kwa Mungu wako🙏🙏

  • @apotredebora
    @apotredebora หลายเดือนก่อน

    Neno moja tu .jipe hekima .mungu anakujuwa. Na amekusudiya kuita kiboko YA wachawi.

  • @MarthaMilaj
    @MarthaMilaj หลายเดือนก่อน

    Ila mm nakushahur Kama ww unajijua ni mtumish wa MUNGU kweli kwa haya yanayo endelea ungekaa tuu kimyaa wataongea wakichoka yatapitaa

  • @hemedimuna1400
    @hemedimuna1400 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuli umekuwa funzo na utaendelea kuwa funza ❤

  • @emmanuelburchard3153
    @emmanuelburchard3153 หลายเดือนก่อน

    Acha TU kuongeà. Huwezi hata kujitetea. Unasema uongo mchana kweupe...
    Wajinga ndio waliwao.Umezitafuna kweli.

  • @LilianRamadhan-c1v
    @LilianRamadhan-c1v หลายเดือนก่อน

    Vchaa sio lazma awe amebeba Makopo hata huyu ni kcha angekua timamu asingeropoka ujinga

  • @TatuNhonoli
    @TatuNhonoli หลายเดือนก่อน

    Hakuna mtu mpumbavu duniani kama mkristo asiyesoma Biblia, mkiristo anayesoma neno la Mungu kila siku huyo anauzima hawezi kuyumbishwa na matapeli maana anaijua kweli na wanaotumia ukristo kutali pia wanawatambua

  • @GloryRichard-ly7kz
    @GloryRichard-ly7kz หลายเดือนก่อน

    Hivi unajua laki moja kweli😂😂 ww unakichaa ww

  • @DorisiEmanuel
    @DorisiEmanuel หลายเดือนก่อน +1

    Asee mm naomba namba yako nashida sana uniombee

  • @luthermajoji7300
    @luthermajoji7300 หลายเดือนก่อน +2

    INAONEKANA PIA UNA TATIZO LA KIUFAHAMU NA LA KIAKILI.
    HERI UNGENYAMAZA TU

  • @YohanaMwegoha-v6l
    @YohanaMwegoha-v6l 24 วันที่ผ่านมา

    Wewe siyo nabii wala pastor.huna sifa za kuwa mtumishi.usiludi tanzania.uchafue watumishi wetu .huna malezi ya kiloho inanyesha huna baba wa kiloho ni gendaeka

  • @NkeshaChabhilonda
    @NkeshaChabhilonda หลายเดือนก่อน

    Safi sana naoona mnaendelea kutukuza ulimwengu kwa kirsto 😂😂😂😂

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio umefukuzwa, kwa hiyo unalazimisha kurudi uendelee kutapeli watu?

  • @allylwambo-ol7qw
    @allylwambo-ol7qw หลายเดือนก่อน +2

    kelele za nini kama umefukuzwa tanzania nenda rwanda bulundi kenya zambia msumbiji aflika kusini kwete uko wanataka uduma kaka watu wakikukata usilazimishe

  • @kesiahluogachannel9699
    @kesiahluogachannel9699 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mwenyewe huna akili, kama wajinga ndio wanaandika, vipi wewe unayezisoma? Unaongea bila kutumia akili pia.
    Halafu hayo unayoropoka yana faida gani kwako na kwenye ufalme wa Mungu.?
    Binafsi nakwona wakala wa shetani duniani tu wewe! Haijawahi tokea mtumishi wa Mungu anayeropoka matusi kama hayo, mdomo wenye uchafu kama huo wa kwako, hauwezi ukawa wa mtumishi wa Mungu. Peleka huko ushetani

  • @DorisiEmanuel
    @DorisiEmanuel หลายเดือนก่อน +1

    Yesu asifiwe mtumishi naomba namba zako

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 หลายเดือนก่อน

    mwaka huu tutaona mengi MAKAFIRI ndy waliwao 😂😂😂

  • @anathaliamwangamila3296
    @anathaliamwangamila3296 หลายเดือนก่อน +1

    Imekuuma tumekutimua kama mbwa, acha kutuongelea . Wewe ndio mpumbavu

  • @kassimAhmed-oi5er
    @kassimAhmed-oi5er หลายเดือนก่อน

    Umezaliwa muda ambaye wajinga wamelala.big love from kenya

  • @JanethMadios
    @JanethMadios หลายเดือนก่อน

    Unaipenda Tanzania maana povu linakutoka hatariiiiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂imekuuma sana kufurushwa Tanzania 😂😂😂😂😂😂😂😂😂kwendraaaaaaaaaaaaaaa kafie congo huko hapa hatukutakiiiiiiiiiiii

  • @kelvinLusana
    @kelvinLusana หลายเดือนก่อน

    Hivi ni kweli wee jamaa ulikuwa mweusi tiii unaweza kutueleza kwanin umekuwa mweluu

  • @AmirAbdallah-pr4uq
    @AmirAbdallah-pr4uq หลายเดือนก่อน +1

    Kama huna uoga nenda kapiganie nchi yako Ina vita mshamba wewe unaangaika na nchi yetu kwann we fanya yako mjinga mmoja wewe

  • @nestorymasale2714
    @nestorymasale2714 หลายเดือนก่อน

    Unaumia sana mjinga wewe dawa ya mtumishi ni kunyamaza watu wenyewe ndio waseme jamaa anaweza kwa utumishi sio kutoa maneno mabaya.

  • @PriscaNnko-x4i
    @PriscaNnko-x4i หลายเดือนก่อน +2

    Fanya hyo huduma huko kwenu 🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺

  • @nicksonshoo429
    @nicksonshoo429 หลายเดือนก่อน +2

    Na mjifunze,msirudie tena kukimbilia mambo ya hovyo.

  • @AzizMasenga
    @AzizMasenga หลายเดือนก่อน +1

    Waombe msamaha wachawi wa sumbawanga,Ulijipa jina ambalo siyo lako.

    • @MaombiManeno
      @MaombiManeno หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @joshuachuwa5695
    @joshuachuwa5695 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ombea congo .Hao waasi wa M24,Banyamulenge waache vita.Usituchoshe achana na TZ yetu.

  • @JabiriMtelenga
    @JabiriMtelenga หลายเดือนก่อน

    Wewe ndio huna akili...kwani hujui kua hata shetani anao ambao bora wao wafe ili yeye aishi???bora ukaibe kwenu mbwa wewe

  • @samwelymollel4084
    @samwelymollel4084 หลายเดือนก่อน

    Wewe ulitakiwa ufilisiwe kila kitu urudi kwenu mtupuu!!!

  • @yusrtv2622
    @yusrtv2622 หลายเดือนก่อน

    Huyu jama hawatukani watanzania anawatukana wakiristo na alio watapeli

  • @VenerandaJulias
    @VenerandaJulias หลายเดือนก่อน +12

    Hatukan watanzania ,bali anawatukana wale wajinga waliompa hela za kujengea nyumba kongo

    • @LucyOmary
      @LucyOmary หลายเดือนก่อน

      Kweli anatutukana sisi wajinga turompa pesa ila ataona na mungu yupo na uyo mkewe mchaga mjinga mwenzie

    • @abdulijuma3969
      @abdulijuma3969 หลายเดือนก่อน

      ​@@LucyOmary Mungu hapendi watu wajinga toa Kwanza ujinga ili akusaidie 😂😂😂😂😂😂

    • @annabyekwaso-wt7oi
      @annabyekwaso-wt7oi หลายเดือนก่อน

      Umeonaee,

    • @annabyekwaso-wt7oi
      @annabyekwaso-wt7oi หลายเดือนก่อน

      @@LucyOmaryyaani umesema kama mimi na mke wake ni mtanzania naye ni mjinga ndo maana kamwacha hakumbeba kwenda nae na watoto wake ni wajinga maana ni watanzania wamezaliwa Tz kwenye hosp zetu

    • @kalistominoz6018
      @kalistominoz6018 21 วันที่ผ่านมา

      Exactly

  • @izoohjack6687
    @izoohjack6687 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyewe ulisema umemiss laki tano tano za watanzania leo unakana

  • @Paulo-c9z
    @Paulo-c9z หลายเดือนก่อน +1

    Mimi namkubali sana uyu mwamba ongera sana mwamba endelea kukiwasha uko Kongo 😂😂😂

  • @PendoMakundi-xv6nh
    @PendoMakundi-xv6nh หลายเดือนก่อน +5

    Wakongo tunajua mnaipenda tz sana Sasa inaumizaa ndio maana hutuliii unaweweseka

  • @ErickEpiphan
    @ErickEpiphan หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naelewa Sana Ila naona postar haututendei Haki sisi wafuasi wako maana mpaka sasa hatujui sabababu ya msingi na wewe tunakuamini kwakua unaweza kutabir Maisha ya MTU na familia Yake Mimi naamin unajua sababu kubwa Kwann usipeleke malalamiko ubalozi wa Congo Tanzania maana watanzania wanaishi Congo na wanafanya shughuli nyingi congo hawafanyiwi chochote na tunashirikiana Sana wacongo na tanzania

    • @JanethMadios
      @JanethMadios หลายเดือนก่อน +1

      Unamsapoti tapeli mwenzio au sio??????? Kwani lazima huduma afanyie hapa Tanzania????.? Si aendeleze huduma huko huko congo??????? Hapa hatumtaki aende zake uko

    • @FrankCharles-dr6dy
      @FrankCharles-dr6dy 4 วันที่ผ่านมา

      ❤❤❤❤❤❤ wew ni mwamba bwana me nakpenda punguza jaziba akna binadam alokamilika mungu ndo njia ya kwel kwa uwezo wako omba mungu baba utarejea.

  • @kassimAhmed-oi5er
    @kassimAhmed-oi5er หลายเดือนก่อน

    ❤😂😂😂😂i love u big from kenya.

  • @mzeeakida9609
    @mzeeakida9609 หลายเดือนก่อน

    Pole yake.
    Katapeli sass katapeliwa. Watanzania amkeni sass

  • @AbihudiMbekomize-py8fb
    @AbihudiMbekomize-py8fb หลายเดือนก่อน

    Wow wewe sio yesu sema bana😅😅😂😂😂

  • @zabibusaidi1404
    @zabibusaidi1404 หลายเดือนก่อน

    Aliteswa mwanamke na mumewe kisa house girl nauli ya kwenda kwa nabii kiboko mama kakopa lkn bint ana laki tisa kwenye account nabii alizihamisha kwahiyo naombeni cn mnaochefukwa tafuteni kazi ikiwezekana mcmfuatilie hayajawakuta

  • @stanleysanga7758
    @stanleysanga7758 หลายเดือนก่อน

    Mafala waliomuchangia loho zinawauma matapeli Bado wapo wengi Tanzania

  • @AzizMasenga
    @AzizMasenga หลายเดือนก่อน +1

    Nikama anatumia gongo!!au macho yangu.

  • @EmmanuelMaganga-ey4oz
    @EmmanuelMaganga-ey4oz หลายเดือนก่อน

    Je ukiambiwa kuludi Tanzania utaludi?

  • @dignanguma
    @dignanguma หลายเดือนก่อน

    Muogope Mungu tena usimdhihaki aliyekuumba. Ole wako wewe!!

  • @AbduliNgalala
    @AbduliNgalala 26 วันที่ผ่านมา

    Tunakumiss mutumishi nakuomba mim kam mim na kukubarisan namungu akuongezey mafut

  • @AbuuRamadhani-o7k
    @AbuuRamadhani-o7k หลายเดือนก่อน

    Bado mwamposa Tapel atimuliwe

  • @apotredebora
    @apotredebora หลายเดือนก่อน

    Acha mungu akupiganiye. . Aliambiya WA Israel nyamazeni Kimya ..Acha mungu aseme mwenyewe

  • @twalibmakau8380
    @twalibmakau8380 หลายเดือนก่อน

    Bwana mdogo hayupo sawa
    Ana msongo
    Na ameathirika kisaikolojia

  • @mzeewa6999
    @mzeewa6999 หลายเดือนก่อน

    mzigo umeacha bank bro ulichokichuma umekiacha 😊 sasa utautoaje ?

  • @maneno_kairuki
    @maneno_kairuki หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kanisa moja tanzania mwenye waumini laki moja kwenye kanisa moja. Labda kama ni makanisa mengi

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wetu ni wautaratibu

  • @FatmaHassan-t4q
    @FatmaHassan-t4q หลายเดือนก่อน

    Huna akili wee yessu gani atokuondoa duniani wakati huyo mnomwuta yessu yy ameumbwa na mungu na yy si mungu ni binaadam kama mm na wee ila yy ni Nabii na si mtume wako mtume wako ni MUHAMMAD..

  • @salmetshaban3939
    @salmetshaban3939 หลายเดือนก่อน

    Baba unachosema nikweli kabisa maana mitandao ukipost kitu wanakugandamizasanasana wapasue kweli jeshilamtummoja mashinee ya mwanaumee

  • @addymsola4625
    @addymsola4625 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ni kiboko ya wajinga

  • @Habibu-nf3hg
    @Habibu-nf3hg หลายเดือนก่อน +1

    WEWE KAMA MCHUNGAJI MBONA UNAJUCHUBUWA

  • @deusdeditmarwa1324
    @deusdeditmarwa1324 หลายเดือนก่อน +1

    Dominic, hata kama Mwamposa na Kuhani Mussa walikupiga vita, kama ungesimama ktk uadilifu wasingekuwa na lolote

  • @jobiigenius4516
    @jobiigenius4516 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂"kichwa kweli" dah!

  • @MaikoRashku
    @MaikoRashku หลายเดือนก่อน +1

    Watu Laki moja ungewaweka wapi pale kwa lulenga buza ?. Acha uwongo

  • @leonarddamian
    @leonarddamian หลายเดือนก่อน

    Nyoko,watu eti kanisa lake lilikuwa na watu 100,000 kwani sijui au

  • @NyotaBalolane.
    @NyotaBalolane. หลายเดือนก่อน

    Mungu anakupenda ndomaana hauku tekwa mushukuru yeye muumba wa Mbingu na inchi na kumutumikiya yeye Mungu wa kweli

  • @daimonsanga6707
    @daimonsanga6707 หลายเดือนก่อน

    Unajikaza sisi ndo watanzania atutaki ujinga :endelea kujifariji pia ni muhimu

  • @erodiasmallya2869
    @erodiasmallya2869 หลายเดือนก่อน

    Huduma yako ingekuwa ya ukweli usingedai hela nyingi kwa watu waliokujia kwa shida. Hapo ndo ulipokosea na pia wasaidizi wako walikuwa wanajibu watu vibaya endapo unakisa hiyo laki 5.

  • @Gatrudagaspher
    @Gatrudagaspher หลายเดือนก่อน

    Ww muongeaji sana shida yako unajifanya mjuaji shida yako tulia kwenu congo

  • @LazoMyuzik
    @LazoMyuzik หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 uliwapata kweli wenye imani haba

  • @kassimAhmed-oi5er
    @kassimAhmed-oi5er หลายเดือนก่อน

    Nipo kenya umenifurahidha sana