PART33:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 88

  • @zakariamichael4934
    @zakariamichael4934 ปีที่แล้ว +7

    Wa kwanza jaman like zenu

  • @Aliceurio
    @Aliceurio ปีที่แล้ว +7

    Mie wa mwisho leo nipe like zangu.

  • @sheilamwikali7317
    @sheilamwikali7317 ปีที่แล้ว +5

    kwa yesu kuna kila kitu wamayo mungu akulinde

  • @SalimBuke-tz4fl
    @SalimBuke-tz4fl ปีที่แล้ว +2

    Leo ulichelewesha jombaa am Salim currently staying at Algeria but me ni mkenya

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว +4

    Hiko kitt kilikua kihindi au kaafrica

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +1

    Achangiwe aandike kitabu story safi sana na Mungu amsaidie

  • @marieannenunga5306
    @marieannenunga5306 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂this man makes me happy May God bless you wamayu

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 ปีที่แล้ว +4

    Wamayo utaonekana lini jamanii😂😂😂

    • @barakabahati6600
      @barakabahati6600 ปีที่แล้ว

      😂🤣🤣🤣😅🤣 ndo tunasubiri

  • @MgendWyRoma-jo1je
    @MgendWyRoma-jo1je ปีที่แล้ว +2

    Wamayo mzee wa (kushitukizia)

  • @MartinyMaryogo-nt6xg
    @MartinyMaryogo-nt6xg ปีที่แล้ว +2

    asee huyu jamaa, tangu nafatilia habar za davsta toka kwenye makala had sasa, hii ni namba moja asee hatar huyu jamaa kaptia changamot na kaona mengi asee

  • @papaobong4661
    @papaobong4661 ปีที่แล้ว

    3 A.M still watching from kenya this life is very vey spiritual ....god information and job...JESUS MAY YOUR NAME BE GLORIFIED FOREVER

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 ปีที่แล้ว +3

    Hii ndo story kali 2023.

  • @ashasaid9056
    @ashasaid9056 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli kaka wamayo umepitia mengi Sana pole ndgu yngu

  • @stejasatv7349
    @stejasatv7349 ปีที่แล้ว +4

    Shetani amekusaka Sana wamayo bwana koma na yesu ndo solution

  • @Aliceurio
    @Aliceurio ปีที่แล้ว +2

    Ukistajabu ya musa utayaona ya wamayo😮

  • @ZamZam-mk4xu
    @ZamZam-mk4xu ปีที่แล้ว +3

    Huyu kaka nampenda sana

  • @Aliceurio
    @Aliceurio ปีที่แล้ว +2

    Lkn sasa cha ajabu kingine nipeni like zangu

  • @IbrahimBisaka
    @IbrahimBisaka ปีที่แล้ว +4

    Jamn watu mko fasta hatar

  • @putralchande9852
    @putralchande9852 ปีที่แล้ว +1

    Br story ako nzuri saan fanya mpango utengeneze movies.

  • @josephmungai544
    @josephmungai544 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania kuna mambo kweli!

    • @paulinemutindaofficial4306
      @paulinemutindaofficial4306 ปีที่แล้ว +2

      Na hivo ndio hii story imefanya niogope ata watanzania wenyewe,hujui mbaya na mzuri ni yupi

  • @jamalimeja3151
    @jamalimeja3151 ปีที่แล้ว +2

    Naombei like zangu

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว +1

    Wa kwanza leo mimi😂

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว +1

    Tuko pamoja sana hii story noma sana iko sawa sana 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 ปีที่แล้ว +2

    Jaman tukumbuke kumchangia kaka davista nazan tangazo tumeliona apo juu

  • @catherinejames6714
    @catherinejames6714 ปีที่แล้ว +1

    Part 34 pls

  • @happytemu963
    @happytemu963 ปีที่แล้ว +2

    Nimegusa na tako, kofuli ikafanya pacha
    Pacha
    Pacha
    😂😂😂😂😂😂

  • @habibumbawala1173
    @habibumbawala1173 ปีที่แล้ว +2

    Jaman inaonekana wengine hamfanyi kazi, macho yako kwa davistar tv muda wote kusuburi mzigo wa wamayo

  • @mwantumkombo3014
    @mwantumkombo3014 ปีที่แล้ว +1

    Duuh! Hii story ni kiboko

  • @benjaminthomas4372
    @benjaminthomas4372 ปีที่แล้ว +2

    Hahaaaa wamayo story nzur sana

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 ปีที่แล้ว +1

    Hii stori isiishe

  • @hellenmuhando3860
    @hellenmuhando3860 ปีที่แล้ว +1

    Hii stori ni tamu sana
    Wamayo yesu akulinde....leta namba yako tukupe hela za mtaji

  • @barakabahati6600
    @barakabahati6600 ปีที่แล้ว +1

    Hii story ni tamu please muwe mnaleta part Nne Nne kila siku mbili mbili hazitoshi

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +1

    Jamani wanakutesa kweli

  • @ndelexanderson3379
    @ndelexanderson3379 ปีที่แล้ว +2

    Wa kwanza leo

  • @Rose-w8z7j
    @Rose-w8z7j ปีที่แล้ว +1

    Twende kazi wamayooo

  • @Patience.67
    @Patience.67 ปีที่แล้ว +3

    Waaa wamayo ulijionea maneno😢

  • @user-xy1wt3wh8l
    @user-xy1wt3wh8l ปีที่แล้ว +2

    Wamayo mi namba tu usinisahau

  • @laoiyadi1176
    @laoiyadi1176 ปีที่แล้ว +1

    Dah wamayoooooo Nimefrahi tu 🎉

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 ปีที่แล้ว +1

    Twende kazi

  • @josephmsita1364
    @josephmsita1364 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @ANITHASTEPHEN-bs1ee
    @ANITHASTEPHEN-bs1ee ปีที่แล้ว +1

    Dah wamayo

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 ปีที่แล้ว +1

    wamayo mmungu anupenda kweli ulipitia haya yote lakini bado upo

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ ปีที่แล้ว +1

    Wamwisho

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 ปีที่แล้ว +1

    umetumikia sana watu nigekuwa ww sionekan ningeib pes nying SN na kuzifichaaa s kwasbb azionekani ..nikipona Naend kuchukua just for funny

  • @user-nt4bl1hn9w
    @user-nt4bl1hn9w 11 หลายเดือนก่อน

    Mm nimerudia story ya WOMAYO

  • @jwanjwan2757
    @jwanjwan2757 ปีที่แล้ว +1

    Hatari Kweli waa

  • @catherineantonia8948
    @catherineantonia8948 ปีที่แล้ว +1

    Nami nipo

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 ปีที่แล้ว +1

    Hiiistory😂,kama ina isha kumbe haiishi,kama anapata msaada hiv kumbe anaongeza shida,kama anakata tamaa hv mara dalili za msaada zinaonekana, NISEME TU HIYO NGUVU ULIYO ONEKANA USIIACHE NDIYO NGUVU ZIPITAZO NGUVU ZOTE

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh uyo babu huenda n ndugu yke n uyo mwana marundi alikua tishio 😅

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 ปีที่แล้ว +1

    Hapa ndo nilisubili

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 ปีที่แล้ว +1

    Amlali

  • @JaneNdunge-x5d
    @JaneNdunge-x5d ปีที่แล้ว +2

    Tunataka kujua mwisho wa hii story

  • @danrevelian
    @danrevelian ปีที่แล้ว

    Wamayooo anajua kuhadithia..!!

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 ปีที่แล้ว

    Ila wamayo Wewe ndo Maana Ile ya kuishi kwingi ......😀😀😀😀,lakini pole omeona mambo ya maajab na ya kutisha

  • @makwayafunny4716
    @makwayafunny4716 ปีที่แล้ว +1

    Tupa mzigo mzee

  • @kazunguu49
    @kazunguu49 ปีที่แล้ว +1

    Wamayo ulivyopakwa iyo dawa uliona vitu gani vingi mbona hujavielezea

  • @venerandapeter6222
    @venerandapeter6222 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwenye kujenga duka siku 5 ndo siamini labda kama walijenga duka la miti na udongo sio simenti

    • @kikimshanga3412
      @kikimshanga3412 ปีที่แล้ว

      Acha ushambaphobia

    • @heritier5119
      @heritier5119 ปีที่แล้ว

      Duka Sio nyumba,kwani linachukua ukubwa gani,

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 ปีที่แล้ว +2

    Dunia ina mambo jamani 😢

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 ปีที่แล้ว +1

    Watu wapo fasta

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt ปีที่แล้ว +1

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @marieunique3265
    @marieunique3265 ปีที่แล้ว +1

    😊

  • @busuulwajulius4852
    @busuulwajulius4852 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nataka mununulie simu ya smart, na wewe tuongee naae

  • @aziza9093
    @aziza9093 ปีที่แล้ว +1

    Storatamu natamani isiisha😂😂

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👊✌️.

  • @tututz100
    @tututz100 ปีที่แล้ว +1

    J.boys 1999

  • @karimudzekotz
    @karimudzekotz ปีที่แล้ว

    Toka unaanza mpaka sasa hvyo vyote vmetokea ndani ya mda gani?

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว +1

    Twende kazi na wamayo 😅

  • @cartv5085
    @cartv5085 ปีที่แล้ว +1

    mm wa 40

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 ปีที่แล้ว +1

    Wakwanza😂

  • @zungubeybi3326
    @zungubeybi3326 ปีที่แล้ว +1

    Wamayo khatar😅

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy ปีที่แล้ว

    Wamayo tume kombolewa Kwa damu ya yesu pia yeye siku yaja

  • @NAIKODOYENG
    @NAIKODOYENG ปีที่แล้ว

    Muoneee!!!! 😂😂😂

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 ปีที่แล้ว

    Kama kawaida tu naendelea

  • @Patience.67
    @Patience.67 ปีที่แล้ว +1

    Wa tatu

  • @catherinejames6714
    @catherinejames6714 ปีที่แล้ว +1

    Part 34 pls

  • @ndelexanderson3379
    @ndelexanderson3379 ปีที่แล้ว +1

    Wa kwanza leo

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt ปีที่แล้ว +1

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢