TAZAMA MUSUKUMA ALIVYOCHALAZA KISUKUMA MBELE YA RAIS MAGUFULI JIMBONI KWAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2020

ความคิดเห็น • 90

  • @masoudkipara5053
    @masoudkipara5053 3 ปีที่แล้ว +11

    Yaan kilichobaki ccm ni kuhamacshana tu tukapige kura wala tucrudie nguvu nyingi tuko wengi sana na ushindi lazm

  • @josephinewangwe9064
    @josephinewangwe9064 3 ปีที่แล้ว +9

    Nampenda Sana Magufuli ila anatuangusha kule Mara vijijini kwa mfano kule Shirati hajawahi kufika wananchi wanashida ya maji ,wananchi wamesahaulika na kule ndipo kuna hospitali kubwa ya wilaya iliyo na shule kubwa pia ya Nursing kwakweli hapo amatusahau.

    • @shedrackjacob6038
      @shedrackjacob6038 3 ปีที่แล้ว +3

      Chama gan kinatawala huko km n upinzan majibu unayo

    • @josephinewangwe9064
      @josephinewangwe9064 3 ปีที่แล้ว +1

      @@shedrackjacob6038 mimi nashindwa kuelewa kwanini watu wang'anganie kitu hapocho hakiwapi maendeleo yeyote badala ya kufata nyuki wale asali😆😆

    • @onesmokabia80
      @onesmokabia80 3 ปีที่แล้ว +1

      Kaa na jamii ya Mara wambie wasikosee mwaka huu kama mnataka maendeleo,ivi alete maendeleo wakati viongozi mliowachagua walikimbia colona wakatoka bungeni baada ya kupambana kupigania wananchi wao wenyewe wakakimbia pia kitu kingine kila kukicha wanamtukana Rais hata ingekuwa mm ningewasahau nisingewaletea maendeleo,kwahiyo akili kichwani mwenu ni ushauri tu!

    • @nuruelmada9570
      @nuruelmada9570 3 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo Ni wabunge, ndio hawapeleki taarifa

    • @josephinewangwe9064
      @josephinewangwe9064 3 ปีที่แล้ว

      @@nuruelmada9570 kwa kweli wabunge wanaumiza wananchi mpaka huruma ukiona vibibi vinaangaika hata misaada hamna kama hakuna serikali

  • @kingfocustzog
    @kingfocustzog 3 ปีที่แล้ว +19

    Ukiwa Single Hakuna Mtu Anayekutafuta Wala Kukupenda Ila Ukiwa Kwenye Mahusiano Yenye Furaha Sasa Hapo Ndo Vishetani Vinajileta. 😁

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulaze mahali oema peponi Magufuli

  • @trophainamagogwa7966
    @trophainamagogwa7966 3 ปีที่แล้ว +4

    Mpeni kura anawapenda saana

  • @priscalameck8700
    @priscalameck8700 3 ปีที่แล้ว +16

    Msukuma nakupendaga sana😄😄

  • @zesootv6726
    @zesootv6726 3 ปีที่แล้ว +3

    Achakuongea kikabila tutafanya nchi ye2 iwe kama kenya

  • @festondenga4253
    @festondenga4253 3 ปีที่แล้ว +5

    Napenda sana kisukuma ndooo maana hata rais wangu nipo nae begakwabega

  • @amiramir-tx1my
    @amiramir-tx1my 3 ปีที่แล้ว +6

    Baba tupo pamoja sana

  • @deborahbenny458
    @deborahbenny458 3 ปีที่แล้ว +6

    Mbona tundu la choo haliogea luga yake singida?wapinzani aibu mmesha shindwa zamani hata ulaya tunawacheka kwa miemko yote lisu halio kuwanayo huku ulaya tumemchoka

  • @trophainamagogwa7966
    @trophainamagogwa7966 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwabheja saaaana ngosha

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk 3 ปีที่แล้ว +4

    Waandishi wa habari mnaotokana na makabila ya kusini kanda ya ziwa na kati na mashariki na magharibi mnashindwa wapi kutofautisha R & L? #Kuchalaza ndio nini?

  • @majabamagashi2466
    @majabamagashi2466 3 ปีที่แล้ว +3

    Taarifa ya habari ya saa mbili uck

  • @atanasjisonge2538
    @atanasjisonge2538 3 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana msukuma

  • @georgeisdory9998
    @georgeisdory9998 3 ปีที่แล้ว

    Msukuma ni machine 👍👍👍 shuleni dalasa la Saba
    Maishani Ana degree

  • @user-mu7fi2id3i
    @user-mu7fi2id3i 4 หลายเดือนก่อน

    Msukuma we noma bungeni ongera sana

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 3 ปีที่แล้ว +3

    Mnaleta malugha yenu huo ndo ukabila tunaosema ongea kiswahili yatoshaa full stop

    • @nellywizz9631
      @nellywizz9631 3 ปีที่แล้ว +4

      Apo yuko kwny hyo kanda uo sio ukabila hzo ni njia tu za kuwafurahisha wananch wa hyo kand ili apte kura

    • @selematwiga8306
      @selematwiga8306 3 ปีที่แล้ว +1

      Utaelewa tuu

    • @julianamasunga700
      @julianamasunga700 3 ปีที่แล้ว +1

      Mtaelewaa tuuuu 😅😅😅😅

    • @rosemarycharles481
      @rosemarycharles481 3 ปีที่แล้ว +1

      Utaelewa

  • @aginesmashakaMashaka
    @aginesmashakaMashaka 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @NaomySinkonde
    @NaomySinkonde 2 หลายเดือนก่อน

    Unaundug na magufulu nin mbon unapita njia kam za magufuli at kuongea jmn mung akulinde

  • @bossibratvonline5431
    @bossibratvonline5431 3 ปีที่แล้ว +5

    Yani ccm hamna aibu mnakusanya wanafunzi

    • @presseg.6362
      @presseg.6362 3 ปีที่แล้ว +2

      Kwani wanafunzi siyo watanzania!? Nyie chadema msipoongea kuna tatizo gani, mbona kila mnapata tuu kasoro!! Sijui mkoje asee

    • @bossibratvonline5431
      @bossibratvonline5431 3 ปีที่แล้ว

      @@presseg.6362 wanafunzi sio wapiga kura mnasomba wanafunzi kurudi nyumbani mnawatelekeza acheni siasa imewashinda

    • @presseg.6362
      @presseg.6362 3 ปีที่แล้ว +2

      Kwani hawapaswi kumwona Rais wako!?

    • @bossibratvonline5431
      @bossibratvonline5431 3 ปีที่แล้ว

      @@presseg.6362 wamekusanywa kuongezea vichwa ccm hamna chama hapo kishakufa mama Maria Nyerere aliwaambia siku ile ukweli na uwazi mlimleta kwa nguvu na kumlazimisha aongee jana wanafunzi wameamriwa wabadili nguo waende mkutano yani kifo cha mende

    • @joycemwambe3494
      @joycemwambe3494 3 ปีที่แล้ว +1

      Wapiga kura wapo sana sana subiri28oct ndiyo utajua pole sana endeleeni kujifariji chadomo

  • @rosesanga6163
    @rosesanga6163 3 ปีที่แล้ว +1

    ZINGATIA HAYA ILI KUPUNGUZA KASI YA UZEE NA KUZEEKA BILA MAGONJWA MENGI.
    Lishe bora ni muhimu sana.
    Tumia Lishe bora, lishe inayopendekezwa ni ambayo huusishwa na ulaji wa kiwango kidogo cha nyama na kuku, maziwa, divai kidogo na utumiaji wa mafuta ya mzeituni, ulaji mkubwa wa mboga mboga, nafaka matunda na samaki.
    Lishe hii imeonyesha kupunguza hatari ya kupatwa na matatizo ya kiakili kama vile ugonjwa wa Alzheimer.
    zingatia wakati wa kulala na kuamka,
    ni muhimu kwa kazi zinazofanywa na ubongo, mfano, kutoa uchafu kutoka akilini ambao umejikusanyika siku nzima.
    Wakati tunapolala nafasi katika mshipa ya akili huongezeka na kuimarisha ufanyakazi wa ubongo.
    Pia kupunguza kalori (mafuta) kunaweza kupunguza kasi ya kuzeeka.
    Mazoezi ya mara kwa mara pia ni muhimu katika kupunguza athari za kuzeeka.
    Utafiti unaonesha kwamba mazoezi ya viungo yana jukumu muhimu katika ubongo kufanya kazi vizuri na pia kunapunguza kasi ya kupungua kwa ubongo na kuimarisha utendaji kazi wake.
    Kwa upande mwingine, imethibititshwa kwamba watu wenye kiwango cha juu cha elimu au ambao wanadumisha shughuli za kitaaluma - kama kusoma au kupata ujuzi fulani - uwezekano wa wao kuzeeka vibaya uko chini sana.
    Punguza kiwango cha pombe unachokunywa
    Huku ikiwa kunywa kiwango kikubwa cha pombe kunaweza kuhatarisha utendaji kazi wa akili
    Jiepushe na kuvuta sigara
    Uvutaji singara bila shaka ni tabia ambayo inastahili kuepukwa, kwasababu inahusishwa na kuongeza kasi ya kuzeeka kwa ubongo na matatizo ya kiakili
    Yote hayo yanaweza kusababisha uharibifu mkubwa kwa mishipa ya ubongo na kuongeza kasi ya kuzeeka.
    Yaani, unahitajika kupata lishe bora, lala usingizi saa za kutosha zinazohitajika, epuka kunywa pombe kupindukia, usivute sigara na pia epuka kuwa na msongo wa mawazo na fanya mazoezi kiasi.
    Je unahitaji kuzeeka bila kuwa na magonjwa mengi pia kuzeeka bila kupoteza kumbukumbu na kuwa na afya ya macho
    Tutafte kwa msaada zaidi
    0758112592

  • @edwardchokala2425
    @edwardchokala2425 3 ปีที่แล้ว

    Duu wanafunzi kama wote du inakela watoto wa shule tume mpo wapi

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 3 ปีที่แล้ว

    Tumeshashinda hdi Hapo

  • @evakaijage4823
    @evakaijage4823 3 ปีที่แล้ว

    Kanyaga Twende baba.

  • @walterkissima7364
    @walterkissima7364 3 ปีที่แล้ว +3

    Kilugha huwa hakiruhusiwi kwenye kampeni

    • @ammaherman3391
      @ammaherman3391 3 ปีที่แล้ว +4

      Aliyekwambiaga nani?
      Tanzania ni nchi huru na ina makabila.

    • @maatumkadhi1760
      @maatumkadhi1760 3 ปีที่แล้ว +3

      @@ammaherman3391 nikweli wengine hawajui kiswahil kwa ufasaha wakat ni watanzania wanahaki ya kujua kinachoongelewa

    • @walterkissima7364
      @walterkissima7364 3 ปีที่แล้ว

      Wakalimami wapo, hii huchochoea ukabila kitu Nyerere alijitahidi kutomekeza

    • @paschalmichael9744
      @paschalmichael9744 3 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo

    • @josephinewangwe9064
      @josephinewangwe9064 3 ปีที่แล้ว

      @@maatumkadhi1760 your very bright

  • @edwardchokala2425
    @edwardchokala2425 3 ปีที่แล้ว

    Ukambila umeanza kuomba kula? Situtagawanyika mw, nyelele fufuka ujione ukabila ulivo tamalaki kwa wagombea?

  • @SwaleheSekiondo
    @SwaleheSekiondo 2 หลายเดือนก่อน

    1:30

  • @geopolitics94
    @geopolitics94 3 ปีที่แล้ว +6

    Msukuma ni jembe sana 😂

  • @user-ww6kf5pi2f
    @user-ww6kf5pi2f 4 หลายเดือนก่อน

    Saf san

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 3 ปีที่แล้ว +3

    Vilugha kwenye kampeni vimekatazwa why huu ukabila?

    • @dicksonsheja251
      @dicksonsheja251 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwani lisu alipokua kwao singida alikua akiongea kizaramo??

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 3 ปีที่แล้ว

      Vimekatazwa na nani,?hata mimi ningeongea kwetu,unajua mwananchi anapenda ukiongea naye kilugha??anaona haulingii cheo chako,usiwe mshamba

    • @solemba595
      @solemba595 3 ปีที่แล้ว

      Kila kabila wakianza kuongea Lugha yao ndio mwanzo wa mgawanyiko, kama watu wote wanaelewa kiswahili Kwann kitumike kilugha, Mwalimu Nyerere alikemea Mambo yanayopelekea kutugawa, kwabahati mbaya kunawatu wanadhani kila anachofanya Mh. Ni sawa lkn wako kimihemko zaidi ya uhalisia.

    • @dtherockguy9003
      @dtherockguy9003 3 ปีที่แล้ว

      huyu vp

  • @mwakaloboambele5161
    @mwakaloboambele5161 3 ปีที่แล้ว +1

    Viruga no

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 3 ปีที่แล้ว

      Why ni muhimu wananchi wanapenda kiongozi asiyejidai

    • @julianamasunga700
      @julianamasunga700 3 ปีที่แล้ว

      JPM siyo mkataaa kwao ...kama huyo raia Wenu wa uberligi

  • @LomutelekishonMbario
    @LomutelekishonMbario 3 หลายเดือนก่อน

    Lomute mbario

  • @hasanainkhalid5367
    @hasanainkhalid5367 3 ปีที่แล้ว +3

    Hawa watu wanaeneza kisukuma tu

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 3 ปีที่แล้ว +1

      @hassan ...kwani hujui kama hiyo lugha baada ya kiswahili ndio hiyo kwa ukubwa na ukikaa usukumani lazima ukiongee utake usitake.

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 3 ปีที่แล้ว

      Safi kabisaaaa napenda

    • @julianamasunga700
      @julianamasunga700 3 ปีที่แล้ว

      Wewe ulitaka aongee lugha ya baba yako akiwa kanda ya zinaa?mnawewesekaa tulieni tulieni....

    • @dtherockguy9003
      @dtherockguy9003 3 ปีที่แล้ว

      watu wivu tyu

  • @bhokechacha4403
    @bhokechacha4403 3 ปีที่แล้ว

    8iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii8iiii8iiiiii8iiiiii8i8i8ii8iiiii8ii8888i8iiii8i88iiiiiiiiiiiiiiiiiiiii8iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @CyimSky
    @CyimSky 3 ปีที่แล้ว

    Hivi ndivyo Bill Gates alivyoweza kupata mafanikio ni lahisi sana ila akili nyingi
    th-cam.com/video/LHV8Lmxh1Rw/w-d-xo.html

    • @ammaherman3391
      @ammaherman3391 3 ปีที่แล้ว +2

      Kama rahisi mbona ww bado unatafuta subscribers. Si ufanikiwe na ww basi kama rahisi.

    • @nabiiwakwanza6164
      @nabiiwakwanza6164 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ammaherman3391 achana nae mshamba huyo

    • @rehemaali8242
      @rehemaali8242 3 ปีที่แล้ว +1

      Tundu ziiiiiiiiiiiiiiiiii magu oyeeeeeeeeedeeeeeeeeeeeeee