Kuna tofauti kubwa sana kati ya analysis za (hawa watu) huyu jamaa na uhalisia, huyu jamaa anaongea hivi ili apate audience (wasukilizaji/wafuasi) MIMI NA KWAMBIA UKWELI & KWA SABABU SINA VESTED INTEREST (KUNUFAIKA KWA KUPATA WAFUASI). UKITAKA MWANAMKE ATULIE "USIMJALI"
May you continue preaching in heaven Bishop.
Mafunzo mazuri sana.nimekujua ukiwa ushaondoka duniani.nashukuru unaniubiria ukiwa mbinguni
Mungu akuweke mahala pema peponi,amina
Hiyo ni kweli mchungaji
I like your preaching so much thank
Waambie hao wanaume baba!!tume barikiwa saana. Mungu azidi kukuinua
Ubarikiwe mwalimu, na Mungu akujalie Neema Tele. Naomba kuwa miongoni mwa wanafunzi wako ; ikiwezekana .
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu ndoa zetu zinaenda kupona sasa
ubarikiwe Sana mchungaji
Huo ndio Ukweli na Uwazi...nimeipenda hiyo. imekaa vizuri. Ni bora kuambiana ukweli hata kama unauma. Mwanamke usafi bwana.
Truly acknowledged.
Kwakweli mchungaji umenigusa sana ubarikiwe
Barikiwa na mungu mafudisho mazuri
Ooo jmn ooow yani mi ndo nakumbuka shuka kumekucha mi nimefrahia mambo yake kumbe hayupo tena😥😥
Kwa kweli tumepoteza kitu
Amina mtumishi sema tupone
Barikiwa sana mchungaji juu ujumbe ni wa dhamana
Tumebakia na saut jmn r.i.p
Asnte kwa somo mwalimu mungu awe p1 nawe
Ni fundisho zuri...
Ukweli mtupu
Baba umetuachia urithi wa mafundisho RIP
Somo zurii Barikiwa Mchungaji
asante kwa mafundisho mazuri
Somo zuri sana, Ubarikiwe sana mwl
mungu akubariki we baba
Rest in peace mchungaji
Madini
Pumzika kwa Amani mtumishi 😭😭
May the Precious Lord Jesus Christ heal our broken families in JESUS' NAME.
Emen
Thanks lecture may God bless you
Kweli babisa atakujari ukiwa home ila unapokuoa tu niwachache sana umenigusa sana mchungaji mpaka nimetoa chozi.
Mungu akubariki mwalimu
Amina Charlotte, Barikiwa
Nabarikiwa sana na mafundisho haya japo sjaingia katk ndoa
Ah wengine sijui wakoje ukimpenda ndo anataka akuburuze sasa anataka akutawale, hata kukuchukulia bwege!!!!
baba mengi yananigusa moyo wangu unauma sana
Hongera sana
nabarikiwa na mafundisho yako
Wanaume sana wana kibri
Good
E Mungu tupate wapi mtumishi kama huyu
Ukiwa nyumban Manywele yamechakaa utazani erikopita ilitua juu ya kichwa mhh noma wewe
we muhuni tu
Lakini wana ume wengine malaya
REST IN PEACE MAN OF GOD.
Be blessed Pastor Peter mitomingi
Ni mafundisho mazuri barikiwa
Kwamba kadude kadogo hahahah
Sio kweli, tabia zinatofautiana
et uchi wakichaa dude inasmama kha! cyo dude yangu hahahaha
Yes...!
Hizo nondo zimesoma
Kweli kabisa
Fact
amina
Amen
Hata kama ninamawazo unaniburudisha' ila wanaume wengine hata ikimwomba hela ya kusuka atakujibu kusuka kwako wewe nikupe hela
Mumeo
Nimemiss notification za mahubiri yako babangu.rip Dad
Karibu, Tunaweka mambo sawa! Masomo yatarudi - Mch ameacha masomo mengi sana. Mariam
😍
Mh!!!!!
Naomba contact na muhubiri.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya analysis za (hawa watu) huyu jamaa na uhalisia, huyu jamaa anaongea hivi ili apate audience (wasukilizaji/wafuasi) MIMI NA KWAMBIA UKWELI & KWA SABABU SINA VESTED INTEREST (KUNUFAIKA KWA KUPATA WAFUASI). UKITAKA MWANAMKE ATULIE "USIMJALI"
Utafurahi mama yako au mtoto wako akifanyiwa hivo na mwanamme mwengine usipomjali atatafuta wanaomjali
Utakuw wa kuhesabu madem tu kama unapend lazm ujal ww
wew kasandra it's not healthy to smoke expired weed
.hahahaha'😂😂😂😂😂
😂Mungu atusaidie,eti ka dude kenyewe kadogo
😂😂😂😂
Barikiwa sana mchungaji huu ujumbe ni wa dhamana
Kweli kabisa
Be blessed Pastor Peter mitomingi
Barikiwa sana mchungaji huu ujumbe ni wa dhamana