JAMANI WATANZANIA KIONGOZI NI MAGUFULI TU EAST AND CENTRAL AFRICA.Mimi ni mkenya lakini natamani nipewe urai wa Tanzania.Rasi mchapa kazi na mwenye hofu ya Mungu.
Nyimbo safi sana...Wakenya wengine kulalamika ovyo....Kiongozi wa kuchaguliwa na wananchi huwa ni kioo ya mioyo na mapenzi ya jamii nzima. Hivyo kila nchi na ivune matunda ya maamuzi wa jamii paso na kulalamika....Uhuru yuko safi kwa Wakenya...Kama sivyo tusingemchagua.....tena mara tatu🙏🙏🙏🙏
Miaka ya nyuma nilikuwa naona noma kujitamburisha kwa wachumba kuwa mm ni MSUKUMA😓😢..!! Lakn sasaiv nikikutana na dem kabla sjamwambia jina langu, Namwambia MIMI NI MSUKUMA..je upo tyr kwnd kula Masato na Masangara Mwanza mayo!!!
Wimbo mzuri sana lakini uimbe kwa Kiswahili ili uweze kutumika siku za usoni kwa viongozi wengine ambao hawatakuwa wasukuma. Hongera kwa ubunifu wimbo mzuri japo sielewi lugha iliyotumika.
Mwakajana mwezi wakumi mwaka Jana nilikuwa nalaha Sana ckutegemea Kama ckumoja natakuwa na huzuni kiasi hiki nakukypoteza jembe letu dah!! Pumzika baba🙏😭😭😭😭😭
Moyo wangu unaniuma Sana Jamani,sijuwi tu
Huu wimbo naufatilia kwa kutaja JPM lakin siyo kwa kusema CCM
Wimbo mzuri sana na unaujumbe mzur Sana big up kwako Elithabeti malinganya
Proud Sukuma.
Hiii nyimbo ni balaaaa Ccm oyeeee🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠🌠
😭😭😭😭😭😭 BABA YANGU AMKA BABA UJE UONE TUNAVYOKULILIA AMKA BABA YANGU.😭😭😭😭😭😭😭😭
wimbo unakonga nyoyo zetu daaa!!! best song
JAMANI WATANZANIA KIONGOZI NI MAGUFULI TU EAST AND CENTRAL AFRICA.Mimi ni mkenya lakini natamani nipewe urai wa Tanzania.Rasi mchapa kazi na mwenye hofu ya Mungu.
Karibu tanzania
Wimbo huu nimzuri Sana hongera mtunzi
Kaa kwenu na corona yenu acha utoto
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Uhuru, M7 na JPM shikaneni na Marais wengine tuinue EA....🙏🙏🙏🙏
Nyimbo safi sana...Wakenya wengine kulalamika ovyo....Kiongozi wa kuchaguliwa na wananchi huwa ni kioo ya mioyo na mapenzi ya jamii nzima. Hivyo kila nchi na ivune matunda ya maamuzi wa jamii paso na kulalamika....Uhuru yuko safi kwa Wakenya...Kama sivyo tusingemchagua.....tena mara tatu🙏🙏🙏🙏
Miaka ya nyuma nilikuwa naona noma kujitamburisha kwa wachumba kuwa mm ni MSUKUMA😓😢..!! Lakn sasaiv nikikutana na dem kabla sjamwambia jina langu, Namwambia MIMI NI MSUKUMA..je upo tyr kwnd kula Masato na Masangara Mwanza mayo!!!
Hahahahaaa! Jpm wetu tumuombee tu hata sisi wagogo tunatamani kuwa wasukuma.
@@bonieedwin2067 😂😂😂😂karib saana kaka
nimecheka
@@siwemaking8321 hongera kuongeza miaka ya kuish mama
😂😂😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣
Had nywele zinasisimka blessed president JPM
Huu wimbo mzuri japo mengine sielewi lakini unavutia hata kusikiliza
WaTz hours!!
Wimbo safi sana 💥💥💥💥💥
Wimbo it kwa lugha ya taifa sasa🙏🙏🙏
WaTz hoyeee.....
Wimbo mzuri sana lakini uimbe kwa Kiswahili ili uweze kutumika siku za usoni kwa viongozi wengine ambao hawatakuwa wasukuma. Hongera kwa ubunifu wimbo mzuri japo sielewi lugha iliyotumika.
Kisukuma hicho ndg
Wimbo wangu wa mwaka duh....mb zinaisha naunga Tena😄uwiiiii
Inatukumbusha,mbari sana,
Ubarkiwe Dada kwa wimbo huo. Keep up
Rahaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaasa
Mwakajana mwezi wakumi mwaka Jana nilikuwa nalaha Sana ckutegemea Kama ckumoja natakuwa na huzuni kiasi hiki nakukypoteza jembe letu dah!! Pumzika baba🙏😭😭😭😭😭
Mwenzio naona kama wamemficha kumbe ndio ayupotena 😭😭😭
Inanitoa machozi hakika pumzka vym jpm😭😭😭😭
Nimelala zangu hapa nikamkumbuka Daddy magu niaona niingie yutubu😕😕😭😭😭 mic uuu dady,🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Wimbo mzuli , lakini vitendo ni tofauti wimbo , kwa hiyo nyie ccm mjiandae tu kugoka 2025
Mama wewe, unajua kuimba,nimefurahishwa na tune ya wimbo huu,hongera,
Ng'ana gete nkima
Dah wimbo unakosha moyo 😪😪
isebu sanaaaaaaaaaaà!!!! omukayaaaa
Nyimbo safi Sana nimeipenda
wasukuma tunaweza
Ilike this song
Eliza unakipaji hatari.hongera sana
Mashaallah ☝️👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Yaan mpaka rahaaaa!
Mad love for magufuli from Nairobi Kenya 🇰🇪... Poleni majirani wetu
Magufuri oyeeeeeeeee
Nice
Duuu safi sana mtu kwao
Niseme nini tena! Ulale salama baba yetu kipenzi wala hili hatukuwah kuliota kwamba upo kutuaga watoto wako! Ni huzuni kubwa sana
Wasukuma tuna vipaji hasa kuimba
JPM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
😭😭😭😭😭inauma sana jamani
Kisukuma kitamu jaman
Yaani huku kwetu usukumani ni raha sana sana.magufuli bb kura zote ni zako.
Wimbo hoyeeeeeee magufuli juuuu.
Asante
Najivunia kuwa msukuma najivunia utanzania Wang najivunia magufuli
Eliza Hongera Sana 🥰
jembe letu wanyoge tumelipoteza pumzika kwa amani baba yetu
Ccm turzika chato na magufuli. Saizi hatuitaki hata kuiona
Usionehaya mdo kablira
Magufuli doghanchagulagiiii!Woyeeeeeee!
Waoooo wajina najivunia kuwa msukuma,Wasukuma oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
good
Hakika tutamkumbuka
RIP UNCLE MAGU
Ee mungu tusaidie
R,I,p jpm
Tumkumbuke Rais Magufuli. Hatuta pata tena kama yeye tusipo jihadhari na wakoloni. Africa mzima tunge shusha bendera zetu kwa heshima.
Baba pumuzik salama
Magufuri igembe lishwe ccm oyeeee ccm yamkaya dogetorele
Rais JPM Hapa Alikuwa Ana Agana Na Wananchi Wake Bila Kutambua Dah Ina Uma Sanaaaa R.I.P JPM
Gani nzuri tayari mh kapita jamani
Sielewi lakini nainjoi kisebene hicho.
Ningependa kolabo hiyo ifanye na diamond binge LA song
Nimekapenda kanyimbo lakini ccm siipendi
Kama hupendi ccm unashindwa kuelewa maendeleo yako. Sikulaumu ila nakushauri ujitafakari ndugu yangu. Tuko huru uchaguzi ni wako.
Pole
Wivu utakuua
Mahona hata usipoipenda we kama nani parata tu nani anakujua vipi wewe mweee
Hahahaha! Ukipenda boga penda na ua lake.
Nyi za
Good
Kuchosha hakili kabsa
Yumekuchagua baba lkn hata miez 6 ujamaliza umeondoka
Rest in peace magufuli
nautaka huu wimbo nitaupataje
Tuma no ya WhatsApp nikutumie
thanks 4 the song but if i want to watch from you tube nitafute nani names
Elizabeth maliganya
Magufuli wetu 😭😭😭😭😭😭😭😭
Rip JPM
Woyooo lekaga gete magufuli ligembe.na CCM ni ya nyumbani.
Jina LA wimbo jaman niuweke alarm
Kama upo yan dah
Mtu kwao ni vizur jpm 5 tenaaaa
💚💚💚💚💛💛💙💙
I'm speechless r.i.p baba😭😭😭😭😭
💚💛🖤💙
Watoto wamaguful
Magufuli ligembe
Best song ever
R,I,p magufuri
Wabheja mayooo,,!!!
😭😭😭😭😭😭😭
Lisebhu Sana bhana bhagukaise
What language is this and where are the lyrics, please?
😭😭😭😭😭🇴🇲
Kweli huu ni upumbavu... Baadaa ya ku tengeneza mazingila bola yaku jitengemea,wao nikutoatoa michango isio kua na mbele
Nzuri sana wimbo huu