DR. SULLE:EPISODE YA 3 || MGOGORO WA PALESTINE NA ISRAEL || NANI MWENYE HAKI ZAIDI KATI YAO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 มิ.ย. 2021
  • #DrSulle #Zvponlinetv #Tabora

ความคิดเห็น • 416

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics 8 หลายเดือนก่อน +13

    Hii historia nimeifatilia leo kuanzia part 1 part 2 mpaka hii part 3 aissssseeee Allah akufanyie wepesi kwa kweli.

    • @raphaeloloo9641
      @raphaeloloo9641 8 หลายเดือนก่อน

      Mm ndio namaliza part 3

  • @animalchannel296
    @animalchannel296 3 ปีที่แล้ว +8

    Dr sule nakupenda kwaajili ya Allah

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 3 ปีที่แล้ว +7

    Mwamba dr sule,shekh mwenye upeo mkubwa sna

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @kibeginiblue7188
      @kibeginiblue7188 3 ปีที่แล้ว

      @@zvpOnlineTv historia bado asome vizuri inampiga chenga

  • @user-ep7we8br6r
    @user-ep7we8br6r 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda kwa ajili ya m/ mungu Allah Akbar napenda San darsa zko

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Dr.Sule

  • @mohamedkatei8753
    @mohamedkatei8753 3 ปีที่แล้ว +9

    Tafadhali hugo jamaa ambae kuzungumza nyumba ya kupata satisfy aharibu mawaidha

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Inshaallah tutamjuza apunguze

    • @Abdul-rn5zj
      @Abdul-rn5zj 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @sadikadam3115
    @sadikadam3115 3 ปีที่แล้ว +12

    Mashaallah, shukrani sana 🙏.. Ila huyo anaeitikia anakera sana! Angekaa kimya tu bwana

    • @bakarinyamawi6213
      @bakarinyamawi6213 3 ปีที่แล้ว +2

      kuitikia ina paswa lkn si Kwa sauti ikakera watu

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @vijubalanchii5193
      @vijubalanchii5193 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaee

    • @sadikadam3115
      @sadikadam3115 3 ปีที่แล้ว +3

      @@vijubalanchii5193 yah, anazingua sana

    • @Elmago966
      @Elmago966 ปีที่แล้ว +1

      Iwapo ungejua thawabu huyo mwenye kukukera anapata hungesema hivyoo subhannallah

  • @legrandmsangi8405
    @legrandmsangi8405 8 หลายเดือนก่อน

    Mwenyez Mungu akulinde Dr sule. Tunakupenda kw ajili ya Allah. Allah akuzidishie kheri nyingi, uendelee kutuelimisha walimwengu

  • @hawababy120
    @hawababy120 8 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akulipe docter Sule tumekuja fata mada baada yakuskia hio vita ili tujue nini sababu.🇧🇮

  • @winfordmwangonda5375
    @winfordmwangonda5375 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nakutunuku Profesa, very deep and analytical narration of Palestine vs. Israel conflict.

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah doct sule mungu akulipe kila la kher

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah Dr,Sule Allah akupe kheir kwa kutuelimisha shekh

  • @mohamedikisimikwe2477
    @mohamedikisimikwe2477 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah Dr sule naandika nikiwa nabubujikwa na machozi kwa namna nnavyofatilia crip zako,nawahurumia sana waliofungwa kwa fikra, Mashaallah Allah akuhifadhi leo hata kesho kiama, kwakweli natembea kifu mbele na najivunia kua muislam na Mashaallah kupitia crip zako Dr watu wanasilim kwa tunavyowasikilizisha na kufanyia reference kwenye biblia, hasa kile kisa cha mikono ya waandishi, ikaifanya torati ionekane kua uongo, dah eti yakobo anamlazimisha Mungu ambariki asipombariki hatomwachia na binadam unawezaje kumkaba Mungu, kua mbayuwayu akili za kuambiwa changanya na zako, Mashaallah Dr

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @ismailjohn6108
      @ismailjohn6108 ปีที่แล้ว

      Nipe link ya hii Crip ndgu yangu

    • @richardmkereti5436
      @richardmkereti5436 9 หลายเดือนก่อน

      Mbona ya 4 sijaiona

    • @awadhisarai4331
      @awadhisarai4331 9 หลายเดือนก่อน

      Ìpo tafuta uraipata

  • @rajabuthabiti4302
    @rajabuthabiti4302 8 หลายเดือนก่อน +1

    Leo nimeelew sheikh

  • @josephgithehu126
    @josephgithehu126 7 หลายเดือนก่อน

    Great speaker in 21 century

    • @ABDIKASIM-qe4lc
      @ABDIKASIM-qe4lc 7 หลายเดือนก่อน

      Tupemadini shehe tufunguke

  • @zafaranimrisho2111
    @zafaranimrisho2111 ปีที่แล้ว +3

    ALLAH akulipe kheri duniani na akhera zaidi

  • @frankub8107
    @frankub8107 9 หลายเดือนก่อน +4

    Manshaallah ❤️ from MALAWI 🇲🇼 🏠 Burundi

  • @danielchaulema1670
    @danielchaulema1670 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe una elimu kubwa barikiwa

  • @yusufseifu4967
    @yusufseifu4967 ปีที่แล้ว +3

    Shukran jazla sheikh Alhaj DOCTOR SULE

  • @mrsab303
    @mrsab303 8 หลายเดือนก่อน +3

    MashaAllah MashaAllah ❤❤❤❤❤

  • @vedastusngaiza5960
    @vedastusngaiza5960 ปีที่แล้ว +8

    Thanks for your information.Im a Christian I didn't have this knowledge

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 9 หลายเดือนก่อน +2

      Karibu katika Uislamu ili upate kujuwa Kwa kina kweli ya mambo ambayo yamefichwa na Imani nyingine Kwa makusudi maalum. Uislamu ndo dini pekee inayofundisha ukweli wa mambo pa si na hiyana(dhulima) yoyote.🙏🙏🙏☝️🕌♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

    • @esromkanubo815
      @esromkanubo815 8 หลายเดือนก่อน

      Unakubali upotoahaji huo

  • @jumachawinga8147
    @jumachawinga8147 ปีที่แล้ว +2

    mashallah ALLAH akupe kila lilio la kheri Allahamdulillah kuwa muisilam

  • @abeidmsimange7840
    @abeidmsimange7840 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakika wewe niwakujivunia mungu akufanyie wepesi

  • @yusuphjohn42
    @yusuphjohn42 8 หลายเดือนก่อน

    Sule mungu akubariki zaidi

  • @nurudinehamimu5658
    @nurudinehamimu5658 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashalla
    Alla akulipe kiralakheri Dr sule.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @eastafricapro5162
    @eastafricapro5162 3 ปีที่แล้ว +3

    Kuna jamaa tangu eps 2 sauti yke yasikika!Anatatiza masikio yetu sana!!Maneno yke MashaAllah lakin apunguze sauti

  • @user-no6sg5vc5z
    @user-no6sg5vc5z 8 หลายเดือนก่อน

    Mwenyez mungu akaendelee kukubariki kwa elimu yako.

  • @hawahamis4176
    @hawahamis4176 8 หลายเดือนก่อน

    Jazaak ALLAHU khayr shekh ALLAH akuhifadhi

  • @jisrainomwa4015
    @jisrainomwa4015 ปีที่แล้ว +1

    Muongo wayahud Dr

  • @hashakatv8618
    @hashakatv8618 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah sheikh shukran sana

    • @AbdulilatifuSaidi-jm5lc
      @AbdulilatifuSaidi-jm5lc 8 หลายเดือนก่อน

      Tuambie kweli sule na mola akulipe kila la kheri kwa juhudi ya kufikisha elimu kwa umma

  • @saidmraja8424
    @saidmraja8424 8 หลายเดือนก่อน

    Jazaka allahu kheiri sule

  • @mohammedopetu2745
    @mohammedopetu2745 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @user-ld9xx1gi9q
    @user-ld9xx1gi9q 8 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah ❤

  • @salmasalim3525
    @salmasalim3525 8 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah Allah akuhifadhi

  • @kassimbilali5779
    @kassimbilali5779 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah...!!!

  • @FelisterMunissy
    @FelisterMunissy 8 หลายเดือนก่อน

    Mmepata la kusema lile taifa ni la mungu acha maneno mengih

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @DaressalaamTv-rb2io
    @DaressalaamTv-rb2io 8 หลายเดือนก่อน

    Wasabato ndio dini ya kwanza ameanzisha Mungu na kuhusu mjadala shehe mazinge alishindwa na wasabato na wewe sidhani kama uko vizuri kumzidi shehe mazinge
    Kutoka 20
    8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
    9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
    10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.

  • @azizahabdol2687
    @azizahabdol2687 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran maana nilikuwa naisubiri Kwa hamu

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @zubedaalice8172
    @zubedaalice8172 8 หลายเดือนก่อน +1

    Lile jumba linaitwa Dome of the Rock

  • @mohamedkombo3851
    @mohamedkombo3851 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah

  • @azizsaleh9402
    @azizsaleh9402 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah dr.

  • @user-hu3sc4kg1f
    @user-hu3sc4kg1f 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah tabarika allah allah awasaidie amiin

  • @lalaslove7831
    @lalaslove7831 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Dr sule

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 8 หลายเดือนก่อน

    Jazak Allahu feek sheikh wetu dr sule

  • @shahiduabed6097
    @shahiduabed6097 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaalah ubarikiwe.

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah

  • @brisketkidari4856
    @brisketkidari4856 3 ปีที่แล้ว +2

    asante mpaka tunasahau kimefikia wap

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @user-ps7kv7lp4m
    @user-ps7kv7lp4m 9 หลายเดือนก่อน

    Shekh we dokta mashaalah

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 8 หลายเดือนก่อน

    From 🇧🇮mashaallah

  • @abdallahassan2983
    @abdallahassan2983 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen 🤲🏽

  • @ismaelramazani1982
    @ismaelramazani1982 2 ปีที่แล้ว

    Powa Sana kabisa

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 8 หลายเดือนก่อน

    The Head master Dr sule

  • @jisrainomwa4015
    @jisrainomwa4015 ปีที่แล้ว

    Muongo Dr wayahud awaabudu ndama wanamwabudu Mungu mmoja

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 9 หลายเดือนก่อน

      Lile sanamu la ndama mayahudi walilolitengeneza wakaliabudia pindi Mussa alipoenda kuchukua amri kumi za Mungu liikuwa nani?!

  • @africanentertainer3252
    @africanentertainer3252 3 ปีที่แล้ว +2

    Unajua sana shk,
    Hivi Huyu dr sule( Huyu u doctor wake ni degree ao la) mwenye kujua anambie

    • @jembebkacm2
      @jembebkacm2 8 หลายเดือนก่อน

      Degree ya mambo ya afya. Na aliishawahi kufanyia kazi hospitali ya Serikali.

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 9 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 8 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah Amiiin.

  • @user-em6zg9mv6i
    @user-em6zg9mv6i 8 หลายเดือนก่อน

    Maaashaaallah, lakani Shekh usiwe unaonyesha ivo vidole viwili🤟

    • @Abdul-rn5zj
      @Abdul-rn5zj 8 หลายเดือนก่อน

      vina nn

  • @user-ep7we8br6r
    @user-ep7we8br6r 8 หลายเดือนก่อน

    Asalaam alaykum sheikh wangu mashaalah Allah akupe Kila lenye kher na afya njema

  • @ameenamohammed4413
    @ameenamohammed4413 8 หลายเดือนก่อน

    mashaaallah

  • @Abdul-rn5zj
    @Abdul-rn5zj 8 หลายเดือนก่อน

    mashaalwa

  • @user-rg8uf9no1y
    @user-rg8uf9no1y 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo ndi tutajua Mungu wa kweli ni yupi, kati ya Mungu wa israel na palestina...

  • @patrickmsuguri
    @patrickmsuguri 8 หลายเดือนก่อน

    Tabora imejaa historia nyingi

  • @fatmamsindi4612
    @fatmamsindi4612 8 หลายเดือนก่อน

    .Maashaallaah

  • @DaressalaamTv-rb2io
    @DaressalaamTv-rb2io 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna sehemu upo kweli na kuna sehemu haupo sahihi Musa haabudu ndama hapo umekosea

    • @AllySully
      @AllySully 8 หลายเดือนก่อน

      Hakusema mussa ana abudu ndama sikiliza vizur

  • @danielchaulema1670
    @danielchaulema1670 8 หลายเดือนก่อน

    Mm nimkristo naitwa Daniel ila nakubarisana mafundisho Yakonakufuatiliasanaunafundisha mwanadamu anatakiwa aweje mbele za mwenyezi mungu nambele zabinadamu wenzie pia hunamafundisho ya ubaguzi was kidini

  • @hajiorbitoil9880
    @hajiorbitoil9880 3 ปีที่แล้ว +1

    Mdahalo ujqa uwepo dr sule tunakuomba

  • @umwildaan6002
    @umwildaan6002 8 หลายเดือนก่อน

  • @hizzasheshe3209
    @hizzasheshe3209 3 หลายเดือนก่อน

    Shekhe sule muogope molawako lejesha amali zawatu ulizo kula kwanja isikua ya haki

  • @jamesnchege3582
    @jamesnchege3582 8 หลายเดือนก่อน

    Siyo kweli kwamba waliuza. Ardhi wanaporwa kwa mabavu ili wakose sifa ya kuwepo Gaza na Ukingo wa Magharibi.

  • @raheemchamakh2962
    @raheemchamakh2962 3 ปีที่แล้ว +3

    Kaka huyo anayetikia kila mara anaharibu Sana mawaidha kiukweli jitahidi Mara nyingi isijitokeze

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Inshaallah

    • @AssinaMsafiri-ud5so
      @AssinaMsafiri-ud5so 8 หลายเดือนก่อน

      Haja haribu chochote nilazima aitikie panapo stahili kuitikia Jina la mtume Lazima lishimdikizwe na neno fulani Jina Allah hivo hivo hata nama nabii pia

  • @famitoissa9782
    @famitoissa9782 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli

  • @sapricatermaregeri6571
    @sapricatermaregeri6571 9 หลายเดือนก่อน

    Mpigwe sanatu

  • @humoudally9981
    @humoudally9981 2 ปีที่แล้ว

    dokata uyo alokaa mstar wa mbele unamkosha sana

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 3 ปีที่แล้ว +3

    MA SHA ALLAH

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @seifothmanothmanjuma-qr3hj
    @seifothmanothmanjuma-qr3hj 8 หลายเดือนก่อน

    Uyo jamaa anazinguwa sana kama mshamba dokta ongya nae uyooo

  • @lazarokungu5020
    @lazarokungu5020 3 ปีที่แล้ว +3

    dr uje usimulie historia ya waisrael

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Inshaallah shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @enuelabunimkali9529
    @enuelabunimkali9529 3 ปีที่แล้ว +4

    Wapelestina hawatokani na Esau :wapelestina wametokana na kizazi cha hamu mwana wa nuhu ; someni historia vizuri;;

    • @snsonlinetv8432
      @snsonlinetv8432 3 ปีที่แล้ว

      tupe ushahidi

    • @enuelabunimkali9529
      @enuelabunimkali9529 3 ปีที่แล้ว +1

      @@snsonlinetv8432 ushahidi utaupa kaka : ukisoma kitabu cha nabii Musa : mwanza 10: 6-20 kina eleza vizuri habari : nuhu akamzaa hamu na hamu akamza misri na misri akamzaa wanaftu nakadhalika:

    • @zenahussein2242
      @zenahussein2242 3 ปีที่แล้ว

      mmmh, nyie wakristo historia hamjui alaf ndio utujuze kuhusu historia ya mitume kweli 😅😅

    • @enuelabunimkali9529
      @enuelabunimkali9529 3 ปีที่แล้ว

      Kama kweli wajua historia just tell me niwapi kuliandikwa wafilisti walitokana na uzao wa Esau : wewe wategemia wasomi ila hali wemwenye huna habari yoyote : mtegemea nundu........

    • @zenahussein2242
      @zenahussein2242 3 ปีที่แล้ว +1

      mngejua historia yesu msingemumfanya mungu mtulie tu wenye kujua historia wawaelezee. Yani Hapo mlipo mnasena Israel ni taifa teule la mungu hata hamjui mnachosema. waovu watupu eti kwa kigezo cha kuwa wa Israel wawe taifa la mungu kweli? 🤣🤣🤣. tulia usimuliwe na kama mbishi toa video zako na wewe utusimulie tuje kukukosoa hapa

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 9 หลายเดือนก่อน

    True

  • @MapsizoShentee
    @MapsizoShentee 3 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nasubr kwa hamu sna

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 8 หลายเดือนก่อน

    Kumbe sisi nindgu bwana basitu maandiko ya Mwenyezi lazma yapite Allah atuongoze

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 8 หลายเดือนก่อน

    Mijitu mingine imejaa uchonganisha mungu Hawa watu wachonganishi waafe wafee Tena wapotee

  • @abdonbarnabas3472
    @abdonbarnabas3472 8 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏👏

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 8 หลายเดือนก่อน

    Uko vzuri hilo taifa ni ndugu umepatia ni ndugu na wanagomvania ardhi kweli ila waisrael wana ahadi

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 8 หลายเดือนก่อน +1

    Msikiti wa alaqsa utabomolewa hakuna wa kuzuia Hilo.Biblia ndiyo uhalisia wa yote

  • @prosperreuben1724
    @prosperreuben1724 7 หลายเดือนก่อน

    Ongelea na mgogoro wa ngorongoro sheh waarabu wanafukuza wamasai

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 ปีที่แล้ว +2

    Video Ina sauti ya mtu mmoja anakere.

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee anatia kisauti chake kazingua

  • @user-uz3ge3tc5f
    @user-uz3ge3tc5f 8 หลายเดือนก่อน

    eeeee ebana Alla akupe mayisha marefu

  • @kevindesigner6795
    @kevindesigner6795 8 หลายเดือนก่อน

    Do Leo umechemka

  • @user-lj5li1ys7w
    @user-lj5li1ys7w 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi Uislam Siukatai, Swali ni kwamba wewe kama mwislam, unauishi Uislam wako?.vivyo hivyo upande wa wakristo.ukristo mnauishi?Mungu anataka tupendane.tuwe na matendo mema.tuache udini tukatende mema.Shekhe endelea kubabadua injiri, nakuombea maisha marefu.

  • @stephenakech7817
    @stephenakech7817 3 ปีที่แล้ว +1

    Maneno hayaaà

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha"Allah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @projestusphillip5477
    @projestusphillip5477 9 หลายเดือนก่อน

    Unajua Hadi unakera father

  • @clementiddi5708
    @clementiddi5708 8 หลายเดือนก่อน

    Umeanza vizuri then ukaanza tofauti ya udini.

    • @user-em6zg9mv6i
      @user-em6zg9mv6i 8 หลายเดือนก่อน

      Kwa kuongea ukweli

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 8 หลายเดือนก่อน

      Wapi sasa unataka adanganye

  • @user-ee9xn2yg4o
    @user-ee9xn2yg4o 8 หลายเดือนก่อน

    Na aqsa muda si mref itabomolewa ndio ntajua mungu wa wayahudi ni jeuri nsio macho yatawatoka vizuri

  • @samakisamaki3226
    @samakisamaki3226 9 หลายเดือนก่อน +1

    Angalia unavyoporoja. Eti hesau na mtoto wa ismail ndio kizazi cha wapalestine. Umesema ibrahim as alinunua ardhi kwa wapalestine 😮😮😮😮 lipi ni lipi sasa?

    • @albert3359
      @albert3359 8 หลายเดือนก่อน

      Anajichanganya taifa la palestine walitwa wa kaanani kabla ya Ibrahim

  • @venancegaspatv1961
    @venancegaspatv1961 3 ปีที่แล้ว +2

    Wayahudi wanaongoza Dunia kutokana na Maneno ya Mwenyezi Mungu kwa Yakoub ama Yakobo kuwa atambariki yeye na kizazi chake milele,

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo jamaa wa Alayhi salaam hakosi