KIJANA ALIEKUWA ANASHIRIKI TENDO LA NDOA NA BIBI YAKE KWA MAELEKEZO YA BABU YAKE ILI APATE UTAJIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 ปีที่แล้ว +8

    Mzee baba kajitoa kweli wenzake wenye kesi za uhujumu kama hizi huaga hawaoneshagi sura

    • @happymchomvu6766
      @happymchomvu6766 ปีที่แล้ว +6

      Wasioonyesha sura wanakua bado wapo kwenye hvyo vfungo na hawajakubali kuacha moja kwa moja

    • @briandeflugel9055
      @briandeflugel9055 ปีที่แล้ว

      Anaujarisi kweli huyu dogo

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 ปีที่แล้ว +2

    Wajuba wenzio huwa wanaficha sura zao ww umejitoa muhanga kila abiria akuone, hongera sana mwamba umetisha

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri Davistar, mgeni tunakushukuru kwa kushare ni vitu vigumu sana kuviongea

  • @athmankadenge6131
    @athmankadenge6131 ปีที่แล้ว +1

    Devistar bro Appreciate your story zako ila kuna story zako zengine huzimalizi kuna ile story ya yule kijana wa aliyekua na jini akasema atakuonesha uonge nae pia ilishia mwenzendelezo 8 please tumalizie ile story bro wangu ..

  • @dulayowakiba569
    @dulayowakiba569 ปีที่แล้ว

    Davista, kweli Mungu hakupangii kufeli ila anaweza kukukosesha nafasi fulani ili aone utakufuru au utashukuru_ Kwa mujibu wa kiislamu

  • @hildaernest1090
    @hildaernest1090 ปีที่แล้ว

    Umeniwahi dav eti MUNGU ajanipangia kuendelea ahahahahah ilo halipo

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 ปีที่แล้ว +1

    Ee na huku bongo watu wengi basi wanga kiasi maisha yawe magumu.tamaa ya kutaka mafanikio makubwa wakat unguvu za kuchimba mashimo unazo.acheni uvivu nyie wa Tanzania

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 ปีที่แล้ว +3

    Davistar vp story ya jamaa aliyeoa jini yule ...ulisema mntafanya interview

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  ปีที่แล้ว

      Amani ndio ananiangusha mimi nipo tayari tatizo ni yeye

    • @khalidyasinkhalid5944
      @khalidyasinkhalid5944 ปีที่แล้ว +2

      Usitarajie tunapangwa tu

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 ปีที่แล้ว

      @@khalidyasinkhalid5944 🤣🤣🤣🤣

    • @emmanueljoseph3561
      @emmanueljoseph3561 ปีที่แล้ว

      Aliyejengewa nyumba na shamsa au siyo

    • @zahirrajab7713
      @zahirrajab7713 ปีที่แล้ว

      @@khalidyasinkhalid5944 hahaha wanachekechwaaaaa😀😀

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 ปีที่แล้ว

    wanaume tunamengi huwa tunaficha

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว

    Part 2 please

  • @mysskibe
    @mysskibe ปีที่แล้ว

    Nimeruka hii video mara kadhaa juu sikuona ubaya wa mume kushiriki na bibi yake 🤦🏾‍♀️ kasahau bibi kule tz ni nyanya 😅

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 ปีที่แล้ว

    Ruangwa, Nanganga,Ndanda, Masasi, Nangumbu, Michenga, Chimbila, Nandagala,Nkowe, Nambuluputwa,Mpumbe, Likunja, Kitandi, noma sana