Allah atawahukumu nyinyi maqurafi wakubwa na Allah atawaibisha kama mulivomvunjia heshima mwenzenu.. inshaAllah na Allah atamvua nguo huyo Aboud kitendo alichofanya si cha hishima na yeye Allah atamkosesha heshima Amiin Yarabbi
Mtume Muhammad Swallallahu Alaihi wassallam hakusherehekea wakati wake wa kuzaliwa bali alitukuza kwa kufunga huku nyie mwaisherehekea kwa kula kwa masufuria makubwa
Sheikh Aboud Mche Allah. Angalia kwenye clip ya maandalizi ya munaqasha, kuanzia dakika ya 13 hadi 16 utaona kuwa wewe mwenyewe ulithibitisha kuwa mutazungumzia kuhusu uwongo uliyomo kwenye kitabu cha barzanji. Hiyo clip uliokata ukaiweka saa hii ni kutumia hila na khada3a. Yeyote atakayesoma hii comment, kabla anijibu tafadhali, nenda kwenye ile video ya maandalizi ya munaqasha, uangalie dakika 13 hadi 16 umsikie mwenyewe Sheikh Aboud anavyozungumza. Tumcheni Allah ndugu zangu waislamu. Maana uwongo ni mbaya zaidi... Wallahu a3lam
wallahi ni kweli maneno Yako shekh aboud alisema ni kimnukuu kama sijakosea(KILICHOTUKUSANYA HAPA NI INKAR NA ITHBAT KUPINGA NAKUTBITISHA YALIYOMO KATIKA MAKHALA(kitabu) CHA ASSAYYID JAFAR BARNJI)nae Abu Ahmad akajibu(NDIO HIVYO NDIO ILIVYO MAMBO YA KOWAZI)kwa hivyo shekh aboud na wenzake walifanya khiana hila na kukwepa mjadala. ajadala ASLI yake ilikua ni muendelezo WA Tanga hata Iko clip ya said akiitisha niqash na Bachhioclip said anasema naomba niqadh na wewe maswali Yako nitayajibu(kuhusu wanyama)sasa aliyekimbia Nina nini??? bilashaka ni said na genge lake akina aboud Wala sio shekh wetu mohd bachu Yarabbi muhifadhi shekh Mohd bachu na na mashekh wote wanaotetea sunna mahasidi na matwariqa
Maashaallaah allaah akubaarik shekh letu aboud nafc zetu zimetulia sasa...maana mtoto wa bachu katukana mnoo mashekh zetu,twaomba na leo waende peponi kwaoo
Nyinyi niwatu wazima lakini hatushangai masufi niwenda wazimu kupita kiasi kumbe munahisi nimkojo au jasho munashangaa kwasababu palikuwa aisii aisii nibaridi baridi ni maji kuonekana umaji sehemu ya aisii nikawaida mkojo wamtumzima sio mchezo ukadhaniatu wenda wenda tulitaraji uwe mkweli utuonyeshe unapo chirizika chini nakiti kimerowa chote alafu uchi wa mwanaume aujaelekea chini kama uchi wa mwanamke wa mwanaume unasimama akiwa nahaja unaelekeya mbele kwanza tungeliona mkojo unachirizika miguuni ua uyo bachu cku ya munakasha alibadilika uchiwake ukawa tundu likaja kukaa matakoni kama ng'ombe makadhaabu wakubwa masufi wala alla hamumstahi munawathamini mawaliiwenutu
Sio Vizuri Kumzalilisha Mtu Hata Kama Wanamchukia, Pia Huyo Bacho Ni Muislam Mwenzetu Ila Hapo Wamepishana Mitazamo, Ambayo Sio Uwadui Ni Kueleweshana Tu, Kwamba Hili Ni Sawa Na Hili Si Sawa. Ila Hao Ma Sheikh Wanaonesha Wamekajaa Chuki, Allah Awasamehe Kwa Hilo
Shukran leo km wakujifunza bc akakae ss kw adabu aheshimu wanazuoni n masheh n aombe kujifunza adabu y elimu n aruzukiwe n faham. Shukran sheh aboud kutoka zanzibar 2nakupateni mno
Kwa sisi Nassor Bachu ameshinda na nyinyi mnajitafutia Laana Za Allah kwa kumzushia uongo na munajitafutia Dhima kutoka Allah, Ata mtume alipigwa na alizushiwa uongo na makafiri, Sisi tupo na BACHU inshaallah. NA NYINYI WASHIRIKINA MTASHINDWA MILELE
Kad yakdhibu saduuku😂😂😂😂...Bachu shekhe wa kwenye mitandao kichwa panzi ndio maana kiti kakijaza jasho la makalio labda pia ni mikojo alikojoa daaaah leo kapatikana
Muogope ALLAH kassim mwavyema kumuita kichwa panzi ndio Nini?.ujue hii ni dhima unajibebea na utakwenda kuulizwa.mwislamu daima anatakiwa awe na akhlaaq.
@@KassimMwavyema ikiwa nyie munaijuwa kweli dini jee inafaaa kusema uongo na kumzulia mwezenu na kumwambia kajikojolea wallah tumcheni Allah jmn wailasm tunaelekea wap 😢
Sheikh bachuu kaamua kuondoka sababu kaona anapoteza muda na watu wasioelewa lugha na wasio na elimu wanaoupoteza umma, mashaallah sheikh bachu ,hao tuwaletee sheikh said bafana awafundishe
Mumemwaga maji mbona kanzu yake haikuonyesha inamaji na mulikumbatiana dah nyinyi kweli waongo ww siukumbatiananae ww hakuona hayo maji kwenye kanzu yake wanafiki wakubwa nyinyi kazi uwongo2
Yawezekana mlimfanyia hila na njama aje mfanye munaqasha afu baada ya apo mumzalilishe kwenye media. Hii sio haki kumzalilisha muislamu mwenzenu na Wala sio busara kufanya hivi mlivyo Fanya Tena nadhani mlipanga hili Kwa hila zenu. Allah (s.w) awasamehe Kwa mlilolitenda kumuaibisha sheikh Bachu ikiwa tu amjafanya njama zaidi yake
Leo ndo waliona hilo...wakati Bachu akimuumbua Izudin ilikua ni sawa au hukuyaona hayo. Daily yeye aumbua watu kujitapa ana elimu sana kushusha wenzake... kamata dinu tudanu na yeye kiasi chake yamfike
Jiulize maswali matatu…je, kama ni mkojo angeshika huyo aloshika??? Je , kama ni jasho ,lawezekana kutiririka kwnye mkono wa aloshika baada ya kugusagusa kiti??? Je , yaezekana kuwa ni maji walimwaga kujarbu kumuaibisha mwenzao???
Nyie matwariqa ogopeni mungu kushindwa kwenu ndio kumsingizia mtu dunia mnaiona tamu lakini ina mwisho wake mizee mikubwa mnafanya michezo ya kitoto mnaona raha lakini kumbukeni mwisho
Kumbe mlitupotezea muda tu, barazanji sie anofatwa ila maneno yake ndio yanofatwa, sisi hatukua tukimjua barzanji, ila maneno yake ndio twayajua na kuyaimba kila siku, muheem tuacheni haya mambo yasotija na dini, tufuateni dini na tuache kua waongo kwa kumsifu mtume saw kiongo ongo
This is too much sasa,hata kama amekosea sio kwa hizo kejeli zote,ni kuelimishana,ikiwa yy bado hayuko tayari haimanishi ndio watu waoneshane kiburi,ama hizo stihzai,katika maisha adab huja mwanzo kabla elmu ,ikhitilaf ziwe kwenye ilmu lakny sio hivi sasa watu ndio wamepata mahali pa kufanya stihzai,ubinadamu kabla dini.
Nyie mwajifanya nivipenzi vyake lkn yeye mtume swalallahu aleihi wasallam hana upenzi na nyinyi mnaomuharibia mafunzo yake na amana aliopewa na mola wake
Kwani usipokuja ww ndo mtume hatoswaliwa??kwahiyo umekiri kabisa kuwa mmeshindwa lkn kwa kuwa ww ni miongon mwa madalali wa ibliis unaamua kusema hata iweje maana yake hata ushindwe vp huwez kuja mauldn....cc hatuna haja na ww akhiy,cc tuna haja na mtume wetu pekee
Wewe kiakili yako na ulivyokaririshwa na wazushi wenzako kua mtume swalallahu aleihi wasallam anaswaliwa kwa mtindo wa ngoma na kuimba na vinanda jitambue unapotoshwa
Tena wajiita sheikh aboud wazungumza maneno ya qaumu luut maneno ya kimambrui ati mbona kiti aliokaa bachu hafidhahullaahu kina majimaji ama mambo mengine. Subhaanallah tena ati ajiita sheikh aboud maneno yaki qaumu luut kabisa.
TUSEME UKWELI JEURI ILE YA TANGA LEO HAPA MPAKA ANAPEKA KIJITABU CHAKE ALOKISAHAU HANA KABISA KWA MWENYE KUONA NA KUWA MKWELI WAKATI ANAPEWA ANAJIBABAISHA NA SURA INA KIRI KUWA AMEROWEKWA KIELIMU KISAWASAWA..... 🤲🤲
Assalamu Alaykum. Nakushukuru sana Ust. Said kwa kumfanya Bachu amwage vumbi ukumbini. Sasa nakuomba Skh. Said utengeneze clip yenye mada ya kumtakasa Seyyid Barzanji kwa kuyajibu yale maswali yake yote 19 ya bachu kwa clip ya ufafanuzi ulio wazi. Nakuomba ufanye hivyo hata kama sio munaqasha.
Mie nasema kuwa katikakisa cha ifki cha kunsingizia Aisha na kumtangaza uongo ni watu hawa hawa na Allah katoa onyo kwa hawa wanaoeneza uzushi kumzulia muislam uongo lakin huyu anayejiita sheikh ukiangalia na wenzake walobuni haya ya kumdhalilisha ndugu yetu kiukweli wanadai wamapenda mtume S.A.W lakin wajiandae naibada ili wamlioe Baxhu siku ya qiyaama nakhofia atakuwa muflis sikiya qiyaama kwa kusema urongo na kumdhalilisha mtu na kupoteza wasojua haki kwa kule kukimbia madhumuni ya muhadhara na hakuna madhambi mabaya kama kumsingizia Allah uongo na mtume wake na kuficha haki. Nilikuwa katka usufi huko zamani lakin wallahi uongo imekuwa kama dini yao na hata bila aibu wala soni haina mjubwa wala mdogo na wala sheikh wala wafuasi. Allah atuhifadhi na shari na kila anayeeneza anajibebea mzigo. Bachu asione ni shari kwake baki ni kheri kwake kila mtu alohusika na atakayehusika kwa comment na mengine hapa katika kumdhalilisha atamlipa thawabu tu.
Hawa watu wa twariqa ni washirikina kwahyo mambo ya kuzua kwao ni jambo la kawaida,sisi waskilizaji ndio tumejua haki iko wapi sio nyinyi mujiamulie kua ni washindi matwariqa. Itakuaje watu wa kuabudu makubiri wawe washindi? Malemba makubwa TU hamna kitu
@@sumeyasumeya5490 utajuaeje hakki kama watafsiri mambo kwa kichwa chako...someni mawahabi aibu tupu....ati hadith munkar ni uchafu😂😂😂😂...uzuka wa hali ya juu...zimepita karne ngapi hawakuona makosa ya barzanji aje kuona huyo saduku bachu asiejua ata kutafsiri mambo na anakosea ibara pia...alijua angejibu lile swali angejikaanga mwenyewe...😂😂😂 sema sijuiiiiiiii...ywaona haya...kesho tena aitishe mjadala na kumbe pia mashekhe zake ni watupu wakosea ibara kishenzi😂😂😂😂
kama umeweza kukosoa ibara za Muhammad bachu ambazo emeandika ma wote tumeshuhudia hilo jambo ambalo kiukwel limeonekana ni kweli amekosea, vp sasa mnatuambiaje kuhusu maandishi ya kwamba wamyama walizungumza je, nikweli upo ushahidi unaotegemewa kwamba jambo hilo ni kweli?
@@HusseinPaula kama ni dhaifu kuna haja gani ya kuelezea yanayomuhusu Mtume صلى الله عليه وسلم ambayo sio sahihi na hilo ni katika mambo makubwa kabisa
Hiyo ndio dininyao halaf wataka ati wajiite sunna waljamaa. Wallaahi sijaona waongo kama sufi na mashia kwa kutunga uongo na bila aibu na asili yao mayahudi kabisa kitabia
@@abiabi9353 muogope Allah hupaswi kuwa hivyo katika dini,mtu akikosea kwenye dini kuwa mkweli hata kama ni ndugu yako,kwakusema amejikojolea hilo haliwezi kuwa kweli sababu ya kufanya hivyo ni nini
Kumbe ww shekh haujitambui unaongea uwongo siku ya kikao muliambiwa chataka kijadiliwe kitabu nyinyi mwataka ajadiwe mtu mnakwepa hamuwezi kutetea haki
@@muhideennoor2458 sikiliz vzur ndug kwny clip dakik ya 1:37,amesema hv nimemnukuu kam hujamuelew TUMAAFIKIANA MADA. MADA YENYEWE NI KWAMBA YALE ALIYOYAZUNGUMZA SAYYID JAAFAR AL BARZANJ KATIKA MAULID YAKE YA AL BARZANJ ELEWA VZURI HAPO 👆KATIKA MAULID YAKE YAAN KATIKA KITABU CHAKE CHA AL BARZANJ
lengo ilikua muteteee maulidi lkn hatujaona iko mumebaki kufanya kejeli.alhamdulilah sheikh muhamad hakuonekana kuchukizwa na kejeli zenu yeye ametoa elimu na wenye akili wamelewa
Kimefunguliwa kitabu dalaailunnubuwwa na bachu akashindwa hivyo vingine havikufunguliwa baada ya bachu kushindwa na swali kutoka kwenye kitabu kimoja tuu
Sheikh aboud pesa za mashia zimekutia wazimu. Sheikh tetea tumbo lako na family yako. Tafuna pesa za mashia Usitetee uisilamu sheikh aboud tetea tumbo lako na family
Assalamu alaikum mimi nimesoma madrasa ya twarika na vile vile napenda sana lakini Kuna baadhi ya mambo yameniudhi mungestiri aibu ya, muislamu mwenzenu, hapo mumeteleza kwa kutoa aibu ya ndugu yenu,huwenda ipo siku na nyinyi mukapitikiwa na haja pasi na kutarajia, sijasema Kwa ubaya naomba nieleweke sana , lakini la haki mtu husema, shukran
WEWE SHEKHE WAAMBIE HAO WENZIO ALIE SEMA KAMA KITI ALICHO KALIA BACHU KINA MAJI BASI AKAMUULIZE MAMA YAKE MAJI YALE AMEYATOA WAP KUMBE NYIE NI MBWA KWELI NYIE AH MNACHUNGUZANA WANA UME KWA WANAUME
Lazima mtu kavaa kanzu na anaongea kwa jazba MNATAKA awe baridi kama ule mpiga kinanda wenu ,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hajajibu hoja hata moja ,halafu mnalaumu bachooo dahhhhh
Sasa kafundisha nini kapewa swali hakujibu kalikimbia swali kwa kuuliza swali la shubha nyinyi hamkua na nia ya kuja kujua haqi bali mmekuja kutafuta ushindi hamuwezi kuongoka ALLAH anawapeleka kule mlipopanuia
Ivi kweli wewe unaelimu kweli yani umeshindwa kutetea barazanji unasema Bachu kajokojolea unaaakili wewe hata yule unae kuandika ujumbe huu unazani atakuona uko sawa tunawaheshimu ndio mumesoma lakn kwenye hikima ya elimu mumepta usiku fikiri kabla ya kutenda utakwenda ulizwa na allah
Kadanganyeni wanaopiga mtwari waskilizaji ndio mahakimu wameona nani alishindwa na hoja na ust said kashindwa na hoja sasa waambieni wafuasi wa maulidi ukwely juu ya maneno ya barzanji wacheni kukwepa
Wataka kumrekibisha na kumfedhehesha huyo aloandika سدوق badala ya صدوق ambae hajulikani ni nani. Lakini waebika mbele za Ummah leo hata tofauti ya ق na ك hujuwi katika kusoma. Uli isoma kwa ك at سدوك
Wallahi Allah subhaanahu wataala akuongoze,vipi utamtetea barzanji kwa kuleta uzushi katika dini na kila uzushi imo ndani ya naaru jahaanam
ALHAMDULILLAH...ALLAH NAOMBA MSAMAHA KWA UJAHILI NILOKUWA NAO WA MAULIDI!!!!!
Mawahabi hawana ilimu huo ni ukweli
Jahili ni ww ambae hutaki kujua wala kufundishwa tumbiri ww😡😡😠
Allah atawahukumu nyinyi maqurafi wakubwa na Allah atawaibisha kama mulivomvunjia heshima mwenzenu.. inshaAllah na Allah atamvua nguo huyo Aboud kitendo alichofanya si cha hishima na yeye Allah atamkosesha heshima Amiin Yarabbi
Amin! Daran Amin!
hayo n malipo yake kwa kumkosea mwanuchuoni
Yaaani mnakaa kumdhalilisha Mwislam mwenzenu mnawapa picha gani wale wanaotaka kuingia katika Uislam .
Huu ni msiba mzito ktk Umat Muhammad😢
Na bachu kuwakosea heshima na adabu wanazuoni hilo lafaa?
Mungu hulipa hapa hapa duniani
Bachu huwakosowa mashekh kwa sababu hii dini ya mwenye m.mungu sio ya mashekh alimkosowa mpka baba yake kwa sababu baba yake sio dini yake
Mtume Muhammad Swallallahu Alaihi wassallam hakusherehekea wakati wake wa kuzaliwa bali alitukuza kwa kufunga huku nyie mwaisherehekea kwa kula kwa masufuria makubwa
Mumeshindwa kutetea kitabu cha Barzanji kwamba yaliyomo ni urongo 😢😢😢
Yote 9 kumi ujue ewe ndg muislamu utasimama mbele ya Allah peke yako kujibu maswali mbele yake.
Sheikh Aboud Mche Allah. Angalia kwenye clip ya maandalizi ya munaqasha, kuanzia dakika ya 13 hadi 16 utaona kuwa wewe mwenyewe ulithibitisha kuwa mutazungumzia kuhusu uwongo uliyomo kwenye kitabu cha barzanji. Hiyo clip uliokata ukaiweka saa hii ni kutumia hila na khada3a. Yeyote atakayesoma hii comment, kabla anijibu tafadhali, nenda kwenye ile video ya maandalizi ya munaqasha, uangalie dakika 13 hadi 16 umsikie mwenyewe Sheikh Aboud anavyozungumza.
Tumcheni Allah ndugu zangu waislamu. Maana uwongo ni mbaya zaidi... Wallahu a3lam
wallahi ni kweli maneno Yako shekh aboud alisema ni kimnukuu kama sijakosea(KILICHOTUKUSANYA HAPA NI INKAR NA ITHBAT KUPINGA NAKUTBITISHA YALIYOMO KATIKA MAKHALA(kitabu) CHA ASSAYYID JAFAR BARNJI)nae Abu Ahmad akajibu(NDIO HIVYO NDIO ILIVYO MAMBO YA KOWAZI)kwa hivyo shekh aboud na wenzake walifanya khiana hila na kukwepa mjadala. ajadala ASLI yake ilikua ni muendelezo WA Tanga hata Iko clip ya said akiitisha niqash na Bachhioclip said anasema naomba niqadh na wewe maswali Yako nitayajibu(kuhusu wanyama)sasa aliyekimbia Nina nini??? bilashaka ni said na genge lake akina aboud Wala sio shekh wetu mohd bachu Yarabbi muhifadhi shekh Mohd bachu na na mashekh wote wanaotetea sunna mahasidi na matwariqa
WALIKUBALIANA KITAZUNGUMZWA KILICHOKUEPO NA SIO MTU NA MTUME AMEKATAZA KUZUNGUMZWA WALIOKUFA SBB ALLAH ALISHAPITISHA HUKMU BAINA YAO
Bachu amewashinda munakasha. Kijana alieshindana nae hakuwa na hoja bali ushindani wa kitoto
bachu wewenu kakojoa
Mbona kakimbia bachu iweje uwe umeshinda akafu ukimbie wacha unafik ww
Sasa akendelee kujadili nini na nyinyi hamtafuti haki mnatafuta ushindi kuna tofauti kubwa sana kati ya kutafuta ushindi na kutafuta haki
Asalamu alleykm warahmatullh wabarakatu mimi naitwa sharifu bin mwalimu bi sharifu nilikua naomba ostadh sayd arudi kwa mzee sayd abdul qadir arud kurejesha shukrani kwa ruhusa aliyo pewa kisha apate dua ishaallh
Ni kwel hii ni nzuri
We ndio unafaa kupata dua kwasababu uko kwa giza ya uzushi katika dini.Allah subhaanahu wataala akuweke kwa siraat iliyonyooka,Amin.
Maashaallaah allaah akubaarik shekh letu aboud nafc zetu zimetulia sasa...maana mtoto wa bachu katukana mnoo mashekh zetu,twaomba na leo waende peponi kwaoo
peponi ya mwanzo ilikua majaazi ila ya leo itakua ni munkar maana hadi mtu kakojoa sio poa🤣🤣
Nyinyi niwatu wazima lakini hatushangai masufi niwenda wazimu kupita kiasi kumbe munahisi nimkojo au jasho munashangaa kwasababu palikuwa aisii aisii nibaridi baridi ni maji kuonekana umaji sehemu ya aisii nikawaida mkojo wamtumzima sio mchezo ukadhaniatu wenda wenda tulitaraji uwe mkweli utuonyeshe unapo chirizika chini nakiti kimerowa chote alafu uchi wa mwanaume aujaelekea chini kama uchi wa mwanamke wa mwanaume unasimama akiwa nahaja unaelekeya mbele kwanza tungeliona mkojo unachirizika miguuni ua uyo bachu cku ya munakasha alibadilika uchiwake ukawa tundu likaja kukaa matakoni kama ng'ombe makadhaabu wakubwa masufi wala alla hamumstahi munawathamini mawaliiwenutu
Sio Vizuri Kumzalilisha Mtu Hata Kama Wanamchukia, Pia Huyo Bacho Ni Muislam Mwenzetu Ila Hapo Wamepishana Mitazamo, Ambayo Sio Uwadui Ni Kueleweshana Tu, Kwamba Hili Ni Sawa Na Hili Si Sawa. Ila Hao Ma Sheikh Wanaonesha Wamekajaa Chuki, Allah Awasamehe Kwa Hilo
Ila yeye kudhalilisha Mashekh wakubwa waliomzidi Elimu na Umri ni sawa sio? Yan wanavofanya hawa mashekh ni sawa kabisa
Shukran leo km wakujifunza bc akakae ss kw adabu aheshimu wanazuoni n masheh n aombe kujifunza adabu y elimu n aruzukiwe n faham. Shukran sheh aboud kutoka zanzibar 2nakupateni mno
iv wew umesahau matusi anayoyatoa uyo bachu kuwatukana masheikh na waislamu wenzake kwa jambo ambalo hana elimu nalo
Allah atuhifadhie wanawazuini wetu wa Ahlu sunna wal jamaa asante sh aboud tunaona juhudi zenu kaka
Kwa sisi Nassor Bachu ameshinda na nyinyi mnajitafutia Laana Za Allah kwa kumzushia uongo na munajitafutia Dhima kutoka Allah, Ata mtume alipigwa na alizushiwa uongo na makafiri, Sisi tupo na BACHU inshaallah. NA NYINYI WASHIRIKINA MTASHINDWA MILELE
Kad yakdhibu saduuku😂😂😂😂...Bachu shekhe wa kwenye mitandao kichwa panzi ndio maana kiti kakijaza jasho la makalio labda pia ni mikojo alikojoa daaaah leo kapatikana
Muogope ALLAH kassim mwavyema kumuita kichwa panzi ndio Nini?.ujue hii ni dhima unajibebea na utakwenda kuulizwa.mwislamu daima anatakiwa awe na akhlaaq.
@@SaddamMuhammad-fn9js ameanza bachu kubeba dhima hio kwa kumdharau barzanji na kumkufurisha..hilo ukuliona waona hili la bachu????
@@SaddamMuhammad-fn9js yule ni kichwa panzi huo ndio ukweli hana elimu kazi yake kutia watu motoni
@@KassimMwavyema ikiwa nyie munaijuwa kweli dini jee inafaaa kusema uongo na kumzulia mwezenu na kumwambia kajikojolea wallah tumcheni Allah jmn wailasm tunaelekea wap 😢
Fadhiha!!!!!! Enyi waislamu kama maulamaa wa kisufi ni hivi ,hata hawana akhlaqi , je awwaam wao ni vipi!
Mashallah sheikh Muhammad Bachu umeshinda
Uongo tupu.
Kushinda nikuamua kutoroka😂
Mshindi anakimbia......😂😂
Ameshindaaaa....tena kwa furaha ameamua kukojoa kwenye kitiii😄😄bachu a.k.a sadukuu oyeee🙌🙌
Kkkkkkkkkkkkkkkkkk mkasome sio kiswahilitu.
Sheikh bachuu kaamua kuondoka sababu kaona anapoteza muda na watu wasioelewa lugha na wasio na elimu wanaoupoteza umma, mashaallah sheikh bachu ,hao tuwaletee sheikh said bafana awafundishe
Mumemwaga maji mbona kanzu yake haikuonyesha inamaji na mulikumbatiana dah nyinyi kweli waongo ww siukumbatiananae ww hakuona hayo maji kwenye kanzu yake wanafiki wakubwa nyinyi kazi uwongo2
Hawajamwaga maji ni majasho yamemtoka bachu kakimbia
Wewe uliiona kanzu yake matakoni??😄😄ina majasho kibao na cdhani kama hakutoa pukupuku za mavi yule
@@hutiswalehe2444😂😂😂😂
acha ushabiki wewe pimbi
Ni kawaida ya masufi wajobkama wayahudi tabia zao. Sas hao ndio masheikh wao utasemaje kuhusu mashabiki!
Acheni kuzalilishana mnachafuwana nn ss ndio mseme kajisaidiya haja ndogo mnafanya zambi kubwa kuliko Riba kuchafuwana😢
Yawezekana mlimfanyia hila na njama aje mfanye munaqasha afu baada ya apo mumzalilishe kwenye media. Hii sio haki kumzalilisha muislamu mwenzenu na Wala sio busara kufanya hivi mlivyo Fanya Tena nadhani mlipanga hili Kwa hila zenu. Allah (s.w) awasamehe Kwa mlilolitenda kumuaibisha sheikh Bachu ikiwa tu amjafanya njama zaidi yake
Ng'ombe mmoja ana vichwa vitano je ng'ombe kumi ana vichwa vingapiii????😄😄😄hoja za mtoto wa bachu hizoo
hahahahaha😂😂😂😂😂
😂😂😂
Bacho kajikojoleaa😄😄😄😄
😂😂😂
😂😂😂😂
Yanahusiana nini hayo mengine ya kulowana kwa kiti nk mcheni Allah unapomfedhehesha mwenzako jua mlipaji halali
Sasa si ukweli kiti kina maji aidha majasho ama kajikojolea
Wewe walalamika dhidi ya kufedheheshwa, si hio ni sahali kuliko kukufurishwa?
Yanahusiana na kushindwa 😂😂😂
Yeye mbona kamzalilisha. Jafar
Ng'ombe wa vichwa vitano katufelisha leo 😂😂
Kakufelisha nn ww wako kaongea nn?
@@kassimbitogwa6992 wetu kauliza swali lililomshinda na hawezi kulijibu mpk qiyama kinacmama
😂😂😂😂😂
Hivi, uislamu umefunza watu kudhihirisha aibu za watu,mungeanzia hapo mwanzo maana mmefail.Allah awapena awaongoze
@@ummyhoney3105 lkn si kwa kusema kajikojolea wallah hiii no dhima tunaibeba 😢😢
Leo ndo waliona hilo...wakati Bachu akimuumbua Izudin ilikua ni sawa au hukuyaona hayo. Daily yeye aumbua watu kujitapa ana elimu sana kushusha wenzake... kamata dinu tudanu na yeye kiasi chake yamfike
Lakini si kajikojolea kweli au??
😂😂
Mukiwa kwenye mjadala musitolee wapinzani wenu aibu za urongo
Mambo yapo wazi watu wana akili walizopewa na ALLAH SUBHANAHU WATAALA wamesikia na tangu hapo, TAWFIQ inatoka kwa ALLAH SUBHANAHU WATAALA.
Jiulize maswali matatu…je, kama ni mkojo angeshika huyo aloshika??? Je , kama ni jasho ,lawezekana kutiririka kwnye mkono wa aloshika baada ya kugusagusa kiti??? Je , yaezekana kuwa ni maji walimwaga kujarbu kumuaibisha mwenzao???
Bachu goooo aaaah weee gooo
Nyie matwariqa ogopeni mungu kushindwa kwenu ndio kumsingizia mtu dunia mnaiona tamu lakini ina mwisho wake mizee mikubwa mnafanya michezo ya kitoto mnaona raha lakini kumbukeni mwisho
Chizi ww
Bachuu ndio mshindi kweli hapo 100%
angesema hajui afundishwe hata kusoma ibara za kiarabu ajui
Kakimbia mshindi leo
Mshindi kajikojolea kwa furaha😄😄😄
@@hutiswalehe2444😂😂😂😂
Kumbe mlitupotezea muda tu, barazanji sie anofatwa ila maneno yake ndio yanofatwa, sisi hatukua tukimjua barzanji, ila maneno yake ndio twayajua na kuyaimba kila siku, muheem tuacheni haya mambo yasotija na dini, tufuateni dini na tuache kua waongo kwa kumsifu mtume saw kiongo ongo
الحمد لله على نعمة الإسلام والسنة والعقل السليم
Tuambieni ukweli wa maneno ya barazanji
Lalenitu jaman hamna jipya
Ukwel ni kwamba mtoto wa bachu ndio muongo na sio barazanji
Ukweli ni kwamba Barzanji kamtoa mtu mikojo
Bachu hataki kusema sijuii😄😄😄😄
This is too much sasa,hata kama amekosea sio kwa hizo kejeli zote,ni kuelimishana,ikiwa yy bado hayuko tayari haimanishi ndio watu waoneshane kiburi,ama hizo stihzai,katika maisha adab huja mwanzo kabla elmu ,ikhitilaf ziwe kwenye ilmu lakny sio hivi sasa watu ndio wamepata mahali pa kufanya stihzai,ubinadamu kabla dini.
Mcheni Allah....munayoyafanya si sawa...
Kuradi watu ndio uzuri leo mumepambana bachu kashindwa kijubu kashikwa kwenye tundu bovu
Sawa ni kuwakejeli wanazuoni na kuwadhalilisha? Muache Allah amdhalilishe leo na yy bachu
Hata iweje sitoenda maulid, Akili yangu inapata mashaka
Nani amekwambia uwende sisi tuko vipenzi za mtume s a w tutasoma
Nyie mwajifanya nivipenzi vyake lkn yeye mtume swalallahu aleihi wasallam hana upenzi na nyinyi mnaomuharibia mafunzo yake na amana aliopewa na mola wake
Kwani usipokuja ww ndo mtume hatoswaliwa??kwahiyo umekiri kabisa kuwa mmeshindwa lkn kwa kuwa ww ni miongon mwa madalali wa ibliis unaamua kusema hata iweje maana yake hata ushindwe vp huwez kuja mauldn....cc hatuna haja na ww akhiy,cc tuna haja na mtume wetu pekee
Wewe kiakili yako na ulivyokaririshwa na wazushi wenzako kua mtume swalallahu aleihi wasallam anaswaliwa kwa mtindo wa ngoma na kuimba na vinanda jitambue unapotoshwa
@@fikafikan8484 kipenz cha mtume kweli weee
Tena wajiita sheikh aboud wazungumza maneno ya qaumu luut maneno ya kimambrui ati mbona kiti aliokaa bachu hafidhahullaahu kina majimaji ama mambo mengine. Subhaanallah tena ati ajiita sheikh aboud maneno yaki qaumu luut kabisa.
Wako na weakness lugha ya kiarabu
Astaghfirullah
Muace uwongo tumefata mdjadala natumeowa ukweli tunadjuwa siasa zenu mweye wa twarika mungu awaongoze.
TUSEME UKWELI JEURI ILE YA TANGA LEO HAPA MPAKA ANAPEKA KIJITABU CHAKE ALOKISAHAU HANA KABISA KWA MWENYE KUONA NA KUWA MKWELI WAKATI ANAPEWA ANAJIBABAISHA NA SURA INA KIRI KUWA AMEROWEKWA KIELIMU KISAWASAWA..... 🤲🤲
Nakuuliza hivi pale ni elimu gani liotikewa na wazushi
@@AbuuAbdillah-hb8li elimu iliyotolewa pale wanyama waliongea kwa kupatikana mimba ya mtume kwa hadithi ya abuu nuaim
Acheni ku seti seti maneno kisha kusema bachu kashindwa ...wallahy wabillahi bachu kafundisha somo na tukaelewa
😂😂😂😂
@@ibnuidrisa3996 somo la saduqu na ng'ombe wa vichwa vitano na maji na coca-cola hilo sawa
Bachu amewafunza vzuri na tukaelewa...siezi amini sheikh wa jundan wewe na umri wako wasema urongo
Assalamu Alaykum.
Nakushukuru sana Ust. Said kwa kumfanya Bachu amwage vumbi ukumbini.
Sasa nakuomba Skh. Said utengeneze clip yenye mada ya kumtakasa Seyyid Barzanji kwa kuyajibu yale maswali yake yote 19 ya bachu kwa clip ya ufafanuzi ulio wazi.
Nakuomba ufanye hivyo hata kama sio munaqasha.
Asitokee
Mwengine kutukana. Mashekhe
Uwongo tupu subhanaallah
Sheikh aboud usitoke nje ya mada? Mutanyoresheka inshaa allah. Na maneno ya qaumu luut ya kimambrui sheikh aboud utaacha.
Hebu waalimu wetu jiheshimuni kidogo. Hivi ndo ma imam wakishindana ? Kisha kuwakosoa na kuwakejeli?
Mie nasema kuwa katikakisa cha ifki cha kunsingizia Aisha na kumtangaza uongo ni watu hawa hawa na Allah katoa onyo kwa hawa wanaoeneza uzushi kumzulia muislam uongo lakin huyu anayejiita sheikh ukiangalia na wenzake walobuni haya ya kumdhalilisha ndugu yetu kiukweli wanadai wamapenda mtume S.A.W lakin wajiandae naibada ili wamlioe Baxhu siku ya qiyaama nakhofia atakuwa muflis sikiya qiyaama kwa kusema urongo na kumdhalilisha mtu na kupoteza wasojua haki kwa kule kukimbia madhumuni ya muhadhara na hakuna madhambi mabaya kama kumsingizia Allah uongo na mtume wake na kuficha haki. Nilikuwa katka usufi huko zamani lakin wallahi uongo imekuwa kama dini yao na hata bila aibu wala soni haina mjubwa wala mdogo na wala sheikh wala wafuasi. Allah atuhifadhi na shari na kila anayeeneza anajibebea mzigo. Bachu asione ni shari kwake baki ni kheri kwake kila mtu alohusika na atakayehusika kwa comment na mengine hapa katika kumdhalilisha atamlipa thawabu tu.
Bachu alifundishwa kiarabu
Astaghfirullah, mnajitafutia Laana za allah s.w
laana itaenda kwa bachu alietukana wanachuoni
@@swabrianwar1020😂😂😂😂
Shekh aboud wajichora kwa haya. Ilkua tusha anza kukupa heshima yako kwavile ulvokua na busara kushinda wenzako
Shekh aboud hana shida na heshima yako km ulimpa heshima yako ichukue ukanunulie maandaz
Mawahabi elimu hawana kazi kutukana masheikh tu...na kubashiria watu pepo na moto
Hawa watu wa twariqa ni washirikina kwahyo mambo ya kuzua kwao ni jambo la kawaida,sisi waskilizaji ndio tumejua haki iko wapi sio nyinyi mujiamulie kua ni washindi matwariqa. Itakuaje watu wa kuabudu makubiri wawe washindi? Malemba makubwa TU hamna kitu
Lazima ajikojolee mtoto wa kitanga😂😂😂 bwana saduku AKA bachu
😄😄mfuac wa saduku bado unapumua kumbe😄😄
@@KassimMwavyema😂😂😂 bwana saduku
Lengo ni kuonyesha UKWELI wa barzanji tukajua muko kati haqqi na sio kutafuta ushindi katika lugha
@@sumeyasumeya5490 utajuaeje hakki kama watafsiri mambo kwa kichwa chako...someni mawahabi aibu tupu....ati hadith munkar ni uchafu😂😂😂😂...uzuka wa hali ya juu...zimepita karne ngapi hawakuona makosa ya barzanji aje kuona huyo saduku bachu asiejua ata kutafsiri mambo na anakosea ibara pia...alijua angejibu lile swali angejikaanga mwenyewe...😂😂😂 sema sijuiiiiiiii...ywaona haya...kesho tena aitishe mjadala na kumbe pia mashekhe zake ni watupu wakosea ibara kishenzi😂😂😂😂
kama umeweza kukosoa ibara za Muhammad bachu ambazo emeandika ma wote tumeshuhudia hilo jambo ambalo kiukwel limeonekana ni kweli amekosea, vp sasa mnatuambiaje kuhusu maandishi ya kwamba wamyama walizungumza je, nikweli upo ushahidi unaotegemewa kwamba jambo hilo ni kweli?
Ukweli upo tena hadithi ya mtume na imetajwa pale nandio ilo mkimbiza bachu palee sikiliza vzr munaqasha ndugu yangu
@@HusseinPaula nimesikiliza sijasikia hdithi sahihi niambie wewe ipo kitabu gani nihangaike mwenyewe kuitafuta
@@aymanmangube4092 hadithi iliopo ni dhaifu sio sahihi hiyo ndio dalili ya kuzungumza wanyama kwa mimba ya mtume
Ipo kwenye dalaailu nnubuwwa
@@HusseinPaula kama ni dhaifu kuna haja gani ya kuelezea yanayomuhusu Mtume صلى الله عليه وسلم ambayo sio sahihi na hilo ni katika mambo makubwa kabisa
Masufi ni waongo sana
Hiyo ndio dininyao halaf wataka ati wajiite sunna waljamaa. Wallaahi sijaona waongo kama sufi na mashia kwa kutunga uongo na bila aibu na asili yao mayahudi kabisa kitabia
Yaani mungelitumia hizi gharama zenu za munaqash iwe pesa muda ata maongezi Kwa kumsilimisha MTU mmoja nibora mbele ya Allah
Sasa Kwa haya ukisema ndo maulidi yanafaa kusomwa au vipi
😂😂😂😂😂
Signs of being defeated
Jamani hivi ni kweli kiti kiloe lakini kanzu aliyonayo haijaloa,Allah ajua zaid
Kanzu yake pia inawezekana ili loa
@@abiabi9353 muogope Allah hupaswi kuwa hivyo katika dini,mtu akikosea kwenye dini kuwa mkweli hata kama ni ndugu yako,kwakusema amejikojolea hilo haliwezi kuwa kweli sababu ya kufanya hivyo ni nini
Ww uliiona kanzu yake kwenye matako??😄😄😄
@@hutiswalehe2444 th-cam.com/video/CFvqLIzkLUQ/w-d-xo.htmlsi=H2qWMkPoOVYL6ZOY
Bachu kwishaaaaa
Bachu ndio anaigia mzigoni sahii kuichambua barazanji yote, safari hii mutakipata
Arud akamtukane baba yake na sio barazanji
Mim namkumbusha huyu alo andika kichwa chahabar amuogope Allah na cku ya mwisho leo unaongea kawaida unaonesha kiti kua kajikojolea muogopen allah
Kumbe kutukanwa, kudhihakiwa na kudharauliwa inauma see..??
Kumbe inauma sanaa
Mkuki kwa ngurue haiumizi. Midude za kiwahhabi ndo hukejeli, hutukana, bali hukufurisha. Ilipofika wao kuonyeshwa udhaifu wao, imekua sasa yauma.
Yeye au Mpaka wewe kama mtu kakojoa unataka tuseme kanya?
Allah aupe ushindi ukweli uliojificha
Mtakeni Allah msamaha Kwa kuiweka wazi aibu ya muislamu mwenzenu
Hakuna kutaka msamaha ALLAH mwenyewe ndo kamfedhehesha Bachu kwa maneno yake maovu dhidi ya wana wa chuoni
Aibu gn wakati wamemwaga maji Kwa kiti alichokikalia halafu ww aboud unathubutu kusema maneno umechukua dhimma mbele ya ALLAH MCHE MOLA WAKO
Wenye akili na ufahamu wataelewa 😂😂😂
Hata wakuchukie watu wote ulimwenguni, kwa kukupa majina mabaya kila aina bali akiwa Allah anakupenda inatosha..
Ameazirishwa bachu amekimbia aibuu
Whats are saying
Nkwel ww hujawah kukosea 😂😂😂 shekhw
Bachu akosa lakusema hahah Ati wataka kusema kuwa sijui? bachu hujuiiii unavojua ww ni saduku .. ati mwalimu asomesha watu 😂😂😂 bachu kasome
Mpk kiswahili pia kimeandikwaaa 😄😄😄😄et ni msomi wa dini huyoo
😂😂😂😂
Kakojozwa ivoo haya rudi Zanzibar 😂
Kumbe ww shekh haujitambui unaongea uwongo siku ya kikao muliambiwa chataka kijadiliwe kitabu nyinyi mwataka ajadiwe mtu mnakwepa hamuwezi kutetea haki
Hebu tueleze wamekwepa vp
@@muhideennoor2458 ukiangalia video nzima wao wamekwepa maswali yote yaliulizwa na bachu, kwasabb wanajua barzanji imejaa uongo na uchafu
@@muhideennoor2458 sikiliz vzur ndug kwny clip dakik ya 1:37,amesema hv nimemnukuu kam hujamuelew TUMAAFIKIANA MADA. MADA YENYEWE NI KWAMBA YALE ALIYOYAZUNGUMZA SAYYID JAAFAR AL BARZANJ KATIKA MAULID YAKE YA AL BARZANJ ELEWA VZURI HAPO 👆KATIKA MAULID YAKE YAAN KATIKA KITABU CHAKE CHA AL BARZANJ
05:10 قد يكذب السدييييك 😂😂😂😂😂ASHEIKH MADIYADIIII
😂😂😂😂
lengo ilikua muteteee maulidi lkn hatujaona iko mumebaki kufanya kejeli.alhamdulilah sheikh muhamad hakuonekana kuchukizwa na kejeli zenu yeye ametoa elimu na wenye akili wamelewa
Elimu ya Ng'ombe wa vichwa vitano hiyo mumeipata na elimu ya saduqu
io io lkn tushaelewa
Hamuoni hata aibu madhalimu wakubwa , alafu mnajiita IHSAAN TV , mnamdhalilisha mwenzenu kumwambia amejikojolea , kutetea maulid hamuwezi kazi zenu kudhalilisha wenzenu
kakojoa au maji gan ayo
Shida iko kinacho jadiliwa nikitabu chote cha barazanji imekuaje mukaeka vitabu mezani kisha musifungue hata kimoja
Kimefunguliwa kitabu dalaailunnubuwwa na bachu akashindwa hivyo vingine havikufunguliwa baada ya bachu kushindwa na swali kutoka kwenye kitabu kimoja tuu
bachu kaibika sanaaa
1:44, WAJIKANGANYA NDU YANGU
Kabx kak kashasahua kuwa alisema nn
Hawa watu masufi ni waongo sana muwe tahadharini sana
Uwongo wetu ni upi
Sheikh aboud pesa za mashia zimekutia wazimu. Sheikh tetea tumbo lako na family yako. Tafuna pesa za mashia Usitetee uisilamu sheikh aboud tetea tumbo lako na family
Assalamu alaikum mimi nimesoma madrasa ya twarika na vile vile napenda sana lakini Kuna baadhi ya mambo yameniudhi mungestiri aibu ya, muislamu mwenzenu, hapo mumeteleza kwa kutoa aibu ya ndugu yenu,huwenda ipo siku na nyinyi mukapitikiwa na haja pasi na kutarajia, sijasema Kwa ubaya naomba nieleweke sana , lakini la haki mtu husema, shukran
الجزاء من جنس العمل
WE SHEKHE HUJATULIA WEWE NI UONGO
WEWE SHEKHE WAAMBIE HAO WENZIO ALIE SEMA KAMA KITI ALICHO KALIA BACHU KINA MAJI BASI AKAMUULIZE MAMA YAKE MAJI YALE AMEYATOA WAP KUMBE NYIE NI MBWA KWELI NYIE AH MNACHUNGUZANA WANA UME KWA WANAUME
KUNA MAMBO YA MSINGI HAMUYASEMI KAZIENU KUKAA MUKABISHANA KWA MAMBO YA KIJINGA NA UPUUZI TU
Lazima mtu kavaa kanzu na anaongea kwa jazba MNATAKA awe baridi kama ule mpiga kinanda wenu ,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hajajibu hoja hata moja ,halafu mnalaumu bachooo dahhhhh
Leo mpija kinanda kafundisha bachu na swali labachu alilolitoa kalijibu mwenye ile hadithi ndio akambiwa thibitisha kwa wanazuoni mbona ww mnafik
Sasa kafundisha nini kapewa swali hakujibu kalikimbia swali kwa kuuliza swali la shubha nyinyi hamkua na nia ya kuja kujua haqi bali mmekuja kutafuta ushindi hamuwezi kuongoka ALLAH anawapeleka kule mlipopanuia
Lakini si kajikojolea au sijaelewa?
😂😂😂😂
Yan chanel ya dini alafu cha khabari kimeandikwa kijinga
Wewe Aboud wewe ni mnafiq sanaaaa na wenzako nyote mulokua hapo watu wa maulidi
Mnafik ww na bachu kakimbia mezani ndio ujuwe twarika wasomi wa kila fani
Bachu ndo mshindiiii kwa furaha ameamua kujikojoleaaa😄😄😄
@@hutiswalehe2444😂😂
Mbna Leo Ali abubakar amehepa ama kazi yke ni kupanda mimbar na kutukana
😂😂😂😂😂😂 Kojo
Ivi kweli wewe unaelimu kweli yani umeshindwa kutetea barazanji unasema Bachu kajokojolea unaaakili wewe hata yule unae kuandika ujumbe huu unazani atakuona uko sawa tunawaheshimu ndio mumesoma lakn kwenye hikima ya elimu mumepta usiku fikiri kabla ya kutenda utakwenda ulizwa na allah
Kadanganyeni wanaopiga mtwari waskilizaji ndio mahakimu wameona nani alishindwa na hoja na ust said kashindwa na hoja sasa waambieni wafuasi wa maulidi ukwely juu ya maneno ya barzanji wacheni kukwepa
Kabachu kamejikojoleaaaa😂😂😂😂
Nyinyi viongozi wote pande mbili niwaongo na wazushi,maana sioni kama mnaelemisha bali mgogoro tu .elimisheni sio kuzua vita
Wapi bachu 😂😂😂😂😂😂
Wataka kumrekibisha na kumfedhehesha huyo aloandika سدوق badala ya صدوق ambae hajulikani ni nani. Lakini waebika mbele za Ummah leo hata tofauti ya ق na ك hujuwi katika kusoma. Uli isoma kwa ك at سدوك
Alafu kwenye dakika 8.50 atueleza kuwa haiandikwi hivi ina andikwa قد يكذب الصدوك . Subhanallah
Kachezeni viuno ndo mnayo furahia
Muogope MOLA wako shk aboud hapo kwa kujikojolea umemzulia al akhy bachu .na ujue unayoyasema yamedhibitiwa na malaika
Wallah mtihan kwa kweli
Kile kiti kiliroa na nini??
😂😂😂😂😂😂
Walimwaga maji twawajua Wana hila