aiseee iyo mada imenigusa sana maana me huwa mkali sana siwezi kukaa kimya but now najitahidi sana kuwa mpole nafatilia sana mada zako na matunda yake nayaona asante sana
@@ujuzilumiere7883 iyo ni kichen party ya mwanamke ndio mana kaegemea upande wa kumfundisha mwanamke wajibu wake kwa mumewe ndio mana hujasikia huo mstari wako wa biblia ameutaja kwasababu hauna maana hapo huyo anaemfundisha sio mlengwa! Pia Huwa anafundisha wajibu w mwanaume kwa mkewe labda hayo ndio mafundisho utakayo yafurahia wew
@@albertchuma4313 una juwa tume elewa biblia vibaya sana na ndiyo maana tuna ichanga na mila zetu sababu maandiko ya sema kama mke ni msaidizi pekeyake kwa nani mtu anaweza kuya kuku saidia kisha wewe uka muachia kazi zako zote? Mke ni musaidizi pekeyake inaomba tu elewe hiyo Sio mufanyakazi wa ndani na maandiko haija ongea hata mustari Moya ya kwamba mume hawezi fanya kazi zanyumbani ukipata hiyo mustari ambao una sema hiyo unitumie nita furahi kuusoma.
Jambo mtumishi wa Mungu ,kwakweli huduma hiy ni kubwa na ninzuri saana .ila kamaitakupendaza ,mafundisho ya wa mama utafute njia iwa fikie wamama peke yao .kama ni mafundisho ya wababa ifikie wababa peke yao .kwa sababu kuelewa kwa watu ni tofuauti bila Roho wa Mungu ,wababa wame pata sababu kubwa ya shutumu wa mama .na wa mama wamepata sababu kubwa ya kushutumu wa baba .mafundisho haya ina jenga 60/100 na ina bomowa 40/100.zaidi wale wasio jazwa Roho wa Mungu na wengine wamebarikiwa .kama Mungu anaweza kukufunulia njia ya kupeleka kila ujumbe kwa watu husika ni vizuri zaidi.mimi binafsi nimebarikiwa .samahani kama nina weza kuwa ni mezungmza makosa.ni pendelea tu huduma hiy ifikishe watu wote katika ufalme wa mbingu
Samahani Mchungaji,mimi nimeelewa hivi:HUYO utakuwa ni unabii ; Maana tumejifunza kwamba mwanamke pengine inamaana ya kuwa ni KANISA la Bwana kwahiyo wakusujudia ni MUNGU PEKE YAKE.
Sasa mbona kuna wanaume wanafukafuka bila sababu, je kama huo mwenaume mke wake afuyije? Sija ulio lakini napenda kujuwa ilo tu please and thank you very much
Dah nimeumia sana kumbe huyu mchungaji kasha fariki! Inaumiza sana!
aiseee iyo mada imenigusa sana maana me huwa mkali sana siwezi kukaa kimya but now najitahidi sana kuwa mpole nafatilia sana mada zako na matunda yake nayaona asante sana
Hii nimeipenda.
Baba waooo,siku nying sijakusikiliza baada ya TV yangu kupoteza chanel yk,asante bb yetu ,nitaemdelea kukufatilia
Ameshafariki huyu baba, tuendelee kumuombea
Lala salama Daddy tumeyakosa mahubiri yakujenga familia....Rip😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mwl &Mch.Peter Mitimingi Mungu akuzidishie huduma na baraka, nabarikiwa na mafundisho yako.
Mchungaji kweli tunapata tabu sana juu ya hawa wake zetu
Barikiwa mtumishi. Mungu akulaze mahala pema peponi
Kwa kweli Kazi ya Mungu haina makosa lakini angemwacha huyu baba amalize alicho anzisha. Ni baba,mwalimu,nabii.... Tulimpenda sana huku kenya
Fee Fee I Bongo
Asante mtumishi
asante kwa mafundisho mazuri pastor,Mungu akubariki
kuna wanaume mchungaji hata km amekukosea ukamuacha na badaa ukamwambia bado anafokafoka tu ula somo ni nzuri asante
Umeeleweka mtumishi
najikuta nimeponya ndoa yangu mungu akubariki na nimepona kabisa
Mafundisho mazuri haya... Amina
Mwl peter miti mingi Mungu akubariki sana najifunza mengi
Amen nimejifunza mpka nimupata mwanaume ananipenda balaa
Amina, naomben mniunge kwenye group hili napenda kuwa mnyenyekevu ktk Ndoa Mungu anisaidie
napenda sana unafundisha kwa mifano, Mungu akubariki
Asante kwa mafundisho mazuri mungu akubariki
Asante sn kwa somo nzur baba
nimependa mafundisho yako sir
Barikiwa mafundisho mazuri yanatengeneza ndoa zetu
Barikiwa sanaa Mtumishi umenifundisha kitu kikubwa sanaa
Honger mtumishi kwa maneno yako mzr
Asante mchungaji ubarikiwe sana
I miss you rest in peace 😭😭😭😭😭
sawa kabisa kwa mafundisho mazuti
asante nimeelewa nktajitahidi kuboresha ndoa yangu
Nimebarikiwa sana!
Mungu akubariki
safi sana,mtumishi ubarikiwe sana
Amen pastor ..nabarikiwa sana...mungu akutunze ili tujifunze mengi kutoka kwako
Amen, barikiwa sana sana Mpendwa
Kutoban
Asant kwa somo baba
Vizuri saanaa
I get u
Ni kweli sana Mchungaji,hapa furaha nyinhi imeondokea.kukiko sehenu zote.
mc u dr mitimingi ulikuw mwalim bora kbc RIP
Ahsante kwa ushauri mzuri
Kweli kabisa
mtumishi uko vzr kazi kwa kondoo kufuata maagizo ya bwana waa
Mbona wengine mwaume ukinyamaza ndo anakua mkali???
Nabarikiwa
Ahsante
Kweli mchungaji unanikuna ubarikwe
Kila somo nizuri MUNGU azidi kukulinda mchungaji.
Ubarikiweee saana
Ni kwel dah
barikiwa sana mtumishi
Happy Shayo w
Wasichana acheni ubabe mtachelewa kuolewa
ubarikiwe sana pastor, mafundosho yako ni mazuru sana karb Tanga
Hakuna anayependa kufokewa mwingine akiwa na mke mpole sana pia ni shida tabia zingine not hulka tuu
amen
Una wapa fursa sana wanaume tafazali sote ni vinadamu
Biblia ndiyo inaongea hujafatalia hapo?
Ukipata mke umepata kituchema. Hayo mafasiriyo nimila za kiafrika pekeyake ambazo zina weka wanawake chini sana zaidi.
@@ujuzilumiere7883 iyo ni kichen party ya mwanamke ndio mana kaegemea upande wa kumfundisha mwanamke wajibu wake kwa mumewe ndio mana hujasikia huo mstari wako wa biblia ameutaja kwasababu hauna maana hapo huyo anaemfundisha sio mlengwa! Pia Huwa anafundisha wajibu w mwanaume kwa mkewe labda hayo ndio mafundisho utakayo yafurahia wew
@@albertchuma4313 una juwa tume elewa biblia vibaya sana na ndiyo maana tuna ichanga na mila zetu sababu maandiko ya sema kama mke ni msaidizi pekeyake kwa nani mtu anaweza kuya kuku saidia kisha wewe uka muachia kazi zako zote? Mke ni musaidizi pekeyake inaomba tu elewe hiyo Sio mufanyakazi wa ndani na maandiko haija ongea hata mustari Moya ya kwamba mume hawezi fanya kazi zanyumbani ukipata hiyo mustari ambao una sema hiyo unitumie nita furahi kuusoma.
mungu akubariki
Nimependa mahubili uanasema kweli
Maneno mazuri pastor mwanamke mjinga abomowa nyumba yake ila mwanamke mwerevu yuwamwti mme wake ajenga nyumba yake hongera xana
Amen ayo maneno ni silaha tosha ya ndoa barikiwa mchungaji
You made it...😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Kweli mchungaji
Duuuh mahbl yak mung akbalk San m nakuag na hasra kwakwel mung ansaidie nabadlika
Wewenitumishiwaukweli
Maneno ma zuri pastor am blessed with your preaching
Amen, stay blessed always
hongera mtumish
Rip papa, u hv left a legacy
congrats
🙏🙏🙏
Jambo mtumishi wa Mungu ,kwakweli huduma hiy ni kubwa na ninzuri saana .ila kamaitakupendaza ,mafundisho ya wa mama utafute njia iwa fikie wamama peke yao .kama ni mafundisho ya wababa ifikie wababa peke yao .kwa sababu kuelewa kwa watu ni tofuauti bila Roho wa Mungu ,wababa wame pata sababu kubwa ya shutumu wa mama .na wa mama wamepata sababu kubwa ya kushutumu wa baba .mafundisho haya ina jenga 60/100 na ina bomowa 40/100.zaidi wale wasio jazwa Roho wa Mungu na wengine wamebarikiwa .kama Mungu anaweza kukufunulia njia ya kupeleka kila ujumbe kwa watu husika ni vizuri zaidi.mimi binafsi nimebarikiwa .samahani kama nina weza kuwa ni mezungmza makosa.ni pendelea tu huduma hiy ifikishe watu wote katika ufalme wa mbingu
Waambie
Samahani Mchungaji,mimi nimeelewa hivi:HUYO utakuwa ni unabii ; Maana tumejifunza kwamba mwanamke pengine inamaana ya kuwa ni KANISA la Bwana kwahiyo wakusujudia ni MUNGU PEKE YAKE.
natamani kuwa karibu na wewe ili nijifunze zaidi,barikiwa sana mtumishi....
umenigusa mm 👨
Amen
GUDD
Asant
nabarikiwa sana na maneno ya mtumishi
asante sana nimejifunza mno
Asanteeeee!
ubarikiwe sn mno
hatar sana
R.i.p
Soma lina akili
true
Ji
Sasa mbona kuna wanaume wanafukafuka bila sababu, je kama huo mwenaume mke wake afuyije? Sija ulio lakini napenda kujuwa ilo tu please and thank you very much
Nac
sema baba wengi tupone
Mfalmeee, nae ananiona kama malkia?
Kwa wadau wa elimu ya th-cam.com/video/ir5I-uLd6hI/w-d-xo.html subscribe sasa.
X
Kingu
tumekosa jembe aise
vedmant
mtumishi uko vzr kazi kwa kondoo kufuata maagizo ya bwana waa
napenda sana unafundisha kwa mifano, Mungu akubariki
barikiwa sana mtumishi
Amen
X
Mafunzo mazuri sana.
Mungu akubariki mtumishi.
Barikiwa sana mtumishi
mtumishi uko vzr kazi kwa kondoo kufuata maagizo ya bwana waa
Esanga Sanga uko vizuri mtimishi
umebez upande mmoja tu paster