MTANZANIA ALIESHINDA MILIONI 340 MAREKANI "SINA GARI, BADO NITATEMBEA KWA MGUU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Tanzania ilimfahamu baada ya kurudi Tanzania na kuweka wazi kwamba baada ya kusoma Marekani hakutaka kubaki huko na alikataa kazi yenye Mshahara wa zaidi ya MILIONI 425 ili arudi Tanzania, Benjamin Fernandes ndio huyohuyo leo hii ameshinda MILIONI 340 lakini hataki kununua gari na kwamba bado ataendelea kutembea kwa mguu

ความคิดเห็น • 320

  • @ChrisZLC
    @ChrisZLC 5 ปีที่แล้ว +159

    Anachokisema Benjamin kuhusu watu kupewa nafasi kutokana na uwezo wao bila kujali umri wala elimu yao ni swala la kuzingatiwa sana. Mimi ni mtanzania kutoka Mbeya ninaye ishi Ulaya, hapa Ulaya nafanya kazi mbili. Project management consultant na pia ni mwalimu wa waalimu wa high school lakini sina degree wala cheti cha ualimu, wanachojali hapa ni uwezo ulionao. Huko Tanzania nisingeweza kuruhusiwa hata kufundisha shule ya msingi Mapambano. Ukitaka kazi hapa Ulaya hata uwe na degree utapewa jaribio la kupima ufahamu na uwezo wako wa kufikiri na ndiyo maana wenzetu wamepiga hatua. Tanzania na nchi nyingi za Afrika kuna wasomi wengi wana ufikiri mdogo kwa kuwa walisoma ili wapate kazi nzuri na si vinginevyo

    • @amosbeatus6325
      @amosbeatus6325 5 ปีที่แล้ว +2

      Hongera sna kaka Good idea Mungu akusaidie ufike mbali nimejifunza kitu

    • @monilahcruz7293
      @monilahcruz7293 5 ปีที่แล้ว +1

      Safi sana brother

    • @dicksonexavery726
      @dicksonexavery726 5 ปีที่แล้ว

      Hongera brother nichek dicksonexavery@gmail.com

    • @jsjdndb
      @jsjdndb 5 ปีที่แล้ว +4

      Kaka umenena, yani upo sahihi kabisa. Nataka nijuwe hiyo ulaya ni nchi gani ?
      Mm nipo north America, yamenikuta kama yaliyokukuta wewe mpaka sshivi sina Degree, lkn wameachishwa kazi watu wa Masters nami nikabaķ. Namshukuru mwenyezimungu kwa neema zake.
      But kutokuwa nayo hata Degree napata changamoto kubwa saana. Mpaka nafikiria kurudi shule ili nikapate hizo karatasi wanazozitolea nafasi. Naomba unisaidie ushauri wako.
      Tujitahidi saana kumshukuru mungu kwa neema nyingi alizotujaalia.

    • @ngometvarusha4030
      @ngometvarusha4030 5 ปีที่แล้ว +1

      Aisee nimependa andishi lako hadi nimesisimka mimi ni pastor hapa Tanzania

  • @hatbtalveson6581
    @hatbtalveson6581 5 ปีที่แล้ว +204

    Kama unamkubali benjamini gonga like! za kutosha!!...

    • @estherlema9893
      @estherlema9893 5 ปีที่แล้ว +2

      I admire this Guy. He inspires me alot

    • @mjunimjuni9982
      @mjunimjuni9982 5 ปีที่แล้ว

      stupidest comment EVER, STOP THIS!!!!!

    • @faucynkrctian6607
      @faucynkrctian6607 5 ปีที่แล้ว +1

      acha. usenge wewe likes zinakupeleka wapi

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      @@mjunimjuni9982 hmmh

    • @saidinyoni1937
      @saidinyoni1937 4 ปีที่แล้ว

      Nakukubali sanaimi nipo south africa naitaji hiyo nala ifike Africa yote

  • @fidelismsigwa9823
    @fidelismsigwa9823 5 ปีที่แล้ว +25

    Hongeren Sana Millad Ayo na Benjamin mnatuwakilisha vyema
    Mwenyezi Mungu awatie nguvu nasi tunakuja nyuma yenu.

  • @damasmunishi2418
    @damasmunishi2418 5 ปีที่แล้ว +58

    Benjamin umetumwa na mungu kuja kuleta heshima tanzania,mi nitazidi kukuombea ktk kazi za mikono yako

  • @mosesmhami8376
    @mosesmhami8376 5 ปีที่แล้ว +7

    Kaka Benjamin Fernandes, huwa nafurahi na pia najifunza sana kutoka kwako, HONGERA SANA kwa kazi nzuri katika App ya NALA na hongera pia kwa uzalendo juu ya nchi yako. Natamani sana kuendelea kujifunza kupitia wewe kijana mwenzangu... God bless you so much brother...
    Nimeipenda sana NALA lakn kwa sasa sipo Tanzania hivyo huduma hii nashindwa kuipata, naomba kama inawezekana maboresho yaendelee kufanyika kwenye App ili kuweza kufanya miamala ya Mpesa/Tigopesa n.k hata kwa walio nje ya Tanzania..
    Once Again.. Big Up brother... #Mimi naamini Watanzania tunaweza kufanya mambo makubwa sana, Benji umetufungua macho mkuu

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 ปีที่แล้ว +19

    Vichwa kama hivi sio vya kuviacha viende serikali iamke jamani mtu anafundisha vyuo vikuu vya ulaya na bado ana mapenzi na nchi yake, Hongera sana Benjamin nimekupenda bure

  • @vicentmeshack3862
    @vicentmeshack3862 5 ปีที่แล้ว +7

    kama unamuelewa benjamin brother gonga like za kutosha

  • @ummulkheirzubeir6320
    @ummulkheirzubeir6320 5 ปีที่แล้ว +12

    Japo ulivyovitaja vya kuhusu technology cvijui lkn nmependa unavyoongea na moyo wako juu ya Tanzania yetu Mungu akubariki brother

  • @Mike-yg7pb
    @Mike-yg7pb 5 ปีที่แล้ว +6

    Now I can realise that why did you refuse the salary of 420 milion per month,,,! The power of identity is working inside you!, you real inspiring me.

  • @alphamenson3784
    @alphamenson3784 5 ปีที่แล้ว +7

    Thank yo bro...am in form 6 right now natumaini siku moja ntakuja kufanya kazi pa1 na ww

  • @erickmremi1119
    @erickmremi1119 5 ปีที่แล้ว +18

    Ulivokataa milioni400 watu walikuona mjinga sna kila baada mafanikio saivi wanakupa hongera tz tupende kuheshim maamuzi ya watu benja u inspire me since day1

  • @Gumada-tz
    @Gumada-tz 5 ปีที่แล้ว +3

    vijana tujifunzeni kwa kijana huyu ,unajua Tangu nimeanza kumfuatilia nimejifunza vitu vingi sana kwake ........hongera sana BENJAMINI

  • @neemachalamila9494
    @neemachalamila9494 5 ปีที่แล้ว +71

    Ukiwa na Yesu umepata kila kitu!

  • @shamsahussen1059
    @shamsahussen1059 5 ปีที่แล้ว +7

    Daha umenifindisha kitu Benjamin 👍😘najifunza vitu vingi Sana kutoka kwako

  • @kelvinolotu1200
    @kelvinolotu1200 5 ปีที่แล้ว +10

    Hongera Sana bro tunahitaj vijana km huyu mzalendo mungu akubariki Sana Benjamin

  • @habarinamichezo6427
    @habarinamichezo6427 5 ปีที่แล้ว +3

    Hongera yako mwenzako hatimaye mi nime SHINDA NJAAA#NAIPENDA TANZANIA YANGU.....

    • @bogwemedia
      @bogwemedia 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @geofreymwaipopo8487
    @geofreymwaipopo8487 5 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubari Benjamin God bless you

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 5 ปีที่แล้ว +4

    Safi kaka ubarikiwe wewe hero pls Rais Muugalia huyu kijana anapenda nchi yake pia anawssaidia vijana wote pls pls tanzania kwanza tanzania ya viwanda yeye gatafuti kiki yeye ni mchapakazi ubarikiwe sana Mungu hakupe uwepesi fanya zaidi na zaidi

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 5 ปีที่แล้ว +4

    Asnt kaka benja , kuna kitu nimejifunxa sana tena umejaaliwa hakili na maono ya mbali sana , unamambo adim sana hongera kaka mungu akuweke miaka mingi uendelee kutufunua kiakili.

  • @tynegeemajor
    @tynegeemajor 5 ปีที่แล้ว +5

    Bro!! Very inspiring...truely

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante saana kaka kuwakilisha Tanzania yetu mungu akujaarie umri mlefu

  • @judithshadrack8462
    @judithshadrack8462 5 ปีที่แล้ว +18

    Explore ni tatizo jingine katika nchi yetu, tunafundishwa kwa ajili ya kujibu maswali ya mitihani na sio kufundishwa kwenda na dunia inavyoenda...

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 5 ปีที่แล้ว +1

      Ndiyo hivyo etiii.. alafu mi mtu Hiyo Hiyo iliyokufundisha baadae inakuja inasem Mitoto ya sikuizi hamna Kitu wakati walikufundisha kujibu mitihani tu ukimaliza Huna kingine..

    • @patrickm1056
      @patrickm1056 5 ปีที่แล้ว +1

      Tunafundishwa kuipigia makofi CHAMA tawala

  • @hanmajengolahe2459
    @hanmajengolahe2459 4 ปีที่แล้ว +1

    Congrats bro Benja.. NALA iko vzur,nimeikubali baada ya kuipakua.

  • @MOtownTV.
    @MOtownTV. 5 ปีที่แล้ว +25

    Hongera sana kaka ferndas ubarikiwe saaana ndoto yangu sikumoja nifanye kazi AyoTV

    • @petersonshaezra1135
      @petersonshaezra1135 5 ปีที่แล้ว +2

      Kuwa na Imani tu broo ipo siku sms zako zitakuja zimguse mmiliki wa Ayo tv,, na ndoto zako atakuja azitimize millard ayo kuwa na imani and never give up on your Dream 💪

    • @MOtownTV.
      @MOtownTV. 5 ปีที่แล้ว +2

      shukrani sana broo mimi naaminitu iposiku NITAKUWA NINAVYOOTA KUWA NA KUKARIBISHA PIA KWENYE PAGE YANGU YA IG NAPOST BAADHI YA KAZI ZANGU KULEKWA MAWAZO MAPYA NA USHAURI NA KUKARIBISA @LA_MBEGU0416 instagram

    • @petersonshaezra1135
      @petersonshaezra1135 5 ปีที่แล้ว +1

      @@MOtownTV. kitambo sana me nimeshakua follow kweny page yko I_am_Peterson_sha_Ezra

    • @punguzauzitofurahiamaisha
      @punguzauzitofurahiamaisha 5 ปีที่แล้ว

      Nimeguswa sana na hii interview kuna mengi nimejifunza

    • @MOtownTV.
      @MOtownTV. 5 ปีที่แล้ว +1

      shukren sana kakama kwa spot yako #tutatoboa2

  • @harounali1626
    @harounali1626 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Benjamin na Milad kwa interview nzuri kabisa.

  • @eliamunuo225
    @eliamunuo225 5 ปีที่แล้ว +2

    Benjamin na millard nawapenda sana, in Jesus Christ everything is possible

  • @abayokalikawe539
    @abayokalikawe539 5 ปีที่แล้ว +2

    I hope that one day Millard Ayo.com will be more of influential and developmental information like this one. Well done Feranandes and Millard Ayo

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyu kaka anajitahidi sana kuongea kiswahili msimlaumu

  • @benjaminfernandes5599
    @benjaminfernandes5599 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mkurugenzi wa Nala, kwakweli tumeona matokeo mazuri yote ni kwa neema za Mungu kwakweli nimemwona mungu live kwenye maisha yako pia nabarikiwa sana na wewe na malengo yako ya kufungua bank ninakuombee yatimie nitafurahi kwani jamii tutapona damu ya yesu ikufunike.

  • @wisdom_wellness365
    @wisdom_wellness365 5 ปีที่แล้ว +8

    Hongera!

  • @rjsawere
    @rjsawere 5 ปีที่แล้ว +6

    Benjamin akili kubwa sana! Thumps up

    • @saidinyoni1937
      @saidinyoni1937 4 ปีที่แล้ว

      U gud brother big up benjamin n keep up

  • @upendomwalusamba37
    @upendomwalusamba37 5 ปีที่แล้ว +1

    Ur an inspiration to many Beny ....God bless you

  • @MOJAZAIDI.
    @MOJAZAIDI. 5 ปีที่แล้ว +6

    FAMILY MATTERS......AMINI KWAMBA👍

  • @luteking
    @luteking 5 ปีที่แล้ว +7

    Huyu jamaa nilimuona hapa Seattle Washington USA 🇺🇸

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 5 ปีที่แล้ว +1

    GENIUS

  • @sadickkoloa7548
    @sadickkoloa7548 5 ปีที่แล้ว

    Nimekupata sana Bwana Benjamin.......
    Ahukran sana MiradAyo kwa kutuletea kijana mwenzetu kwenye Kipindi chako

  • @africanhappyadventure6951
    @africanhappyadventure6951 5 ปีที่แล้ว +59

    Pamoja na Kukaa Mbele Kwa Muda Mrefu Ila Anajitahidi kuongea Kiswahili Bila Kuchanganya na Kingereza Ila Ingekuwa Mbongo Hapooo Uwiiiiii Ungekomaaa Hapo Ayo..

    • @alleyd.alleyd
      @alleyd.alleyd 5 ปีที่แล้ว +2

      SANA AISEE...HUYU JAMAA NI MFANO MKUBWA SANA WA KUIGWA.
      NINACHO KISHANGAA NI JINSI HUYU JAMAA ALIVYO MZALENDO KWA NCHI YAKE: MFANO WA KUIGWA.
      BUT I DOUGHT IF HE GETS EQUAL AMOUNT OF RESPECT HE IS GETTING FROM BIG COUNTRIES AROUND THE WORLD THAN RESPECT HE GETS IN TANZANIA.
      SIJUI TZ GOVERNMENT INAMSAPORT AU HATA KUJARIBU KUMTUMIA KU INSPIRE VIJANA ILI TUWE NA WAKINA BENJAMIN WENGI ZAIDI KWA MANUFAA YA INCHI.
      YAANI INGEKUWA NI DIAMOND AU ALLY KIBA AME WIN HIZO AWARDS NAFIKIRI VIJANA WOTE WA TZ MPK WALE WALIOKO NEWALA WANGEJUA LKN HEBU ULIZA KM KUNA VIJANA HATA 20 WALIO NA ACCOUNT ZA INSTAGRAM WANAJUA KUHUSU AWARDS ALIOSHINDA HUYU...JAMAA. YAANI MAGAZETI YOTE YA UDAKU NA YENYE MAANA YANGEANDIKA KUHUSU YEYE.
      I M SO SURPRISED.
      I WISH THIS GUY COULD BE MY BEST FRIEND.
      IM PROUD TO BE TANZANIAN BECAUSE OF YOU MA MEN. CONGRATULATIONS.

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 5 ปีที่แล้ว

      @@alleyd.alleyd Kweli Kabisa Sisi Fanya ujinga ndio unakuwa Maarufu na Kujulikana ila Fanya Vya Maana Hutajulikana na Wala hutafuatiliwa kibaya ni Hata ukitaka Kufanya Mapinduzi Flani kuna Watu watakuvuta.Ila huyu Jamaa ni Mzalendo Mno Sijui Kama Serikali Yetu ina mwonaje inamtumiaje..Ila ndio Wanasemaga Nabii Hakubaliki Kwao.

    • @hobokelamwakajuja4174
      @hobokelamwakajuja4174 5 ปีที่แล้ว

      @@africanhappyadventure6951 kabisa yaani ingekua ni ujingaujinga wtz wote tungejua lkn maswala mazuri kama haya hawayaoni du!

    • @TheLordismyshepherd...
      @TheLordismyshepherd... 5 ปีที่แล้ว

      Hyo siyo ishu. LA muhimu ujumbe ufike

    • @christopherpaulrwehumbiza4244
      @christopherpaulrwehumbiza4244 4 ปีที่แล้ว

      Duh,umenichekesha sana kijana sie wabongo hatujambo.😂😂😂

  • @Gnoxfleva
    @Gnoxfleva 6 หลายเดือนก่อน

    Ukiachana na innovation Benjamin is so positivity man

  • @omarymwanga9886
    @omarymwanga9886 5 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana.Unafanya vizuri Benjamin

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 5 ปีที่แล้ว +1

    hongera benjamin

  • @rahelmyombo9874
    @rahelmyombo9874 ปีที่แล้ว

    Always you put smile on my face God bless you abundantly

  • @naitwai
    @naitwai 5 ปีที่แล้ว +10

    Simple & positive

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 5 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu asifiwe kwa hilo.

  • @mjunimjuni9982
    @mjunimjuni9982 5 ปีที่แล้ว +2

    Warren Buffett ma man, he's my idol asee, I had a whole speech about him 👌👍

  • @SarahLibogomalove
    @SarahLibogomalove 5 ปีที่แล้ว +7

    Hakiiii, this is Husband material....
    Wanaume wote, take notes!

  • @jafarijafari231
    @jafarijafari231 5 ปีที่แล้ว +5

    Utajiri wa bilgate ulianzia kwenye software. Mtu anaeinvest upande huu, mafanikio yake yapo karibu sana maana anamgusa karibu kila mtu.

  • @hobokelamwakajuja4174
    @hobokelamwakajuja4174 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Benjamin ulianza mdogomdogo!

  • @furbenj7405
    @furbenj7405 ปีที่แล้ว

    Congratulations ni meona matokeo tunazidi kujivunia Tuna Kijana mtaalamu hakika kujifunza ni mtaji unanibariki sana naunazidi kunitia moyo wa kusongambele I like it , is by Grace be Blessing Nala

  • @pendojackison8822
    @pendojackison8822 4 ปีที่แล้ว +1

    Anaongea kiswahili vizuri mpaka nimependaaa kweli nyumbani ni nyumbani

  • @mukhusinrwekaza4536
    @mukhusinrwekaza4536 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa yuko sawa bado kazi ipo kwenye ofisi za serikal. Badala ya kutoa support mtu anakuzungushaweeee mpka unakata tamaa.

  • @Alexander_mogolo
    @Alexander_mogolo 4 หลายเดือนก่อน

    Unyama sana brother

  • @adamzachariakinyekile6948
    @adamzachariakinyekile6948 5 ปีที่แล้ว +1

    kaka mi nakufuatilia sana na ninajifunza vitu vingi sana kutoka kwako mungu akubariki sana, kweli kabisa huku tz kama huna vyeti we si chochote,wanahitaji vyeti sio uwezo,wana majina yao ya vyeti wanaita PhD,Mara vcd sijui DVD balaa kama huna hivo hata uwe na uwezo wa kuhamisha milima mzee utapambana na hali yako,ila umenipa nguvu mpya sana hongera umenivisha vazi jipya

  • @scarionrevelian
    @scarionrevelian 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Benjamini Mungu akuongoze najua unayo malengo mazuri.

  • @mohamedabdallah9567
    @mohamedabdallah9567 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali Sana.Vijana tunakua na mawazo mazuri yamaendeleo ndia tunakosa mueleke. Vikwazo ni vingi hairuhusiwi kwa mantiki gani. ipo kimazoea ila dunia ipo kiteknolojia wapi sasa tutafikia?.... Ni vyema kukubali Changamoto kuzipitia ili lengo ladhati kulifikia.Dunia Kaka imekuskia👌

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 5 ปีที่แล้ว +9

    Hyu ni next billionear kwa idea hii

  • @annastaziakibole5603
    @annastaziakibole5603 5 ปีที่แล้ว +3

    yan nampenda sana uyu kk jaman anaakili mpk zinamwagika

  • @johtoty1961
    @johtoty1961 5 ปีที่แล้ว +3

    daaah mzee Benjamin umenena faith ndo utajiri wetu tu....

  • @gentlethegentle9607
    @gentlethegentle9607 5 ปีที่แล้ว +33

    Huyu jamaa kasoma mbele elimu anayo skills anayo alkn hatujawah mskia na skendo yeyote wal kuskia couple yake. Ila mwenye akil fupi angetafuta kinyago aanze kuzurura nacho mitandaoni. My friend piga kaz kwanza cku zote maji hufuata mkondo

    • @magreth7981
      @magreth7981 5 ปีที่แล้ว +1

      @Felix wilvin huyo ni mtoto wa Pastor Fernandes mwenye ATN Tv.. mbezi jogoo, kalelewaa kimaadili ya kidini si rahisi a behavior vibaya, namjua toka babake akianzishaa kanisa.

    • @gentlethegentle9607
      @gentlethegentle9607 5 ปีที่แล้ว +1

      magreth 79 Aaah! Kumbe Asante kwakiniabarisha lkn ndo kijana anatakiwa ajitambue hivyo siyo lazima tuh watoto wa mapastor

    • @nicholausmbilinyi3587
      @nicholausmbilinyi3587 5 ปีที่แล้ว +2

      hahahahahahahahahahahahahahahahahaha..eti angetafuta kinyago

    • @manyaramrema6531
      @manyaramrema6531 5 ปีที่แล้ว

      Umenichekesha

    • @bigowillythomaskayanda7763
      @bigowillythomaskayanda7763 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahaaha,, Kinyago aisee.

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 5 ปีที่แล้ว +2

    You're inspiring me🙊😄🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍

  • @alphamwipopo5725
    @alphamwipopo5725 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli sheria za tanzania ni ngumu sana zinawafanya watu wengi hasa vijana kukata tamaa na kushindwa kabisa kua wajasiliamali na ndiomaana ichumi wa nchi haukui Serikali iliangalie hilo

  • @shailujuma5846
    @shailujuma5846 2 ปีที่แล้ว

    Hongera brooo

  • @husseinmlawa7622
    @husseinmlawa7622 5 ปีที่แล้ว

    Saf sana Benjamin uko vizur sana unapaswa kuwa mfano kwa vijan Millard uko pwa sana kutufikishia mtu muhim kwa vijan nimejifunza kitu kikubwa sana

  • @fahmitumu8620
    @fahmitumu8620 5 ปีที่แล้ว +15

    Elimu yetu siyo ya kuvumbua ni utumwa na bado tutakua watumwa kwasababu yakutojiamini

  • @chanuakihara5186
    @chanuakihara5186 5 ปีที่แล้ว +15

    Hivi waziri wa science and technology anamfaham huyu jamaa Na anashirikiana naye Kwa namna gani?

  • @elisonnyagwaru5617
    @elisonnyagwaru5617 5 ปีที่แล้ว +2

    safi sana

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 5 ปีที่แล้ว

    hongera kwa kuwa mzalendo

  • @jpmsele3579
    @jpmsele3579 5 ปีที่แล้ว +1

    milard unaenda vizuri vipindi kama cha benjamin,hakika vinaashiria hapa kazi kwelikweli

  • @ayoubkikunile-rf2rd
    @ayoubkikunile-rf2rd ปีที่แล้ว

    Dthe best

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 5 ปีที่แล้ว

    jamaa nimekukubali sana uko vizuri ningependa kujifunza mambo mengi mazuri kutoka kwako ispokuwa ubahili tu. Naomba niwe loan officer wako ukizindua e- bank

  • @alimohamedalisaid7040
    @alimohamedalisaid7040 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah my brother mungu akuzidisia elimu ameen thuma ameen

  • @saudatakadiry309
    @saudatakadiry309 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Kijana utawasaidia vijana wengi

  • @jeaff19
    @jeaff19 5 ปีที่แล้ว +2

    hongera kaka millard

  • @stanleymaganga503
    @stanleymaganga503 5 ปีที่แล้ว

    Mtaji was buku 2 kujifunza programming brother were ni genius,
    Mwanzo nilivyo sikia kuhusu Nala nilijua una i promote tu, founders ni watu wengine tena wenye degrees + PhD's kwenye maswala ya programming na technology, kumbe ni wew mwenyewe kwa kuwashirikisha hao programmers.

  • @femiemedia6480
    @femiemedia6480 5 ปีที่แล้ว +1

    Big up sana ..millad ayo kamera zako zipo vizuri sana

  • @c.r.mtechnology2322
    @c.r.mtechnology2322 5 ปีที่แล้ว +1

    Your so creative brother,appreciate

  • @GeraldistyFredrick
    @GeraldistyFredrick 13 วันที่ผ่านมา

    Ongera sanaaa

  • @benhorta5121
    @benhorta5121 5 ปีที่แล้ว +4

    Nala app

  • @mfalmegideon
    @mfalmegideon 5 ปีที่แล้ว +3

    Inspired me alot
    Katika Mafanikio Kuna Kuanguka Pia
    So Usikate Tamaa
    Pambana..

  • @barikipeter721
    @barikipeter721 5 ปีที่แล้ว +1

    Good creative in your life

  • @greatdealsonlineonline6090
    @greatdealsonlineonline6090 4 ปีที่แล้ว +1

    Brother umeona mbali sana

  • @rashidjames8968
    @rashidjames8968 5 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sana ,brother ulicho kifanya ,kabla ya kuinvest ulinvestigate kwanza asnte sana nimejifunza kitu

  • @kirumisecurty6543
    @kirumisecurty6543 5 ปีที่แล้ว

    Hatar sana natamani sana kufanya kazi naee kanifanya nipate moyo wa kazi Mimi isack mandiga

  • @meshakisumary3162
    @meshakisumary3162 2 ปีที่แล้ว

    Kichwa adimu , keep up Benjamini

  • @jumabisale9974
    @jumabisale9974 5 ปีที่แล้ว +5

    Mimemuelewa sana huyu bro. Please bro Millard niunganishe nae nahitaji kujifunza zaidi na zaidi hususani masuala ya APPLICATION maana naona amenigusa kabisa kwenye nukta yangu NAOMBA BASI NAFASI 1 japo ya Dakika 1 TU hakika nitajihisi shujaa na sitaifanyia makosa maana mtu nilie kuwa namhitaji nahisi ndio huyu. Kama una wasi wasi na hili basi hata wewe unaweza ukawa msaada kwangu.
    Namba yangu 0715 382 238 JUMA B SADICK
    natanguliza shukran zangu za dhati nikiamini utanitafuta bro, kazi njema

  • @qaydamisulle5974
    @qaydamisulle5974 5 หลายเดือนก่อน

    Nicest ❤❤

  • @nelsonlawrence4986
    @nelsonlawrence4986 5 ปีที่แล้ว

    Great# Programmers we got doors...its jst creativity and commitment 2 push up..!!
    #PlanningAvisitToTalaTZ

  • @kamamaasonyo6713
    @kamamaasonyo6713 5 ปีที่แล้ว

    Simple and clear

  • @KiooNetwork
    @KiooNetwork 5 ปีที่แล้ว

    I like this show Millard

  • @mikonospeakersinternationa6418
    @mikonospeakersinternationa6418 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Benja,Nakuelewa sana,Keep it up bro

  • @esthermadauda3012
    @esthermadauda3012 5 ปีที่แล้ว +15

    Millard ayo mwambie huyo ,Benjamin, anikopeshe pesa nianzishe mradi wa kufuga kuku broiler

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 5 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂 umetisha ndugu

    • @bigowillythomaskayanda7763
      @bigowillythomaskayanda7763 5 ปีที่แล้ว

      Safi sana,,, ila naomba uwe mpole kidogo, nimesikia baadae ataanza kukopesha,, inakuja.

    • @Kaizirege
      @Kaizirege 5 ปีที่แล้ว

      Kabeti

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 5 ปีที่แล้ว +1

    This guy is clever

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 5 ปีที่แล้ว

    Daah jamaa namkubali Sana
    Hiyo application nimeipakua sasahv na ntakua naitumia inshallah

  • @richardtamba5201
    @richardtamba5201 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni mfano mzuri sana hasa kwetu sisi vijana wenye nia na tamaa ya kufanikiwa.

  • @africanhappyadventure6951
    @africanhappyadventure6951 5 ปีที่แล้ว +9

    Kaka Sisi huku Hatuangalii kuwa mtu anapenda kujifunza Tunaangalia Midigrii na Mijipi A tuu hata kama Kichwani hamna Kitu..Kaazi kweli kweli Ndio.utagundua Tofauti ya Civilized na Uncivilized Country il mdogo mdogo tutafika yapo kwa kuchelewaa.
    Sisi Ma Rules na Maregulation Kibao Tena Mengi yasio Na Maana kiukweli Japo tukisema utaonekana mpinzani ila ndio ukweli unashindwa namna gani ya kushawishi wawekezaji waje..Kuna jaama Yeye Kawekeza Hapa ila kwa Jinsi anavyopata shida na Hao TRA na Watu wengine Rafiki Zake huwa wakitaka kuja Tz anawambia hata msije nendeni nchi za jirani hii kwa kweli ni Mbaya Sana

  • @eliudimb4932
    @eliudimb4932 5 ปีที่แล้ว

    hongera Benjamin

  • @mzz.breezy8400
    @mzz.breezy8400 5 ปีที่แล้ว +3

    Millard una interviews nzuri sanaaa tatizo ni matangazo bro too much. Hata kama ni monetized

  • @joshuamollel6993
    @joshuamollel6993 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ni m Tanzania lakini ni ngozi jeupe lazima wawe na maono makubwa m Tanzania hawezi kuhaso namna hii tena hawezi kusema vizuri ili asitokee mtu mwingine asimuige ubarikiwe sana🎉😅

  • @espoirbanga2805
    @espoirbanga2805 5 ปีที่แล้ว

    Inspiring

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli rais Magufuli mpe nafasi huyu kijana uonane nae. Atawakilisha idea nzuri sana kwa ajili ya kupeleka mpele malengo yako. His is a smart guy.

  • @hedwigjohn6276
    @hedwigjohn6276 5 ปีที่แล้ว

    He's very unique...