MashaAllah 🙏🙏🙏I didn't wanna talk to anybody but you "THE QUEEN"👑👑👑👑MashaAllah God bless. Mtu hapewi hii title bure,there must be something in you that she knows/sees. Keep shining momma, And keep growing gigi.
Shida sio mange shida iko kwa watz wachache wapuuzi tu na njaa zao wako na uroho wa pesa na wamepoteza utu pia ndo wanamtumia yy afanyeje sasa naye anataka kuishi😢 na haon taabu
Nashangaa sana kwanini serikali imekaa kimya kuna sheria za kimataifa na hata marekani anapoishi uyo mange hawakubaliani na vitendo hivi vya mtu kupost picha za utupu za mtu mwingine bila Ridhaa yake hili kosa kubwa sana. Huyu mange kimambi anatakiwa kushitakiwa na wote waliofanyiwa vitendo hivi wawe mashaidi. Tumeona watu kama kina r Kelly wanaenda jela uyo mange ni nani kwanza naiomba balozi ya Tanzania marekani waonyeshe kuwa wnafanya kazi kwa kumpa haki yake hii ni kesi ya deformation na pia kesi ya kusambaza picha za utupu za mtu bila ridhaa yake. Wanasheria wa kimataifa mpo wapi ?????? Serikali ipo wapiiii???? Wananchi wenu wanafanyiwa mambo haya kivipi ??????
Ni kazi ndogo ya mara moja yan sema serikali inajifanya kipofu kwasababu huyo mange hapo marekan sio mbinguni ni mara moja tu anakamatwa na kwa anayofanya mange ipo siku nakwambia ipo siku atakanyaga sipo atarudishwa kama jambazi
Sijui ni nani aliewaambia wabongo kuongea kikoloni ndio inaonekana mjanja,Sasa hii interview ni ya kiingereza au kiswahili? Kamanapenda sana kizungu basi mfanye interview yote kizungu inatia sana kinyaaa
Hata mimi niliangalia nikashindwa kumaliza, nilijaribu kuvaa viatu vya Gigy nyieee ni vizito. Nikasema hatakama Mange anamchukia Gigy kiasi ganiiii binti yake je? Mayra je? Aje aone utupu wa mama yake jamani💔💔hii mbona ni udhalilishaji sanaaa jamani? Vitu mtandaoni havifutiki😢😢 dah!
Binaadam utazunguka weeee, utajirusha weeee, utaringa weeee, lkn ikishafika wakati wa kujua FAMILIA ndio maisha ya binaadam ndipo unapoona kwamba ulikua mpumbavu Kwa kutingia PESA zako, UZURI wako, UMAARUFU wako,....ndio inakuwa too late, !...kwenye maisha ya binaadam FAMILIA ndio jambo la msingi kuliko yote..!
I understand mange kimambi job bt that lady has noooo idea how much Shes damaging peoples relationships/ image all fr sake of gossip 💔…. No women should be in this situation its absolutely sad
Chuma kwa chuma alinyonya bomba la dawasco la gigy mara gigy sura akaikunja akapigwa mkende mmoja hatari..lkn Instagram ana edit mpaka kiuno kuzungusha
Hakuna sheria za Kimataifa wa mshughulikie Mange Kimambi. Aletwe huku Tanzania kwanza afikishwe mahakamani pamoja na wale wanaompelekea video hizo wafungwe jela kwa miaka mingi.
Gigy akiitaji anaweza kumstaki yule jamaa kwakupitia ambassadeur y’a TZ inchi marecani ivyo anavizipiticho Mbona kesi ndogo sana anitafute mm ndamsaidia apate haki yake
Kwanini mtu urecord unapo fanya ngono na mtu ambae si mume wako yani mtu tu umeanza nae mahusiano siku mbili na kipande unakubali vipi akurecord that's being very idiotic
Gigi ulikua mjinga coz baada ya video ile uliingia ista laivu nakuaanza kuongea ujinga so machozi yako hayana maana. Coz ule niuzalilishaji ungeweza hata kumfungulia kesi
😅😅😅😅Gigy money una vituko wewe, leo umeamua kuongea kiswaEnglish😅😅😅😅😂😂😂😂😂ongea lugha yako ya Taifa wewe. Ulishaaibika duniani adi ahera. Ustaa utawaponza nyie
😂kwani ni mwanao alafu Ivi wewe kwani haujawai tiwa ama ni vile za gigi zilivuja tu ndio unajifanya mtakatifu...ata ukute gigy kakushinda kupeana kizigo ww hujui na kama unajua record tuone 😂😂
Wewe utatamani vipi mwenzio ajiue Kwan alipenda video zake zivuje? Ni kwabahati mbaya tu,,,ila mange Kwa alichomfanyia mange Yani kamfanya Gigi awe anasumu kama yake na itamtafuna gigi muda wote Yan,,tokea mange alivyofanyiwa baba. Ake ushenzi ule tena mbele ya watoto wake ikamualibu kisakolojia ndomana yote hayo yanakuwa
Tokaaaa bhana we si unajichetuaga 😂😂alafu si uongee kiswahili tu it’s so cringe na English yako alafu unapapatika yaani I don’t why they made u famous for 😂watanzania ndo mnapenda watu wanaojichetua
Gigy ni mzuri sana jamani. Very pretty. Hata binti yake ni mzuri sana.
Gigy you are a strong woman..kenya we love you
"mdogo wangu..."🤣🤣
my favourite part of the story
Nampenda huyu dada sana i wish one day nimuone 🥰
MashaAllah 🙏🙏🙏I didn't wanna talk to anybody but you "THE QUEEN"👑👑👑👑MashaAllah God bless.
Mtu hapewi hii title bure,there must be something in you that she knows/sees.
Keep shining momma,
And keep growing gigi.
Huyu mange kimambi Mungu amwone.kwa kweli. Anadhalilisha sana watu. Iko siku atajutia kwa nini amewaaibisha hivyo.😢😢
Shida sio mange shida iko kwa watz wachache wapuuzi tu na njaa zao wako na uroho wa pesa na wamepoteza utu pia ndo wanamtumia yy afanyeje sasa naye anataka kuishi😢 na haon taabu
I love this interview 🔥🔥🔥
Gigy uko vizuri mashaa Allah ❤
Nakupenda da zama mungu akubariki na familia yako❤
Nashangaa sana kwanini serikali imekaa kimya kuna sheria za kimataifa na hata marekani anapoishi uyo mange hawakubaliani na vitendo hivi vya mtu kupost picha za utupu za mtu mwingine bila Ridhaa yake hili kosa kubwa sana. Huyu mange kimambi anatakiwa kushitakiwa na wote waliofanyiwa vitendo hivi wawe mashaidi. Tumeona watu kama kina r Kelly wanaenda jela uyo mange ni nani kwanza naiomba balozi ya Tanzania marekani waonyeshe kuwa wnafanya kazi kwa kumpa haki yake hii ni kesi ya deformation na pia kesi ya kusambaza picha za utupu za mtu bila ridhaa yake. Wanasheria wa kimataifa mpo wapi ?????? Serikali ipo wapiiii???? Wananchi wenu wanafanyiwa mambo haya kivipi ??????
Point kabisa.
Kesi kama ulirekodiwa, ili ukijirekod mwenyewe watu wanapita nayo😅😅
Wacha kusapoti vitu vichafu alifanya poa
Sababu yupo mbali na tz serikari wapole kweli nchi za wenzetu wanawake wanashimiwa ufanye ivyo kesi kubwa na wanamlipa Mange anajua sana
Ni kazi ndogo ya mara moja yan sema serikali inajifanya kipofu kwasababu huyo mange hapo marekan sio mbinguni ni mara moja tu anakamatwa na kwa anayofanya mange ipo siku nakwambia ipo siku atakanyaga sipo atarudishwa kama jambazi
I love you Gigy money ❤❤❤
I love you Gigy❤❤❤❤ from 🇿🇲🇨🇩🇿🇲🇨🇩🇿🇲✌️🇨🇩
Nachukia sana Maswali ya Kiswahili mtu anajibu Kingereza Kibovu.
Pole Sana gigy Mimi nakpenda Sana aijalishi❤
MKIHOJIWA NA WATU SIRIAS MNAFUNGUKA YOTE😊
gift nakupenda sana❤
Tunasubiriaga tu youtube. Hatunaga haraka 😊
😂😂😂
😂😂
Poleee sana Gigi 😢
Nampenda Gigi Ila ana hitaji kuacha kuongea broken English yake it sooo annoying asf !
It’s 😂yaani and so cringe
Sijui ni nani aliewaambia wabongo kuongea kikoloni ndio inaonekana mjanja,Sasa hii interview ni ya kiingereza au kiswahili? Kamanapenda sana kizungu basi mfanye interview yote kizungu inatia sana kinyaaa
Hahha akisema master J kuwa tunazingua na vingereza vyetu mnamuona bro vip acha wivu
@@Thebaddest255 umeona ehh 😅
@@MultiMbongo 👏
Zama nakushauri uwe unawambia unawahoji wasiongee kiingereza kwanza kibovu kwa kweli siwezi sikiliza mpaka mwisho
Gigy kiswahili iko sawa kizungu wachia waiengereza akii
Practice makes perfect
@@eshialabonita7736but gigi's own is mmmmmmmh
She is very smart!!!
Gigy ❤❤❤❤❤❤❤❤
Gg nakupenda sana mwanangu,yanaumiza ila yatapita mama mm nakukubali sana
Umependeza ggy❤
This girl she's very strong
Wow Gigy I come to love her
Nilimic interview za dada zamarad😊😊
My gigy❤
Hii exclusive ni kali na wote mmependeza
Nakupenda sana gigy
Giggy nakukubali Sana,napenda kujiamini kwako,haya Yana mwisho ucjali
Tusiwewaongo sometimeinatokea unaweza uka date na mtu lkn usijue lengolake nachoshauri wanawake tusiwe tunajiachiakulewa hovyo
Wow 💚
Giggy n mrembo sana wallah❤ lov her
Gigy you're super hero i love u moree
Best makeup Gigi
sure
kapendeza sana❤
Jazamard muongee kiswahili jamaniii😅😅😅😅
Huyo Gigy,Zama huwa hapend
Nimeskia mnasema kingereza kibovu umu ndani! Mbona naanza kuogopa kusikiliza kabla hata sijasikiliza?😊😊😊
Kwani wewe ndo mwalimu wake???
muong wew mpak kufika apa baas umeshasikiliza
Ongea kiswahil sho if if if😅😅😅😅
Tupe full interview ya hii apa
JUST KEEP KISWAHILI PLEASE
Comments 😂😂😂😂😂jmaaaaani kwani hamjui she's not okay and needs help 😢😢😢
Kizungu miiiiiiingi khaaa 😢
Hata mimi niliangalia nikashindwa kumaliza, nilijaribu kuvaa viatu vya Gigy nyieee ni vizito. Nikasema hatakama Mange anamchukia Gigy kiasi ganiiii binti yake je? Mayra je? Aje aone utupu wa mama yake jamani💔💔hii mbona ni udhalilishaji sanaaa jamani? Vitu mtandaoni havifutiki😢😢 dah!
Wabongo bana simuongee kiswahili 2 kizungu chenyewe mnangata 2 midomo ila 🎉🎉🎉nawapenda zama namamaira
Sawa tumekuskia! Nawewe jitahidi urudi shule ukajifunze kuandika, sasa sijui utarudia from standard one mana mhh zama namamaira
@@vanessalaizer4363 nimeipenda hiyo nawapenda sana siku nikijaaliwa kuja jiji la daresalam nitawatafuta inshaAlla niwaona niwasalimie
Gigy anajua kiingereza perfect kabisa acha roho mbayaq
🤣🤣🤣🤣ww vp sasa unajua icho kiswahili au english
Wanaume sometime muwemnajitambua unaporecord utupuwamtu juakabisa ile k atamamako anayo dadazakopia wanazo so msikafikiritu unamzalilisha gigi mwehu no unazalilisha wanawakewote dunian
usitufananishie mama zetu na ushafu huo yaani mtu anafirwa duuh haoni hata aibu
We mama Ako anakwambia vyote alivofanyiwa😂😂😂😂 we muheshimu mwanamke yoyote huwezi jua😂😂@@HadjiMbugi-hw2hf
Yaani watu hamumpendi gigy mnadis Lakin mko hapa hapa msiende kwa mnaowapenda
Asie mpenda tena kaz kwake sio shida zetu maana ako na vituko vyake ndo tunampendaga 😅 siye
To be honest we live in a very complicated society everyone
Yan watz njaa ztawaua...
Yan kila kitu app
Zaman c mlikua mnatuonyesha TH-cam. KWAN hampati pesa TH-cam??
😂😂😂
Binaadam utazunguka weeee, utajirusha weeee, utaringa weeee, lkn ikishafika wakati wa kujua FAMILIA ndio maisha ya binaadam ndipo unapoona kwamba ulikua mpumbavu Kwa kutingia PESA zako, UZURI wako, UMAARUFU wako,....ndio inakuwa too late, !...kwenye maisha ya binaadam FAMILIA ndio jambo la msingi kuliko yote..!
❤❤
❤️❤️❤️
Interview za gigy sizioendi haongei lugha moja yaan inakera jaman kuchanganya lugha
Part 2 jmn
My g❤❤❤🇨🇩🖐️
I understand mange kimambi job bt that lady has noooo idea how much Shes damaging peoples relationships/ image all fr sake of gossip 💔…. No women should be in this situation its absolutely sad
gigy you are the best no mara waaa
Chuma kwa chuma alinyonya bomba la dawasco la gigy mara gigy sura akaikunja akapigwa mkende mmoja hatari..lkn Instagram ana edit mpaka kiuno kuzungusha
Hakuna sheria za Kimataifa wa
mshughulikie Mange Kimambi. Aletwe huku Tanzania kwanza afikishwe mahakamani pamoja na wale wanaompelekea video hizo wafungwe jela kwa miaka mingi.
Nakupenda gift
Kwan nilazima kuongea English jmn😅😅😅 Hadi aibu
Mbona gigy anaongea englsh nzur sana.....like american english
Mbn fupi part 2 ikwap
Gigy ongea tu Swahili.
Nimeshindwa kukoment chochote 😢😢😢😢
Yan gigy na kizungu jamn😂
Gigi akiwa na make up ni mzuri nyie kama black American flani❤
Umepigajeeee hapo
Kabsa
Kiingereza gigy
Hivi mkulima ambaye hajasoma ameelewa nini kwenye mazungumzo hayo.Ni bora mh.Mtangazaji ufungue idhaa ya kiingeleza ili ueleweke zaidi.
Gigy akiitaji anaweza kumstaki yule jamaa kwakupitia ambassadeur y’a TZ inchi marecani ivyo anavizipiticho Mbona kesi ndogo sana anitafute mm ndamsaidia apate haki yake
Apunguze kingereza
Muendelezo basi da zama😢
gigy ni kichwa
Kingereza king alafu 😏😏😏😏😏
Wabongo bwana hampendi lugha yenu ya kiswahili
Ila nyie mnaokazanag mnampenda Sana zama mnampendeaga nn😅😅mnampa tu kichwaa
Ila Gigy mrembo jamani
Kumbe na una watu wanao kueshim maskin
KWELI DADA WA TAIFA KAWANYOOSHA. NMEKAA PALE KILA HOST LZMA ATAKUA NA APP LKN YA MANGE INANOGAAA ZAID. NYIE HAMNA JIPYAA. MTU HATA TISSUE HAMNA😂😂
Wee nae huyo mange app kaipata juzi tulisha angalia cook with wema sepetu kitambo mbona
chizi ni chizi tu kingereza chenyewe kibovu alafu wala aoni masikin kujikuta mzungu kichaa
Hapa kwa mbali kam tonto dike kutoka Nigeria
Gigy siuongee kiswahili tu.. yaan unamixmix tu kingereza na kiswahil halafu english yako ni very broken hadi unakera🙄
😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂yaani it’s so cringe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂na skuzote wasiojua ndo wanakuwaga na kiherehere
Kwanini mtu urecord unapo fanya ngono na mtu ambae si mume wako yani mtu tu umeanza nae mahusiano siku mbili na kipande unakubali vipi akurecord that's being very idiotic
Ovyoo mashauzi mengi kwani kiswahili hamkijui ulimbukeni tu 😏😏😏😏yani unahojiwa kiswahili unaleta ujinga
two sided tabia za gemini hizo..
Gig unapiga ngeli
kila mtu mtoto wake anaakili 😂😂😂
😂😂😂😂😂 lazima
😂😂😂 ila kweli
Ungeongea kiswahil yan broken imekuwa strong na hautulii kuskiliz maswal ya interview yan una papara
😂😂 miniko pharmacy akija mteja ambae hajui kingereza hua namwambia I'm speaking kiswahili hili language only
kumuoji chizi ni kipaji maana hajui hata maana ya hicho kipindi
Maskin anaumia nyie😢
Gigi ulikua mjinga coz baada ya video ile uliingia ista laivu nakuaanza kuongea ujinga so machozi yako hayana maana. Coz ule niuzalilishaji ungeweza hata kumfungulia kesi
Yaani she is going out the topic 😂jamani kinge hichi
Uyo gigy ata ajielewi wa ovyooo
I agree with you 😂yaani I never understand her I don’t knw why ppl are hyping her
Hata Mie sijawahi kumuelewa 🚮🚮🚮🚮
Nimeacha kusikiza maana viingereza vyenu ni upumbavu ukizingatia wasikizaji wenu ni waswahili. By the way all the best
😢woow
😅😅😅😅Gigy money una vituko wewe, leo umeamua kuongea kiswaEnglish😅😅😅😅😂😂😂😂😂ongea lugha yako ya Taifa wewe. Ulishaaibika duniani adi ahera. Ustaa utawaponza nyie
Ungejiua kiukweli ningefurahi sana maana we bint unatia aibu sanaa
😂kwani ni mwanao alafu Ivi wewe kwani haujawai tiwa ama ni vile za gigi zilivuja tu ndio unajifanya mtakatifu...ata ukute gigy kakushinda kupeana kizigo ww hujui na kama unajua record tuone 😂😂
Watu wanjifnyg watakatifu
Wewe utatamani vipi mwenzio ajiue Kwan alipenda video zake zivuje? Ni kwabahati mbaya tu,,,ila mange Kwa alichomfanyia mange Yani kamfanya Gigi awe anasumu kama yake na itamtafuna gigi muda wote Yan,,tokea mange alivyofanyiwa baba. Ake ushenzi ule tena mbele ya watoto wake ikamualibu kisakolojia ndomana yote hayo yanakuwa
Duuh 😂😂😂😂😂😂😂 basi ongeeni tu kizungu mwanzo mwisho,iki kizungu kitatufanya tufike mbinguni tumechoka 😢😢😢😢😢😢
Huyu naye......anaongea kma hajawahi kutiwa....tena usikute unayabugiaga kuliko hta huyo ggy.....mjing....mmoja ww😏😏
Tokaaaa bhana we si unajichetuaga 😂😂alafu si uongee kiswahili tu it’s so cringe na English yako alafu unapapatika yaani I don’t why they made u famous for 😂watanzania ndo mnapenda watu wanaojichetua
I love you gigy i wish you well that was just small thing usijali alio ipost ile issue itamtatiza badae i hate him 😢😢😢😢😢 nakupenda gigy
❤❤
Kingereza kingi mi sijasoma