Nakushauri Davistar Muulize mtoa mada maswali ya msingi, na ufafanuzi zaidi katika baadhi ya mambo. Kuna baadhi ya maelezo yanataka ufafanuzi zaidi. Listen ask leading questions and ongeza umakini kwny kusikiliza mada ila maswali yako yalenge kwny ufafanuzi wa mada zaidi
Kama yesu mwenyewe alietoka kufunga siku arobaini mchana na usiku alitokewa na ibilisi(shetani) ili amjaribu ataacha Kwa Mtumishi au mwanadam alie na Yesu ndani yake?, lakini pia sikua alimtokea tuu Yesu Bali alimwongoza na kumweka juu yakinara cha hekalu soma luka4:9 kwahio inawezekana kujaribiwa lakini kila jaribu ukikaa kwenye imani nakumshika Yesu kisawasawa linapita
Fahamu ya kuwa watu walioamua kuishi maisha ya kumpendeza Mungu, ndio wanapigwa vita sana na na upande wa shetani. Nadhani unazisikia shuhuda nyingi za waliotoka upande wa shetani wanasema hivyo. Shetani hafurahii kuona watu wanaingia mbinguni
Unapata chakula Cha Kila siku na unasema unangaika??ata baba yetu wa binguni tunaomba tu chakula Cha Kila siku jaijalishi ni wali ama ni mboga bora umepata
Asante Yesu bwana yupo nawe atazidi kukutetea
Nakushauri Davistar Muulize mtoa mada maswali ya msingi, na ufafanuzi zaidi katika baadhi ya mambo. Kuna baadhi ya maelezo yanataka ufafanuzi zaidi. Listen ask leading questions and ongeza umakini kwny kusikiliza mada ila maswali yako yalenge kwny ufafanuzi wa mada zaidi
Ameeen mungu abariki kazi zake
Ila tuseme tu ukweli tu, Mtumishi alieitwa na mungu ufalme wa shetani hauwezi kumsogelea!
Kama yesu mwenyewe alietoka kufunga siku arobaini mchana na usiku alitokewa na ibilisi(shetani) ili amjaribu ataacha Kwa Mtumishi au mwanadam alie na Yesu ndani yake?, lakini pia sikua alimtokea tuu Yesu Bali alimwongoza na kumweka juu yakinara cha hekalu soma luka4:9 kwahio inawezekana kujaribiwa lakini kila jaribu ukikaa kwenye imani nakumshika Yesu kisawasawa linapita
Fahamu ya kuwa watu walioamua kuishi maisha ya kumpendeza Mungu, ndio wanapigwa vita sana na na upande wa shetani. Nadhani unazisikia shuhuda nyingi za waliotoka upande wa shetani wanasema hivyo. Shetani hafurahii kuona watu wanaingia mbinguni
Mwanamke.ujaingiliananae kapata ujauzito mtoto wako talatibu mshikaji mimi wala simuelewi huyu jamaa kabisa ktk hii simulizi🇹🇿🇬🇷
Sisi tume elewa
Muulize mtumishi juu ya Hawa manabii,kweli wapo wa Mungu kwel?
Hittler ni neno la freemason watumishi freemason ulitumia,
Hittler alikuwa ni shetani aliyeuvaa mwili wa binadamu kwa mpango maalumu
Hakika wewe nimtumishi wa Mungu
Kwanza mm leo
Part 3
Huyo noma tupe namba zake
Hio ya bikira ni kweli hata yule wa dar ufanya hivyo
Ukisikia kusimamia kucha ndio io
Cyc
Hahahaa Ila Davista maswali yako unanifanya nicheke
Yule wa sauzi afrika na wa zimbabwe wote wapo chama kimoja
Mbona usitaje tujue nasisi
Mizimu haitaki maendeleo
Unapata chakula Cha Kila siku na unasema unangaika??ata baba yetu wa binguni tunaomba tu chakula Cha Kila siku jaijalishi ni wali ama ni mboga bora umepata
Hayo ni mawazo yako.
Aah hii n uwongo..
Kwann
Kareeni si ni majina ya majini? Au mimi ndo sjui vizuri?