MEGHAN Polisi Kicheche Alielala Na Kituo kizima, Kisha Akalipwa Fidia Bilioni 1.3

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 46

  • @TwahaMkomwa-gz3ll
    @TwahaMkomwa-gz3ll 25 วันที่ผ่านมา +3

    Nakubali sana shed

  • @mathnaasaa2166
    @mathnaasaa2166 27 วันที่ผ่านมา +4

    Hongera zake

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 25 วันที่ผ่านมา +3

    Watu wengi hawajui.vicheche huwa wana utamu wa ajabu sana.wana ujuz wa hali ya juu kabisa.chonde chonde usijaribu kumuonja kicheche.unaweza kuzama penzin.chonde chonde usithubutu,hata kwa bahat mbaya.😂😂😂

  • @linovahme6060
    @linovahme6060 26 วันที่ผ่านมา +3

    Nimeshindwa ata kumalizia inaboa ukionekana

  • @thetrends472
    @thetrends472 15 วันที่ผ่านมา

    Ngoja nikawe polisi hukoo

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 10 วันที่ผ่านมา

    👍👊✌️.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 27 วันที่ผ่านมา +2

    Fanya kwa mtindo wa sauti kwa ukifanya hivyo masimulizi yako usisimua zaidi

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 26 วันที่ผ่านมา +2

    Mwanamke huyu hafai

  • @athumanimtajih
    @athumanimtajih 26 วันที่ผ่านมา +1

    Shikamoo Meghan😂

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 25 วันที่ผ่านมา +2

    Sio tuu kama sura yako hainogeshi,bali hata sauti yako haisikiki vzur.unazingua sana unapoonekana.

    • @denismasele4130
      @denismasele4130 25 วันที่ผ่านมา +1

      Unataka sura yake au unataka kuskilza simulizi

    • @user-rw4qn6zh6n
      @user-rw4qn6zh6n 19 วันที่ผ่านมา

      Unamatatizo yako binafsi

  • @b25_photos19
    @b25_photos19 27 วันที่ผ่านมา +2

    Hii hatari san

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 27 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu demu nampata vizuri Kuna siku tupo new York aliniforce sana

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 19 วันที่ผ่านมา

    Usionekane shed chukua ushauri huu

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 25 วันที่ผ่านมา

    Kumbe ndio mwenywe JUSTINE SHED TWENDE KAZI

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni 23 วันที่ผ่านมา

    Lakin twende kazi kwa nn unatutisha ukionekana .fanya kujificha bwana kama mwanzo mm na wenzangu wengi. Tunapenda sauti.sio sura.

  • @silveryb
    @silveryb 25 วันที่ผ่านมา

    Huyo siyo Recho kweli?

  • @HassanHusen-kf5gx
    @HassanHusen-kf5gx 27 วันที่ผ่านมา +8

    Toa sura yako

  • @Villagetechnology206
    @Villagetechnology206 12 วันที่ผ่านมา +1

    Changudoa

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 25 วันที่ผ่านมา

    WEWE MTANGAZAJI MKENYA

  • @hirzlmahll9965
    @hirzlmahll9965 23 วันที่ผ่านมา

    Ukionekana hata hainogi hii story

  • @riziwan9709
    @riziwan9709 7 วันที่ผ่านมา

    Huu mfumo wako wa video ni mbaya tengeneza audio clip km siku zote, kuliko kutengeneza video na we ukiwa unaonekana hainogi kbs yani ukiwa unaonekana.

  • @EM4CBeatz
    @EM4CBeatz 27 วันที่ผ่านมา +1

    Photo Slide zako zilikuwa zinafanya vizuri zaidi kuliko ulivyo anza kuonekana sawa kazi nzuri lkn

  • @hamisimashaka4899
    @hamisimashaka4899 23 วันที่ผ่านมา

    Ubuntu Botho 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @willowilbard6119
    @willowilbard6119 25 วันที่ผ่านมา

    Story nzuri ila hapo uwe tu unatusalimia uonekane then unaweka kama mwanzo tunakuwa tuna angalia story itapendeza zaidi

  • @COMEDYZETUTZ
    @COMEDYZETUTZ 23 วันที่ผ่านมา

    Kaka samahani ila naomba kweye video zako utengeneze HASHTAG ya ulimwengu wa wahalifu ili mtu anayependa hizi video iwe rahisi kwake

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  22 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa maoni yako, nitafanya hivyo.

  • @user-iw7si2fh4x
    @user-iw7si2fh4x 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mdau kutok burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @judychepkirui5313
    @judychepkirui5313 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mwili si ni yake, hata akifanya ngono hadi na mbwa, makosa yake tu ni kufanya mapenzi hayo akiwa kazini na kuchukua picha, bure hata akilala na maskari wote mwili ni wake

    • @herimornchriston6087
      @herimornchriston6087 15 วันที่ผ่านมา

      hahaha !!! vipi wewe mbn unatetea zinaa sana???

    • @judychepkirui5313
      @judychepkirui5313 12 วันที่ผ่านมา

      @@herimornchriston6087 sitetei lakini huenda harithiki na mtu mmoja sasa tufanyaje? Wacha apeane, mwili mpya tutapewa mbinguni🤣

    • @herimornchriston6087
      @herimornchriston6087 2 วันที่ผ่านมา

      @@judychepkirui5313 kahaba haingii mbinguni mbaka aache ukahaba wake

    • @judychepkirui5313
      @judychepkirui5313 2 วันที่ผ่านมา

      @@herimornchriston6087yeye ni kahaba haingii mbinguni, jiulize wewe ni mkamilivu? We are all sinners it's just that we sin in a different ways,

    • @herimornchriston6087
      @herimornchriston6087 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@judychepkirui5313 hahaha , huu msemo unamaanisha binadamu akisimama mwenyewe kama yeye hawez kuwa mkamilifu , ila yule atakaechagua kusimama na Mungu , Mungu mwenyewe atamfanya mkamilifu na kuacha njia mbaya na kuwa mtakatifu !!!! kwahy kiukweli hayupo binadamu ambaye hakukosea hata kidogo ila yupo ambaye baada yakukosea nakutubu na kusimama na bwana akawa yeye mkamilifu kwasabb hy kwahy machaguo anayo mwenyewe binadamu mwenyewe kumchagua Mungu au muovu

  • @ellychax4716
    @ellychax4716 27 วันที่ผ่านมา +3

    we dont want see ur face Bro, the story loses its taste and theme flavour, some of us loved the voice behind ur stories, this makes us skip further videos of similar type, most of ur fans comments the same, seems like u dont care.

  • @erickmisilakuba6426
    @erickmisilakuba6426 27 วันที่ผ่านมา +2

    Like zangu hapa jaman 😂 wakwanza mie

  • @user-cl3yk7hp1h
    @user-cl3yk7hp1h 22 วันที่ผ่านมา

    Kwani nilazima na wewe kuonekana?