🔴EXCLUSIVE: Irene Uwoya aonyesha kufuru kwenye kabati lake | Amtaja Mpenzi wake | Matumizi ya pesa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 มี.ค. 2022
  • Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

ความคิดเห็น • 243

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 2 ปีที่แล้ว +50

    Dada unaroho nzuri sana nakumbuka ilimsaidia rafik yetu alifiwa na muchumba wake kwa kugongwa na gari akafarik ulimchukua mpka hospital hata siku ya msiba ulikuwepo pia ktk kutoa faraja kwa mfiwa

  • @aminamwanakombo2097
    @aminamwanakombo2097 2 ปีที่แล้ว +12

    Irene mpole sana ndio maana nampenda sana

  • @elizabethasukile7280
    @elizabethasukile7280 2 ปีที่แล้ว +26

    Nicole on fire 🔥

    • @divinebernard1047
      @divinebernard1047 2 ปีที่แล้ว +1

      Siyo ivo my Ila yy kaziweka chini angezkweka kabatini zingeonekana nyingi zaidi

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 2 ปีที่แล้ว +2

      Kabisaaaaaaa viatu vyake vipo kabatini huyo viatu kaweka chini kama mm tu🤣🤣🤣

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata angeweka kabatini Bado vichache

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 2 ปีที่แล้ว +1

      @@wemakingdaily1462 kwani hivo vitu atazikwa navyo! Bado huyu dada ni mrembo na amemzidi Nicole kwa urembo mbali Sana!

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 2 ปีที่แล้ว

      Sanaaa yupo rough

  • @hasinarashid5059
    @hasinarashid5059 2 ปีที่แล้ว +10

    Nakupendaa da Irene ila shogaangu tafta kabat lako la viatu liwe🔥🔥 kiatu cha 1mil kinakaa chin??kua kma Nicole dear🔥🔥

    • @user-ck1hh8zx6j
      @user-ck1hh8zx6j 6 หลายเดือนก่อน

      Hummm ishi maisha yako mwenyew sipendi kuishi wanavy ishi wawo

  • @rosejuma4350
    @rosejuma4350 2 ปีที่แล้ว +10

    Nicole juu

  • @lifeofyuri4020
    @lifeofyuri4020 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu editor jamani backyard music mbona ni kubwa kuliko hata sauti za watu wanaoongea
    Mbadilishe faster anaharibu a masterpiece interview

  • @ashaomari7972
    @ashaomari7972 2 ปีที่แล้ว +7

    Daah ata shelf ya viatu inamshinda na mbwembwe zote zile zakspend pesa😂😂😂🙌

    • @beatricesylvester9917
      @beatricesylvester9917 2 ปีที่แล้ว

      yaani nimeshangaa sana kiatu dolla 600 henga hata ya laki 4 imemshinda ndo tujue hawa watu waongo sana hapo kiatu kashindwa kukisema bei hata hajui bei gani ama anaona akisema watu watamsuta uwongo wake 😅😅😅

  • @zunaidaseif5890
    @zunaidaseif5890 2 ปีที่แล้ว +18

    Fake brand

  • @vodacomhalotel8096
    @vodacomhalotel8096 2 ปีที่แล้ว +7

    hapa hamna kiatu ht cha million tano

  • @lovenessitiku6293
    @lovenessitiku6293 2 ปีที่แล้ว +12

    No one lky nicole jmn

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว +16

    Irene Uwoya nakupenda sana💞.

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว +8

    Ndo hauna kabati la viatu 😂😂😂😂😂 Kabati lina nguo ngapi jmn NICOLE wanyooshe wadada wenye nyodo na fake life yao, kwenye shuhuri mnatoa mamilioni 😂

    • @zuenampandeni3347
      @zuenampandeni3347 2 ปีที่แล้ว +1

      hataki, kuna siku alihojiwa alikuwa yupo kwenye kichumba kina kabati limezunguka chumba kama duka mpka mtangazaji alishangaa

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      @@zuenampandeni3347 chumba kimezungukwa nn😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 2 ปีที่แล้ว +1

      Bongo movie show off mitandaoni ndani hakuna kitu Bora Nicole kiboko Yao 🤣🤣🤣🤣Irene hizo pesa anazotunza stejini anunue hata kabati la viatu 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      @@wemakingdaily1462 😂😂😂😂😂😂 ilo nikabati la viatu hana je jiokoni kukoje si hata vikombe ni 2 kitanda mbona hajaonesha mikoba je hana? Mawigi au ndo moja hadi linaweka ukoko kichwani, Yaani akitoka anajiona tajiri jiulize yale magauni anavaaga yako wapi? Wanakodi baada ya shuhuri yanarejeshwa dukani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @timahproducts001
    @timahproducts001 2 ปีที่แล้ว +27

    Sasa hela za kutunza c angenunua kabati la viatu😂

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 2 ปีที่แล้ว +7

    Sasa Irene mbona unatumia pesa nyingi kwakueanufaisha machawa wako ila kwako kuko kawaida sana 😆😆😆😆😆😆😆lol jmn mbona nishida wasanii mnamaisha ya kawaida sana

    • @cdeleo9336
      @cdeleo9336 2 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nimeshangaa huyu inaonekana ni wale watu wanaopenda kusifiwa na watu wakati hajiendelezi kimaendeleo

    • @rizikibakar3186
      @rizikibakar3186 2 ปีที่แล้ว

      Hotelini hapo

    • @agyady6260
      @agyady6260 2 ปีที่แล้ว

      Mnoo yani pakawaida sana i expected to see a walk in closet ya hatari 😂

  • @samiabashili9858
    @samiabashili9858 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongela dada

  • @vj8313
    @vj8313 2 ปีที่แล้ว +2

    Upo rafu, star mzima viatu unaweka chini , yani maisha yako mtandaoni fake fake best hayana uhalisia na kwako. Nikole ndo kiboko aise

  • @susannesusie3217
    @susannesusie3217 2 ปีที่แล้ว +4

    Bado Nicole yupo juuu🤗🤗🤗🤗
    Kwanzia mpangilio wa kabati hadi vitu nguo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Nicole ameshikilia taji

    • @missmontana856
      @missmontana856 2 ปีที่แล้ว

      hapoo sio nyumban ni hoteln siunaona kabati za hotel na mpangilio wa chumba unafikir irene ana hela ata ya shelf

  • @lilianhermenegild7175
    @lilianhermenegild7175 2 ปีที่แล้ว +2

    Mkali wenu Nicole

  • @ashurahaji9115
    @ashurahaji9115 2 ปีที่แล้ว +10

    Mkweli Elizabeth Michael tu hadi nyumba alijenga na akamzawadia mama yake wengine hawa sifa tu

  • @sheilakanege9618
    @sheilakanege9618 2 ปีที่แล้ว +1

    Okay

  • @Qeek_Smart
    @Qeek_Smart 2 ปีที่แล้ว +7

    Ctak kuamin Irene ameniahibushs kiac hiki jaman NICOLE alkuwa ni noma

    • @leylaiddy5815
      @leylaiddy5815 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaaa!! Hata mie nimeshangaaa.. NICOLE amemnyoosha

    • @Qeek_Smart
      @Qeek_Smart 2 ปีที่แล้ว

      @Gie🤍 sasa kakosa hata kistend cha laki mbil jaman eenh

  • @mohamedmbarak5677
    @mohamedmbarak5677 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali mama

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +8

    Hatutaki ujinga kama huo tunataka kuona maendeleo yake aliyoyafanya kazi mitandaoni tu mbona lady jdee hana ujinga kama huo wa kutwa mitandaoni

    • @nasserianmichael2161
      @nasserianmichael2161 2 ปีที่แล้ว

      Hayupo kwenye wakati, acha kufananisha watu

    • @mwajumaomar3648
      @mwajumaomar3648 2 ปีที่แล้ว

      @@nasserianmichael2161 wakati gani au unamaanisha j,dee yuposawa nabibiako 😁

    • @bahathmuro7145
      @bahathmuro7145 11 หลายเดือนก่อน

      Humjui huyu dada akili zake huzijui tu hapo anataka awaone watu wanasemaje

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 2 ปีที่แล้ว +7

    irene nakupendaaaaa, na najua hutaki tu kabati mbn tulishalionaga zamn

  • @ridhiwanfatma6312
    @ridhiwanfatma6312 2 ปีที่แล้ว +29

    #nicoleJoyberry ndo mpango mzima kwa mambo ya fashion hapa bongo amewafunik wengi na wala haringi

    • @mayroseclemence99
      @mayroseclemence99 2 ปีที่แล้ว +3

      Afu kwa nikole hakuchoshi kuangalia

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว +3

      Tajiri halingi hata siku 1, kwanza yule sizani kama amepanga

    • @mayroseclemence99
      @mayroseclemence99 2 ปีที่แล้ว +2

      @@dorcaskidoti249 kabsa tajir afu mzur wala hana mashauzi

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว +2

      @@mayroseclemence99 Sie tunaopata pesa kdg ukubwani ndo tuna shida sisi uwiiiiii 😂😂😂😂😂😂😂 ivi ana mtto sijawahi sikia swala la mtt

    • @mayroseclemence99
      @mayroseclemence99 2 ปีที่แล้ว +3

      @@dorcaskidoti249 nadhan mtoto hana ! Umeona ukipata pesa ukubwan ulimbuken mwingi kma zari

  • @leylaiddy5815
    @leylaiddy5815 2 ปีที่แล้ว +3

    Aliyejua kutukomesha Ni NICOLE

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 2 ปีที่แล้ว +2

    Mhhhh Nicole bery hatambi kama wewe kujionesha kwake pazuri weee milionea hufanani na hapo

  • @divinebernard1047
    @divinebernard1047 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyu dada nampenda saaana

  • @zunaidaseif5890
    @zunaidaseif5890 2 ปีที่แล้ว +6

    Viatu vimechoka huna hata showcase🙄

    • @fatumakassim64
      @fatumakassim64 2 ปีที่แล้ว

      😄😄😄😄😄😄😄kumbe ata vyangu vixuri

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 2 ปีที่แล้ว +1

    Njoo kwangu interview Kenya

  • @sadahgullam8228
    @sadahgullam8228 2 ปีที่แล้ว +11

    Nicole bhana mi ndo aliniacha hoi yupo juu

    • @elizamakuza274
      @elizamakuza274 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @monaa9867
      @monaa9867 2 ปีที่แล้ว

      Wee umesema kweli

    • @leylaiddy5815
      @leylaiddy5815 2 ปีที่แล้ว

      Kabisaaaa.. alijua kuwanyoosha wadada wote mastaa

  • @hadijahassan6467
    @hadijahassan6467 2 ปีที่แล้ว +3

    I love tinny

  • @sophiedanny3702
    @sophiedanny3702 2 ปีที่แล้ว +7

    Sijapenda tu Hilo biti, linanifanya nisisikie vizuri.

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hapo live ni mweusi na kule insta ni mweupe sana alafu alisemaga anatumia mkorogo kwa hiyo huo mkorogo sasa hivi haufanyi kazi

  • @christinenere1790
    @christinenere1790 2 ปีที่แล้ว +5

    Acha kuvaa fake pls

  • @evasaimon6764
    @evasaimon6764 2 ปีที่แล้ว +3

    hahahaha! Viatu vimepangwa chini kama mitumba ya tandika

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmm

  • @Janet178
    @Janet178 ปีที่แล้ว

    Ten million huna Nyumba 😂😂😂😂

  • @rukiachamani1101
    @rukiachamani1101 2 ปีที่แล้ว +1

    A cute

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 2 ปีที่แล้ว +8

    Hv viatu s 25 tu kariakoo vingnenaviona vya elf 15 hapo jaman jaman au wenzangu mnaonaje

    • @mmn7480
      @mmn7480 2 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣apo kwanza ncheke

    • @zainabushabani7309
      @zainabushabani7309 2 ปีที่แล้ว +2

      Mi kutoa 25 kiatu parefu so yupo juu

    • @minakhamiskhamisi6193
      @minakhamiskhamisi6193 2 ปีที่แล้ว +2

      Milion kiatu au wazimu hkn kiatu ch laki moj hp

    • @Userog254
      @Userog254 2 ปีที่แล้ว +3

      Kaulizie Bei ya soda kwenye hotel zenye hadhi ya nyota 5 na dukani kwa mangi utaona utofauti, so usichukulie poa yy hawezi kwenda kuinama na kuchaguachagua akipelekewa hanunui Bei unayonunulia ww

    • @vanessamshanga318
      @vanessamshanga318 2 ปีที่แล้ว +1

      Kama ivo vekundu 3500 manzese

  • @shabanigenya4410
    @shabanigenya4410 2 ปีที่แล้ว +7

    One of the best women in Dar.

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani nisaidie I mbona USO mweusi alafu kama kachoka USO umezeeka

  • @judithjulius6848
    @judithjulius6848 2 ปีที่แล้ว +5

    Kiukweli Irene we ni mcha mungu hata namna unavyoongea na mtu inaonyesha una roho mtakatifu ndani Yako nakupenda mkatoliki mwenzangu,halafu una hela Hila upendi kujionyesha

  • @irenelwanzo1434
    @irenelwanzo1434 2 ปีที่แล้ว +1

    Nicole ni zaidi

  • @sashahauke2032
    @sashahauke2032 2 ปีที่แล้ว +11

    Jamani mimi nina kimoja tuuuu😭😭😭😭kauka nikuvae daa natamani hata ungeniongezea kimoja basi

    • @alicenice1711
      @alicenice1711 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +1

      Si unafika safari yakoo basi ridhika napo mbora wetu ni yule mcha mungu viatu mbona tutaviacha hapaa

    • @edithbernadette859
      @edithbernadette859 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 afu wewe

    • @sashahauke2032
      @sashahauke2032 2 ปีที่แล้ว

      @@edithbernadette859 sasa mimi nimwambie nini mwaya mtu unaviatu vingi kiasi hicho wee acha tu🤣🤣🤣🤣

    • @azizahamisi7349
      @azizahamisi7349 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @afsarazia831
    @afsarazia831 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana Uwoya Burundi ulikuja niko mdogo sana nilitorok hadi shuleni nijye afar nikuwone baraban tu unap bagali

  • @jacklinechuga2569
    @jacklinechuga2569 ปีที่แล้ว

    Uyu dada nampenda sana kwanza alishawahi kugawa ela na ugawaji wa ela nilikuwepo na ilinisaidia mana ilikuta kipindi cha shida

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 ปีที่แล้ว

    Baada ya kuona kwa nikol hapo kwa Irin naona kama mnadani hakuna maajabu Ahahahaaa

  • @roseliku531
    @roseliku531 2 ปีที่แล้ว +2

    Nicole ndiyo kiboko yao

  • @julianajacksoni4275
    @julianajacksoni4275 2 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda irine..aongeagi kwa fujo

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 2 ปีที่แล้ว +10

    Imebidi nicheke! Yaani maringo yote hapo ndo kwako?. Kweli wasanii mnaishi maisha feki

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @halimasulaiman3229
      @halimasulaiman3229 2 ปีที่แล้ว

      Ila acheni umbea kaahsasa nyumba imefanyaje?

    • @sylviermuhonjah8411
      @sylviermuhonjah8411 2 ปีที่แล้ว +1

      Alipanga sebuleni,,labda chumbani ndio kuna kasoro zaidi hataki camera ndani

    • @shabanigenya4410
      @shabanigenya4410 2 ปีที่แล้ว

      Hapo sio kwake hapo ni hotelin Arusha...

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว

      Ukute ata ni ya kupangisha siyo yake

  • @zainabusabas7421
    @zainabusabas7421 2 ปีที่แล้ว

    What milioni kumi kiatu wakati huo huna ata nyumba but any way sijui siri ya maisha yako unanunua kiatu one milioni 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ramlabaruani4202
    @ramlabaruani4202 2 ปีที่แล้ว +8

    Irene nakupenda 💕 ila nicole Berry alitumalizaa👐👐

  • @cecilembotoma2956
    @cecilembotoma2956 2 ปีที่แล้ว

    Shes simple i like that

  • @shamilamussa5780
    @shamilamussa5780 2 ปีที่แล้ว +13

    Maisha ya mastaa ni magumu kuliko sisi tuliokua uarabuni kuosha vyoo wanapenda sifa lkn wakipata matatizo sisi ndio tunawachangia acheni ufala ishini maisha yenu halisi

    • @fatumakassim64
      @fatumakassim64 2 ปีที่แล้ว

      😄😄😄😄😄😄😄🙌🙌🙌

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว +1

      Magauni wanakodi

    • @leoniammasi6634
      @leoniammasi6634 2 ปีที่แล้ว

      Airine nakupenda mama😘

    • @n7428
      @n7428 2 ปีที่แล้ว +1

      True

    • @lucylucy3678
      @lucylucy3678 2 ปีที่แล้ว +1

      Bora aweke kabati kama daimond jaman chini tunaweka sisi masikin.

  • @belak999
    @belak999 2 ปีที่แล้ว

    Mmhhh viatu vya ajabu ajabu sn, nampenda lkn ana vtu vya bei rahis sn vya KARIAKOO

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว +5

    Mimi nimepanga nyumba lakini kabati la viatu ninalo ndani wasanii acheni kuigiza maisha

  • @annlimosa8156
    @annlimosa8156 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwa kweli umezeeka mama

    • @lolojunior5808
      @lolojunior5808 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata wewe utazeeka pia mda utafika tu labda ufe mapema

    • @happydamian903
      @happydamian903 ปีที่แล้ว

      @@lolojunior5808 😂

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa nguo zipo wapiii🤔🤔naona ushubwada tuuu

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว +2

    Yani viatu kwenye zuria😂😂

  • @afsarazia831
    @afsarazia831 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana Uwoya Burundi ulikuja niko mdogo sana nilitorok hadi shuleni nijye afar nikuwone baraban tu unapita nagali

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 ปีที่แล้ว +2

    🙄🤭 maisha unayotuonyesha ktk mitandao sikutegemea kuona unaweka viatu chini 🤔😉

  • @user-ox2uw9ds5o
    @user-ox2uw9ds5o 25 วันที่ผ่านมา

    Nicole kiboko

  • @lyte5002
    @lyte5002 2 ปีที่แล้ว +1

    What's that sound😟

  • @zuujumajuma4478
    @zuujumajuma4478 ปีที่แล้ว

    Dada nimeipenda Sana viatu

  • @esterdoriye4780
    @esterdoriye4780 2 ปีที่แล้ว +5

    Sema irene mstaarabu sana ,na saivi amejifunza kuongea good dada

  • @ireneanania9714
    @ireneanania9714 2 ปีที่แล้ว +6

    Kwani nyie wengine mnao comment kashifa yako ya laki moja kiatu tu mnacho kama kaweka juu ya bati ni yeye sio ww muacheni dada wa watu akoo !!!!🧗

    • @nuuringoogle4104
      @nuuringoogle4104 2 ปีที่แล้ว

      Mmm baadhiyawanawake watansania ziko nafake life,,wananunua Viatu in china Ohoo bei lahisi mno ..

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 ปีที่แล้ว +5

    eti ml10 nyooo ata kiwanja una limbukeni ww viatu vibayaaa tandika alfu5 ivo

  • @tatuomary2008
    @tatuomary2008 2 ปีที่แล้ว +1

    Yan ulivyo na chumba chako tifauti kaah ila watu wanafake sana wallah

  • @angelinemutambala3297
    @angelinemutambala3297 2 ปีที่แล้ว

    Eti million 10

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 2 ปีที่แล้ว +1

    Karibuni viatu vyote viko Sawa sioni hata kimoja ambacho akivaa nitashtuka aseme nimpe handbag Kwanza bongo wanapenda feki vitu Sawa Tu na hivyo viatu having sehemu yaani ndio kabati la nguo Hilo wakati watu sehemu ya nguo special sio chumbani Kwa kulala Hana lolote

    • @caashamacalini3887
      @caashamacalini3887 2 ปีที่แล้ว

      @Gie🤍 sio Hilo kabati sema nyumba pia mbona hivyo vitu kidogo viatu na nguo katika viatu na wenye nguo yeye utafikiri anatokea rubbish

  • @aishahamad7923
    @aishahamad7923 7 หลายเดือนก่อน

    Hee dukaw😂😂

  • @ashurajuma9086
    @ashurajuma9086 2 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂😂😂😂😂jamani wasanii waongoo hawa sijawahi kuona,huyu dadakuna kipindi alikuwa analizwa na ada ya mtoto wake,leo ananishangaza sana eti kiatu milioni kumi daah,nyumba hana ,acheni kujipaiza

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว +1

      Mbeaa kumbe humjui huyu kwakujikweza NA ada ya ile shule hakuna mtoto anaelipiwa milion 30 hata mmoja

    • @eshasozy69
      @eshasozy69 2 ปีที่แล้ว

      Wengi wao wanapenda kujishauwa tuu awanalolote

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 2 ปีที่แล้ว +1

      Bongo movie show off mitandaoni ndani hakuna kitu Bora Nicole kiboko Yao 🤣🤣🤣🤣Irene hizo pesa anazotunza stejini anunue hata kabati la viatu 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @elizakihongo4397
      @elizakihongo4397 2 ปีที่แล้ว

      Yako ikwpi

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 ปีที่แล้ว +1

    Vyote mtumba

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 2 ปีที่แล้ว

    Star mzima unapanga kiatu chini woiii

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว +1

    Hilo pazia nimenunua nangojea nyumba yangu iishe niyabandike haya tuone vingine kumbe mpokawaida tuuu

  • @pendolazaro4686
    @pendolazaro4686 2 ปีที่แล้ว +1

    Nicole ndio kiboko yenu

  • @mundelejudith3940
    @mundelejudith3940 2 ปีที่แล้ว

    Naku penda sana Irene 😢 🙏

  • @msnkuli6089
    @msnkuli6089 2 ปีที่แล้ว

    Deo, the background music is too high,.

  • @lissadee9009
    @lissadee9009 2 ปีที่แล้ว +2

    HV kabati Hana au kaamua tu kuviwek hapo

  • @irenemjema3895
    @irenemjema3895 2 ปีที่แล้ว

    Akili zetu sijui sikoje kwa hy mnataka kila mtu afanane na Nicky au mnamaanisha nn mnaomtaja MTU ambaee hajahusika apaa

  • @estermagige4161
    @estermagige4161 2 ปีที่แล้ว +3

    Hivi kweli ninunue kiatu ml 10 kweli hapana

  • @rukiarashid3080
    @rukiarashid3080 2 ปีที่แล้ว +1

    Towa hizo beats na songs kama unamuhoji mtu

  • @mwanatumujuma4090
    @mwanatumujuma4090 2 ปีที่แล้ว

    Mapambo tuu ya dunia hakuna hata kimoja utakwenda nacho chini ya mchanga vyote tutaviacha ...tujitaidi kufanya mema

  • @exterjob5411
    @exterjob5411 2 ปีที่แล้ว +1

    Ngoj nirud 2 kwa Nicole nikaangalie ten mana hakuchosh

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว

      Nyinyi hamjui nicole nicole. Anahelaaa anamashambaaa ya mpunga balaaa aa anahela yule dada ila hajioneahi

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 2 ปีที่แล้ว

      Bongo movie show off mitandaoni ndani hakuna kitu Bora Nicole kiboko Yao 🤣🤣🤣🤣Irene hizo pesa anazotunza stejini anunue hata kabati la viatu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Odama-dn7xy
    @Odama-dn7xy 2 ปีที่แล้ว +7

    Hun kabat la viatu kuwek iv ndan unakuwa ka uchafu

  • @jamil1547
    @jamil1547 2 ปีที่แล้ว

    Nicole yupo juu dada wakulima mchele na wali

  • @latifaroro877
    @latifaroro877 7 หลายเดือนก่อน

    Viatu vmepangwa chini kama mwenge au karume?

  • @indiarey3439
    @indiarey3439 2 ปีที่แล้ว +4

    Muache kudanganya watu amna kitu orginal hapo

  • @jamilamwenguvu8593
    @jamilamwenguvu8593 2 ปีที่แล้ว

    Sielewi ata...

  • @vj8313
    @vj8313 2 ปีที่แล้ว

    Mh irene acha uwongo mbona tangu zamani unavaa nguo za kike tangu uko young kabisa, hayo manguo ya kiume umeanza majuzi tu. Loh, eti mgumu una ugumu gani hapo ulipo😏, umeanza kunapenda kujiweka kiume na hujaumbwa hivyo

  • @chany9950
    @chany9950 2 ปีที่แล้ว

    Uwoya muzuri jmn

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 2 ปีที่แล้ว +1

    Unajidai mcha wa mungu na huku unadate na mjibaba tofauti

  • @faudhatymalembuka7151
    @faudhatymalembuka7151 2 ปีที่แล้ว +1

    Yan namkubali San huyu dada kutokan na maixha anayo ixhi

  • @nuuringoogle4104
    @nuuringoogle4104 2 ปีที่แล้ว

    Ohoo please 🤣🤣🤣🤣

  • @tofridakampa7069
    @tofridakampa7069 2 ปีที่แล้ว

    Mh

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna kitu kibaya kama kuwa limbukeni.

    • @newahomwashiuya8858
      @newahomwashiuya8858 2 ปีที่แล้ว +4

      Roho imekuumaje!??Hadi umelia🙄🙄???pole wee

    • @yunyun799
      @yunyun799 2 ปีที่แล้ว

      @@newahomwashiuya8858 😂😂😂

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 2 ปีที่แล้ว +2

    Marvelous

  • @herstories9423
    @herstories9423 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤️

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 2 ปีที่แล้ว +2

    Irene nakupenda sana lakini sijaelewa nilichokiona 🤔...au unanitania????!!!

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 ปีที่แล้ว

      Kwanini😂😂

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 2 ปีที่แล้ว +1

      @@user-po8hz7xw9j Nilitarajia kuona zaidi ya nilichoona, kwa sababu ya mambo anayotuonyesha mtandaoni daily na jinsi anavyotumia pesa zake.....🤭

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 2 ปีที่แล้ว +1

      Bongo movie show off mitandaoni ndani hakuna kitu Bora Nicole kiboko Yao 🤣🤣🤣🤣Irene hizo pesa anazotunza stejini anunue hata kabati la viatu 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 2 ปีที่แล้ว

      @@wemakingdaily1462 😂😂😂😂 Yaani bado nashangaa sielewi kabisa nilichokiona hapo...