SHEIKH OTHMAN MAALIM: KISA CHA PALESTINE KABLA NA BAADA YA KUPATA UHURU WAKE KUTOKA KWA MAYAHUDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 103

  • @swadiksaid
    @swadiksaid ปีที่แล้ว +1

    Yaa Allah wabariki na uwarehemu ndugu zetu waislamu wa Palestine na waislamu wote kwa jumla na utujaalie umoja,
    Waswalla llahi yalamuhammad aalihi wasalim

  • @miskyabdillah7451
    @miskyabdillah7451 ปีที่แล้ว +6

    Allah tumtumainie yy tuu, kila kitu kashaandika kwa waja wake tuwe na subrah na kuomba Allah atutakase nafsi zetu alhmdlh 😢

  • @HemediAhmedi
    @HemediAhmedi ปีที่แล้ว +2

    Yaa ALLAAH nakuomba muongoze sheikhewetu nazidikumpa uhaimrefu na afyanjema

  • @waynejohn2239
    @waynejohn2239 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe mwisho mwema sheikh wetu

  • @HatibuHusein
    @HatibuHusein ปีที่แล้ว +9

    Allaah Awanusuru Ndugu Zetu Wa Palestine

  • @mattarmwinyi3263
    @mattarmwinyi3263 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ibariki palastine

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว +3

    YARABI wanusiru waislam ndugu zetu wa palestin amin amin YARABI amin 🤲🤲🤲🤲

  • @mshanatheblacksmith
    @mshanatheblacksmith ปีที่แล้ว +3

    Allah awapefaraja na ushindi ndugu zangu waislamu wa Palestine 🇵🇸

  • @HemediAhmedi
    @HemediAhmedi ปีที่แล้ว +1

    Yaa ALLAAH nakuomba tujaalie khairi sisiwajawako nautuongoze katikadini nawapeamaani wapalestina na waangamize mayahudi

  • @HarounAbdiBakar
    @HarounAbdiBakar ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah Shekh othaman❤

  • @hamisasalehe2427
    @hamisasalehe2427 ปีที่แล้ว

    Ya ALLAH tumekukosea ss Umati MUHAMMAD! Tupe ufahamu na simama nasi ktk haya ya ndugu zetu parestina. Yaa RABI tunusuru na Dunia.

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 ปีที่แล้ว

    Allah ♥️♥️♥️🤲🤲 🇧🇮From Burundi leaving in Cape town

  • @matanokarabu5580
    @matanokarabu5580 ปีที่แล้ว +1

    MAASH ALLAH Mawaidha mazuri ALLAH àwafanyie upesi ndugu zetu WA Palestine na WA Islam woote ulimwenguni

    • @ZsbAlbarwani
      @ZsbAlbarwani ปีที่แล้ว

      Amiin thumma Amiin

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha ปีที่แล้ว

      Allahumma Aaaamina ya Rabby 🤲 🤲

  • @sadickally-wt7xz
    @sadickally-wt7xz ปีที่แล้ว +1

    yaa rab wajalie ndugu zetu wa palestine wape ushindi mkubwa waislam wenzetu mwenyezi mungu wape faraja

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 ปีที่แล้ว

    MAASH ALLAH Mawaidha mazuri ALLAH àwafanyie upesi

  • @abdaladelo371
    @abdaladelo371 ปีที่แล้ว

    Yaa Alla wahifadhi ndug zetu wafastin yarabi

  • @ayubkoja5414
    @ayubkoja5414 ปีที่แล้ว

    Allah awape Nusra ndugu zetu

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 ปีที่แล้ว

    Mungu simama na taifa lako

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py ปีที่แล้ว

    Masha Allah tabarak Allah kheri,

  • @FarajKhamis
    @FarajKhamis ปีที่แล้ว +1

    Allaah atawanusuru waislam wenzetu

  • @a.856
    @a.856 ปีที่แล้ว

    Jazakallah khayran

  • @SullySully-cl6gz
    @SullySully-cl6gz ปีที่แล้ว

    Barakallah fiqum

  • @yusufumboge1427
    @yusufumboge1427 ปีที่แล้ว

    ALLAH wanusuru nduguzetu wapalestina

  • @SuleMontana
    @SuleMontana ปีที่แล้ว +1

    Allah wabariki wapelestina wote insha-allah

  • @allymgamo641
    @allymgamo641 ปีที่แล้ว

    Allah awanusuru ndugu zetu wa islam na kuikinga masjidul Alqudsi

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 ปีที่แล้ว

    'Allah' ukitaka kitu wewe hukiambia kuwa na kikawa kwa uwezo wako wape Ushindi katika vita hivi innshAllah!.

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 ปีที่แล้ว

      Allah hajaumba chochote,vitu vyote vimeumbwa na Mungu alie hai ,Allah Mungu wa makureish hawezi ,ameshindwa hata kutetea wapalestina awezekuumba,

  • @universitylink
    @universitylink ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @SuleimanKhamis-oj1ul
    @SuleimanKhamis-oj1ul ปีที่แล้ว

    12:40

  • @halaali25
    @halaali25 ปีที่แล้ว

    Acheni udini,hakuna kitabu kitakatifu kilichoandika hii ni dini ya kweli,,Bali matendo yako yampendeze ,Mungu umuabudu Mungu alie tuumba katika roho na kweli ,kuna watu wanaabudu miti ,wanaabudu binadamu wenzio ,alafu anasema mimi dini yangu flani nitaenda peponi ,hiyo pepo labda ya msituni ,..

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 ปีที่แล้ว

    Tunakuelewa, unatupa taswira ya kiongozi wa umma

  • @fatmamohammed9933
    @fatmamohammed9933 ปีที่แล้ว

    Yarrabii wape nguvu na ushindi ngugu zetu wa palestine

  • @SuleimanKhamis-oj1ul
    @SuleimanKhamis-oj1ul ปีที่แล้ว

    Waloezi ndio wameanza wamekaribishwa wanachuku pima na visa vyao huvijui kaulize.na ungewajua wangelipewa hifadhi uganda

  • @Mahengo-d3r
    @Mahengo-d3r ปีที่แล้ว

    Waislamu wenyewe wazushi hao wapalestina wenyewe utadhani wamarekani kichwan viduku mnaleta usanii kwenye dini ya Allah bhana

  • @ahmedbaamironlinetv4753
    @ahmedbaamironlinetv4753 ปีที่แล้ว

    ASALAM ALEIKUM… KATIKA COMMENT ZETU NAWAOMBA TUSITUKANANE WALA TUSIKASHIFIANE TUTAKUJA FIKA MBALI NA TUTATUKANIANA NDINI NA VIONGOZI WETU KITU AMBACHO SIO KIZURI TUZIDI KUHESHIMIANA HATA KAMA MTU ANA TUKANA BASI TUKAE KIMWA

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm ปีที่แล้ว

    Naaam

  • @marianyalusi259
    @marianyalusi259 ปีที่แล้ว

    Nchim ya wayahudi hamtasmini

  • @NimoJama-iw6tg
    @NimoJama-iw6tg ปีที่แล้ว

    Alan Is g is gufurahim

  • @MussaShengwaiko
    @MussaShengwaiko ปีที่แล้ว

    Unapotuma sms uwe na uelewa wa kutosha

  • @wakandaboy9846
    @wakandaboy9846 ปีที่แล้ว

    Kumbe mliwafukuza wao wawaache kwanini ? Basi wawafukuze pia ni haki kabisa

  • @JacobErnest-vk7me
    @JacobErnest-vk7me ปีที่แล้ว +1

    Waliazisha ya Nini hao ndugu zenu hamass mbona hamraani kilichofanywaa na hamasss

    • @ameenaameena422
      @ameenaameena422 ปีที่แล้ว

      Mbwa moja ww usie jua lolote kafiri mkubwa ww

    • @shahistanotta3594
      @shahistanotta3594 ปีที่แล้ว

      Maskini hujui historia yetote fatilia kaka utajuwa ukweli angalia wanavyouwa watu kama mashetani

  • @MussaSalanje
    @MussaSalanje ปีที่แล้ว

    Unatakiwa kusikiliza Mawaidha ukikubaliana nayo ni kwa faida yako na ukiyakataa hasara ni yako Sheikh anafikisha ujumbe wenye akili wanamuelewa wasio na akili hawawezi kuelewa.

  • @hassankajembe4118
    @hassankajembe4118 ปีที่แล้ว +2

    Yaarb tunakuomba uwalinde wapalestna dhidi ya Israel.wewe ALLAH ndio jeshi kubwa kuliko kiumbe chochote Dunia hii Yaarb

    • @ZsbAlbarwani
      @ZsbAlbarwani ปีที่แล้ว

      Amiin thumma Amiin 🇵🇸 ♥️ ❤️

  • @masoudymichael
    @masoudymichael ปีที่แล้ว

    Mi naendelea kuangalia tu

  • @maryamm3738
    @maryamm3738 ปีที่แล้ว

    Hao wasenge mayahud ipo sik yao watakuja kujuta

  • @SuleimanKhamis-oj1ul
    @SuleimanKhamis-oj1ul ปีที่แล้ว

    Hiyo ni historia ili ujuwe nani mweye haki.vita vinapiganwa pahala pengi congo Sudan Ukraine mashariki ya kati na mbali

  • @tausipaschel155
    @tausipaschel155 ปีที่แล้ว

    Swala NI kwamba palestina iondoke kwenye ardhi ya waisraeli. Israel Haina shida na kuitawala palestina.

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 ปีที่แล้ว

      Umekisoma ulichokiandika kwanza

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu ปีที่แล้ว

      Israeli Haina ardhi jomba kasome história

    • @mangulimanguli3974
      @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว

      Kamuulize Nabii Musa, kama iyo ardhi ni ya waisrael au?

  • @Mahengo-d3r
    @Mahengo-d3r ปีที่แล้ว

    Waislamu tuwe wakweli

  • @faithmapondo7370
    @faithmapondo7370 ปีที่แล้ว

    Uusituongopee hapa

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 ปีที่แล้ว

      Mjinga nini wewe

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 ปีที่แล้ว

      @@ismailjuma3692 nyiny ndio wajinga tena mashetan

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 ปีที่แล้ว

      Kafiri umefata nin apa nguruwe🤮

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 ปีที่แล้ว

      @@hanifa9153 nguruwe wewe na waislam wenzio na ukoo wenu tena wasenge din nzma

  • @trutharchaeologist
    @trutharchaeologist ปีที่แล้ว

    Uislamu si ni dini, tangu lini manabii Wayahudi na Wa banu Israeli wakajiita waislamu?
    Tangu lini Damu akawa Nabii?
    Tangu lini Luti akawa Nabii?
    Yaani nyingi ata maana ya Nabii hamfahamu ata kidogo,
    Hakuna Nabii yeyote kando na taifa la Israeli,
    Na nabii wa mwisho alikuwa Yahya,

    • @HadhirNAli-hy4ni
      @HadhirNAli-hy4ni ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha 😆 wewe kafir kwanza jifunze kuandika halaf urud tena hapa tuje tukuelimishe 😂... Hakika dini mbele ya Allah ni Uwislam😊 alhamdulillah we proud to be Muslims ❤

    • @trutharchaeologist
      @trutharchaeologist ปีที่แล้ว

      @@HadhirNAli-hy4ni
      Utakufa ukiita watu kafir ni dini yako ya kijinga,
      Kama waisraeli walishindwa kutimiza sheria nyinyi mnajigamba kutimiza sheria zote, you are still slaves, Mlikataa Yesu mkasema hakusulubiwa wala kufa , wala kufufuka, nyinyi mnafuata sheria za kijinga, sisi tupo katika imani sio sheria za Musa,
      Galatians 4:21-24,28-31
      [21]Tell me, ye that desire to be under the law,👈 do ye not hear the law?
      [22]For it is written, that Abraham had two sons, the one by a bondmaid, the other by a freewoman.
      [23]But he who was of the bondwoman was born after the flesh👈; but he of the freewoman was by promise.👈
      [24]Which things are an allegory: for these are the two covenants; the one from the mount Sinai, which gendereth to bondage, which is Agar.
      [28]Now we, brethren, as Isaac was, are the children of promise.👈
      [29]But as then he that was born after the flesh 👈persecuted him that was born after the Spirit,👈 even so it is now.
      [30]Nevertheless what saith the scripture? Cast out the bondwoman and her son👈: for the son of the bondwoman shall not be heir with the son of the freewoman.👈
      [31]So then, brethren, we are not children of the bondwoman, but of the free.👈

    • @trutharchaeologist
      @trutharchaeologist ปีที่แล้ว

      @@HadhirNAli-hy4ni
      Nyinyi mnafuata Ishmaeli aliyetaka kumuua ISEKA,
      Jasher 21:13-17
      [13]And when Isaac was five years old he was sitting with Ishmael at the door of the tent.
      [14]And Ishmael came to Isaac and seated himself opposite to him, and he took the bow👈 and drew it👈 and put the arrow in it,👈 and intended to slay Isaac.👈
      [15]And Sarah saw the act which Ishmael desired to do to her son Isaac, and it grieved her exceedingly on account of her son, and she sent for Abraham, and said to him, Cast out this bondwoman👈 and her son👈, for her son shall not be heir with my son, 👈for thus did he seek to do unto him this day.
      [16]And Abraham hearkened to the voice of Sarah, and he rose up early in the morning, and he took twelve loaves and a bottle of water which he gave to Hagar, and sent her away with her son, and Hagar went with her son to the wilderness, and they dwelt in the wilderness of Paran with the inhabitants of the wilderness, and Ishmael was an archer, and he dwelt in the wilderness a long time.
      [17]And he and his mother afterward went to the land of Egypt, and they dwelt there, and Hagar took a wife for her son from Egypt, and her name was Meribah.

    • @trutharchaeologist
      @trutharchaeologist ปีที่แล้ว

      @@HadhirNAli-hy4ni
      Nyinyi endeleeni kufuata Sheria za Musa, bado mpo katika dhambi, lazima muoshe miguu,muombe mara tano, mfunge Ramadhani,
      Mambo ambayo hayana faida,
      Hamuwezi mkatimiza sheria zote,
      You are still slaves of the Devil(Allah)
      Galatians 3:23-29
      [23]But before faith came, we were kept under the law,👈 shut up👈 unto the faith which should afterwards be revealed.
      [24]Wherefore the law was our schoolmaster to bring us unto Christ, that we might be justified by faith.👈
      [25]But after that faith is come👈, we are no longer under a schoolmaster.👈
      [26]For ye are all the children of God by faith 👈in Christ Jesus.👈
      [27]For as many of you as have been baptized into Christ have put on Christ.👈
      [28]There is neither Jew 👈nor Greek,👈 there is neither bond👈 nor free👈, there is neither male 👈nor female:👈 for ye are all one in Christ Jesus.👈
      [29]And if ye be Christ's, 👈then are ye Abraham's seed, 👉and heirs according to the promise.👈

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 ปีที่แล้ว

      ​@@trutharchaeologistduh yaani katika wajinga ww ni mjinga wa hali ya juu kabisa😀😀😀

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 ปีที่แล้ว

    Mtoto wabachu njoo usikilize vitu huku

  • @AlnordGozonga-gw2sb
    @AlnordGozonga-gw2sb ปีที่แล้ว

    Wewe sheehe nimuchonganishi huwezi sema Palestine ni ya wasiliam. Acha kupotosha uuma sema hivi Palestine waache vita kwa sababu pale kuna kabila kibao ambapo hapo kuna wakrsto na waslamiki wote ndugu 1 wewe namimi tusijitenge

    • @SuleimanKhamis-oj1ul
      @SuleimanKhamis-oj1ul ปีที่แล้ว

      Soma historia wameitwa waloezi.waloezi wanakuwa Nani wenyeji ni nani Kisha utajua wapo waloezi waislam na wenyeji imani nyingine

  • @SaluTen-d8s
    @SaluTen-d8s ปีที่แล้ว

    Uo ni uongo

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha ปีที่แล้ว

      Kasome ndugu
      Mana sio kawaida ya simba kuwajibu mbwa

    • @SaluTen-d8s
      @SaluTen-d8s ปีที่แล้ว

      @@DjumaAsha mkiambiwa ukweli mnatukana ndio maana mnakandwa😂

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 ปีที่แล้ว

      Makafiri msije hku c penu🤮

    • @SuleimanKhamis-oj1ul
      @SuleimanKhamis-oj1ul ปีที่แล้ว

      Sema kweli basi

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 ปีที่แล้ว

    Jamani kuna Wachochezi Baada ya kuomba Amani Vita isiwepo tunaeleza Historia ya kutunga. Uongo nendeni mkaone kipigo. WaTz tufanye ya kwetu hao Wapelestina hawatusaidii lolote hayatuhusu

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 ปีที่แล้ว

      Mpumbavu,utamfaham kwa comment yake.Ingelikua ni mzungu ndiye anae toa historia hii,usingeandika upuuzi huu,coz bado una akili ya kitumwa.

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 ปีที่แล้ว +1

      Kafiri wewe haya hayakuhusu,wewe waunge mkono makafiri wenzako.

    • @mustaphamatelefone-lc9pr
      @mustaphamatelefone-lc9pr ปีที่แล้ว

      Wewe nikafiri usiejua kitu kwani ujui kwamba uko Palestine ata wakristo wenzio pia wanauwawa? Jinga sana wewe

    • @alraident8068
      @alraident8068 ปีที่แล้ว

      Kasome history wacha kuongea porojo bro

  • @naomikrause1762
    @naomikrause1762 ปีที่แล้ว

    MUNGU HIBARIKI🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 ปีที่แล้ว +1

    Nyie ndiyo Mnachochea chuki kubwa ya vizazi, kila media zetu, tuambieni kifanyike nini, maana yahudi hawez iacha ilee ardhi, wala Palestine hawakubar sasa mnashauri suruhisho gani? Watu wanakufa mnasema ardhi ya waislamu, mungu atawalipa mnaoeneza chuki,

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 ปีที่แล้ว

      Suluhisho ni yahudi kukatwa kichwa na kuondolewa palestine ndio salama ya hapo wala hazihitajiki akili yako hapo.

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 ปีที่แล้ว

      Kwani wewe alikuambia kuwa palestina si waislamu ni nani hivi huwasikii wapelestina wakiwaita waislamu wenzao wawasaidie?

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga pimbi wewe

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 ปีที่แล้ว +1

      Wewe kafiri haya hayakuhusu,utaumia bure kutokana na ukafiri wako .Wewe furahia makafiri wenzako kuwaua watoto wasio na hatia kwakuwa utaishi milele.

    • @ClipFuze
      @ClipFuze ปีที่แล้ว

      Wafabya nini hapa enenda jwa makafiri wako wanaoeneza dhulma na porojo,palestine ni nchi ya waislamu mayahudi walikaribishwa na wapalestina wakati walitorokea ujerumani wakati wa hitler.kisha wakaanza kuwaua waislamu na kuwafanya wapalestina watumwa kwa nchi yao.wa kashifu wayahudi wenzako.

  • @SullySully-cl6gz
    @SullySully-cl6gz ปีที่แล้ว

    Mashaallah