TAZAMA JINSI RAIS MWINYI na MKEWE WALIVYOTUA QATAR, AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI WA QATAR KUJA ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • TAZAMA JINSI RAIS MWINYI na MKEWE WALIVYOTUA QATAR, AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI WA QATAR KUJA ZANZIBAR
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi baada ya kuwasili jana usiku jijini Doha, Qatar akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa Jukwaa la Kimataifa la tatu la Uchumi utakaofunguliwa kesho.
    Katika ziara yake Rais Dk. Mwinyi leo asubuhi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Qatar Mhe. Muhamed Bin Ahmed Al-Kuwari na wadau kutoka sekta binafsi ya Viwanda.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 3

  • @ydl6500
    @ydl6500 ปีที่แล้ว

    Great news! We anxiously await the outcome of this top level visit.

  • @mohammedikingazi5109
    @mohammedikingazi5109 ปีที่แล้ว

    Great news

  • @kungurukingunge2761
    @kungurukingunge2761 ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa kutokana na dina ya kiislamu ungekuwa ukienda baadhi ya nchi za kiislama madame ungemuacha hotel haipendezi wewe ni muislam alafu anakua mwanamke pekeake amezungukwa na wanaume