RAIS SAMIA ASHTUKIZA KARIAKOO / ABAINI MADUDU / AAGIZA UONGOZI WA SOKO USIMAMISHWE

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 341

  • @clementmwaitebele7687
    @clementmwaitebele7687 3 ปีที่แล้ว +10

    Mimi sina Rais Zaidi ya Mama Samia ndio Mungu ametupa,Mungu hana upendeleo humpa yeyote amtakaye..big up Mh.Rais

    • @pastornongoli4388
      @pastornongoli4388 3 ปีที่แล้ว

      Wewe umenena vema

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว +1

      🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 3 ปีที่แล้ว +9

    Binafs nimejikuta nimetoka.na machozi Sana nimekumbuka hatari rais magufur namuona mama anajikuta ana kaz kubwa ya kurudisha iman na upendo uke Ambao tulihis baada ya kifo chake tusingeyaona haya

  • @kulthumcadir5425
    @kulthumcadir5425 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujalie heri rais wetu akupe na mguvu afia njema🌻🌻🌻🌻🌻🌻

  • @msabahkhamis9438
    @msabahkhamis9438 2 หลายเดือนก่อน

    Maashallah
    Nakukubali sana mama
    Ila mm naona mama utumie salamu ya Allah itampendeza Allah
    Amani ya Allah huwaenea walio waislam na wasio waislam.
    Mkubwa amkumbusha mdogo na mdogo amkubusha mkubwa
    Samahani mama yetu nakukumbusha tu na isijeeleweka namfundisha rais.

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 3 ปีที่แล้ว +22

    Mim namkumbuka magufuli kila siku kwakweri hakuna wa kumfikia hata kidog pumzika kwa amani baba maan ungekwepo ungewatumbuwa wote

    • @musamusa5432
      @musamusa5432 3 ปีที่แล้ว +5

      Hata kikwete hakuna wa kumfikia kila kiongoz na uongoz wk

    • @mwitachacha480
      @mwitachacha480 3 ปีที่แล้ว +2

      Furaha yako n kuona watu wanapoteza kazi , very sad

    • @pastornongoli4388
      @pastornongoli4388 3 ปีที่แล้ว +6

      Jitambue weyeee Acha kukalilishwa, yani nyinyi tm chato mna mihahoo, lazima mkubari hii Ni awamu ya sita halafu kila zama na mtume wake

    • @sarahnyambaka5885
      @sarahnyambaka5885 3 ปีที่แล้ว +1

      ungekuwa wewe umetumbuliwa ungefanya nini.tupendaneni jameni

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 ปีที่แล้ว

      Jembe letu la chato jamoni linge kuwepo!!!

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

    Wamachinga tunawapenda sana mnaturaisishia bidhaa kua raisi sana ila tufuate taratibu ili mambo yaende vzr ndugu zetu msije mkaraumu mkuu wa mkoa Amosi Makala ilo agizo kutoka kwa Raisi kama tunampenda kweli na tunamueshim sana tutii maagizo atakayokuja nayo mkuu wa mkoa Amosi Makala tusiwe na fujo kila la kheri wafanya biashara wadogo wadogo mungu awabariki sana🙏🙏

  • @raboymziki336
    @raboymziki336 3 ปีที่แล้ว +5

    Njoo na huku Kilimanjaro "Moshi mjini" wajasiliamali wanajambo lao

  • @ericklaurent1484
    @ericklaurent1484 3 ปีที่แล้ว +5

    Mama TANZANIA tunataka tujue makusanyo ya mwez mama

  • @zakayoraymond1699
    @zakayoraymond1699 3 ปีที่แล้ว +9

    Angekuwepo angesolve papo hapo. Haina haja ya kukaa. Pumzika kwa Amani JEMEDARI WETU.

    • @jim12306
      @jim12306 3 ปีที่แล้ว

      Live na kile unacho, Mungu anamipango yake, wakati wa mangu kapita! tukubali tu!

  • @carlosn_tz
    @carlosn_tz 3 ปีที่แล้ว +13

    Sawa mama haya ndio mambo watanzania ndio wanataka.Nenda mama nenda wewe ndio tegemeo lao na letu

  • @amanisima9357
    @amanisima9357 3 ปีที่แล้ว +2

    Ulisema wewe na JPM nikitu kimoja sasa Mimi nilikuwa nasubiri vitendotu. Hongera Mama endelea kutembea kufikia sehemu husika ili ujionee mwenyewe na ujue nijinsi gani utashugulikia.

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah inapendeza sana kwenda kusikiliza kero za wananchi alhamdulillahi allah ametuzawadiya zawadi ya viongozi wazuri

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 ปีที่แล้ว +6

    Mama wakutengenezee kifungo tu hapo mbele ktk koti lako, linakusumbua nasisi hatutaki usumbuke....

  • @mutalemwafaridu5341
    @mutalemwafaridu5341 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for the good work madam president to the citizens

  • @emanuelmuna1242
    @emanuelmuna1242 3 ปีที่แล้ว +18

    Mama hayo mabarakoa ya nini sasa???? Mnatutia uogaa wakati sisi hatuna uoga tena

    • @maxwellsanga3662
      @maxwellsanga3662 3 ปีที่แล้ว +2

      huyo mama yuajua afanyalo, ukitaka pia wewe kavae

    • @iviejustified8109
      @iviejustified8109 3 ปีที่แล้ว +1

      Dunia inataka corona....
      Weye naniiiii ukatae hata ungekuwe weye ndo yeye ungefanya nini??

    • @sarahnyambaka5885
      @sarahnyambaka5885 3 ปีที่แล้ว +2

      kwani umelasimishwa kuvaa.anavaa kwa maslahi yake.nani waja hiyo

    • @sankofaman4112
      @sankofaman4112 3 ปีที่แล้ว +1

      Ameivaa ki makosa. Pua yote iko nje, sasa ya nini?

    • @hildantandu5909
      @hildantandu5909 3 ปีที่แล้ว

      @@sankofaman4112 umeona ee.

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 3 ปีที่แล้ว +6

    Nice one..oh wow !..👍🇹🇿❤️🌴

  • @j.c.maxima816
    @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi iendelee... Big up Rais Samia... Mama Mama Mama!!! 😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @sarahmarishay6938
    @sarahmarishay6938 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu AKUONGOZE KTK jina la Yesu🙏

    • @msabahkhamis9438
      @msabahkhamis9438 2 หลายเดือนก่อน

      Mamaetu muislam
      Usimuombee kwa yesu
      Sisi waislam itakadi yetu yesu ni mtume

  • @hassnhaji8585
    @hassnhaji8585 3 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana mama kazi iendeleee

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 3 ปีที่แล้ว +12

    R.I.POWER MAGUFULI WETU TUTAKUKUMBUKA MIASHA.

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 3 ปีที่แล้ว

      Sisi tushasahau hizo shida

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@abdulkareemseif1892 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤝🤝🤝🤝🤲

  • @faithphanuel259
    @faithphanuel259 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama barakoa ya nni siuvui

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 3 ปีที่แล้ว +3

    kupigiwa makofi haiongezi uchumi.Nenda kule wanakopiga mabilioni achana na wananchi wa chini.

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว +2

      Angeenda kule bado ungelalamika haendi kwa wananchi wa chini!! tunachojua kuwa ni kazi ngumu kumridhisha mwanadamu!!

  • @ibrahimhumbotv
    @ibrahimhumbotv 3 ปีที่แล้ว +2

    mama tumekusikia lakini nyie wa barabarani nahisi muandae maeneo mengine, mazingira yanatengenezwa siku zinahesabika zakuwepo maeneo hayo. RIP JPM.

    • @peterakora5543
      @peterakora5543 3 ปีที่แล้ว

      Tunakupongeza Mama Samia, lakini bado uhitaji wa miundo Mbinu kwa wauzaji wadogo barabarani unahitajika sana kwani kwa sasa ni vurugu mechi tupu mama.

  • @dennismwambenja6399
    @dennismwambenja6399 3 ปีที่แล้ว +3

    unazuga tu mama nchi inaliwa hii

  • @amashasanga2724
    @amashasanga2724 3 ปีที่แล้ว +2

    Tujlijua tuuu daa,, R.I.P jpm

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusimamie Mama kazi na inderee

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 ปีที่แล้ว

    Mama peke yake ndio anaweza kufua nguo za muhindi ilmradi wanae wapate kushiba, we loves mama.

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 ปีที่แล้ว

      Ww kelele hata kina baba WANAWEZA kugonga kokoto pesa yote wanaancha nyumbani anaenda kazini na nauli tu akipata balaa njiani imekua kwake

  • @hanashhanash535
    @hanashhanash535 3 ปีที่แล้ว

    Naona wembe ni ule ule Mama Mungu akubariki

  • @susanraphael5894
    @susanraphael5894 3 ปีที่แล้ว +1

    Fanya kwa nafasi yako mama Daima Magu alikuwa wa aina yake R.I.P magufuri

  • @fransavinhonacmela827
    @fransavinhonacmela827 3 ปีที่แล้ว +2

    Wame vaa Barakoa zao Kama waganga wa Kienyeji. Waone kwanza

  • @najugames8270
    @najugames8270 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice samia

  • @edsonmruma4833
    @edsonmruma4833 3 ปีที่แล้ว

    Mama wewe ni mtu wa watu unatutembelea hata sisi Aksante Sana mama.

  • @bonangatuni8077
    @bonangatuni8077 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulinde mama yetu

  • @queen-yx8uo
    @queen-yx8uo 3 ปีที่แล้ว +3

    Mama yan utembee had mahosptln sio nje ya nchi tuu mama yetu pambana ivo ivo tunateseka

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 ปีที่แล้ว +1

    Saf Sana Mama nimeanza kukuelewa ALLAH akulinde 🙏🙏🙏🙏

  • @user-oq3dd5xj9m
    @user-oq3dd5xj9m 3 ปีที่แล้ว +5

    I thought you'll go BOT or TPA... How much revenue's coming there?

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 3 ปีที่แล้ว

      hapangiwi kwa kuanzia popote pale ni sawa,mlisema asikae ofisini aje kwa wananchi,,ameanza kwenda kwa wananchi mnasema angeanza bot au bandarini "nonsense" bandarini alimuagiza wazir mkuu na ameshaenda na rais alishapata feedback

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 3 ปีที่แล้ว +1

      YOU are FOOLISH. She's the President; you can not dictate to her what and Where to go.

    • @user-oq3dd5xj9m
      @user-oq3dd5xj9m 3 ปีที่แล้ว

      @@abdulkatalango2890 you don't get my point and you know absolutely nothing. I wish you could

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 3 ปีที่แล้ว

      @@user-oq3dd5xj9m kwahiyo wewe kwa ujahili wako na ujinga uliotopea unafikiri rais hawezi kujua mapato yanayoingia kupitia bandari au sehemu yoyote mpaka aende huko,kwani akienda anauliza watendaji waliokabadhiwa dhamana hiyo au yeye mwenyewe anakaa kwenye system na kuanza kukokotoa mahesabu? tambua kuwa rais akitaka taarifa yoyote na kwa muda wowote hana sababu ya kwenda sehemu yoyote ili kupata anachohitaji,bali kitamfikia popote alipo ikiwa anahitaji ndio maana ya neno rais na amiri jeshi mkuu,vyombo vyote na wizara zote vipo chini yake anapata taarifa za nchi muda wote,

    • @user-oq3dd5xj9m
      @user-oq3dd5xj9m 3 ปีที่แล้ว

      @@abdulkatalango2890 yes cos she hasn't got a clue what's going on

  • @jumskibona3261
    @jumskibona3261 3 ปีที่แล้ว +4

    Waliosema watanzania atukuelewi naona wameona Sasa kuwa sisi tumekuelewa

  • @issazakaria863
    @issazakaria863 3 ปีที่แล้ว +3

    Kazi iendelee Mama yangu

  • @felixjarome6652
    @felixjarome6652 3 ปีที่แล้ว +1

    Piga kazi mama

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 3 ปีที่แล้ว +2

    God bless Tanzania 🙏

  • @wangonamuhange8218
    @wangonamuhange8218 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah watanzania jamani (r I p mag u)

  • @reyctv6966
    @reyctv6966 3 ปีที่แล้ว

    Noma

  • @marconakomolwa3917
    @marconakomolwa3917 3 ปีที่แล้ว

    Mungu.ndo.kila.kitu

  • @jescaizengo9722
    @jescaizengo9722 3 ปีที่แล้ว +2

    I LOVE YOU MAMA MUNGU AKUBARIKI 💖

  • @patrickmkunda7421
    @patrickmkunda7421 3 ปีที่แล้ว

    Mm niseme ukweli Mama umemfufua MAGUFULI kweli. Pamoja na changamoto za wafanya biashara wadogo bado naomba wasibugudhiwe Kama Baba yt hayati MAGUFULI.

  • @michelatakalinga1993
    @michelatakalinga1993 3 ปีที่แล้ว +3

    Hizo balakoa jamaa hata akiongea huyo raisi. Kwanza najiuliza anajisikia yeye kava balakoa wananchi hawajavaa. Samia hana imani na mungu aliye muumba.

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 3 ปีที่แล้ว

      Maandiko yanasema,jisaidie naye atakusaidia.Sasa ww hata lililo ndani ya uwezo wako unataka Mungu akusaidie.?Eti unataka kufaulu mtihani halafu husomi.Unategemea Mungu akusaidie.Duuuh.

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 ปีที่แล้ว

      @@yakobokuzenza6837 Acha uongo wewe hayo mafundisho ya mashetani.

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 ปีที่แล้ว

      Hajiamini huyo anapelekwa pelekwa Kama upepeo

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 3 ปีที่แล้ว +1

      Huna akili wewe

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว +1

      HATA WEWE HUMWAMINI

  • @plumbervampire4675
    @plumbervampire4675 3 ปีที่แล้ว

    hii nimeipenda enderea hivyohvyo mama

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 3 ปีที่แล้ว +6

    mabarakoa ya nini? nonsense

  • @athmaniidd437
    @athmaniidd437 3 ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 3 ปีที่แล้ว

    Akitoka hapa anaenda kufanya uteuzi na wakati miradi inakwama

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbona hawaimizi watu wafanye kazi kwa bidii wanaangalia kufukuza watu tuu

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      UMESIKIA KUNA MTU KAFUKUZWA.

    • @sabinaonline6575
      @sabinaonline6575 3 ปีที่แล้ว

      @@salimsaid7200 hapo lazima tu watu watafukuzwa kuna dalili zote

    • @omarylukindo5306
      @omarylukindo5306 3 ปีที่แล้ว +1

      Hujasikia aliposema nawasalimu kwa salamu ya jamhuri,,watu wakaitikia kazi iendelee au ww unataka kazi gani

  • @taitatimotheo3075
    @taitatimotheo3075 3 ปีที่แล้ว

    Barakoa Ni za Nini sasa

  • @msabahkhamis9438
    @msabahkhamis9438 2 หลายเดือนก่อน

    Unaposifia chakula cha jana maana yake ni kukidharau chaleo
    Mungu anatutaka tuwaheshimu viongozi wetu

  • @kaizamandike8771
    @kaizamandike8771 3 ปีที่แล้ว +8

    Huyu mbona anapita tu haulizi shida za wananchi wake??? Halaf hilo libarakoa lanini?

    • @ligungaonline576
      @ligungaonline576 3 ปีที่แล้ว

      Unataka aulize mara ngapi huyo ni raisi

    • @sarahnyambaka5885
      @sarahnyambaka5885 3 ปีที่แล้ว

      nenda ukaulize wewe

    • @athumanitanuke6795
      @athumanitanuke6795 3 ปีที่แล้ว

      Usiwe mtu wa kufanya kwa matukio au kwa mtu mmoja mmoja

    • @kaizamandike8771
      @kaizamandike8771 3 ปีที่แล้ว

      @@sarahnyambaka5885 😁

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 ปีที่แล้ว +1

      Ame changanyikiwa huyu mama. Ame ambiwa ajikoshe kihivyo Labda Wananchi Wapumbavu wata mshangiliaaa

  • @apollotee1929
    @apollotee1929 3 ปีที่แล้ว +1

    Furaha imerudi

  • @msingida33
    @msingida33 3 ปีที่แล้ว

    kweli gharama zingine serikali angalieni namna ya kumsaidia mwananchi

  • @peterphilipo4152
    @peterphilipo4152 3 ปีที่แล้ว +2

    Watanzania asa mshangilia banacoa huyu atawauwa na corona

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 3 ปีที่แล้ว +5

    Eti amevaa balakoa mmmmmh huuu ni mtihani huu cjui tutauvuka lini daaaah mungu wetu tusaidie

    • @maxwellsanga3662
      @maxwellsanga3662 3 ปีที่แล้ว

      nenda pia nawe uvae si mjinga yeye kuvaa barakoa yuajua afanyalo, ukitaka pia wewe kavae

    • @hamisialfani590
      @hamisialfani590 3 ปีที่แล้ว

      amina

    • @mohamedasaid7910
      @mohamedasaid7910 3 ปีที่แล้ว

      Jee Tanzania ni Kisiwa na inchi zote zingine ndio wasivae barakoa

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 3 ปีที่แล้ว

      Una wivu tu.Sioni hata unachokilalamikia hapo.

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 3 ปีที่แล้ว

      @@yakobokuzenza6837 Ama kweli kwenye msafala wa kenge na mijusi pia ipo mmmmmh

  • @abaskhatoon9425
    @abaskhatoon9425 3 ปีที่แล้ว

    NANI KAMA MAMA??ALHAMNDULILAH.PROUD TO B MAMA.

  • @maganyagati3251
    @maganyagati3251 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mama kila siku barakoa anatutisha sana mi simuelewi

    • @maxwellsanga3662
      @maxwellsanga3662 3 ปีที่แล้ว

      nenda pia uvae, yuajua afanyacho

    • @janemakemo5635
      @janemakemo5635 3 ปีที่แล้ว

      Jamani toa ajira za waalim nyingi Kama ulivyotoa za idara ya afya ndipo tutajuwa wewe ni mchapa kazi

    • @claudekorosso8918
      @claudekorosso8918 3 ปีที่แล้ว

      Kwakuwa hujataka kuchukua tahadhari! Israel - taifa teule la Mungu limewachanja watu wake dhidi ya COVID-19. Saudi Arabia vile vile imechanja watu wake. Sijui kama kuna taifa teule lingine la Mungu.? Mama anaonyesha njia tu- huo ndio ukweli

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 3 ปีที่แล้ว

      Barakoa tutavaa tu wacha ushamba

  • @Kenyan_Duke
    @Kenyan_Duke 3 ปีที่แล้ว

    Kweli huyu Mama ni Magufuli kweeliii!!!

  • @abdiabdullah8564
    @abdiabdullah8564 3 ปีที่แล้ว

    Tuseme ukweli tu rais magufuli alikuwa ni rais . He was very powerful man to his people.

    • @issanjinjo38
      @issanjinjo38 3 ปีที่แล้ว

      Alikuwa powerful KWA tumbua tumbua zake hakupata heshima ya dhati zaidi ya woga amewatesa wananchi waliokosa amani na tabasamu ndani yanchi unamsifi butruhuru utu wa ulitoweika unamsifi ukiukaji wa katiba na kuwatesa watu wako wapi WATU WASIOJULIKANA?

    • @abdiabdullah8564
      @abdiabdullah8564 3 ปีที่แล้ว

      @@issanjinjo38 kwani !!!, Wakati alipokuwa hai rais magufuli, huyu mama ambae ndie rais alikuwa wapi?. Tunavyojua yeye ndie alikuwa mshauri wake mkuu katika utekelezaji sera zao. Sasa unapomsifia na kumkandamiza hayati magufuli hapo bado sijakuelewa. Magufuli ni wazi kabisa alikuwa mzalendo na alikuwa akipenda maendeleo tena kwa vitendo. Tumpe mda tu huyu rais wetu wa sasa labda mambo yanaweza kuwa sawa.

  • @ditrickmtega2802
    @ditrickmtega2802 3 ปีที่แล้ว +8

    Ameshitukiza na mabango yameandikwa saa ngapi?

    • @anoldpotentin2446
      @anoldpotentin2446 3 ปีที่แล้ว

      Mbona kwa jiwe ilikua hvyo hvyo

    • @queen-yx8uo
      @queen-yx8uo 3 ปีที่แล้ว

      Ww watu wapo faster

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      KWANI WEWE ULIKUWA UNAZIJUWA KABLA.

  • @richardmakene7780
    @richardmakene7780 3 ปีที่แล้ว

    Duuuu kwenye barakoa hpo jmn ktiana hof tuuuu kwa kweli aya bhn mung tsaidie

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 3 ปีที่แล้ว

    Mungu amusimamie akupe nguvu na azidi kukupa hekma ya kutatua matatizo ya watanzania we love you mama Soo much stay blessed

    • @ruwaidasleiman8327
      @ruwaidasleiman8327 3 ปีที่แล้ว

      Sikilizaga mama ukaziba uwo mdomo na iyo pua kunatutia woga na suwe wengine

  • @festophilimon5529
    @festophilimon5529 3 ปีที่แล้ว

    Mama askie kilio cha wananchi

  • @mtaalamshekidele4822
    @mtaalamshekidele4822 3 ปีที่แล้ว +1

    Ziara ya matumaini

  • @msabahkhamis9438
    @msabahkhamis9438 2 หลายเดือนก่อน

    Nduguzangu kumsifia mke ulomuacha au alokufa mbele ya ulienae sasa nikumdharau aliepo
    Usmsifie mbele yake baki nayo moyoni
    Kwahio nakuombeni dhibitini hisia zenu kujenga amani ya nchi
    Sababu tumpende aliepo
    Alokuwa hayupo mda wake umepita nadhani mnaonesha dharau kwa mamaetu sisi vipenzi vyake tupo tutamsemea na hapo tutaanza kutengeneza makundi

  • @mjimtakatifu4300
    @mjimtakatifu4300 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamaji tufanye maombi corona iondoke ikulu

  • @arbaab9337
    @arbaab9337 3 ปีที่แล้ว

    TWAKUPENDA ZAIDI NA ZAIDI.
    HUNA KIBURI MAMA YETU *** HUNA HASIRA MAMA YETU *** ...✍

  • @pakobrand5321
    @pakobrand5321 3 ปีที่แล้ว

    Jiji lichukue uongozi au mnaonaje wananchi

  • @happysanga6595
    @happysanga6595 3 ปีที่แล้ว +1

    Tz viongozi nabalakoa wananchi tumerithi kwa chuma hatuzijui balakoa

    • @marymakoi8604
      @marymakoi8604 3 ปีที่แล้ว

      Fanya hapo kwa hapo sio mpaka mkakae kikao r.i.p Magu

  • @jonathandossantos7216
    @jonathandossantos7216 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndio maana ya siasa wanazidi kutufanya wajinga,wizara ya fedha kuna aibu kubwa sana ya ubadhilifu wa fedha anafanya ziara za kushtukiza ili zi trend kutusahaulisha hoja za kimsingi,tunapiga kwata kwenye upepo hakuna tunapoenda watu wanalindana,kuna kazi za kufanya waziri wa TAMISEMI na sio rais ,taifa linapigwa

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      HIZO HABARI ZA KUPIGWA PESA ULOZISIKIA TARIFA HIYO ULIPEWA NA JIRANI YAKO AU NA SERIKALI BASI USIPANGE KAZI TULIZA MSHONO.

  • @aminahabib4450
    @aminahabib4450 3 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @noramkendamunishi6902
    @noramkendamunishi6902 3 ปีที่แล้ว

    Yaani natamani aongee na uongozi wa bandari, tra, benki kuu, immigrartion, wizara ya utalii etc. Huku kunanyooka tu ni samaki wadogo sana hawa

  • @reaganlyimo6259
    @reaganlyimo6259 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh

  • @verrynicemushi2563
    @verrynicemushi2563 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi Raisi nyayo za JPM

  • @hassanmohammed9153
    @hassanmohammed9153 3 ปีที่แล้ว

    Kweli mama wasaidie

  • @mwigakatumpula9817
    @mwigakatumpula9817 3 ปีที่แล้ว +4

    Sasaivi hatuliii ili tusaidiwe Bali tuna fanya kazi kwa bidii ili tuonekane kupitia juhudi na sio vilio 🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว +1

      FANYA KAZI UNALIA ILI IWEJE.

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 3 ปีที่แล้ว

    Nazani kwasasa umeanza kutufuta machozi kidogo kidogo tutafika haya ndio tuliyazoea kwa baba yetu jitahidi bandarini,tra,ufike

  • @mohamedimsuya9761
    @mohamedimsuya9761 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama tunamatumaini nawewe

  • @vedastododomaimeshasahauli2552
    @vedastododomaimeshasahauli2552 3 ปีที่แล้ว

    Mabango yetu hajayaona mbona hatahagusii

  • @papamonyonchotv
    @papamonyonchotv 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Mama Mheshimiwa Raisi ni zaidi ya Marais wengi Africa#Kazimzuri . Asante sana.

  • @ezekielpaul3129
    @ezekielpaul3129 3 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna kitu hapo jpm hoyeeee

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว +1

      Ongeza sauti... Labda maiti itaamka...

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 3 ปีที่แล้ว

      Jpm ameshakufa.Hata umsifie vipi hawezi kurudi

    • @ibnismail8831
      @ibnismail8831 3 ปีที่แล้ว

      @@j.c.maxima816 😂😂😂😂😂😂

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@yakobokuzenza6837 LABDA MAGU AKIMPELEKEA CHAKULA CHA BURE MAMAKE.

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @Yeshuatv729
    @Yeshuatv729 3 ปีที่แล้ว

    Tume inatohusika na suala moto kariakoo lianze na viongozi walitumbuliwa

  • @mohamedimsuya9761
    @mohamedimsuya9761 3 ปีที่แล้ว

    Asantee mama

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuvaa ma barakoa ili mpate msadaa 🤭🤭🤭

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว +2

      BILA BARAKOWA TANZANIA NI NCHI YA KUPEWA MISADA NA MISADA YA CORONA IMELIWA WAKATI WA MAGU WENYEWE WANA ULIZA ZIMEFANYIWA NINI.

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 3 ปีที่แล้ว +1

      @@salimsaid7200 Waambie hao,hawajui kuwa mfalme alikuwa mnafiki mkubwa

    • @pastornongoli4388
      @pastornongoli4388 3 ปีที่แล้ว

      @@salimsaid7200 shida dicteta wao kawakaririsha ujinga mpaka wanaboa yani, ukiwasikiliza tm.chato wanamauzii! Wanamihahooo! kama wamelazimishwa kuvaa barakoa vile!

  • @edwardsoteli9075
    @edwardsoteli9075 3 ปีที่แล้ว +2

    Barakoa zimerudi

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      zimeanza...

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 ปีที่แล้ว

      Wapumbavu ndio wana vaa Barakoa ila!!! Wajinga hatuvai. Barakoa.
      Kwani #Bibi Corona mshamba wa pemba

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@fransavinhonacmela827 CHOMA MIHOGO MASIKINI WEWE MAITI YA MUMEO IKO CHATO

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      @@fransavinhonacmela827 Wewe mshamba wa wapi? Mbona mmelewa na ubaguzi jamaani?

  • @davidhondwa655
    @davidhondwa655 3 ปีที่แล้ว +2

    Ipo xiku nitaongea...

  • @upendoshoo3898
    @upendoshoo3898 3 ปีที่แล้ว

    Mnamuita mama ndo kasha lipua sasa

  • @ruu6592
    @ruu6592 3 ปีที่แล้ว +6

    She is a leader

  • @josephmartin292
    @josephmartin292 3 ปีที่แล้ว

    Umeshaangalia Viungo vya Pilau vipo na ngogwe zipo.Huku Vipi Bandarini.Uhamiaji.airport na muhimbili nakusikilizia Bibi mrembuo...Machimboni je ?

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      KWANI YEYE MUNGU WA KIBANIYABI ANA MIKONO MINANE AFANYE MAMBO YOTE KWA PAMOJA.

    • @zainabjumanne2907
      @zainabjumanne2907 3 ปีที่แล้ว

      Mama umenyamaza watu wameshaanza kupiga kila kona. Mipakani madakitari wanaohusika na corona wapiga wanainchi wanawapamasharti magumu na garama kubwa ya kupima corona kumbe wanatengeneza mazingira ya kula lushwa mama amka watu wanakuona umelala na wanaona kama umedandia uraisi mama nyosha inchi watanzania huwa hawaishi kujalibu wakiona mmoja kapinda mgongo ndiyo mambo yananyoka

  • @anitakamene4656
    @anitakamene4656 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @johnkessy4966
    @johnkessy4966 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up mama.

  • @mdimimdimi4282
    @mdimimdimi4282 3 ปีที่แล้ว +3

    Hana hata mvuto huyo mama yenu

    • @pastornongoli4388
      @pastornongoli4388 3 ปีที่แล้ว

      Wataka Nini sisi hatuna haja ya mvuto sisi tulitaka kiongozi nasio mtawara na kiongozi tumepata mama la mama

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 3 ปีที่แล้ว

      Basi kuwa raisi ww mwenye mvuto

    • @mdimimdimi4282
      @mdimimdimi4282 3 ปีที่แล้ว

      @@yakobokuzenza6837 mkundu wako mweusi

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 3 ปีที่แล้ว

      @@mdimimdimi4282 mazezeta ndivyo mlivyo

    • @fransavinhonacmela827
      @fransavinhonacmela827 3 ปีที่แล้ว

      @@pastornongoli4388 Acha ushoga wewe

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 3 ปีที่แล้ว +3

    Wewe mama barAkoa za nini?

  • @timotheohongera1738
    @timotheohongera1738 3 ปีที่แล้ว +3

    Kitu kikiwa hakitoki rohoni kinaonekana tu. Very cheap politics with less information

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      KWANI MPAKA AFOKE

    • @ameedamilja7992
      @ameedamilja7992 3 ปีที่แล้ว +2

      Shida yako umezoea kufokewa

    • @kavumanicholas564
      @kavumanicholas564 3 ปีที่แล้ว

      mm nimekuelewa. Mzee alikua akienda sehem tayari anajua kila kitu na afanye nn yaani anaondoka watu wakishangilia

    • @pastornongoli4388
      @pastornongoli4388 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo lako wewe umezowea kupelekwa pelekwa, kufokewa, kutukanwa, na ubabe ubabe wa kikoroni, badirika weyeeee dunia nayo inakwenda kasi,

    • @kavumanicholas564
      @kavumanicholas564 3 ปีที่แล้ว

      @@pastornongoli4388 pastor ni jina lako au kweli ww ni mchungaji. Bac upastor ni ukoloni ni zao halisi la ukoloni

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 ปีที่แล้ว

    Nimeanza kukubali kidogo big mama

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 3 ปีที่แล้ว +1

    Mukitaka huyu ndo raisi mukinuna huyu ndo raisi na matusi muache mue na adabu kumtukana huyu ..aheshimiwe

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      HAO WANAO MTUKANA NI MLAYA NA WATOTO WA MALAYA HAWA TUSHUGULISHI.