TAZAMA: Sauti ya Zuchu ilivyowaliza na kuwafariji waombolezaji Uwanja wa Uhuru

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 653

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 3 ปีที่แล้ว +20

    Jua letu limeteremka mama. Lo, usiku upite siku mpya lichomoze tena majonzi yageuke kuwa furaha ya kumbu kumbu kwetu daima na maisha yasonge mbele zaidi. 🙏💐💐

  • @okothomondi
    @okothomondi 2 ปีที่แล้ว +31

    Can't forget this day, found me in a Agan Hospital battling Covid-19. When I watch this funeral procession, the picture of me struggling for breath comes to mind. Rest in peace Magufuli, it isn't only Tanzanians that love you, some of us in Kenya were also your fan. May you continue resting in peace ☮️ Pombe.

  • @faudhiamalllata290
    @faudhiamalllata290 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuja hapa kutazama leo19.3.2022 pumzika kwa amani dady naumia mpaka leo daa

  • @zenasambe3626
    @zenasambe3626 2 ปีที่แล้ว +21

    And am here today again😭and still can't hold back my tears😭😭😭😭continue resting LEGEND,,YOU ARE INDEED MISSED🙏

  • @mrishogange4276
    @mrishogange4276 3 ปีที่แล้ว +154

    Sijawah kumwaga choz kwa mtu ambaye sio ndugu yang,ila Magu ameniliza wallah

  • @anastaziamoses4100
    @anastaziamoses4100 3 ปีที่แล้ว +25

    Nimekuja tena apa leo mwaka mpya bila wewe ila moyo unauma sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu nisamehe mimi kama kumlilia mtu ni zambi nashindwa kujizuia kwa huyu baba Magufuli 😭😭😭😭

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @TunuMbega-g2y
      @TunuMbega-g2y ปีที่แล้ว

      Kabisa yaani 😭😭😭 naangalia 2023/10/10

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 ปีที่แล้ว +66

    Hii nyimbo inafuraisha na leo tunaikumbuka kwa huzuni 😭😭😭akuna namna kwakwel Mungu mpokee baba etu

  • @missmac5204
    @missmac5204 3 ปีที่แล้ว +69

    Rais wa Tanzania was loved by many. The pictures spreading on social media are evidence of this pure-love for a president. He will live to be forever a legend. His fear for God, his good heart, his good deeds and his development for his country Tanzania🇹🇿 will always be remembered many many years to come. Continue resting in peace His Excellency Mr. John Pombe Magufuli.

  • @mamanillan5417
    @mamanillan5417 3 ปีที่แล้ว +31

    Nenda babaaa 😭😭😭😭🙏🙏🙏 umeumaliza mwendooo salamaaa watanzaniaaaa tunaliaaaaa 😭😭😭🙏🙏🙏 punzikaaa kwa amaniii jemedali wetu

  • @Bitlontravels555
    @Bitlontravels555 3 ปีที่แล้ว +9

    Wow! Freedom Song. Njia bora zaidi ya kumuaga jasiri wa Afrika! #RIPMagufuli thank you Tanzania!

    • @taturajabu5977
      @taturajabu5977 3 ปีที่แล้ว

      Tutamkumbuka sana jembe la chato

  • @ahmedmohammoha5729
    @ahmedmohammoha5729 3 ปีที่แล้ว +50

    From Kenya kifo chake kimeniguza sana RIP balii nitakukbuka Sana

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 3 ปีที่แล้ว +50

    Jua limeteremka daah..! 😭😭😭 Maisha ya mwanadamu ni fumbo 🇰🇪🇰🇪

    • @rosalinaambayisi1808
      @rosalinaambayisi1808 3 ปีที่แล้ว +1

      Proud of your leadership style you're a role model. Rest in peace Dr Magufuli

    • @vicentrogers9465
      @vicentrogers9465 2 ปีที่แล้ว

      Ndo Hivyo ndg

  • @neemajulius1256
    @neemajulius1256 3 ปีที่แล้ว +11

    Baba yetu hatutakuja kukusahau maisha yetu yote umetuliza Sana atakayetufuta machozi yetu ni Mungu mwenyewe

  • @yusuphabonike1050
    @yusuphabonike1050 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nakukumbuka sana Legend Magufuli Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi na akuangazie mwanga wa Milele huko uliko.2024 hii comment.

  • @lauraabass1077
    @lauraabass1077 3 ปีที่แล้ว +19

    Hii ni moja ya nyimbo ambazo Hayati Komando Magufuli aliipenda mno, inaniuma namkumbuka nikiiskia. Oh will allways love you baba mtetezi wa wanyonge mpenda maendeleo. Umeiacha Tanzania yako na sisi wanao, Rest in peace kipenz chetu 🙏

  • @robenapomola2395
    @robenapomola2395 3 ปีที่แล้ว +80

    Unaweza kuona mtu anacheza kwa furaha kumbe ni nguvu ya maumivu moyon da😭😭😭

    • @zuhurambonde1982
      @zuhurambonde1982 3 ปีที่แล้ว +8

      Wanajifariji Bila hivo dah tutapoteza wengi baba Maghufuli amejua kutuliza wananchi wake pumzika baba.

    • @nyororotherock5567
      @nyororotherock5567 3 ปีที่แล้ว +5

      Hakika machozi tupu

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 3 ปีที่แล้ว

      @@zuhurambonde1982 kwel kbs

    • @francemzaga4045
      @francemzaga4045 3 ปีที่แล้ว

      J

    • @mudriqhamidu6031
      @mudriqhamidu6031 3 ปีที่แล้ว

      Inakubidi ujipe faraja t cz ukikaa na maumivu sn unaxidi jipa showck hunabudi kuwa hvyo

  • @HERESNESTORY
    @HERESNESTORY 4 หลายเดือนก่อน

    Nipo hapa tena tar 17th august 2024 nani mwingine

  • @shammyngude5060
    @shammyngude5060 3 ปีที่แล้ว +4

    Zuchu asante kwa kufuta machozi ya Watanzania

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 3 ปีที่แล้ว +13

    Jamani hata cc waoman tunalia saana .yaani huyu Rais Mashalhaa.ni mfano wa kuigwa.nipo chini ya Tv kumuaga.lkn cwezi uvumilivu ni kilio tu.yaani haijanipita cku mimi bila kumuangalia Huyu Rais.kwakweli alikuwa ni mtu mwema.Mungu amuweke mahala pema.poleni wa Tanzania woote.

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 9 หลายเดือนก่อน +1

    Miaka mitatu bila magufuli ni ngumu kuamini haizoeleki

  • @mwanashabakari6499
    @mwanashabakari6499 3 ปีที่แล้ว +5

    Pole ndugu zetu Wa Tanzania mungu awape nguvu wakati huu wa huzuni.grt lov from kenya

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndio hata mimi nakumbuka ilikuwa ukiimba uwo wimbo anafurah anacheza alikuwa anamwambiaga zuchu auimbe. Mtu akipenda nyimbo akiwa hayupo mtu lazima tu utamkumbuka kama baba aliipendaga wimbo Wa daimond Wa ukimuona ule una maneno Mazur Ata mimi na mtoto wa mama mkubwa tulikuwa tunaipenda alipenda pia nyimbo ya mchimba mashimo ya jenifa mgendi yani paka akawa anamoenda jenifa kwaajil ya ile nyimbo ulisema kanisani jenifa atakuja yupo lazi aje utamsikia na mimi nitaenda. Ata mimi nilikuwa naipendaga paka nilinunuwa mkanda ukapoteaga mama mdogo ananunuwa tena mana aliona nyimbo NZUR jenifa shushu na wengine nyimbo zao zinagusa good laki Martha mwaipaja ant yangu alikuwa anayo Mikanda yake

  • @ghinnerbobiholicnalutaaya2644
    @ghinnerbobiholicnalutaaya2644 3 ปีที่แล้ว +25

    A good heart has stopped beating, a good soul ascended to heaven we part wth our beloved in pain 😭😭rest in internal piece ur was so different, Humble😭😭may Allah judge ur soul with mercy 🙏🙏🙏

  • @sweetmelody1191
    @sweetmelody1191 3 ปีที่แล้ว +43

    Kiukweli imewafariji Mungu aibariki sauti yako zuchu atleast umewavuta machozi

    • @Swahili14
      @Swahili14 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭

    • @rezegerezege691
      @rezegerezege691 3 ปีที่แล้ว

      Rais Magufuli hai siku sote kwenye mioyo yetu wa Tz

    • @rehemahayongo4159
      @rehemahayongo4159 3 ปีที่แล้ว +1

      Zuchu uzidi kubarikiwa na sauti🙏🙏

    • @peragiaisdor6315
      @peragiaisdor6315 3 ปีที่แล้ว

      Miez 4 😭😭😭😭😭sasa

  • @christinapeterntibagiligwa2556
    @christinapeterntibagiligwa2556 3 ปีที่แล้ว +10

    Umejua kuniliza baba 😭😭😭amka Basi useme kitu,amka uone tunavyolia Baba, nimekumiss Sana Baba 😭😭😭😭😭😭😭😭😭siku zote hizi haujara haujanywa maji eeh mungu ninusulu namaumivu haya siwez peke ang bila faraja yko 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @hadijaseboha5188
      @hadijaseboha5188 3 ปีที่แล้ว

      Pole Sana ndugu tuzidi kumuombea rais wetu apumzike kwa amani japo itakua ngumu kumsahau kwa aliyotutendea

    • @elizabethkassoga493
      @elizabethkassoga493 3 ปีที่แล้ว

      Pole Christina

    • @christinapeterntibagiligwa2556
      @christinapeterntibagiligwa2556 3 ปีที่แล้ว

      @@elizabethkassoga493 Asante my dear,tuombeane kwakipind hik kigum 😭😭😭😭

    • @christinapeterntibagiligwa2556
      @christinapeterntibagiligwa2556 3 ปีที่แล้ว

      @@hadijaseboha5188 Asante mamii pore na wewe kwakuondokewa namtetezi wetu 😭😭😭😭😭

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭 miss You my Daddy 24/12/2021 kesho ningekuona kwenye Hbr yaani.
    R.I.P DADDY.😭😭😭

    • @januaryexpilius5999
      @januaryexpilius5999 2 ปีที่แล้ว

      Yani hatutapataga laisi Kama huyuu watanzania wenzanguu

  • @georgemhalla8853
    @georgemhalla8853 3 ปีที่แล้ว +4

    Najua tu, Rais wetu wamemuua, Ila sawa tu, pumzika kwa Amani Baba, your still my president in ❤️ forever & ever. Love you Sana Magufuli.

  • @johntogoro6191
    @johntogoro6191 3 ปีที่แล้ว +1

    Bado nakulilia baba

  • @paulodaki9015
    @paulodaki9015 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera jwtz kwa kutoruhusu geneza la rais wetu isiguswe na police hapo nomewakibali wanchi na jeshi lao la wananchi

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx 3 ปีที่แล้ว +4

    Siku wahi Kumlilia mtu Asokuwa Ndugu yangu ila Msiba hu wa Magufuli Nalia 😭Mpaka sasa Nalia Mapigo yangu yamoyo Hayako salama yana Dunda kila napo Ona Hizi Clip 😭Eeeeh Mungu Awape nguvu Familia ya Marehemu wetu Yeye mbele Sinyuma tunamfata #RIPMagufuli 😭😭💔🇹🇿

  • @dhillonkidambi9839
    @dhillonkidambi9839 3 ปีที่แล้ว

    My friend the best president of Africa 😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @petermusasia2232
    @petermusasia2232 3 ปีที่แล้ว +23

    I've just shed tears after watching this. The song is so nice. Go well Magufuli. The connection you had with your people was so strong. May God Receive you in heaven and rest in peace. Tanzania and East Africa will Miss you.

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 4 วันที่ผ่านมา

    Im Kenya but loved ur leadrshp n devlpmnt,n zuchu congs,may his soul RIP

  • @akhuisaif3061
    @akhuisaif3061 3 ปีที่แล้ว +14

    Daah 😭😭mioyo yaumia lakini kikubwa ni kuzidi kumoembea zaidi makazi mema kama aliko acha.. Gonga like twende pamoja

    • @khamisikitumbo1671
      @khamisikitumbo1671 3 ปีที่แล้ว

      Kama muislam hakuna ruhusa ya kumuombea asiyekua muislam baada ya kufa haifai ni haram,.Allah anasema kumwambia mtume :sawa sawa umewaombea au huku waombea msamaha Allah hato wasamehe.

    • @junaidybwanamkuu3175
      @junaidybwanamkuu3175 3 ปีที่แล้ว +1

      Yes

    • @akhuisaif3061
      @akhuisaif3061 3 ปีที่แล้ว +1

      @@junaidybwanamkuu3175 ❤️🇹🇿🤲🙏

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 ปีที่แล้ว +1

      shukran kwa kutukumbusha

  • @justinempemba7823
    @justinempemba7823 3 ปีที่แล้ว +1

    Sina lakusema yeye Kama yes tazania

  • @wahidarama1892
    @wahidarama1892 3 ปีที่แล้ว +1

    Mi napita tu mana siamini nnachokiona nabaki kunukuu kauli yake kwamba tutamkumbuka kwa wema

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwa haya yanayofanyika hakika wewe uliuwawa kwa masilahi ya mafisadi,na watanzania wanyonge

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 ปีที่แล้ว +9

    Haki Baba aliupenda sana huu wimbo mwenyewe kati ya nyimbo za zuchu huu ndo naupenda kliko zote jmnj

    • @Swahili14
      @Swahili14 3 ปีที่แล้ว +1

      Aliimba kwa hisia sana na sauti ya dhahabu so POWERFUL 😭😭😭♥️

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +2

      aliupenda kwa sababu dictator alipenda kusifiwa .

    • @huntertm1514
      @huntertm1514 3 ปีที่แล้ว +1

      @@kiri5807 Asante kwa kuropoka na kuonyesha ... wako

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 ปีที่แล้ว

      @@huntertm1514 alienda huu na ule wa harmo rmx ya ngwangwaru

    • @sikuzanikhalfan618
      @sikuzanikhalfan618 3 ปีที่แล้ว

      @@kiri5807 Kuna wanadamu wengine waliletwa hapa Duniani siyo tu kumfuata shetani bali pia pia kumsaidia shetani bila shaka wewe @ Dioanoaye ni mmojawapo. RIP JPM, siku zote utaendelea kubaki kwenye mioyo yetu kwa mengi mazuri uliyotufanyia wa Tanzania.

  • @djrichsingelifreva8245
    @djrichsingelifreva8245 3 ปีที่แล้ว +34

    Toka juzi nilikuwa siamini ila leo ndo nimeamini Jasiri muongoza njia ametangulia mbele za Haki kwakweli nimelia na sijajua Kama nitanyamaza maana nikikumbuka tu matendo ya Magufuli kwa wananchi wake nabaki nalia tu 😥😥😥😥

    • @jacksonkanzira9789
      @jacksonkanzira9789 3 ปีที่แล้ว

      Haupo mwenyewe kaka. Pole sana... Hata mimi nimelia sana

    • @felistamwashibanda7764
      @felistamwashibanda7764 2 ปีที่แล้ว +1

      Tunalia wengi mm ni mwaka sasa na miez Bado nalia tu, 😭😭😭😭😭😭

  • @doricemichelle3614
    @doricemichelle3614 3 ปีที่แล้ว +31

    Imagine huu wimbo mara ya mwisho ulivyopigwauwanjani nayeye alikuwa anaucheza😌#TanzaniayaMagufuli😌

  • @victoriouslife1688
    @victoriouslife1688 3 ปีที่แล้ว +5

    Poleni sana wa Tanzanians wa Ndugu zetu, tumewashika migongoni nyote, tumemutakia pziko lema , tunaamini kwamba ataendelea kuwa kielelezo kizuli kwa kila mtu, na msing ambae amewujenga musihalibu. Mungu ako upande wenyo pia ako tyali kuwaponya kidonda cha kifo cake msihogope wa pendwa.

  • @mariampaulsen8809
    @mariampaulsen8809 3 ปีที่แล้ว +3

    kai asante baba yetu Magufuri kwakutuachia mama
    so proud mwana mtanzania

  • @jenariomunene376
    @jenariomunene376 3 ปีที่แล้ว +18

    Huu wimbo umefanya nimwage machozi nikikumbuka Magufuli hatutawahi muona tena duniani. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

    • @floraladislaus1142
      @floraladislaus1142 3 ปีที่แล้ว

      Mungu ndo anajua uchungu walionao wananchi🤔 Sasa hivi ni mwendo wa😷

  • @idriskenna199
    @idriskenna199 3 ปีที่แล้ว +63

    What a great president de son and hero of Africa love you from Kenye we gonna miss you 😭😭😭

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว +31

    Mbele Yake nyuma yetu MW/MUNGU amlaze mahali pema peponi 🙏😭🇹🇿💔

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 3 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nenda baba daa jamani MUNGU muangazie mwanga wa kaburi muondoshee adhabu za kaburi muweke mahali panapostahiki 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @lindagirl9826
    @lindagirl9826 3 ปีที่แล้ว +32

    God please Comfort Tanzanian people 😭😭😭 I’m Ugandan live in USA but I can’t stop crying this is to much 😭😭😭 I know it can’t happen but I wish God can bring this man back 😭😭Rip the best president in Africa 🙏

    • @simonpure109
      @simonpure109 3 ปีที่แล้ว

      I cried for six straight days!!! I called sick...

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuuh aisee yahni dunia hii kuna watu wamegusa mioyo ya watu kwa asilimia moja

  • @agesag.m2476
    @agesag.m2476 3 ปีที่แล้ว +13

    What a wonderful send-off, this was indeed a great Leader and a Man of the People. Rest in Peace Mr. President.....Condolences from Kenya.

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 3 ปีที่แล้ว +4

    KWA HUZUNI HIZI ZILO WAJAA WATANZANIA HALAFU KUNA WATU WENGINE WANASHANGILIA KABISAA UTADHANI WAO WATABAKI ! KIFO SIO JAMBO LA KUFURAHIA KWA SABABU HAKUNA ATAKAE BAKI .
    ILA KILA MMOJA ANA SABABU ZAKE,,, ANAE HUZUNIKA ANASABABU NA ANAE FURAHIA ANA SABABU ZAKE.
    POA MALIPO KWA MWENYEZI MUNGU 🙏🙏🙏

  • @shaqirhassan2352
    @shaqirhassan2352 3 ปีที่แล้ว +9

    Hadi kamanda mwanajeshi kalia sio mchezo daaah so sad watanzania tupendane ameacha alama kubwa sana tumuenzi kwa utendaji mzur wa kazi

  • @venasasende1474
    @venasasende1474 3 ปีที่แล้ว +28

    Wakwanza ku comment from 🇿🇦🇨🇩🇿🇦

    • @jaxxjoo1973
      @jaxxjoo1973 3 ปีที่แล้ว

      Kesho limetulia Sana Ila zuchu anatukumbusha tusilie tupambane as magu

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 3 ปีที่แล้ว +10

    Jipen faraja aendako apokelewe kama mlivo mpenda Amin insha'Allah

    • @taturajabu5977
      @taturajabu5977 3 ปีที่แล้ว

      Kwani wewe ulikuwa hajampenda?

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 3 ปีที่แล้ว +10

    kidogo ata nacheza leo thenx zuchu 😭😭😥👏👏👏🕊️

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 3 ปีที่แล้ว +2

    Nitakukumbuka daima anko magufuli watanzania tulokupenda sana na tutaendelea kukupenda na kukuenzi R.I.P jpm😍

  • @patiencenimmoh3956
    @patiencenimmoh3956 3 ปีที่แล้ว +17

    Baba ulale salama na utuombee kwa Mwenyezi Mungu 😭😭😭😭😭

  • @nikitalucas2323
    @nikitalucas2323 3 ปีที่แล้ว +19

    Mbinguni wamepata malaika mpya 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿😭😭😭Mungu baba mpe pumziko la milele rais wetu mpendwa

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 3 ปีที่แล้ว +4

    Roho inauma nikikumbuka siku huu unaimbwa live magufur alisimama akamfata zuchu pigo kubwa kwetu Watanzania na Africa

  • @robertongeso9262
    @robertongeso9262 2 ปีที่แล้ว

    Keep resting in power Mr president

  • @ayshameme4856
    @ayshameme4856 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama Janeti futa machozi sisi tupo na ww tunaliaa woteee😭😭😭😭

  • @anganilekajigilikajigili2641
    @anganilekajigilikajigili2641 3 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo naukubali sana had sio pw I love you Zuchu 😀👍👍👍💓❤❤❤

  • @amosjoliga7121
    @amosjoliga7121 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuu Pumzika John Pumzika John Pumzika John,Amina I'm watching 19.03.2022

  • @shariphnassoro3802
    @shariphnassoro3802 2 ปีที่แล้ว +1

    ...😭😭😭...

  • @peterrichard9769
    @peterrichard9769 3 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli was people's president, humble, God fearing person, he was the saviour in his nation, I truly don't know if Tanzania, is able to get another leader like Magufuli,
    Why am saying this, numerous people are after money, they don't love their people, they get bad influence from External, overseas,which can devastate the economy, but Magufuli, was given a deeper understanding and insight on how to manage his people.

  • @nellyflo9736
    @nellyflo9736 3 ปีที่แล้ว +5

    🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪😭😭💔💔💔💔aki zuchu wetuu na ville baba Magu alikuita kwa jukuaa...😭😭😭

  • @ivanminja7954
    @ivanminja7954 3 ปีที่แล้ว +15

    Kwa mara ya kwanza leo chozi limenitoka, dah......Tumepoteza mtu muhimu sana kwenye Taifa letu na Africa kwa ujumla, RIP John Pombe Magufuli, imani yetu na ushindi upo kwa Mama, na mimi binafsi sina wasiwasi nae kabisaaaa, anaweza kutuvusha hapa tuliposimamia kipindi hiki. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

  • @zenaabdallah3797
    @zenaabdallah3797 3 ปีที่แล้ว +1

    TUTAMKUMBUKA RAIC WETU CHAPAKAZI MACHO CHARI

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani wamenyanganya Tanzania mtu maalufu sana hao washenzi. Mafisadi. Tanzania ilikuwa kama kila siku ni New Year. Kila corner ya dunia ilikuwa inaitaja Tanzania. Kila corner ya dunia ilimjua Maghufuli. Watu wasiopenda siasa Maghufuli sliwafanya wapende siasa na wapende kwenda kutembea Tanzania. Washenzi wameinyanganya hiyo nchi nuru yake. Yaani kila siku kulikuwa ni.kama sikukuu kwa sababu ya approach yake ya siasa. Uchungu hwutaisha mioyoni mwa watu wema isipokuwa mafisadi wanafurahi. Sijui wanafurahi nini. Kuiba?

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 ปีที่แล้ว +5

    Yasni unaeza kuona km watu wanafurahi kumbe ni nguvu ya maumivu moyoni ,😭😭😭 ni uchungu sana jmni wimbo unafariji jmni japo uchungu sna dah

  • @Zamdaification
    @Zamdaification 3 ปีที่แล้ว

    Dah nimekukumbuka Rais wetu Magufuli ....😥😥

  • @kevinkwalimwa3273
    @kevinkwalimwa3273 3 ปีที่แล้ว +1

    Kevin

  • @elsachimwani5018
    @elsachimwani5018 3 ปีที่แล้ว +1

    Zuchu hoyee utunzi creative! Uzalendo kweli!😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @ramtenterprises331
    @ramtenterprises331 3 ปีที่แล้ว +1

    Zuchu oyeeeeeeeeeee

  • @Aisha-om9go
    @Aisha-om9go 3 ปีที่แล้ว +10

    Umeenda baba daah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @alfredjustinian9588
    @alfredjustinian9588 3 ปีที่แล้ว +25

    Sometime nilisikiliza huu wimbo nakuwa na furaha jmn tangulia kwa amani tutakumic atr jmn

    • @jamesmuoria1956
      @jamesmuoria1956 3 ปีที่แล้ว +1

      iko poa sana mpaka machozi yatoka

    • @missmrs829
      @missmrs829 3 ปีที่แล้ว

      Sanaa tutakukumbuka Baba

  • @shadymbuki87
    @shadymbuki87 3 ปีที่แล้ว +4

    Chuma kweli umetuacha jamani, tulisubiri sana utoke uwaaibishe kama ulivyofanya mwaka jana waliposema umefariki ukaibuka asubuhi kuapisha kiongozi tukakushangilia, nilijua ingekuwa hivyo tena baba, safari hii kweli umeondoka JPM...😭😭😭😭

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 3 ปีที่แล้ว +10

    Dah hadi askari wanalia hki ni maumivu mkli hasa tukikumbuka aliyoyafanya Baba yetu.Mungu akupokee mbinguni Kipenzi chetu

  • @AbdulIbrahim-r3z
    @AbdulIbrahim-r3z 27 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda Tanzania 🇹🇿 ♥

  • @sheriffwajuja3427
    @sheriffwajuja3427 3 ปีที่แล้ว

    heri nyinyi watanzania hata kama magufuli hayupo sasa mumepata mwingine kama magufuli sisi hapa kenya nishida ju ya shida nyingine heri huo muziba ungekua wa kenya tungefurai sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว +15

    Pumzika kwa AMANI shujaa Wetu 😭😭😭😭

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว +3

    Sana nilisema saut yake nzur imetufalij wakajikuta wanacheza na nyimbo iyo makuful alikuwa anaipenda sana hata mimi niliipenda, tokea hapo tangu shule nilikuwa nikiipenda, iyo nyimbo ya juwa lile litelemke sema zuchu aliongeza, na tungo zake. Kuna mtot aliimba aliipatia

    • @Swahili14
      @Swahili14 3 ปีที่แล้ว +1

      Sauti kabarikiwa jmn Zuchu's voice on Tanzania YASASA is GLAMOROUS 😭💔✨♥️

  • @Wakio231
    @Wakio231 3 ปีที่แล้ว +4

    Baba Magufuli forever in our hearts ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇹🇿we will continue to love you even though you are not here with us.

  • @dorisimwenda6279
    @dorisimwenda6279 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania ya sasa mama, ya Magufuli mama, inawaka waka mama. Kweli nchi imependeza, viva my beloved president, utaishi milele mioyoni mwa watanzania

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 ปีที่แล้ว +1

    This memory will never get away from my mind, em glad that I was one of the ppl who go ther and giv our last respect to our one and only President,,,we dearly miss him,,we love him until the end of us,, THANK YOU MAGUFURI

  • @manfredgungah4246
    @manfredgungah4246 3 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania msiupoteze wasia wa Baba Magufuli hak amelinda iiilinda Sana heshma ya watu wake pema Magufuli panamngojea Mungu iongoze safari yake 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi6394 3 ปีที่แล้ว +1

    Mis u more our Real Real Real Real Real PRESIDENT JP Magufuli RIP😭😭😭😭

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 3 ปีที่แล้ว +1

    Raisi wa kwanza kuniliza hivi Dah

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 3 ปีที่แล้ว +5

    Corona ushindwe na ulegee kutu malizia watu mungu akuteketeze utukome waTanzania shetwani yeyuka katika taifa letu.😭😭😭

    • @ochellahchembe5195
      @ochellahchembe5195 3 ปีที่แล้ว +1

      Nani kakuambia mzee kafa kwa Corona? Acha ujinga

  • @esterpantaleo246
    @esterpantaleo246 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaaa! Huu wimbo uliupenda Magufuli jamn lkn leo hii auuchezi tena daaaa!

  • @zulfajuma9897
    @zulfajuma9897 3 ปีที่แล้ว +11

    So sadddddd😭😭😭😭😭 Allah mpokee mja wako

  • @mtetemtete9066
    @mtetemtete9066 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah kwer hayupo tena nawatanzania wake .🇹🇿🇹🇿💘💔💔

  • @sera.8bomani502
    @sera.8bomani502 3 ปีที่แล้ว

    Inauma sana jamani

  • @justinemalima6701
    @justinemalima6701 3 ปีที่แล้ว +6

    Magufuli Daima

  • @wardadimoso6649
    @wardadimoso6649 ปีที่แล้ว

    Nimuda sasa tang uondoke bba lkin sijawah kukusahau mimi Allah akufanyie wepesi inauma San mung akufanyie wepes na kùtia nguvu family na watanzania wote

  • @tracytee3626
    @tracytee3626 3 ปีที่แล้ว +1

    Tanzanians are so peaceful natafuta mume huko

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 ปีที่แล้ว

    Iyo siku sitakaa nikaisahau ktk maisha 🙏🙏🙏😭😭😭😭

  • @sharonmbithe9955
    @sharonmbithe9955 3 ปีที่แล้ว

    Bona magufuli ukamua kuondoka mapema hivo😭😭😭 wakenya tulikuwa tunakupenda sana by mungu kakupenda saidi nenda salama👏👏

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 3 ปีที่แล้ว

    ....baba mungu sisi binadamu siku zote ni wakosefu,tusamehe baba yetu..!!

  • @loicemgambi3383
    @loicemgambi3383 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana watanzania hakuna wa kulizimba pengo

  • @johnbahati478
    @johnbahati478 2 ปีที่แล้ว +1

    One year now without you. Be blessed Dad

    • @johnbahati478
      @johnbahati478 ปีที่แล้ว

      Two years since you left us, continue resting in Peace Daddy.