JENGO LA GHOROFA 72 KUJENGWA ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 75

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah
    Allah sw awape Imani thabit juu ya Imani yenu hiyo ,nakuombeni kwa Allah SW awape mapenzi ya kweli juu ya nchi ya Zanzibar na awape mapenzi juu ya kuitumikia nchi yetu kwa mapenzi ya dhati kabisa na kujiepusha na rushwa au ufisadi na kupora Mali ya umma
    Amin
    Nakutakieni kheri pia Allah sw azifanye kauli zenu ziwe za kweli na ziwe za haki

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 2 ปีที่แล้ว +2

    M.mungu atufanyie wepesi na kusimamia kwa uwezo wake kila ndoto inayotarajiwa Inshallah .Ikimarika Zanzibar wameimarika wazanzibari pia. M.mungu ibaraki zanzibar na watu wake pia🤲🏻

  • @salminmabrouk5433
    @salminmabrouk5433 2 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah Allah atubarik

  • @rizikisuleiman2139
    @rizikisuleiman2139 3 ปีที่แล้ว +7

    Hongera serekali yangu ya SMZ 👏❤

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha kuwapongeza serikali ya SMZ, hawajengi wao hili jengo linajengwa na muwekezaji binafsi. Yawezekana hao SMZ wakamfanyia ukritimba na kutaka rushwa kubwa wakamkimbiza asijenge kamwe

  • @idalove-91
    @idalove-91 23 วันที่ผ่านมา

    Mungu aibariki zanzibar yetu

  • @abdullkhamis5406
    @abdullkhamis5406 3 ปีที่แล้ว

    Fantastic, Tuzidi kuimarisha Zanzibar. Hongera kabisa.

  • @Zanzibardadju
    @Zanzibardadju ปีที่แล้ว

    Insha Allah

  • @rajabumilanzi9231
    @rajabumilanzi9231 2 ปีที่แล้ว

    Nijambo jema mungu awabaliki lkn pia msisahau kujenga daraja walau la bagamoyo Zanzibar .ilikuboresha utalii na maendeleo ya Zanzibar kiuchumi kwani mawasiliano ni muhimu..kwangu daraja ni muhimu sana kuliko hata hilo ghorofa refu.. kwasasa.

  • @allyzillahi8315
    @allyzillahi8315 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nataka kujuwa litaaza lini kujengwa na litamaliza lini ?

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 ปีที่แล้ว +1

    Dahh hatari sasa hiii

  • @ahmedhamad2410
    @ahmedhamad2410 3 ปีที่แล้ว +2

    Iwe kwel tu isije pita miaka mitano ikawa hatuoni kitu mana viongoz wetu ni wababaishaji sana

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice good job znzb

  • @smartboytz4724
    @smartboytz4724 2 ปีที่แล้ว +1

    Ilo gengo lijengwe dare ssalam

  • @denislazaro818
    @denislazaro818 3 ปีที่แล้ว +2

    Mjenge na dodoma

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 ปีที่แล้ว +3

    Uchumi wa buluuu dar itakuwa Raha Sana

  • @kageremagere5493
    @kageremagere5493 3 ปีที่แล้ว +5

    Daaah tulijua kua hii miaka 3 na miezi 9 lazima zanziba lazima itaongezewa baadhi ya vitu vya kigeni Africa na tulio sema hayo hapo make mhhhh

    • @samiralliy4214
      @samiralliy4214 3 ปีที่แล้ว

      hamna lolote hpo jamaangu vingi vimeshasemwa kama hivo ila ni homa tu

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 ปีที่แล้ว +1

    Kwà hiyo akili yenu ipo kwenye utalii tu

  • @pound_tz7248
    @pound_tz7248 3 ปีที่แล้ว +2

    verry nice

  • @abdullatifsuleiman9310
    @abdullatifsuleiman9310 2 ปีที่แล้ว +2

    jamani na sie pemba je

  • @ulipoulipotupo7564
    @ulipoulipotupo7564 3 ปีที่แล้ว +6

    Usiseme kisiwa sema nch ya zanzibar acha ujinga

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 3 ปีที่แล้ว +1

    Pesa tutozwe kodi kubwa ilizijenge Zanzibar cndiyo

  • @Richforever66
    @Richforever66 2 ปีที่แล้ว

    Mnajenga nchi nyingi mnaacha kujenga Dar es Salaam

  • @mastertv7575
    @mastertv7575 3 ปีที่แล้ว +5

    Mmmh Sasa kwa biashara ganii

    • @ibrahimchole3951
      @ibrahimchole3951 3 ปีที่แล้ว

      Acha wivu subiria uwone kwanza

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว

      @@ibrahimchole3951 😄😄😄

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana Tena Sana

  • @abdulazizimohamad6946
    @abdulazizimohamad6946 ปีที่แล้ว

    Mambo kama haya ndo tunataka itabadilisha manzari ya Zanzibar itakua ya kimataifa majengo kama hayo ndo yajengwe

  • @issakhamis6474
    @issakhamis6474 3 ปีที่แล้ว +2

    Tushawazea nyinyi

  • @saidmanzichinko1314
    @saidmanzichinko1314 3 ปีที่แล้ว +1

    Viva Zanzibar

  • @issakhamis6474
    @issakhamis6474 3 ปีที่แล้ว +2

    Heburekebishen huduma zaveti kwanz

  • @gadsonndato2941
    @gadsonndato2941 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi endelee

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +6

    hakuna jambo hapo , Ile bandari ilijengwa ? Mji mkongwe ulijengwa kikwazo nini.? ndugu zetu wa damu na hii itapita hivyo hivyo .

  • @mohdhaji1935
    @mohdhaji1935 3 ปีที่แล้ว +4

    ilikuaje sasa tukawa tunaambiwa znz ni kisiwa cha kujenga si zaidi ya gorofa 7 tu

  • @tuma6557
    @tuma6557 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana 🙏🙏🙌🙌

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 3 ปีที่แล้ว +2

    KwaNi ujenZi wA MajeNgo nDio uTauNuA uchuMi wA waNanchi ?
    MBonA ninYi seLikaLi yA zaNziBaL munaWaiBiA saNA wanaNchi weNu.
    MBonA waNanChi wA ZanZibAL ni maLoFA weNgi . Ni NinYi Tu nDio MunaoShiBA .
    WeZi waKubWa

  • @aadmsalua3658
    @aadmsalua3658 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah ibarik znz yet

  • @mawananasoro4405
    @mawananasoro4405 3 ปีที่แล้ว +1

    Zanzibar yawa dubai

  • @nev3093
    @nev3093 3 ปีที่แล้ว +1

    Wooooow

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว +1

    Belt ajabu vipi

  • @abdulkadirshafii3817
    @abdulkadirshafii3817 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow n wakwanzaaaaa hahahahaha

    • @sharkbinaally3381
      @sharkbinaally3381 3 ปีที่แล้ว

      Tupo tunasubri maendeleo na ile bandari ya mpiga duru vip

  • @yonakanyika273
    @yonakanyika273 5 หลายเดือนก่อน

    Izo pesa zawapi Zina Jenga gorofa jamani

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 3 ปีที่แล้ว +3

    Hamuna lolote acheni kupumbaza watu nyie. Hilo jengo linaweza kujengwa lakini litachukua miaka 50 kukamilika Unakumbuka uwanja wa ndege terminal 3.

    • @maryamaliy8509
      @maryamaliy8509 3 ปีที่แล้ว +1

      hahah wajenzi sio serikali ya mapinduzi

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu una ongea ata hujui wanao Jenga ni nani

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 ปีที่แล้ว

      @@imash04tv20 ndugu mambo ya wazee yna kujaje apa

    • @imash04tv20
      @imash04tv20 2 ปีที่แล้ว

      @@mudighurayra sorry

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 ปีที่แล้ว

      @@imash04tv20 👍

  • @Binfuad
    @Binfuad 3 ปีที่แล้ว +1

    Tutaona

  • @karthala6676
    @karthala6676 3 ปีที่แล้ว

    Vipi barabara na vibanda

  • @zenaal-baalawy1953
    @zenaal-baalawy1953 2 ปีที่แล้ว

    👍

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 3 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @issakhamis6474
    @issakhamis6474 3 ปีที่แล้ว +5

    Sisi tunatak bandar hatutaki kiband

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 ปีที่แล้ว +2

    Angalieni Mambo ya ajali nyie hamna hata Zima moto na I hili jengo karibu liguse ndege mbavu zangu niachieni😂 na mmoja kandika vibanda umaskin ulioko wala wao kwa wao nyoooni MTU mlo mmoja hatimizi eti wana Jenga mnara wao njugu ha you akiweza abedi karume peke take nyie visa via zee comedy tupisheni uko mnashindwa Zima moto munataka outta watalii sadaka 😂

  • @kiatu
    @kiatu 3 ปีที่แล้ว

    Ndio priority ya wananchi au serkali?

  • @vanimagepro7405
    @vanimagepro7405 3 ปีที่แล้ว +3

    😪😭

  • @edwinmageto2170
    @edwinmageto2170 3 ปีที่แล้ว +3

    Sisi Kenya tunaendelea kujenga yenye ghorofa ,204

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 3 ปีที่แล้ว +1

      Kenya ipi iyo

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣

  • @mwigaadam9076
    @mwigaadam9076 3 ปีที่แล้ว +1

    Why Zanzibar not Dar?

  • @tamimtours6934
    @tamimtours6934 3 ปีที่แล้ว +2

    MUSIWAFANYE NAKUONA WATU MAHANISI NYINYI..MLISEMA MANGAPI MADOGO ZAID NAHAMKUFANYA HATA K1..
    MKIWA HAMNA LAKUSEMA BORA MUKAYEKIMYATU..AAH!

  • @issakhamis6474
    @issakhamis6474 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli ndio hata saruji imeshuk bei asaiv ipo 25000 kweli tumekua kiuchumi

  • @mudathirsilima2336
    @mudathirsilima2336 3 ปีที่แล้ว +3

    Bandar hatujazion muje mujenge jengo hiloo hizoo ni ndoto

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 3 ปีที่แล้ว

      Muekezaji uyo kaka ndio anae Jenga

  • @holimpohvd5796
    @holimpohvd5796 3 ปีที่แล้ว +1

    👎👎👎🏼👐👏

  • @بنمفازي
    @بنمفازي 3 ปีที่แล้ว +2

    Huu mradi utafanyika when if and only if .....
    beta ~ to zero only PCM/PCB holders at form six understand
    Miaka 800 ijayo😂😂😂

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว

      Uyo muekezaji sio mzanzibar