Wowuuu huu ndo muda wa kubonyeza kwa hili neno subscriber mnanifulahisha Sana . ndaro akiwa na stiven mpango yao ni hatali . Kwizera Hamza from Rwanda. kwa kiswahili unite Kuamini Hamza . Shukran Sana wazee wetu tunawapenda zaidi . ila msinicheke kiswahili changu sio kizuli cha muhumu ni maoni yangu. Tuendelee .....
Aisee Kiswahili yetu ya wakenya ni tofauti sana na ya watu wa bongo. Wabongo wanaongea Kiswahili sanifu Aisee!!! Lakini kwa kingereza hawatufikii ata!!
😂😂😂😂@ndaro @steve. You guys have good chemistry. Mnajuaa, yaan hata bila script nyie ni vichaa tayari.
😂😂😂😂😂😂ndaroooo au basi nishaelewa .... Steve hiii njia inatoka..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kazi nzur nawakukubar sana
Gud job ndaro and Steve, keep it up ❤️ ❤️ ❤️
Aaah with Steve and Ndaro,never stressed.
Like 5 tu zinatosha,tuondoke
Nilikua nime miss sana kazi yenyu watu wangu hii ni from 🇨🇩
Vp naomba like zangu
My favs...we love you from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
nakubali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
More love from 🇰🇪 ✌️✌️
🫂🌹👌
Are you hungry? Why not😂😂 ...kizungu cha steve😂😂
😂😂😂
Daenjoy sana kuwacheki hawa jamaa 😂😂💥
𝗡𝗶𝗽𝗲𝗻𝗶 𝗹𝗶𝗸𝗲 𝘇𝗮𝗻𝗴𝘂 𝗳𝗿𝗼𝗼𝗺 𝗯𝘂𝗿𝘂𝗻𝗱𝗶𝗶𝗶
Tengere tenger
These two boys are greatly talented.
These people always impress me keep it up u guys
😂😂 alafu akimaliza aje kunakitu muhongee
i am congolese 🇨🇩 Steve mweusi and ndaro super guys
Kwani Awa Steve na ndaro wenitunza stresse 😀😀😀😀😀🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
My favourite comedian ndaro mwenyewe ❤❤❤
Nimejikuta nacheka kwa sauti aisee ndaro na stive😂😂😂😂
Daah Yan me sjawah kupat like zang
Willyemsista from kenya😂😂 pia najaribu hio ujanja😂
Ningekuwa pia mchekeshaji lazima ningemshirikisha Steve Moses...talanta haswa😅
#fan no. 1 toka Kenya
You never disappoint bro.....keep up.
Kenyans love you❤❤❤❤
Na nilikuona na brother yangu Tom Daktari
Wowuuu huu ndo muda wa kubonyeza kwa hili neno subscriber mnanifulahisha Sana . ndaro akiwa na stiven mpango yao ni hatali . Kwizera Hamza from Rwanda. kwa kiswahili unite Kuamini Hamza . Shukran Sana wazee wetu tunawapenda zaidi . ila msinicheke kiswahili changu sio kizuli cha muhumu ni maoni yangu. Tuendelee .....
😂😂😂😂😂lakini nyinyi zamani mume niuwa na furaha Léo kabisa nyinyi niwa Noma kweli mimi ni shabiki kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Always my crush steve❤❤
Hayo majagi ya kunawa mikono sasa😂😂😂😂😂😂mi hoi😂😂😂mwaka huu 2023 😂😂😂
Hii imeenda kwa stive na ndarooo c.o pw nawakubali😂😂😂😂😂😂😂❤
This two boys are very talent
hii nzuri unapelekwa jela ukiwa umeshiba😂😂😂😂😂😂
You killed it guys😂😂😂
👏👏👏👏👏Hapo Hapo vijana kbs 😂😂😂😂!!! Kula nyama 😋😋😋!! Na leo Steve umetumia Hakiri kwa kumkamata mwizi mkubwa 🤣🤣🤣🤣
Steve and Ndaro 💞💞
Nimechoka Hadi mbavu zinauma ndaru na sintiv m 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
We hatari,san
🤣🤣🤣🤣, pale mwishooni, ety Steveeeeee😂😂😂🙌🙌🙌
Vp broo ndaro uko poa broo wangu karibu Kenya broo mimi nko ukunda ni seifu charo uyu nakubali broo
Hahah jamaa hawafahi yaan kila wakitoa hawakoseiiii 😂😂
Hahhahaha kama umecheka nipe like ata mbili 😅😅😅
Kula hii
hatari sana😅😅 content
Nmejiwahisha mie 😂😂 mnilike Sasa
Ile elfu kumi na nane ya Tz naskia ni thate fae bob ya Kenya 😅..anyway much love guys
Divide by 16 ama 20
Wakwaza hapa liké zangu
You've made my day 😁😁😊😁
Chakula kitamuuu❤❤
Hahahahahah unapelekw jela umeshiba😢 ila Steve unakit chaj mbngn🎉
Mkacheze dubuu 😂😂😂
bro, your comedy is very good you know it very well
Jaman kila siku nawapa like na mimi jap like 10❤❤
Pokea hii
@@BonnyMwajombe-iu7hb
Ok 👍
❤❤❤❤
🎉
Kwan likes huwa mnaziuza au!! Selew ujue
hawa jamaa hawana akili😂😂😂 nawakubalisana
Muito talento envolvido ✌️ one love diretamente de Moçambique...nawapenda sana
Ila Steve na ndaro😂😂😂😂😂😂Mungu azidi kuwabariki 🙏
Awa watu wawili wanakuaga wameweza love from kenya
U always made my days u guys I love u so much 😂😂😂😂😂😂
Azam aza!Azam
Vipi❤
😮😮😮
Nakubali
Ndaro uyooo 😅umepata million 10 ceka tu😂😂
Mapema sana Leo like 3 tu zinatosha
Ay Usha pata 140
th-cam.com/video/E7z0dkeIdtM/w-d-xo.htmlsi=O4iwh9Netyqzkch4
😂
Auxiy
Puuuuuuuumbaaaavuuuuuuuuuuuuu
Vocês são melhores comediantes de Tanzânia , amo vos muito, from Mozambique, natamani siku moja tuwe pamoja i love too much 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kumbe unajuwa kuandika kiswailii vzr alafu una jishauwa kuandika upwiruu apo, sijapenda 😂😂😂😂😂
From +254, I heard Steve requesting for 'Wali Makange' however he was served 'Wali nyama' or Makange' ndio Nyama'
Ety bana ata nashangaa awa wabongo
Aisee Kiswahili yetu ya wakenya ni tofauti sana na ya watu wa bongo. Wabongo wanaongea Kiswahili sanifu Aisee!!! Lakini kwa kingereza hawatufikii ata!!
😀😀😀😀
Makange ni hizo greens umeona😂........though nimefanya kuassume sababu unajua sisi Wakenya na kiswahili biana😂😂
This two😅😅😅
This two😅😅😅
Hii advert ya club sunset ni motoooo ....one day will visit from Kenya
NDARO NAKUKUBALI NA UCHESHI WAKO FROM KENYA
APA KAZI ilichapwa vizuri sana, mulitaka munipasuwe na macheko😁😁
Ebanae yani. Ndaro mjeshi kikofia and Steve mweusi niatar sana kiukweli. Nawapenda ma brother zangu ❤❤❤❤
Sema hii nzr unaenda jela umeshibda 😂😂😂
Njoo tuchekee huku😂😂 mwenzako Sina nguvu za kuja huko🥳🥳
Yan mungu tu kusadie siku zote napenda vituko zako my friend
Oyaaaah jaman part two itakuja lini😂😂😂 yaan nime cheka hatri😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂Basi sawa tukubaliane hawa jamaa noma sana
Are you hungry??
Why not🤣🤣🤣🤣🤣
Mr.machale leo stive kakuchoma😅😅😅😅😂😂😂
Alafu uyo dada aseme kweli kama ana mtoto 😂😂😂
😂😂😂elfu kumi na nane kwani tuna ondoka na vyombo😂😂
Aiseeeee😂😂😂
Hii imenimaliza mwisho😂😂😂😂
Hhaahha😂😂😂 kudadekiii leo kwl mmeyatimba wahuni wa kariakoo na popcorn 🍿
4:15 mpaka kwenye google map papo😅😅
Huko club sunset mna inzi😂😂😂
Tukitoka hapa tukacheze dubu 😂😂😂
Nipeni like zangu leo
Good 🔥🔥🔥
Njoo tuchekee huku😂😂😂😂
Machi lavu kutoka kenya
😂😂😂😂😂stave umekwepa mtego 🤣 nakubali brother pongezi
Wakwanza leo naomb❤
Naipenda kuona mavie sako ndaro nataka nikuone siku moja
Ety Kitu tuongee cha kimwili😂😂😂 Steve ... mshenz
Cena boa 🇦🇴
Naomba like
Amesha rudi marekani😅😅😅
Nawakubal xan kazi yenu is great
nimecheka kwa nguvu sana nusu nikose kaz leo hahahahahaahaa nice
Vichwa vyenu mnajijua wenyew 😂😂😂😂🙌
Hapo ndyp nacheka🎉🎉🎉
Big up tu sana stevoo na ndaroo
Nawakubar san
Team ndaro tujuane Kwa like
Steve au basi achatu 😂😂😂😂😂
Halafu sio nzuri,,,,,,wamempea huyo muhudumu wakati mgumu,,,,halafu tena mwisho nmependa sana 😂😂😂
Eti soda zozote mbili😂😂😂😂😂
Eti kanzu kanunua urabuni😅😅😅
Kazi nzur munazid kutufulahisha
These guys are lit🎉🎉🎉