KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA EVENING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 11/ 07/ 2024
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
- KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA EVENING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 11/ 07/ 2024
SEMINA YA NENO LA MUNGU:
MADA:
"HOFU YA MABADILIKO"
(FEAR OF CHANGE)
SOMO LA LEO:
VITA YA MABADILIKO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO
"MILANGO YA VITA YA MABADILIKO"
Waefeso 6 : 12
NENO KUU:
"UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
KUMBUKUMBU LA
TORATI 28 : 6
&
Yohana 12 : 24
24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
MAANDIKO YA LEO:
Waefeso 6 : 12
12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Mhubiri: Ev. Paul Ringo
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
TH-cam: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com
Naachilia damu ya yesu kwenye mabadiliko na mafanikio yangu
Ameen
Amen❤
Jina lako Ee Mokozi lisifiwe milele
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
🙏🙏
Nasikiliza mahubiri huku nacheka Jet lii ,Van dame
Amen❤