Upo sahihi kabisa. Wauaji hao Wana hatia ya kujibu mbele ya kiti cha haki siku zao zikifika. Ingawa hata wao Kwa wao wanauana ikiwa hawajatimiza masharti wanayopeana. Yaani wanaishi Maisha yasiyo na maana kabisa. Ni kuua , kutesa na kula nyama za watu. Huku nao wakijua watauawa na kuliwa nyama pia. Ni upuuzi kweli
I sure like davistar. So, so competent in his work. I so Love the way you ask questions for more understanding
Kazi nzuri Mr davistor. Nrb Kenya
Jina tu pekeyake inatosha😄😄 Msukule 😳😳ngoja nisikie kwanza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkorofiiii we
Hapo wana nzengo mie sina mbavu uwiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Kumbukumbu la Torati 34:5
Basi Musa, mtumishi wa BWANA, akafa huko, katika nchi ya Moabu, kwa neno la BWANA.
Aiseee jitahidi kumuuliza maswali maana tutamaliza muda si mrefu iwe ep moja tu 😆😆 Baba asante kwa story
Asilimia 90 ya vifo hapa duniani ni vifo vya kichawi.
Upo sahihi kabisa. Wauaji hao Wana hatia ya kujibu mbele ya kiti cha haki siku zao zikifika. Ingawa hata wao Kwa wao wanauana ikiwa hawajatimiza masharti wanayopeana. Yaani wanaishi Maisha yasiyo na maana kabisa. Ni kuua , kutesa na kula nyama za watu. Huku nao wakijua watauawa na kuliwa nyama pia. Ni upuuzi kweli
Kweli kabisa, yaani mimi pia yalinikuta hayo ila Mungu akaninusuru. Dah wachawi watafika motoni wamechoka sana
@@fatmahchambo3131 Nawe ulikufa kichawi na kurudishwa?
Lete namba yako ya simu nikuunge na Davistar utupe stori aisee
@@wazomyakinifu2301 dah hapana siwezi kuongea hadhani kama hivi
@@fatmahchambo3131 Duhh. Pole sana Kwa kupitia janga hilo
Kahunda the place I grew up maeneo nayafahamu
Ukisikia msukuma og ndo huyo sasa
Asante Davista mata
Bado hajakaa sawa toka 1998 aiseee wachawi watu wabaya sana
Duh Mr dm ckujua Kama utakuwepo geita ningekuja kukuona kusalimia Ila nw nmeshaondoka geita npo mwnz
Nyang'kumbu near Kalangalala sec, my school enzi hizo!
One
Ni hatari sana duu!!!
Nipo geita hapa stori yangu ni fupi twaweza onana nikatema madini niliyonayo davista
Pamoja saana dm ulipo nami nipo💪
Nipo geita devistsr naomba tuonane
Msimuliaji huyo usipomuongoza Kwa maswali stori yake inaweza Isha ndani ya sekunde moja tu
🤣
Hahaaaaaaaaaaaaaaaa ngoja nimsikilize na mm
🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂
M
Maisome napafaham
Aisee Kiswahili chake kinaniacha njiani sijui kwa sbb huyu mzee alitoka na A ya Kiswahili shule.. mm nilitoka na 0 ya Kiswahili shule 😳
Itabidi nikuone davistar mi nipo geita msalalodi
The announcement about the book needs to be shortened... it's too long and annoying
😝😝😝😝😝🤣🤣🤣
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
sasa unawafundisha watu ujasusi ama mnapeleka wapi tz ajili ya pesa
Ukiwa nje ya Tanzania je? Unakipataje?
Sumbolaga eyo wimanije mu use yeneye ya makoye....!
Davista Kama Bado upo Geita tukualike chakula
Ukweli umweka mtu huru uliolew ni saw
rama
Ina maana we Davister! Hujawahi kuona mwanaume anaolewa na mwanamke?
Mie sijawahi. Nilidhani wanaume wanao tu
yaan wachawi sio watu wazuri
hawafaii hasaa
Kabisa
Wanazengo ndo wananchi ama..??
Kila akisema wana nzengo mie sina mbavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani "wana nzengo" maana yake nini jamani ???
Wana kijiji
@@estermahenge5972 ooh ok, dah asante ndugu yangu...mie nilikua sielewi maana yake
Samahan naomba kuuliza hv mtu akichukuliwa msukule anaweza kufa tena Mara ya pili huko aliko?
Ukichukuliwa msukule haujafa bado mpaka siku ile Mungu aliyopanga ndo utakufa
Wasukuma mwanaume anaolewa kweli
😳
Nipo geita devistsr naomba tuonane