Yes mwenyewe alipumzika siku ya Sabato, mitume hata baada ya ufufuo waliendelea kutunza Sabato wewe Nani alikuruhusu kubadili. Mathayo 5:17 Yesu alisema alitabadilishwa
@@aquinomsigwa6998 hachana na kuabudu siku mfate Yesu uspotee ndiomaana mlimtuumu Bwana Yesu heti amevunja sabato kwaiyo tukisema katika ukristo hakuna wasabato tupo sawa tokeni huko Kwa wapinga kristo
Mchungaji unasema tunatakiwa tujue jambo moja tu,la kutubu dhambi . kwani dhambi ni nini? Najua dhambi ni uasi wa sheria 10 za Mungu kwenye sheria hizo IPO na sabato .kwanini useme kuiba ni dhambi.
Huyo ndacha mwenyewe chizi Yani wakristo wote wamechanganyikiwa waisilamu wanaabudu kilasiku acheni kudanyanyana mbona mnaipenda uwongo sana kwani hamtuoni tukianda msikitini kilasiku yanikilakitu kweni niubishitu kitu mnakiona pia lakini bado tumtabusha yesu anasema yeye nimwana wa a damu nyinyi mnasema hapana wewe nimwana wa mungu kazi mnayo
Swala la sabato kwenye Agano jipya ni tofauti na Agano la kale,baada ya Yesu kufufuka,mwanadamu hawezi kumpendaza Mungu kwa kufuata siku,Kila wakati ni ibada WAKOLOSAI 2:18 YOHANA 2:21-22 YEREMIA 31:31-34. WAEBRANIA 10.
Je, mnayoyasunguza mwayatoa katika maandiko gani? Sabato imeanzia juma la kwanza ya uumbaji. Ni amri aliyoitoa Maulana. Je, tutafuata maelezo yenu au ya Mungu. Mungu alitoa kielelezo tufuate.
Kabra ya kujua neno LA mungu jifunze kujua tabia za mungu la sivo tutanishana bule alisema usifanye sanamu lakin ktk sanduku la agano Kuna Sanam na nyoka wa Shaba aliagiza tule Kila mnyama mwanzo sula ya Tisa lakin badae akakaza. Kilajambo na wakat tujue kwanza tabia ya mungu.
Ukifuata maandiko, hakuna aliyekuwepo wkt dunia uumbaji, wala kalenda hazikuwepo, kwa hiyo majina ya siku yametungwa hivi karibuni na siku za mwaka zimekuwa established juzijuzi, hivyo siku yoyote inaweza kuwa siku ya saba, huko nyuma kulikuwa hakuna week wala mwezi, ilikuwa majira tu!
Mch NDACHA ,tatizo la hao wahubiri feki ni shule -- Halafu wapo kwa ajili ya kutafuta kubishana --- " Hatuna muda wa kubishana " unaelewa anachosema Mch Hananja,kipokee kitakusaidia,hukielewi,kiache,endelea na msimamo wako --- Mungu ndiyo mhukumu wa haki.
Ndugu, sabato ni jumamosi. Hilo halina ubishi, achana na akina hananja na watumishi wote walio tayari kuusujudia utawala wa kirumi. Na ndio utakuta sikuhizi hakuna nabii wala mchungaji anaewekwa gerezani na kuuwawa kama akina Paul na Sila. Ni kwasababu wamekubali kuongea uongo ili kuufurahisha utawala wa kirumi uliokuja kubadli siku ya sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili. Siku ni muhimu mno, na ndio sababu Mungu ameagiza watu waikumbuke hio siku na waitakase. Kwanini? Kwa sababu Mungu alijua utatokea utawala utakaowaondoa watu kwenye sabato ya kweli.
Nmchungaji unapenda kutumia maandiko. Lakini umekataa Leo maandiko kabisa. Wasomee mathayi 24 sura nne kuteremka. Tena timotheo Wa pili 4 mstari Wa Kwanza hadi Tano. Lakini Leo umekataa Mada kabisa
Ni kweli kuhusu UTATU umejibu sawa kabisa Mungu ni mmoja ila kazi zake ndizo zinazomtambulisha katka huo utatu maana mara nyingi Mungu anjitambulisha katika wingi si Bible pekee bali hata Quran
Hesabu 15:32-36 Mathayo 12:1-21 Wagalatia 2:1-21 Kwasababu ukimpa ndacha maandiko ya Yesu mwenyewe alieponya siku ya sabato atakujibu kwa andiko kuwa Yesu ndo bwana wa sabato ndo maana anamamlaka hayo , na atakuuliza wewe ni Yesu ?, Sasa hayo maandiko hapo juu ukisoma inagisia wanafunzi wa yesu ,. Na yesu alipokuwa ana paa akasema mkawafanye wote kuwa wanafunzi wangu ,. Kwahiyo wafuasi wa Yesu ni wanafunzi wa yesu , Wanaotaka maandiko , sijawahi sikia mchungaji ndacha akagusa yaha maandiko , anajua tuu akiyagusa kwa namna moja au nyingine , anajua mtu akijenga hoja kwa kwa haya maandiko mchungaji mdacha hana cha kujibia haya maandiko labda hayakatae kuwa hayapo kwenye biblia
Mchungaji kumbuka kua ile ni amri af tumia mandiko na si kwamtazamo wako mchungaji af mchungaji kumbuka silaha ya mkristo ni mandiko na Mungu tunamjua kupitia mandiko
Umesaidia wengi sana hasa uliposema wanadamu kitu hasa tunatakiwa ni tumwamini zaidi siyo kumdodosa, wasabato punguzeni ubishi hakuna aliewahi kufa akarudi
Kwa hivyo yesu anabaki kua mwana na mungu anabaki kua baba yake. Hatuwezi kuwachanganya kua mungu mmoja. Wenye utatu watupe maelezo mazuri ili tuelewe. Tunacho jua ni yesu alikua na uungu wa baba yake lakini sio kwa nafsi. Aliridhi uungu wa baba yake na akampa mamlaka hapa duniani. Lakini anabaki tu kua mwana wa mungu.
Tofauti kati ya watu wa Mungu na wasio watu wa Mungu inabainishwa na kutii neno la Mungu au kutotii neno la Mungu. Na kutotii neno la Mungu ndio dhambi yenyewe.
Mzee Bibilia haitaki kila mtu afute akilizake bali tufuate maandiko fanya mjadala nda ndacha sasa kama ni mapokei inakuwaje wote tunafuta Bibilia na iwe na maapokeo tofauti apo ujua lazima kuna wengine wanatumia maandiko vibaya
Amekubari kuwa amri ya 4 ni halali kusari jumamosi ubarikiwe hananja Mambo ya kurusha jiwe yameandikwa kitabu gani acha porojo pastor Amri ziko 10 sio 9 hananja .
Porojo ni kufuata dini ilioasisiwa juu ya msingi wa uongo wa siku ya mwisho ya,dunia. Shetani ni Baba wauongo wote. 1Wakorintho 15:14 Kutoka 12:16:Unabii wa Siku ya kwanza ya juma. Mathayo 18:18. Jinsi unabii wa siku ya kwanza ya juma ulivyofunguliwa katika Agano Jipya. Wasaidie na wenzako kuwaeleza haya msiangamizwe na Helen White kwa kukosa maarifa Hosea 4:6a.
Wakristo wanaabudu masanamu,waislam wanamwabu mwenyezi Mungu mmoja tu na wanamwabudu kila siku siyo siku moja tu,lazima uelewe we katili uliosema waislam wanaabudu majini pumbavuuuu
Mtangazaji nakurekebisha: katika uislam hakuna siku maalum yakuabudu.tunaabudu sku zote. Ijumaa ni siku ya waislam kukusanyika pamoja na kukumbushwa au kufahamishwa mambo mbalimbali ya dini na jamii.
siku sio siku tu Bali kunasiku imebarikiwa kuliko zote na ni jumanozi uwezi jiwekea siku kwani ni yako mungu aeshimiwe na Sheria zifuatwe ,huyu mchungaji tunamtaka Kwa mdhalo 19-16yesu anasema ukitaka kuenda binguni lazima ushike amri,na yakobo 2,10 ukivunja Moja umezivunja zote
Hapana umekosea mwanadam hatakiwi kufuata yakwake bali mwanadam afuate alichosema mungu kama mwanadam anafuata cha kwake smpotea na ibade yake ni bure mathayo 15:8_9
Mzee unatudanganya Yesu alivyozsliwa dunia haikua na lugha moja lugha zilivurugwa toka pale kwenye ujenzi wa mnara wa babeli Wewe una stori nyingi tu zingine za kufikiria tu sisi hatuna mtazamo wetu ila tuna mtazamo wa biblia hatutumii akili zetu
Wasabato wanaikosea sana siku ya sabato waliambiwa na Mungu wapumzike baada ya kufanya kazi siku sita wasabato hawapumziki ila wanakwenda kusali kwenye nyumba za ibada , hapo upumziki umeabudu ,
@@PaulChambala . Mzee tofautisha kati ya kaz zako na kaz ya Mungu ,siku zote huwez kukusanyika kwa ajl ya ibada ,sasa swal kwako ni siku ipi n ya ibada na sio kaz ?
Alafu ukisoma mathayo 5 yote , utagundua Yesu kuna baadhi ya amri alikuwa anaziondoa kistyle yake , Sasa kama torati imesema jino kwa jino , yeye Yesu anakuja kutuambia mtu akikupiga shavu ili mgeusie na shavu lingine akupige maana yake nini kama sio kuondoa hiyo amri ya jino kwa jino ki style , Ndo maana. Ukisoma agano la kale lote na jipya lote , utagundua MUNGU kuna namna aliwachukulia watu wa kale wa agano la kale na kuna namna pia aliwachukulia watu wa agano jipya ,. Ila ukibaki na kukariri maandiko bila kielewa ndo unashikilia nira ngumu ya kale ,. Ndo maana Yesu alisema nira yake ni laini
BABA USIWE NA KUKUMBUSHIA KILA WAKATI KUHUSU MTOTO WAKO KUAWA ,BASI TU SAMEHE RUHUSU MUNGU MPE NAFASI YAKE MUNGU ,WEWE SIYO KESI YAKO TENA HIYO ..UKIMUACHIA MUNGU INAKUWA KESI YA MUNGU NA WALIO UA MTOTO WAKO
Katika watu ambao ninaamini wanapotea kabisa ni wasabato ni wabishi na hapa nashangaa zaidi kumbe nap wanatukana km wale wa mudi, na kumbe hata biblia hawasomi, eti wanaomba andiko lisemalo usiende mbali zaidi ya kurusha jiwe, Yani wanakataa hakuna neno Hilo, eti wanahifadhi sabato, na wanaenda mbinguni eti, enyi wasabato jueni hakuna mbingu ya wajinga,wabishi, to Biblia inasema hakuna atakaye hesabiwa haki kwa matendo ya Sheria.
@@marinemodest1798 Na amri ya Mungu hajazungumzia ibada ila amesema kuhusu pumziko lakini kuhusu ibada nakubaliana na wewe kuwa ni siku na saa yoyote ila Pumziko lililoagizwa na Mungu ni siku ya sabato(jumamosi)
Constantine alitangaza jumapili wakati huo mitume wa Yesu walishaanza kuumega makate siku ya kwanza ya juma huku wakisakamwa na wayaudi wazee wa sabato, kwa hiyo ukisema costantino unakosea
Ukweli anasema bwana wetu YESU NDIYE BWANA wa sabato
Andiko?
Tunawahitaji sana wazee km hawa Mungu atujaalie neema hyo ishi sana na hekima nyingi mzee ananja.
JAMANI AMRI ZIPO 10 WATU WAMEKAMATA SABATO TU KUJIFARIJI ILA WANAZINI WAO, WANATAMANI WAKE ZA WATU WAO ILA SABATO AAAAAAH
Asa Kama Kuna mtu kazini japo anatunza sabato ndo wengine tuache amri ya Mungu kisa wanaoshika wanazini?
UBARIKIWE HANANJA,KWA ELIMU YA JUU,VICHWA MBOVU HAWEZI KUELEWA. Marko2:28.
Naamini majibu yako ndio akili yako ya mwisho kufikiria
Ukiulizwa swali jibu kwa kujenga hoja yenye ushahidi wa maandiko
WASABATO WANAONGOZA KUA NA ROHO MBAYA TANZANIA FANYENI UTAFTI WAO WAMESHIKA SKU TU SIO MENNGINE WANAIJUA AMRI MOJA TU
Mzee Hananja umegusa pabaya.
Tafuta masomo mengine.
Achana na somo la Sabato
Acha mtazamo wa kidini
Mzee yuko sahihi mnaondena kwa udini ndy mnaletaga sana matatizo
Yes mwenyewe alipumzika siku ya Sabato, mitume hata baada ya ufufuo waliendelea kutunza Sabato wewe Nani alikuruhusu kubadili. Mathayo 5:17 Yesu alisema alitabadilishwa
Hujaelewa wapi mbona kasema ushahidi wa maandiko
Nakuelewa sana mzee rich billionaire
Umekwama pole acha kujitetea usijifanye kumsahihisha Mungu
Siku zote ni sawa Warumi 14:5 jibu Hilo hapo usitoke povu Kwa dhehebu lako kwenye ukristo hakuna sabato siku zote ni ibada
Acha dhambi
Iabudu siku
@@aquinomsigwa6998 hachana na kuabudu siku mfate Yesu uspotee ndiomaana mlimtuumu Bwana Yesu heti amevunja sabato kwaiyo tukisema katika ukristo hakuna wasabato tupo sawa tokeni huko Kwa wapinga kristo
@@prochesernest5439 kuabudu siku tuu kuacha dhambi Aaaah
Watu wanazingatia siku lakini ndani yao hawana wokovu ni kubishana tu
Mungu awabariki
Mchungaji unasema tunatakiwa tujue jambo moja tu,la kutubu dhambi . kwani dhambi ni nini? Najua dhambi ni uasi wa sheria 10 za Mungu kwenye sheria hizo IPO na sabato .kwanini useme kuiba ni dhambi.
Pole sana mzee somo gumu kwako
Naomba muweke mdahalo na mwalimu Ndacha sio unajificha kwa kichaka
Huyo ndacha mwenyewe chizi Yani wakristo wote wamechanganyikiwa waisilamu wanaabudu kilasiku acheni kudanyanyana mbona mnaipenda uwongo sana kwani hamtuoni tukianda msikitini kilasiku yanikilakitu kweni niubishitu kitu mnakiona pia lakini bado tumtabusha yesu anasema yeye nimwana wa a damu nyinyi mnasema hapana wewe nimwana wa mungu kazi mnayo
Ndacha ndio unae mwamin sana kwamba yeye ndio anajua kula k2 acha izo ww
Ndasha chiZi
Ndacha anaijua kuran kwa msaada wa majini wema.
@@zaidiissa3714 kasome vizuri bibilia
Swala la sabato kwenye Agano jipya ni tofauti na Agano la kale,baada ya Yesu kufufuka,mwanadamu hawezi kumpendaza Mungu kwa kufuata siku,Kila wakati ni ibada
WAKOLOSAI 2:18
YOHANA 2:21-22
YEREMIA 31:31-34.
WAEBRANIA 10.
nimekuelewa vizuri na umenisaidia sana natamani na wengine Yesu awafumbue akiri za wapate kuyaelewa na maandiko
Amina
Je, mnayoyasunguza mwayatoa katika maandiko gani? Sabato imeanzia juma la kwanza ya uumbaji. Ni amri aliyoitoa Maulana. Je, tutafuata maelezo yenu au ya Mungu. Mungu alitoa kielelezo tufuate.
Ubarkiwe mchungaji sana Mungu anasikia kila siku ya mungu
pastor asante kwa hekima ya kuelezea mambo magumu kwa namna inayoeleweka zaidi
Wewe potosha wenye hawajui maandiko
Haya twambie wewe unayesoma na kujua neno, mitume walisali sabato ipi na wapi baada ya BWANA kufufuka na kupaa mbinguni
Kabra ya kujua neno LA mungu jifunze kujua tabia za mungu la sivo tutanishana bule alisema usifanye sanamu lakin ktk sanduku la agano Kuna Sanam na nyoka wa Shaba aliagiza tule Kila mnyama mwanzo sula ya Tisa lakin badae akakaza. Kilajambo na wakat tujue kwanza tabia ya mungu.
Watu wangu watapotea kw kukosa maarifa
WE PASTOR WEWE ACHA UONGO UJUE FATA MAANDIKO SIYO UTASHI WAKO PLEASE....
Akili yako ndoimeishia hapo omba uongezewe maalifa na mungu
Amina sana
We nae acha uxhabiki
Kutatokea makrisot wa uwugo
Nakubali Sana mzee wng
Pole mchungaji kwa kupotosha, k2 kama hukijui acha kujiaibisha sabato inaanzia mwanzo hadi ufunuo we utajificha chaka la wap ,ufunuo 14,12
@@KelvinOmbeniMathew Kaka, usidokoe dokoe baadhi ya vifungu na kuvisimamia hivyo tu. Hakikisha unasoma Biblia yoyote, soma pia na WAKOLOSAI 2:16
Ndugu soma Biblia yote.
WAKOLOSAI 2:16
Lakini wengi wa watumishi leo wanashughuka na kuwatia moyo watu hata kama wanaendelea na dhambi
Upo sahihi hananja
Shida huna andiko
Type wewe andiko
Ukifuata maandiko, hakuna aliyekuwepo wkt dunia uumbaji, wala kalenda hazikuwepo, kwa hiyo majina ya siku yametungwa hivi karibuni na siku za mwaka zimekuwa established juzijuzi, hivyo siku yoyote inaweza kuwa siku ya saba, huko nyuma kulikuwa hakuna week wala mwezi, ilikuwa majira tu!
kama unaamin dini zililetwa unapataje Imani kwenye Mungu na dhambi
Somo zuri mch.
Neno la Mungu linasema kuwa kile mtakachobadilisha duniani kitabadilishwa na mbinguni.
Huyu tunamjua kwa comedian zake.
Mchungaji Hananja ni Mgodi unaoishi
Mch NDACHA ,tatizo la hao wahubiri feki ni shule -- Halafu wapo kwa ajili ya kutafuta kubishana --- " Hatuna muda wa kubishana " unaelewa anachosema Mch Hananja,kipokee kitakusaidia,hukielewi,kiache,endelea na msimamo wako --- Mungu ndiyo mhukumu wa haki.
Ndugu, sabato ni jumamosi. Hilo halina ubishi, achana na akina hananja na watumishi wote walio tayari kuusujudia utawala wa kirumi. Na ndio utakuta sikuhizi hakuna nabii wala mchungaji anaewekwa gerezani na kuuwawa kama akina Paul na Sila. Ni kwasababu wamekubali kuongea uongo ili kuufurahisha utawala wa kirumi uliokuja kubadli siku ya sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili.
Siku ni muhimu mno, na ndio sababu Mungu ameagiza watu waikumbuke hio siku na waitakase. Kwanini? Kwa sababu Mungu alijua utatokea utawala utakaowaondoa watu kwenye sabato ya kweli.
Mungu atakuhukumu kwa neno lake lililoandikwa yaani Biblia na wala siyo mawazo ya watu.
Nmchungaji unapenda kutumia maandiko. Lakini umekataa Leo maandiko kabisa. Wasomee mathayi 24 sura nne kuteremka. Tena timotheo Wa pili 4 mstari Wa Kwanza hadi Tano. Lakini Leo umekataa Mada kabisa
@@chillogeorge1383hawa wa zama hizi sio manabii....nabii wa mwisho alikuwa muhammad kwa waislam...na yesu kwa wakristo.
Kutoka 12:15-16 Jumamos na Jumapili sawa
Ni kweli kuhusu UTATU umejibu sawa kabisa Mungu ni mmoja ila kazi zake ndizo zinazomtambulisha katka huo utatu maana mara nyingi Mungu anjitambulisha katika wingi si Bible pekee bali hata Quran
Nimekuelewa sana ila kwa maelezo yoko
uko sawa mchungaji
Hesabu 15:32-36
Mathayo 12:1-21
Wagalatia 2:1-21
Kwasababu ukimpa ndacha maandiko ya Yesu mwenyewe alieponya siku ya sabato atakujibu kwa andiko kuwa Yesu ndo bwana wa sabato ndo maana anamamlaka hayo , na atakuuliza wewe ni Yesu ?, Sasa hayo maandiko hapo juu ukisoma inagisia wanafunzi wa yesu ,. Na yesu alipokuwa ana paa akasema mkawafanye wote kuwa wanafunzi wangu ,.
Kwahiyo wafuasi wa Yesu ni wanafunzi wa yesu ,
Wanaotaka maandiko , sijawahi sikia mchungaji ndacha akagusa yaha maandiko , anajua tuu akiyagusa kwa namna moja au nyingine , anajua mtu akijenga hoja kwa kwa haya maandiko mchungaji mdacha hana cha kujibia haya maandiko labda hayakatae kuwa hayapo kwenye biblia
Mchungaji kumbuka kua ile ni amri af tumia mandiko na si kwamtazamo wako mchungaji af mchungaji kumbuka silaha ya mkristo ni mandiko na Mungu tunamjua kupitia mandiko
Umesaidia wengi sana hasa uliposema wanadamu kitu hasa tunatakiwa ni tumwamini zaidi siyo kumdodosa, wasabato punguzeni ubishi hakuna aliewahi kufa akarudi
Waislamu wanaabudu majini na Allah ni Giza sisi ni Nuru ijumaa ni yao sisi haitihusu
Ni giza kwa lugha gani?
Kafiri ni kafiri tu ndo maaana anaenda chooni na makaratasi,
Hata ukitawaza kwa dawa na kupiga perfume kinyeo chako..bado kitazikwa ardhini.. dini ni imani,usafi wa roho yako ndo muhimu @@ashrafnuru6402
Nakuelewa sana
Acha siasa kwenye bibilia kwahiyo tuachane na sabato
Sasa hapo inabidi ujiulize wakati yesu yupo hai amri na sheria alizitii nyinyi shangwe baada ya kufufuka aingii akilini
Mungu akubali mch hananja
Kwa hivyo yesu anabaki kua mwana na mungu anabaki kua baba yake. Hatuwezi kuwachanganya kua mungu mmoja. Wenye utatu watupe maelezo mazuri ili tuelewe. Tunacho jua ni yesu alikua na uungu wa baba yake lakini sio kwa nafsi. Aliridhi uungu wa baba yake na akampa mamlaka hapa duniani. Lakini anabaki tu kua mwana wa mungu.
😮
Tofauti kati ya watu wa Mungu na wasio watu wa Mungu inabainishwa na kutii neno la Mungu au kutotii neno la Mungu. Na kutotii neno la Mungu ndio dhambi yenyewe.
Huyo anachenga za mwili,na anaelimu ya Dunia na huyo Mungu wake tumbo.
Hakika kuutetea uongo ni ngumu sana.
Yesu ni mwana wa Mungu, Yesu anachanzo na ndio Mzaliwa wa kwanza
Imeandikwa usimukumu mtu Kwa Siku chakula, mwandamo wa mwezi Wala Sabato
Tuewe na imani moja na ubatinzo mmoja ili tuwe na mwili wa yesu
Ubalikiwe mtumishi
Mzee Bibilia haitaki kila mtu afute akilizake bali tufuate maandiko fanya mjadala nda ndacha sasa kama ni mapokei inakuwaje wote tunafuta Bibilia na iwe na maapokeo tofauti apo ujua lazima kuna wengine wanatumia maandiko vibaya
kbs kbs umenena
Na utajuej kama unafuata kilicho sahihi?
@@venancenkoronko9250 mm najuwa maana mm na amini biblia pekee yake
Mchungaji hananja kwa mengine uko sahihi na ndio imani yetu sisi waisilamu na hio iko sawa kabisa
This one is a believer of sun worship(shetani)....
Amekubari kuwa amri ya 4 ni halali kusari jumamosi ubarikiwe hananja Mambo ya kurusha jiwe yameandikwa kitabu gani acha porojo pastor Amri ziko 10 sio 9 hananja .
Porojo ni kufuata dini ilioasisiwa juu ya msingi wa uongo wa siku ya mwisho ya,dunia. Shetani ni Baba wauongo wote.
1Wakorintho 15:14
Kutoka 12:16:Unabii wa Siku ya kwanza ya juma.
Mathayo 18:18. Jinsi unabii wa siku ya kwanza ya juma ulivyofunguliwa katika Agano Jipya. Wasaidie na wenzako kuwaeleza haya msiangamizwe na Helen White kwa kukosa maarifa Hosea 4:6a.
SIKU ZOTE NI SAWA MBELE ZA MUNGU KILA MMOJA AJULIKANE KWA MUNGU ANAYEMWABUDU.
Duh kumbe kuabudu siku ya jumapili nikwa mtazamo wa watu tu?!
Jambo la kufurahisha ni kwamba mada imekua ngumu kwa mzee mpaka jasho linamtoka tu anafuta tu majasho
KWAIYO UMEAMUA KUVUNJA AMRI YA MUNGU? KWA NINI MSIVUNJE AMRI YA 5 YA WAESHIMU BABA NA MAMA ILI SIKU ZAKO ZIPATE KUONGEZEKA.
HACHENI UPOTOSHAJI MZEE
Hakuna amli iliyovunjwa ilabiblia imegawanyika ko jitaidi kumuelewa mzee
Asante kwakutufungua Mungu akubariki
Wakristo wanaabudu masanamu,waislam wanamwabu mwenyezi Mungu mmoja tu na wanamwabudu kila siku siyo siku moja tu,lazima uelewe we katili uliosema waislam wanaabudu majini pumbavuuuu
Yaani mpaka muelewe, someni biblia sana lakini mjue mbingini tutaendakwa matendo yetu.
Kanisa Katolic wanasema Sunday is mark of our authority je Kuna uhusiano gani kati ya siku ya jumapil na ukatoriki?
Huyu mze anatumia ujanjaujanja wa maneno tu, anaikataaje sabato wakati sabato iko kati ya amri kumi za Mungu?
Mtangazaji nakurekebisha: katika uislam hakuna siku maalum yakuabudu.tunaabudu sku zote.
Ijumaa ni siku ya waislam kukusanyika pamoja na kukumbushwa au kufahamishwa mambo mbalimbali ya dini na jamii.
siku sio siku tu Bali kunasiku imebarikiwa kuliko zote na ni jumanozi uwezi jiwekea siku kwani ni yako mungu aeshimiwe na Sheria zifuatwe ,huyu mchungaji tunamtaka Kwa mdhalo 19-16yesu anasema ukitaka kuenda binguni lazima ushike amri,na yakobo 2,10 ukivunja Moja umezivunja zote
Hapana umekosea mwanadam hatakiwi kufuata yakwake bali mwanadam afuate alichosema mungu kama mwanadam anafuata cha kwake smpotea na ibade yake ni bure mathayo 15:8_9
Mzee unatudanganya Yesu alivyozsliwa dunia haikua na lugha moja lugha zilivurugwa toka pale kwenye ujenzi wa mnara wa babeli
Wewe una stori nyingi tu zingine za kufikiria tu sisi hatuna mtazamo wetu ila tuna mtazamo wa biblia hatutumii akili zetu
Mzee umechemka,hiyo amri inasema mungu alistarehe,aliibariki,Sasa mbona unapingana naye,Rudi kwenye maandikoa.
Usimpinge hananja maandiko Inatuambia yesu NDIYE BWANA wa sabato Sasa kila siku ni siku ya MUNGU
Anasema ROHO ni Moja ila utendaji ni tofauti amen amen
Wasabato wamechemka .
@@josykogei7647wasabato wote ni vichwa maji ,
Endelea kuwa mchekeshaji biblia waachie wengine,
Kwa mara ya kwanza naona mzee wetu anapanic 😂, mzee umenikata leo😢
Wasabato wanaikosea sana siku ya sabato waliambiwa na Mungu wapumzike baada ya kufanya kazi siku sita wasabato hawapumziki ila wanakwenda kusali kwenye nyumba za ibada , hapo upumziki umeabudu ,
Kwenda kusali ni kufanya kazi?
Mzee unasoma maandiko nusu nusu , sabato ni siku ya kusanyiko takatifu ndio siku ya kufanya ibaada na sio kazi
Miongon mwawatu hawaelewi niwewe ipo iv Mungu alixema tupumzike kwakaz zetu lakin kwakaz ya Mungu tunapiga
@@PaulChambala . Mzee tofautisha kati ya kaz zako na kaz ya Mungu ,siku zote huwez kukusanyika kwa ajl ya ibada ,sasa swal kwako ni siku ipi n ya ibada na sio kaz ?
kwa kweli unajibu sawasawa
Alafu ukisoma mathayo 5 yote , utagundua Yesu kuna baadhi ya amri alikuwa anaziondoa kistyle yake ,
Sasa kama torati imesema jino kwa jino , yeye Yesu anakuja kutuambia mtu akikupiga shavu ili mgeusie na shavu lingine akupige maana yake nini kama sio kuondoa hiyo amri ya jino kwa jino ki style ,
Ndo maana. Ukisoma agano la kale lote na jipya lote , utagundua MUNGU kuna namna aliwachukulia watu wa kale wa agano la kale na kuna namna pia aliwachukulia watu wa agano jipya ,.
Ila ukibaki na kukariri maandiko bila kielewa ndo unashikilia nira ngumu ya kale ,. Ndo maana Yesu alisema nira yake ni laini
Toa ushahindi wa bibilia mch acha pangang'a
BABA USIWE NA KUKUMBUSHIA KILA WAKATI KUHUSU MTOTO WAKO KUAWA ,BASI TU SAMEHE RUHUSU MUNGU MPE NAFASI YAKE MUNGU ,WEWE SIYO KESI YAKO TENA HIYO ..UKIMUACHIA MUNGU INAKUWA KESI YA MUNGU NA WALIO UA MTOTO WAKO
Katika watu ambao ninaamini wanapotea kabisa ni wasabato ni wabishi na hapa nashangaa zaidi kumbe nap wanatukana km wale wa mudi, na kumbe hata biblia hawasomi, eti wanaomba andiko lisemalo usiende mbali zaidi ya kurusha jiwe, Yani wanakataa hakuna neno Hilo, eti wanahifadhi sabato, na wanaenda mbinguni eti, enyi wasabato jueni hakuna mbingu ya wajinga,wabishi, to Biblia inasema hakuna atakaye hesabiwa haki kwa matendo ya Sheria.
Unatakiwa usaidiwe kidogo tu Kuna mahali hujui mtumishi.
Dah waongo wanatia huruma kweli
Umepoteza wengi baz.
Hivi alieagiza amri ya kukumbuka siku ya Sabato ninani?
Na amri kumi zipo kwaajili ya nani?
Kabisa ibada ni wakati wote na sio jumamosi wala jumapili tuu
@@marinemodest1798 Na amri ya Mungu hajazungumzia ibada ila amesema kuhusu pumziko lakini kuhusu ibada nakubaliana na wewe kuwa ni siku na saa yoyote ila Pumziko lililoagizwa na Mungu ni siku ya sabato(jumamosi)
Naomba mdahalo na mzee huyu waandishi ili mtende haki muiteni na msabato ana kwa ana na hananja ili nitumie biblia tuu kuitetea sabato
Ananja mswahili sana anajibu kiserah sana
😂😂😂 unajificha kwenye shina la karanga wakirsto ndio huwa wanapotezwa na wachungaji acha kupotosha
Constantine alitangaza jumapili wakati huo mitume wa Yesu walishaanza kuumega makate siku ya kwanza ya juma huku wakisakamwa na wayaudi wazee wa sabato, kwa hiyo ukisema costantino unakosea
Wewe acha uongo mungu sio kigeu geu kusema uikumbuke siku ya sabatho
Mchungaji Leo ndo nmeona umepuyangaaa
mzee acha uongo
Kumbe Imebaki kuwa shangwe siku hizi duu!
Mwalimu bibilia si gazette unatafsili jinzi upendavyo
Et siku bora kwako ni ipi siku ya ushindi swali ni maelekezo ya Mungu??
Hoja ni Ukweli uko kwenye neno la Mungu au kwa akili na mawazo ya watu? Watu wa Mungu wanafuata neno la Mungu na wala siyo maneno ya Hananja.