1_USTADH AMIR ALIYEOKOKA ASIMULIA YALIYOMKUTA MLIMANI AKITAFUTA UTAJIRI WA PETE KWA JINI JOKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 167

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu

  • @favourmaria
    @favourmaria 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu,ubarikiwe sana na Mungu akuhinue sana, Asante Kwa ujumbe mwema, umenifungia macho.

  • @EvaDaniel-y2u
    @EvaDaniel-y2u 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu azidii kkutunza mtumishi wa mungu tunakupenda sanaa

  • @bossej1212
    @bossej1212 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa huo ushuhuda

  • @HelenaSoka-l1h
    @HelenaSoka-l1h ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe kwa ushuda

  • @haikajohn7580
    @haikajohn7580 3 ปีที่แล้ว +4

    Ingefaa sana wakristo tuwalinde hawa watu nungu anaotupa tuwatunze kiroho shangaa ndio wanaotulea kiroho tuwalinde sana naupendo wakristo uwahifadhi natudumu kuwaombea wasirudi nyuma tutadaiwa

  • @ClaudKitoki
    @ClaudKitoki 10 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa Yesu kristo ambaye Bwana wetu kweli uko vizuri kwa hiyo elimu ya malaika waasi ubarikiwe

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 4 ปีที่แล้ว +4

    Aisee waislamu kubalini yaishe Jamani khaaaaa

    • @peninahkariuki4679
      @peninahkariuki4679 3 ปีที่แล้ว +1

      Hawakubali😂😂 Lakini siku inakuja kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri Yesu ni mwana wa Mungu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 4 ปีที่แล้ว +9

    Hapo ni kweli Mchungaji, Nikiwa Kenya Nilikua na Rafiki Wangu tulikua twa Fanya Kazi pamoja na Alikua Mmislamu Alikua Ana nieleza kua Kuna Majini wazuri na Majini Wabaya, Ndio Mana Wa Mwokozi Yesu peke ndo Njia Amina 🙏🏾🙏🏾🙏🏾👍👍👍👍❤️

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @RacheleRamadhan
      @RacheleRamadhan หลายเดือนก่อน

      Amen amen

    • @mudinhomeshack9041
      @mudinhomeshack9041 21 วันที่ผ่านมา

      Ss nyie majini ni viumbe wa nani 😅😅😅 majini ni kama binaadam tu kun wem na wabaya huyo mwenzenu anatafuta kula tu hakuna chchte hapa dunian isipokuwa kimeubwa na Mungu kwani kabla ya Mungu kuumba dunia hakukuwa na kiumbe chochote

    • @mudinhomeshack9041
      @mudinhomeshack9041 21 วันที่ผ่านมา

      Ss nyie majini ni viumbe wa nani 😅😅😅 majini ni kama binaadam tu kun wem na wabaya huyo mwenzenu anatafuta kula tu hakuna chchte hapa dunian isipokuwa kimeubwa na Mungu kwani kabla ya Mungu kuumba dunia hakukuwa na kiumbe chochote

  • @MosesNathanael-s2j
    @MosesNathanael-s2j ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana Sema watu wapone Kuna tunakuomba uandike kitabu tutanunuwa kwabei yeyote

  • @barakaomary7468
    @barakaomary7468 ปีที่แล้ว

    Asante kwa ushuhuda mzuri pastor🙏

  • @bonylove6192
    @bonylove6192 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki mtumishi amiry

  • @jonathankatana1173
    @jonathankatana1173 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Ndugu Amiri kwa kumpokea Bwana Yesu, udumu katika Bwana,Asanta kwa kujua ukweli, nawatakia na wengine wasiojua Ukweli, Ukweli wapatikana kwa Yesu Kristo pekee, Wala sikwamwingine awake yote, soon dini itakayomwokoa, Bali no Yesu Kristo means was Mungu aliye hai Amina

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 4 ปีที่แล้ว +3

    very true Amen sema mchungaji lazima watu wajue kazi ya shetani na kazi ya Yesu Amen...

  • @sekigosi4902
    @sekigosi4902 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa mtumishi sanaaa

  • @MegaMagoti
    @MegaMagoti 2 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe mtumishi kwa kuokoa roho zilizopotea

  • @mercykwame1436
    @mercykwame1436 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunakuanga mkono bwana yesu asifiwe 🙏

  • @thelordismystregth
    @thelordismystregth 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina Amina Yesu akulinde

  • @barakanyella315
    @barakanyella315 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu azidi kukupa kibali cha kupaza sauti zaidi 🙏

  • @jaredochieng4725
    @jaredochieng4725 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa ujumbe na lazima nisambaze ujumbe huu.

  • @powerplus1933
    @powerplus1933 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana ustadh amir.ingelikuwa bora wewe kuandika kitabu ama kufanya filamu ya ushuhuda huu.

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 4 ปีที่แล้ว +1

    Sema Mtumishi wa MUNGU waache hao wasiotaka kujua haya mambo wabaki hivyo hivyo na ujinga wao ibilisi awakokoteee mwishowe awapeleke huko anakotaka. Mimi unanibariki sana see you in Hevean.

  • @wanjikunaftary9378
    @wanjikunaftary9378 4 ปีที่แล้ว +2

    Karibu kwetu mtumishi wa mungu

  • @mercykwame1436
    @mercykwame1436 3 ปีที่แล้ว +2

    Ushuhunda zuri..amefuguwa roho za watu wengi 🙏

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah barikiwa sana Mtumishi wa Bwana hakika lazima watu wafunguliwe

  • @cyprianchale602
    @cyprianchale602 3 ปีที่แล้ว +1

    Naendelea kukufatilia be blessed man of God

  • @dodoted5033
    @dodoted5033 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Amir,ubarikiwe kwa ufunuo huu,wale wenye kukukataa usihofu nao maana bado wako upande ule uliotoka,hawajasimama Na Yesu.

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 4 ปีที่แล้ว +10

    Nakupenda paka naumwaa by the way am watching you from UK

    • @jonasyohana3258
      @jonasyohana3258 3 ปีที่แล้ว

      Good

    • @kodekijacobo4489
      @kodekijacobo4489 3 ปีที่แล้ว

      Ahsante ubarikiwe mwenye masikio amesikia ukweli ,okoka acha ubishi huyu tayari alikuwa amesha lala kwenye kilindi cha mapepo wewe hata kanisani wala msikitini huendi halafu mbishi mwamini yesu,

    • @amiriforjesus8689
      @amiriforjesus8689 ปีที่แล้ว

      Bwana yesu kristo asifiwe mimi s

  • @t7zkc5tpxgim28
    @t7zkc5tpxgim28 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana mtumishi 🙏

  • @gratianmugumya1952
    @gratianmugumya1952 4 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri Mtumishi wa Bwana

  • @esaumahundi5076
    @esaumahundi5076 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu kazi nzuri endelea kutupa Siri ili tuendelee kumpiga adui

  • @florasingano5859
    @florasingano5859 4 ปีที่แล้ว +5

    Amen ubarikiwe mtumishi,ongea wana wa Mungu tupone,nilipitia shuhuda zako zote na nika share

  • @jacklinealphoncemwacha772
    @jacklinealphoncemwacha772 4 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi tunabarikiwa sana

  • @lauriansaid5964
    @lauriansaid5964 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera mtumishi , ,na pole kwa majaribu yote ya yote yesu ni simba wa yuda

  • @shadrackmasungandolo9494
    @shadrackmasungandolo9494 4 ปีที่แล้ว

    Amen MUNGU akubariki sana

  • @sallymumia8425
    @sallymumia8425 4 ปีที่แล้ว +1

    Learning something new.thank you so much.be blessed,

  • @alinefeyi6731
    @alinefeyi6731 4 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu akubariki mcungaji

  • @haikajohn7580
    @haikajohn7580 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe jaktan kwashuhuda zauhakika zinatuinua kweli

  • @everwasike655
    @everwasike655 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kwa mafundisho

  • @blessingmalaika4045
    @blessingmalaika4045 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante mtumishi, nimefunguka macho

  • @yususfzulekha6183
    @yususfzulekha6183 2 ปีที่แล้ว

    Subhana Allah Allah akuongoze maskini

  • @gablielsamwely1081
    @gablielsamwely1081 4 ปีที่แล้ว +5

    Jactani msafili napenda sana ushuhuda huu wa ostadhi amiri endelea kutu letea ushuhuda ili tujifunze na tu mtumikie mungu pekee

  • @aminaally4163
    @aminaally4163 4 ปีที่แล้ว

    Amen Ubarikiwe Sana Sana

  • @florencendatila9183
    @florencendatila9183 4 ปีที่แล้ว

    Kwa mikikili na mikokolo
    Bless up mtumishi

  • @mawananasoro4405
    @mawananasoro4405 3 ปีที่แล้ว

    Amina Amina

  • @sarapetro1603
    @sarapetro1603 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe na ukweli lazima uswemwe tu.wanaopinga ndio wanatumikishwa na majini hawajasoma wanakokotwa tu na mashehe wao ndio maana wana mioyo migumuu

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @mwajumabulonvu7038
    @mwajumabulonvu7038 3 ปีที่แล้ว

    AMEN,Amen mutumishi

  • @b.a.m6243
    @b.a.m6243 4 ปีที่แล้ว

    Hakika na mm nipone katika kwenye eneo la hofu ususani katika kupiga hatua za maisha yangu... MUNGU anibadilishe.

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 4 ปีที่แล้ว +14

    Fanya mpango utuandikie kitabu mtumishi, tuta nunua kwa ghalama yoyote Maana hii ni elimu nyeti Sana sio rahisi kuipata.

  • @ngwanafabian9668
    @ngwanafabian9668 4 ปีที่แล้ว +7

    Ndugu zangu katika kristo Yesu jihadharini hasa tunaompenda Yesu kuna mkakati wa Shetani kupitia malikia wa pwani kueneza roho ya uasherati. Mbinu inayotumika ni kusambaza mapepo kwenye channel za youtube na mitandao ya kijamii hususani inayotangaza habari za ufalme wa mbinguni ndiyo sababu utaona comment za kuhamasisha uzinzi kwenye channel kama hii nawaonya kwa jina la Yesu zipuuzeni na tuzikemee kwa jina la Yesu kristo.

  • @captainlufumbe1597
    @captainlufumbe1597 4 ปีที่แล้ว

    💖💖💖💖💖💖 Amina Sana

  • @moramora4414
    @moramora4414 4 ปีที่แล้ว

    Asante baba sasa nisaidieni kwa kusema dua ya kiswa hili itakayo indoa satan aliingia sikioni jamani ananiletea ugonjwa kila mahali

    • @alinefeyi6731
      @alinefeyi6731 4 ปีที่แล้ว

      Wewe muamini Yesu Kristo tu shetani atashidwa usisahawu mawombi kuwa Mungu anaskiya

  • @timothydoday4372
    @timothydoday4372 4 ปีที่แล้ว

    I agree

  • @miriamquite7665
    @miriamquite7665 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen🙏🙏🙏

  • @deliverancechurchintmeliku3353
    @deliverancechurchintmeliku3353 2 ปีที่แล้ว

    NDUGU AMIRI NAKUELEWA SANA ENDELEA ZAIDI

  • @kirshnaindia890
    @kirshnaindia890 4 ปีที่แล้ว +4

    Pastor ni kweli kabisa, tomboa yote

  • @dejosh100
    @dejosh100 4 ปีที่แล้ว +4

    Jactan ushuhuda wa uzorma mbon umekoma kutuletea tutasahau,jitahidi na Mungu akusaidie

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 ปีที่แล้ว

      Amen,ntauleta hivi karibuni

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 ปีที่แล้ว

      Amen,ntauleta hivi karibuni

  • @nyingos
    @nyingos 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukiwaambia watu wenye dini kuwa "majini wote ni wabaya na hakuna jini jema" watakubishia utafiriri wao ndio majini. wanayatetea kwa jasho la damu kupita yanavyojitetea yenyewe. Ni hatari sana.

  • @nizaruddeenal_awsy.
    @nizaruddeenal_awsy. 3 ปีที่แล้ว

    Kuweni makini sana na hawa matapeli.
    Wanatunga urungo ili kupata pesa kiurahisi. Asanteni.

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 ปีที่แล้ว

      Pinga hoja Kwa hoja ngudu wa Jini usieke makasiliko jifuze

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 2 ปีที่แล้ว +1

    Achana na wapinzani ni pepo wale wale hata km wana jina la kujiita wakristo

  • @agathasungura5047
    @agathasungura5047 2 ปีที่แล้ว +2

    Uiniliwe utumike kwa BWANA sikuzoote

  • @mussamdota5913
    @mussamdota5913 4 ปีที่แล้ว +1

    Shuhuda nzuri sana,ila punguza kurudiarudia

  • @mariachannelke9769
    @mariachannelke9769 4 ปีที่แล้ว +2

    Pls jactan tuletee mwendelezo wa prof uzorma
    Jameni si nitausahau

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 ปีที่แล้ว +2

      Ok Maria Asante kwa kufatilia na kukumbushia,naahidi utauona mwendelezo hivi karibuni

    • @mariachannelke9769
      @mariachannelke9769 4 ปีที่แล้ว +1

      @@PromovertvTz Asante
      Good luck unapo utayarisha

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว +1

      Umefanya vizuri kukumbusha twausubiria kwa hamu

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 4 ปีที่แล้ว

      @@hebronsdaughter1661 hata mimi nimesubiria

  • @benjaminilukas9449
    @benjaminilukas9449 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa MUNGU nabarikiwa Mnoo kwa ujumbe mzito na kujua siri ya Hawa viumbe wasumbufu katika uzao wa wanadamu,,,Lakni Naomba badilisha Jina mtumishi wa MUNGU

  • @Abetto8313
    @Abetto8313 2 ปีที่แล้ว +1

    @Hawa kiza
    Kuna sheikh nilisikiza akisema majini ni marafiki wa binadamu. Eti majini sio mbaya wameumbwa kusali na watu.. Kwa hivo amir a nasema ukweli.

  • @agathasungura5047
    @agathasungura5047 2 ปีที่แล้ว +2

    Tuambie tupone na tujue niwapi pakupiga

  • @Marigwe
    @Marigwe 4 ปีที่แล้ว

    Naomba simu yako Ustaadh

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 4 ปีที่แล้ว +2

    Muendelezo Mtumishi

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman หลายเดือนก่อน

    Angalia wakristo mnavyodanganywa huyu yupo kwa ajili ya kupotosha uislamu unaharamisha kumiliki jini kuabudu jini ,wewe unayeabudu Yesu na anaye Abudu jini wote mashetani kwa mujibu wa uislamu SASA HILO LIZEE LIMETOKA KUVUTA BANGI LIKAONA LIHAMIE KWA WAKRISTO ILI LIWADANGANYE NGURUWE HUYU

    • @eliasmyamba4767
      @eliasmyamba4767 3 วันที่ผ่านมา

      Inaonekana umesha tekwa na majini kijana njoo kwayesu upate kwenda peponi,sisi wakristo tunakubaliana nae,hapo bado aujatushawishi tunakupenda kalibu kwenye uokovu🙏

  • @henryosoro7696
    @henryosoro7696 4 ปีที่แล้ว +4

    Pia tunasubiri ushuhuda wa pastor Hussain kutoka ujiji aliyekuwa shehe.. Atwambie naye kwa nini aliokoka.Tutafutie huyo jameni

  • @aminam267
    @aminam267 4 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @acksakombo7222
    @acksakombo7222 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU akuzidishie ujasiri wa kuinena kweli yake

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

    Kweli huo ushuhuda sema mtumishi

  • @mudinhomeshack9041
    @mudinhomeshack9041 21 วันที่ผ่านมา

    Hv jina la yesu limetoka wapi ni nani alimpa jina yesu hali yakuwa biblia inasema wakt malaika alipotumwa kwa Mariam alilitaja jina la Emmanuel a.k.a ya yesu alipewa na nani kwan mitume wote tunawatambua kwa majin yao ya kuzaliwa aliebadilisha jin kutok emmanuel mpk yesu alikuwa na lengo gani na ukitaka kumfata emmanuel ukwl wa kumfata bc karibuni kwnye uislamu sio huko kwnye upagani wa Roman empire

  • @nizaruddeenal_awsy.
    @nizaruddeenal_awsy. 3 ปีที่แล้ว

    Ndugu zangu wakiristo kuweni makini sana na hawa matapeli... Mkitaka kujua ukweli kuhusu uislamu, muulize muislamu.

    • @listonjiwe3467
      @listonjiwe3467 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu alikuwa shehe mkubwa ndio anaeelezea unataka tumuulize mwislamu gani tena?

    • @listonjiwe3467
      @listonjiwe3467 3 ปีที่แล้ว

      Wakilisto tunaoijua biblia wanafahamu hilo majini ni maraika waasi waovu

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 ปีที่แล้ว

      Pinga hoja Kwa hoja ngudu wa Jini usieke makasiliko jifuze

  • @nizaruddeenal_awsy.
    @nizaruddeenal_awsy. 3 ปีที่แล้ว

    Ukweli ni kuwa... Kama vile mnavosumbuliwa nyinyi na mapepo, na sisi pia tunasumbuliwa hivo hivo, ila sisi tunaitumia Quran kuwachapa hao mapepo.

  • @ngwanafabian9668
    @ngwanafabian9668 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu nimekuelewa kuhusu ml. Kilimanjaro sasa nimeelewa kwanini miungu ya wachaga ina nguvu sana ikilinganishwa na miungu mingine. Pia kuhusu matumizi ya pete binafsi sioni faida ya kuvaa makorokoro mwilini ikiwa hayawezi kutufaidisha kitu.

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 4 ปีที่แล้ว

    💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @khatibuyunus1727
    @khatibuyunus1727 4 ปีที่แล้ว

    Muogope Mungu wako. Iyoyote ninjia yautafutaji. Yani umekuwa Aidi yafirauni aliye laaniwa. Mrudie Mungu wako.

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 ปีที่แล้ว

      Pinga hoja Kwa hoja ngudu wa Jini acha kutetea majini jifuze

  • @jaredochieng4725
    @jaredochieng4725 4 ปีที่แล้ว +2

    Wapende wasi pende neno litaendelea.

  • @erastusmacharia1653
    @erastusmacharia1653 3 ปีที่แล้ว

    Ujiji has a long history of witchcraft and Evil Deeds....Jesus is Lord

  • @mohamedmasoud6565
    @mohamedmasoud6565 2 ปีที่แล้ว

    Sura zake huyu jamaa ni mrongo njaa tu hiyo

  • @lastgospel706
    @lastgospel706 4 ปีที่แล้ว

    amazing

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 3 ปีที่แล้ว

    A genuine believer couldn't leave his faith

    • @frankipol1049
      @frankipol1049 2 ปีที่แล้ว +1

      When Christian joins Muslims you celebrate and it's okay, if Muslims join Christians you say they were not genuine believers,That's discriminatory and superiority complex

    • @mchopaluka4319
      @mchopaluka4319 2 ปีที่แล้ว +1

      Pole coz Yesu KRISTO ndie njia pekee

    • @Yesunimwokozi1
      @Yesunimwokozi1 ปีที่แล้ว

      Hata maswahaba wa muhammad waliacha UISLAMU

  • @Ali-ui7qh
    @Ali-ui7qh 9 วันที่ผ่านมา

    MUONGO WW NJAA IMEKUTOA AKILI UMESOMAA KIARABU MATAMSHI HUJUI YA KIARABU MUONGO WW

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 3 ปีที่แล้ว

    Nipe andiko kwenye biblia lililo fanya uwe mkristo

  • @japhetlameck547
    @japhetlameck547 2 ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda wako nimeamini kabisa.

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

    Tunaogopa kwakua hawapo kwenye bible ila wezetu wapo kwenye Quran na wamesujud kusilimu baada ya mtume kusoma Quran sura inaitwa surat jini mpaka sagada jini anasari nilioneshwa jini anasari nilipo kuwa Oman yani ukitaka ujue nenda saudia kuhiji ndiyo utajua kuwa majini wapo ambao wanasari nao

  • @zeinabali5809
    @zeinabali5809 4 ปีที่แล้ว +1

    Wacha zako

    • @annamalingi7415
      @annamalingi7415 2 ปีที่แล้ว

      Shauriyako we baki namashetani zako kama unasema nimuongo.

    • @consolataisangia273
      @consolataisangia273 2 ปีที่แล้ว +1

      Acha wapinge lakini ukweli utabaki kuwa ukweli Bwana ni nuru yako na wokovu wako umuogope nani?Bwana ni ngome ya uzima wako umuhofu nani? Watenda mabaya walipokukaribia wakule nyama yako, watesi wako na adui zako,Walijikwaa wakaanguka

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 3 ปีที่แล้ว

    Biblia ni kitabu kutoka kwa nani na aliteremshiwa nabii gani?

    • @barakaharony4396
      @barakaharony4396 2 ปีที่แล้ว

      Siku utakapo kufa utamuoana mtu akija kukuhukumu kwa kutumia biblia na sio kitabu kingine endelea kuuliza maswali yasio kua na kichwa wala miguu

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 2 ปีที่แล้ว

      @@barakaharony4396 bibilia kapokea mtume yupi

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 2 ปีที่แล้ว

      @@barakaharony4396 toa jibu

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 ปีที่แล้ว

      Jifuze ndugu wa Jini

    • @gaitamaemmanuel
      @gaitamaemmanuel 7 หลายเดือนก่อน

      Biblia ni kusanyiko wa vitabu vingi...mule kuna torati alishushiwa musa..mule kuna injili ambayo ni ya Yesu, mule kuna zaburi ya daudi, mule kuna mithali za Sulaiman....kuna vitabu vingi mule...bibilia ni maktaba sio kitabu kimoja

  • @nizaruddeenal_awsy.
    @nizaruddeenal_awsy. 3 ปีที่แล้ว

    Mungu yuwakuona Mnafiki mkubwa wewe.
    Wawadanganya ndugu zetu wakiristo kwa ajili ya njaa zako.

    • @johnanton8899
      @johnanton8899 2 ปีที่แล้ว

      Mkili yesu kristo awe bwana na mwokoz wa masha yako

    • @hellenngecho4893
      @hellenngecho4893 2 ปีที่แล้ว

      jamani uko na wivu mkubwa Sana mwenzako ashapokea Jesus ww pia tia bidii ubadiliki bado ungali na nafasi Mungu anakuitaji Sana🙏

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 ปีที่แล้ว

      Wewe ndugu wako Jini tu

  • @mary.matullu8279
    @mary.matullu8279 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @nizaruddeenal_awsy.
    @nizaruddeenal_awsy. 3 ปีที่แล้ว

    Mungu yuwakuona Mnafiki mkubwa wewe.
    Wawadanganya ndugu zetu wakiristo kwa ajili ya njaa zako.

    • @admerarobert3485
      @admerarobert3485 3 ปีที่แล้ว +1

      Wewe hujielewi maana wewe hayo yote unayajua kama anadanganya njoo kanisani au ndo wale wale

    • @eldkibeh
      @eldkibeh ปีที่แล้ว

      Ni wapi amedanganya?