Asante kwa hii shuhuda,nilikua na hii shida ya kuota na paa ju saingine nikiwa kwetu shida nikiwidwa na adui akinifwata na paa namushinda ama naruka mti mwingine kwa mwingine nikifwatwa na adui kuna siku niliota naombea mtoto akapona nimengi but nashukuru Mungu kwa ubali amenitoa na kuleta hii shuhuda
Wachungaji wawe makini na huyo Pepo maltadela,wa unabii wa uongo ktk kanisa,na hao manabii wanaotoa unabii ktk kanisa wajaribiwe na hizo roho za unabii,na kisha waombewe wasije wakaligawa kanisa la BWANA YESU KRISTO,
Cjachelewa jamn hi channel cwez kuhama at iweje😢😢 nkizembeaa kuutafuta uso wa BWANA Kila napockiliza naanza upyaaa kuutafuta uso wa BWANA YESU..uku nikijipa moyo

Amina Amina MUNGU atukuzwe milele Asante kwa ujumbe ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo
Wachungaji wawe makini na huyo Pepo maltadela,wa unabii wa uongo ktk kanisa,na hao manabii wanaotoa unabii ktk kanisa wajaribiwe na hizo roho za unabii,na kisha waombewe wasije wakaligawa kanisa la BWANA YESU KRISTO,
Tukazane kukaa karibu na BWANA YESU JAMANI HII DUNIA SIO YETU KABISAAAA, nakataaaa kufa na shetani motoni
Amen mungu mbere 🙏
Aminaa sana 😊
God bless you
Madam plzzzzz YESU akutie nguvu usichelew kutuma part 2 au mwendelezo .nawapenda wote blessed
Amen
Itatumwa mda Si mrefu
Mungu ni mwema
Amina kwa ushuhuda
Ubarikiwe sana mtumishi w Mungu
Nimeogopa sana😭
Lotion ni mbaya
Amen
AMEN AMEN 🙏 🙌 PART 2 TUNASUBILI USHUHUDA MZURI AMEN 🙏
Soon
Cjachelewa jamn hi channel cwez kuhama at iweje😢😢 nkizembeaa kuutafuta uso wa BWANA Kila napockiliza naanza upyaaa kuutafuta uso wa BWANA YESU..uku nikijipa moyo
Amen amen Mungu akubariki
Amen