Part 1_USHUHUDA WA ALIYEKUWA NA PhD YA UCHAWI KUTOKA CHUO CHA GAMBOSHI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
- JIUNGE NA MAGROUP YETU YA WASAP KAMA UNGEPENDA KUWA MCHANGIAJI WA KILA MWEZI KAMA IFUATAVYO:-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV
Barikiwa Sana Jactan kupiitia shuhuda hizi zimenibadilisha Sana 🙏 YESU ndyo kimbilio la maisha yetu amina
Amen
Ungo ndio nini aki?
Mtumish Jaktani Mungu akubarik sana Hizi shuhuda zinatuimarisha sana kiroho unajua walokole huwa tunajiona wakawaida sana kumbe tunatisha kwenye ulimwengu Wa Roho
Mtumishi Mungu akulinde
Aminaa, bwana Mungu atukuzwe Sanaa.
Anaonekana mtumishi kweli, mambo ya uganga alikuwa huko akuje kutoa ushuhuda watu wamwamini mungu.
Dunia njia aisee MUNGU anazidi kuonyesha ukuu wake
.amina
Kuna kitu kinanipa tabu sana, shetana Ana namna anakufanya wewe ujiona ndio mkuu, shuhud nyang wanasem mm nilikua wa kwanza, au wa pil au wa tatu kwa io shetan anakufany ujione your the best😊
Ushuhuda mzuri sana.
Mbarikiwe wote. Bwana ni mwema.
Part 2🤔 hakika mungu yupo
Very powerful testimony...Mwanzo 22:17
Mungu nimwemaaa kwetuu uchawi uckie tu tunamwitaji Yesu
Kabsa yani
Amen&Amen, YESU KRISTO NDIYE NGAO YETU MILELE NA MILELE, AMINA
asante Mungu wetu utupiganiae
Thank you Jesus kw neema yako
Mungu nimkubwa kwakweli
Asante San mungu akubarik
Mungu akubariki mtumishi jacktan kwa kazi nzuri unayo yifanya hakika mimi siko the same ila kawimbo ka back ground hako kaendeleye kwenye shuhuda zote maana kanachangia kusisimua
Amen
Hallelujah Yesu upewe sifa uinuliwe Baba hakuna kama wewe
Ubarikiwe broooih
Glory to Jesus Christ alikirimiwa jina lipitalo majina yote amen
Kuokoka Ni nguvu ya MUNGU
Siku moja uende mpaka gamboshi tuone hiyo sehemu.. Naisikia Sana.
Hiyo sehemu ipo na ni mji mzuri mchana pametulia tu wala huwezi jua ila usiku wenyeji wengi wachawi..ni kweli
Mwendelezo jacktan tuko nyuma yako mtumishi
Mungu ni mwema
Namimi nina ushuhuda,mimi ni mch ila nilikuwa mchawi nafamilia yangu yote.ukinihitaji nikupe ushuhuda nitafute
Nakutaftaje ndugu bila mawasiliano.Kama una Ushuhuda tutafte kwa namba 0784074462
Mmh kumbe nilikuwa nachelewa kuokoka asante yesu kwa kuniokoa.
Huyu jamaa uliomponza ni utafiti wa wachawi
Amen jina la Yesu liinuliwe
Ameeeen! Hakika YESU Ni Moto ulaoo🔥🔥🔥🔥
Tunaishi kwa neema yako Bwana turemu
Shuhuda zinanijenga kiroho
Okoka leo
nakumbuka hiyo siku mt george umekuja kutoa ushuhuda kanisani FRIENDS OF GOD mkolani MWANZA!
nakumbuka ulisema ulienda kuwanga kwa mkristo mmoja ukiwa unataka kuingia kwa kutumia makalio ulipigwa kibao na Yesu mpk ukajisaidia na ukasema ukikuta kinyesi nyumbani kwako elewa hao wachawi wamekiacha kwa sababu ya kipigo kikali
😅😅😅😅
😄😄😄😄😄🙏🙏
Jacktan naomba namba ya mtumish huyo
Mungu ni mkuu sana,ana nguvu kupita nguvu zote ni muweza juu ya yote,watu wa Mungu tunalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya Imani, Mungu anatupenda sana,Asante Yesu kwa damu yako! Mungu akubariki kwa ushuhuda unaotuhahakikishia kiwango cha ulinzi wake juu ya watoto wake wasiweze kuguswa na wachawi
Duh inamaana kumbe iko hivi Mimi nilikuwa kwenye maombi ndani ya nyumba yangu na baada ya maombi nilitoka nje nikaona kinyesi mlangoni Ila sikujua maana yake Uinuliwe Yesu
Kamtaja magakale alikuwa hatari sana naye anamuhubiri YESU.
Anasema uchawi wote wa nigeria ulitoka gambushi.
Dunia inamambo sana
Ingekuwa TB JOSHUA UNGEITAPIKA HARAKA SANA.
Kisa kizuri mno na chenye mafunzo ndani yake...
Wewe ndo ulikuwa huelewi bibilua. UGONJWA WOWOTE UNAOPONYWA NA WATU WA MUNGU, NI ULE AMBAO UMEUPATA KWA NJIA YA SHETANI NA MIJUMBE YAKE. NA MAMBO MENGINE YOOTE YANAYO TENGENEZWA KUPITIA NGUVU YA SHETANI.
Part 2
Jesus
Kuokoka Ni lazima
Jaamani mwendelezooooooooo🙏🙏🙏
Kubwa Ni kuokoka tu
Ningependa kujua ungo ndio nini?
Natafuta part 2na 3
ALIYEKUWA NA PhD YA UCHAWI KUTOKA GAMBOSHI: th-cam.com/play/PLXTmPgeqbJ0kRc-ve-UzaWcdsSsUucOXt.html
. good
Ungo ndio nini??pastor