MITIMINGI # 239 UKIONA DALILI HII - USIKURUPUKE KUINGIA KWENYE NDOA (FOCUS)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Kijana anaweza kuwa na Hazina lkn ukipata THE WRONG CHOISE, Zile ndoto, maono, mawazo uliyokuwa nayo yataisha/hayatafika kule ulikotarajia.
Je' Ni nani unaamua kumpa maisha yako? Tambua dalili sahihi za kubaini mke au mume wa kukufaa katika maisha yako.
Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
Nitakukumbuka daima
Thanks so much my teacher,tutor,Coach, your teaching helped me alot .R.I.P Father Mitimingi
Amina Maana hili somo no kwaajili yangu
Umetutoka ila jumbe zako zitaishi daima tutakukumbuka Sana Kuna wakt nashindwa kuamini kwamba hauko nasi Kama bado upo vile miongoni mwetu 😭
barikiwa baba mungu akupe maisha marefu
Ubarikiwe baba
Barikiwa mafunzo yako yanaishi na yataishi daima
asante sana kwa ujumbe
lakini vipindi vinafupishwa sana hatupati mafundisho mazima tumabaki hewani bila kupata utamu wa fundisho
asanteDR. HOPE
Nakukubali mtumishi. Ubarikiwe
Achibaa achibaaa😂😂😂 Ubarikiwe Pastor
Unaua vibe
Nimependa sana mahubir yako mchungaji barikiwa sana mungu akutie nguvu
Ahsante sana Mtumishi nakukubali sana kwa mahubili yako, ahsante kwa ushauri wako hakika yatanisaidia sana katika maisha yajayo ya mke na mme
Yaan mm sijui nisemej najifuza kila iitwapo leo ni mambo meng nilikuwa siyajui kabisa asant mg akubalik san
Mungu akubarik mchungaj
So sad to see sunrise die!!!!...R.I.P. Legend!
I AM highly attracted to your lessons.
Tutakumbuka daima
Your very right keep doing the good job mchungaji.......so that they dont have to go through horrible divorce....that affect children ones life and family too...
I reckon your statement, you must have lots of experience....keep it up.💖
Unajuwa kufundisha mchunfaji
Mungu akubariki sana Mchungaji
Hakika mchungaj maneno yako ni mazuriii mnooo yaan mmooo
So happy! & fun preaching
Vijana wa kiume jitambueni sio mnafuga midevu mnakula kwa baba huo ni uzembe sana umri ukifika ingia mitaani ujitegemee
good
asante mchungaji tunajifunza
Excellent
Ubarikiwe baba Mchungaji,ila napendekeza kuhusu vitabu uviweke kwa soft copy tuweze kununua online
sulemanmadaha TV Amen mpendwa tunashukuru sana kwa feedback tutaifanyia kazi mpendwa
Àsant
ni kweli kabisa
nice
Yani mchungaji tufundishe tupone
yaani nifaraja mno
Daa
Dah
ni ukweli kuna wanawake wakishika mimba wanasumpua sana waume zao na hao kama awaelewi pasi ndio watajua
kweli kabisa
R.i.p
Amen
kweli kabisa semina unafanyia wapi?
nimejifuza.megi
nc
wewe ni mchungaji mwema
hivi walioingia baada ya hayo ulishafundusha watafanyaje sasa
Unfortunately we can't adjust or influence the past. However you can choose to be happy with the choice you made wrongly because after all you must take responsibility of your actions. Change your attitude, change your life.
Aaaaa utajut
Somo,halijaisha,
Pastor unaongea na mimi kabisa mimi mpk sasa Hiv nimeachana naekwasbb kila nikimshaur atoke Ataki Ana miaka 25
Sorry but the advice was wrong (misleading). You don't need a woman to begin a ministry, you only need Jesus Christ. When we bring in today's slogan, *follow your heart* he'd have followed the leadership of the holy spirit in his heart.
Excellent
Nice
Amen
uko sawa kaka mafundisho yako ysafi kabisa