Kama unapenda kutumia iPHONE fungua video hii SASA HIVI,utanishukuru baadae.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 35

  • @lipokiti4043
    @lipokiti4043 ปีที่แล้ว +3

    Napenda Sana historia

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 ปีที่แล้ว

    Is jct a normal ctory I can even wright mine if that's the way you people explain

  • @henrylugendo280
    @henrylugendo280 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana jastin

  • @mohamedhalake5983
    @mohamedhalake5983 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kaka naomba history ya Motorola please

  • @ayoubkhamicmzume7970
    @ayoubkhamicmzume7970 ปีที่แล้ว

    Nkubali kaz bro!

  • @justinsimbeye
    @justinsimbeye ปีที่แล้ว

    Ayabwan twende kazi🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @ErichNyaberi-fy8hx
    @ErichNyaberi-fy8hx ปีที่แล้ว

    Hapo sasa

  • @etrismshana
    @etrismshana ปีที่แล้ว +2

    Na wazungu wanetoka wapi kama mtu wa kwanza ni mwafrika na je kwanini waafrika wasizae wazungu na kwann mzungu ukizaa naye watoto wanakuwa weupe lkn mzunngu akizaa na waafrika wanakuwa weupe pia weusi sasa km walizaa watu weupe mbona sasa afrika hazuzai waarabu au wahindi km mwanzo km sisi ndio tuliowazaa

    • @Ericomtz5
      @Ericomtz5 4 หลายเดือนก่อน

      Hilo nalo la kujiuliza

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️❤️

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 ปีที่แล้ว

    iphone kiboko duh😂😂😂😂😂

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 ปีที่แล้ว

    Naisubiri hiyo 15,acha nianze kujichanga

  • @francishernandez3751
    @francishernandez3751 ปีที่แล้ว

    Mkuu utuletee na historia ya Samsung

  • @etrismshana
    @etrismshana ปีที่แล้ว +1

    Na kama mtu wa kwanza anatoka afrika tena Tanzania inamana adamu na hawa ni weusi maana watanzania au tanganyika ni weusi

    • @vanessarobyn4584
      @vanessarobyn4584 ปีที่แล้ว +2

      Mbona hiyo inajulikana dear sema wazungu hawataki wawe wa mwisho maana hata history inasema fuvu la mtu wa kale ni Tanzania ikumbukwe.

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 ปีที่แล้ว

    hivi aliegundua simu amefaidik kwl

  • @BulumbaTV
    @BulumbaTV ปีที่แล้ว +1

    Tuleteye sasa historia ya Samsung. Mana ndio sm napenda zaidi na utupe tafauti kati ya Iphone na Samsung ipi kali sana.

    • @francishernandez3751
      @francishernandez3751 ปีที่แล้ว

      Kabisa mkuu

    • @francishernandez3751
      @francishernandez3751 ปีที่แล้ว +1

      Ndo mpinzani wake huyu

    • @BulumbaTV
      @BulumbaTV ปีที่แล้ว

      Najuwa ila mpaka sasa tuna sikiaga tu Iphone ndo sim nzuri kumbe Samsung nayo ni kali.

    • @carenmihayo7991
      @carenmihayo7991 ปีที่แล้ว +1

      Ata mimi uwa situmii simu yoyote zaid ya Samsung

  • @etrismshana
    @etrismshana ปีที่แล้ว

    Tuletee mtu wa kwanza kuanzisha simu ni mwafrika au mzungu

  • @etrismshana
    @etrismshana ปีที่แล้ว

    Pia nataka kujuwa ukweli je waisrael halisi ni wazungu au waafrika

  • @EnjoyLocation
    @EnjoyLocation ปีที่แล้ว

    Saf Sana kaka tuletee naza Cm za Infinix

  • @halifasaidi371
    @halifasaidi371 ปีที่แล้ว +1

    Naitaji kujua kuusu story ya TV 🙏

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️

  • @ayoubkhamicmzume7970
    @ayoubkhamicmzume7970 ปีที่แล้ว

    Penda sana#

  • @etrismshana
    @etrismshana ปีที่แล้ว

    Na kwanini watu weupe wanatuchukia waafrika na sisi hatuwachukii km wazungu,waarabu, na wahindi na nk

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 ปีที่แล้ว

      Wapi walisema kama wanatuchukia kwenye hio video?

    • @etrismshana
      @etrismshana ปีที่แล้ว

      @@jaymandy8136 sio kwenye video ni ombi atoe kwasababu ya

    • @vincosmeticsmarvin
      @vincosmeticsmarvin ปีที่แล้ว

      Daaaah ila maswali yako buanaaa ,, ebu google buanaaa