VIDEO: TAZAMA RAIS SAMIA AKIMUAGA RAIS NYUSI AIRPORT ZNZ, ULINZI UMETAWALA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ค. 2024
  • Ni July 4, 2024 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuaga mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kitaifa hapa nchini, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

ความคิดเห็น • 4