USO KWA USO SHEIKH IZUDDIN AMTWANGA MASWALI UKHTI FATMA MDIDI, AJIBU KISOMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ค. 2023
  • Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
    TH-cam: / @babdeomiladu
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 82

  • @mwajoma1373
    @mwajoma1373 19 วันที่ผ่านมา

    mashaa Allah

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 ปีที่แล้ว +3

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Baaraka Allahu Fiikum Wa Jazzakumu Allahu Khairan ❤

  • @wardaam3707
    @wardaam3707 ปีที่แล้ว +3

    Maaa shaa Allah dada fatma mwenyezimung akuzidishie

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah Ukhti Fatma Mdidi

  • @madrasatummisalamahibtidai7959
    @madrasatummisalamahibtidai7959 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana sheikh izzudin Mashaallah umeongea ki hikma zaid

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 ปีที่แล้ว +4

    MASHALLAH matron wangu wa kunduchi girls fatma mdidi I support u all the way from SAUDIA Arabia Iluv uall

  • @omarmwabege
    @omarmwabege ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Allah .wasia mzuri sheikh Izuddiin

  • @sitimzee5817
    @sitimzee5817 ปีที่แล้ว +2

    MASHALLAH MASHALLAH.

  • @mohdkhamis5687
    @mohdkhamis5687 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Walimu Wangu Kwa Kutwangana Maswali Magumu Na Kujibizana Kiufasaha Bila Uwoga

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tabaraka llah 🥰❤❤❤❤

  • @MatanoSalim-il9fk
    @MatanoSalim-il9fk ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah amepambika kwa elimu na adabu za Mashekh

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว +1

    MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚💚

  • @jaymwinyi6957
    @jaymwinyi6957 11 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah tabaraqallah ukhty fatma, mm nkipata mwenye dini kikweli n aje niongeze wa2

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 ปีที่แล้ว

    Maash Allah jazakallah kheir

  • @omytifa6403
    @omytifa6403 6 หลายเดือนก่อน

    MashaALLAH

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 ปีที่แล้ว +1

    Masha ALLAH

  • @abuusaidy1506
    @abuusaidy1506 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa allah ❤❤❤

  • @ismailmatari3889
    @ismailmatari3889 ปีที่แล้ว

    mashaallah jazakumullah khayra

  • @AbuuAnwar-hg8qw
    @AbuuAnwar-hg8qw 11 หลายเดือนก่อน

    Maashallah majibu mazuri

  • @abdallahferouz9238
    @abdallahferouz9238 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah sheikh Izudiin unahekma sana kwa nasaha ulompa dada yangu hapo.

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 ปีที่แล้ว

    Maashaallah

  • @a.856
    @a.856 10 หลายเดือนก่อน

    Jazakallah khayran

  • @AIFOSMUGOTV
    @AIFOSMUGOTV ปีที่แล้ว +1

    Tumefaidika sote,, aaamiiin

  • @user-pv1fv6jh7k
    @user-pv1fv6jh7k ปีที่แล้ว +2

    Asalam alaykum

  • @fatmamsellem-qe4dw
    @fatmamsellem-qe4dw ปีที่แล้ว +1

    Dada Acha tu mimi nilikua wa kwanza na nimekubali ukiweza
    Lakini sikupata salama
    Hata kwa mke yoyote alungia baada ya mimi.
    Wakishdwana waachana wenyewe.
    Aeudi kuia tena na kila akioa akiacha
    Mimi bado niko kwenye ndoa
    Na mume akiia tu basi wewe hutambuliki na huyo mume
    Mpka
    Nyumba ndogo wakianza kuchokana
    Ndio na wewe wanza kukumbuka
    Na hanijui mimi wala watoto wake

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza tufurahi tunapokosolewa unapanda na ukififiwa unabaki palepale 😊

  • @abdulrahimabdullatif3700
    @abdulrahimabdullatif3700 ปีที่แล้ว

    Huu ni mtihani sana shekhbkama wewe unaongea na mwanmke kama hivyo, na huyo mwanamke mtihani sana
    Allah awahidi

    • @sameraakhf5605
      @sameraakhf5605 ปีที่แล้ว +1

      Mtihani gani hapo kwani watongozana au wa ongea kunong'ona ata useme ni mtihani😊

    • @salafyhlmanhaj5179
      @salafyhlmanhaj5179 ปีที่แล้ว

      ​@@sameraakhf5605akhiy kwahiyo hiyo halali si haram et

  • @fatmamsellem-qe4dw
    @fatmamsellem-qe4dw ปีที่แล้ว

    Kama wewe umebahatika
    Sema Alhamdulilah tena mshukuru Allah sana kwa kupata mume bora
    Na wake wenzio bora.
    Mume akioa huna rusa hata kumpigia mumeo simu
    Mke mdogo atapokea yeye na kukutolea maneno
    Wee achaa tuu
    Usiombe ukiwenzaaaa
    Kwa wakati tuliina nao

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 11 หลายเดือนก่อน

    Umesema ukweli my Dada Fatumaah
    Nataka Nije Kuchumbia Mtoto Wako wa Kike Najua Utakua Umemlea vema

  • @fatmamsellem-qe4dw
    @fatmamsellem-qe4dw ปีที่แล้ว +1

    Na akiacha Arudi na kuomba msamaha
    Na akiia tena kazi ndio hiyo hiyo
    Mpka nimea chika bula sababu alioa mke hataki ukiweza
    Nikachika
    Na mume sasa kamuacha huyo
    Ataka tena kurudiana na mimi
    Wanawake tunakaa kwenye ndoa
    Kwa imani
    Lakini wanaume wanatu toa imani
    Mpka ndoa tuna zuogopa
    Kama mimi sasa naiogopa ndoa
    Kwa mitihani ya mume na wanawake wanaongia kwenye ndoa ya mke wa kwanza

    • @Fatma-ns2kg
      @Fatma-ns2kg ปีที่แล้ว +1

      Pole sana Allah akuzidishie subra

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 ปีที่แล้ว +2

    Jamani mume wangu hataki kuoa na anavigezo vyote nifanyeje😢

    • @nasymchuzi8667
      @nasymchuzi8667 ปีที่แล้ว

      Kama afanyi zinaa sio lazima aoe

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว +1

      Km hataki ndio hana vigezo vyote huyo. Mwenyewe anajijua zaidi😊

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 ปีที่แล้ว +1

      @@Fear_Allah394 unasema tu laiti ungejua wala usingesema😔

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 ปีที่แล้ว +1

      @@nasymchuzi8667 we unaridhika wenzetu wasipate stara😔

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      @@fatmakhanii1676. Mwenyewe ndie anajijua zaidi na sio mm wala sio ww.

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 ปีที่แล้ว

    Jee inaafa jamii imuone mwanamke hiv

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว +1

      Sijui hawa wa skuiz naoan wapo wengi wanajiona ila kidini haifai maaan hpo kusogeleana sio vzr mke wa mtu hyo alafu pia haifai mwanamke hatak kuonekana hovyo hovyo kma kufikisha ujumbe madarsa ypo mengi sna kufikisha ujumbe .

    • @osmaniidrisa6290
      @osmaniidrisa6290 ปีที่แล้ว

      @@malak-lz6kx mtume alisema kutakuja watu wanalingania katika mlango WA jahannam ndio hap sasas

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 ปีที่แล้ว +1

      Inafaaa hakuna makatazo yeyote dini ilikataa mwanamke na mwanamme kukaa faragha je hapo wapo faragha hebu acheni chuki na kurupuka izzudin na Fatma wanajua dini kuliko nyie vibendera

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      @@tanzaniaonmzamiloon8627 titizo unaropokwa tu ila hujui unachoongea ikiwa wapo fargha ikiwa wapo peke yao haifai surat al ahzab aya 59 soma vzr ufahamu . Na kama hujafaham niambie

    • @rshidmwasa8493
      @rshidmwasa8493 ปีที่แล้ว +2

      We fala kweli. Inamaana we huoni wanawake Bali unaona wanaume tu kila unapoamka

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v ปีที่แล้ว +3

    Wewe kama nishekh basi haifai kumuhoji mwanamke karibu yake hivi. Sisi niwaislamu hatufai kutangana nawanawake.

    • @ibrahimsaad617
      @ibrahimsaad617 ปีที่แล้ว +1

      Leta dalili

    • @ummya3996
      @ummya3996 ปีที่แล้ว

      Alhamdulilah

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 ปีที่แล้ว +1

      Kama hatuna ucha mungu ata dada zetu tutawatamani

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 ปีที่แล้ว

      Kaacha disntace hapo kiti kimoja kama unaona hajakikaa kakiwacha kuweka distance ili asiwe karibu nae zaidi

    • @AliShee-mb2gh
      @AliShee-mb2gh ปีที่แล้ว +2

      maswahaba walisomeshwa na Aisha رضي الله عنها nyuma ya pazia
      hawa wafanya nn sasa
      masufi wana shida matamanio yao katika dini yawasumbua

  • @abuahlaam
    @abuahlaam ปีที่แล้ว

    Ukosefu wa adab huu mashkhe wa mitandao mna matatizo mengi sana
    Hivi Mtumeﷺ ndo kafundisha mambo haya au mwayafanya kwa misingi gani

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 ปีที่แล้ว

    Shekh muusie kwanza ajistir

    • @halimahalima1488
      @halimahalima1488 ปีที่แล้ว +1

      MashaaAllah mbona yuko vizurii 2

    • @user-jg5vn9fe5w
      @user-jg5vn9fe5w ปีที่แล้ว +1

      Wataka ajistili vipi

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 ปีที่แล้ว +1

      Mawahabi wanashida sana niqabu haipo kwenye Sunna wala wajibu acheni ufinyu wa elim

    • @osmaniidrisa6290
      @osmaniidrisa6290 ปีที่แล้ว

      @@tanzaniaonmzamiloon8627 kila anaelingania haki anaitwa wahabi

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 ปีที่แล้ว +1

      @@osmaniidrisa6290 Kuna haqi Gani umelingani je unataka ajistiri vipi mpk avae niqabu ndo kajistiri hebu turudi kwenye Sheria uchu wa. Mwanamke dini umesema uso sio uchu na vinganja je hapo sehamu Gani kakaa uchi