Pt4_Yesu alinipeleka mara ya pili kuzimu na mbinguni nikashuhudia raha na mateso yake|MICHAEL SAMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 20

  • @faithe4063
    @faithe4063 ปีที่แล้ว +4

    Najikaza sana kutafuta ufalme wa Mungu, nisaidie eeh Mungu mwenye nguvu natubu kila siku

  • @norahabuyeka9617
    @norahabuyeka9617 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kweli Mungu azidi kunionya maovu yangu ili niuone ufalme wa Mungu

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 ปีที่แล้ว +2

    Amen blessed kaka jacktan n Audax na promover tv.the power of testimony❤

  • @catenzoka2003
    @catenzoka2003 ปีที่แล้ว +5

    Wapi likes Za promover tv.asanteni sana.

  • @njockjanes3897
    @njockjanes3897 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atupenehema ya kuhuona ufalme wa mungu 🙏🙏

  • @RodahAdonice-dz4sm
    @RodahAdonice-dz4sm หลายเดือนก่อน +1

    Kupitia hizi shuhuda nimeweza kuishinda dhambi kubwa sana niliyokuwa naitenda kidogo Yesu Kristo anisaidie niwe mtakatifu

  • @DeeHustles
    @DeeHustles หลายเดือนก่อน +1

    Niongoze yesu nifike mbingun salama

  • @hariettekiza9050
    @hariettekiza9050 ปีที่แล้ว +2

    Amina 👏👏👏👏🇨🇩🇨🇩

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tuachane utani hizi shuuda zinatisha sana. + Ukisikiliza hiz shuuda an ukiangalia maisha tunayoishi sisi wanadamu hususani 🇹🇿 ni 😭😭😭😭😭😭 .

  • @asminetaba253
    @asminetaba253 ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏

  • @christinaisanguisangu2974
    @christinaisanguisangu2974 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nisaidieni namna ya kuungama ninazitaja dhambi moja moja kwa Mungu au kwa mchungaji

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 ปีที่แล้ว +2

    AMEN

  • @agnestunu5527
    @agnestunu5527 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU TUSAIDIE TUNATAMANI KUKAA KWAKO DAIMA TUCHUKULIE MADHAIFU YETU,TUSITENDE DHAMBI TENA😢😢

  • @ABLE.OF.JESUS.20
    @ABLE.OF.JESUS.20 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @maryke5498
    @maryke5498 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @maryke5498
    @maryke5498 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @vumiliawambula1716
      @vumiliawambula1716 ปีที่แล้ว

      Ee Mungu tunaomba reema Yako bila wewe atuwezi