GHAYO MANG'OMBE (Official music video) By Elizabeth Maliganya - Bukombe wa Mbelele
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 มิ.ย. 2022
- #ElizaBand #NangaItilima #BukombeWAmbelele
Music video by Elizabeth Maliganya song titled ''GHAYO MANG'OMBE'' Video directed by doyer Maziwa DMproduction please share,comment and subscribe our channel thank you - เพลง
Eliza nyimbo zako zinanikumbusha marehemu baba yangu alipenda nyimbo zako sana asante kwa kutupa furaha
Regina niko Oman nakupata vizuri sana dad angu nafurahishwa sana na nyimbo zako
Najivunia kuwa msukuma japo Baba yangu ni taifa lingine lakini najivunia Sana ujombani napatikana Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawapenda Sana wasukuma
Wasukuma woyeeeeeee
Mwana maliganya naipenda sana nyimbo hii
Nawapenda sana watanizangu wasukuma❤❤❤❤❤
Sana kaka nyimbo zetu hizo
Yaaani Elizabeth sukuma umetuheshimisha sana wasukuma nikusikiliza uwa nasikiya raha sana 🙏
Mabuga baba niko South Africa naejoy Sana kusikiliza nyimbo za home kwetu wasukuma wenzagu hongerani Sana kwa huyo dada Elizabeth
😅😅😅uliendaje South Africa pekee yako bila mim 😅😅😅😅😅😅😅
Yaan tuliko mbali na nchi yetu unatutia moyo sana tunafurahi tukisikia nyimbo zako zinatupa furafa na faraja
Safi sana
Nawapenda sana watanizangu wasukuma❤❤❤❤❤ 2:06
Najivunia kuwa msukuma kabila kubwa
Eliza dada yangu unatisha yaani najisikia niko usukumani kwetu mwanza, simiyu na shinyanga uko vizuri sana nakuombea usonge mbele na kipaji hicho ulichonacho. Wabeja gete gete🙏🏿🙏🏿🙏🏿
OK mambo yako mama yako juu
Simiyu nyumban
Nawapat waxukuma nawapenda
Nafurahia lugha ya nyumbani hata ka nipo Kenya nafurahia kikwetu
Hongera sana Elizabeth kwa. nyimbo zako nzuri
🎉🎉
Nizukwa kukaya gete
Mayhu g'wanamaliganya shingaga muwelelo ahabhukombe wane nalakwizela lwamundege gete,,,nailisha gete ukhujulehya kalimbo kanonu mayu
wasukuma unatufaliji sana hasa tukiwa mbali,niko china nakupenda sana❤❤
💃💃 nalebhina bhung'wene uwii
KisimaKisima
Safi sana ng'wana maliganya
Nakukubali sana dada Elizabeth.
Ulechiza dadawanhe.
Wowww me mgogo but nafrah watani jamaniiiii😂😂😂😂😂😂 vemaaa sanaaa Mungu akuongozeee
Mtani karibu usukumani
@@HappyArcticBirds-iy3dg shukran sana ntakaribia
Wagogo tunawapenda
Kisima
Najivunia kuwa msukumaa
Bosongo ke bosongo myenda mmakono
Nyimbo zako zinanikosha saana kalibu biharamulo
Nazidi kukubali sana madam Eliza
Kwe2 chato kwa Sasa nipo Daes salm unajuwa dada angu
sijui kisukuma ila nime fulahi sana dada unajua
Bhanamhala bhamzengo mlehoooo
Elizabeth maliganya tuko pamoja
Najivunia kuwa msukuma jamn
Bariadi moja hiyo
❤❤
Dada Elizabeth ukopowa sana nakukubali sana .
Ulechiza dadawanhe.
Najivnia kuwa msukuma
Elizabeth tuwakilishe wasukuma dada
Nawapata vzr Sana wasukuma wezangu nikiwa comoros 🇰🇲🇰🇲 najivunia pia kuwa msukuma
asante sana Shoka kaya
@@ElizabethMaliganya obhenja mayu
Hello
@@mwajumaerias9881 safi
dada nahitaji mawasiliano yako
Nimependa wimbo asanteni
Hakika umejariwa
A sbejbo
Uko vzr
❤❤❤❤
Ulisaw
Nakutogilwe no dada
Nmeupenda hongera Sana wasukuma wenzangu
00000000000
Amazing 👏👏👏💪
Siku nakutana na wewe saloon nikweli wee nimtu wa kazi wasukuma hatujawahi kufel
👏👏🙌🙌
Sukuma
Safisana
NAS B
Maua yako dada 🎉🎉🎉
Nipo t
Good
Nawapenda sana wasukuma niko hapa( OMANI ) naijoyi😘😍
Sana
Naitaji namba yake
I wish there were translations to this. Can someone help?
I can if you wishes
Eri
@@emmanuelelisha55 saidia basi tuelewe maana wimbo umenoga kweli kweli
Yan apo mtt wa kiume anatoa mahali.
@@emmanuelelisha55 ...please do. I appreciate it.
ulisawa
🙏safi kwako msukuma napenda sana
Ule sawa mayu
Unanikumbusha nyumbani sana👏👏👏
I like that song
Nawapenda sana watanizangu wasukuma❤❤❤❤❤
❤❤