RAIS SAMIA AINGILIA KATI SAKATA la BABA KUOA DADA wa KAZI na KUMTESA MKE WAKE MLEMAVU -POLISI WAFIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • RAIS SAMIA AINGILIA KATI SAKATA la BABA KUOA DADA wa KAZI na KUMTESA MKE WAKE MLEMAVU -POLISI WAFIKA....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 873

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  6 หลายเดือนก่อน +14

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @rugendorunene545
    @rugendorunene545 6 หลายเดือนก่อน +59

    Nime mpenda sana huyu dada wa jeshi La Police... Baraka 🙏🙏.

    • @maryupendo8706
      @maryupendo8706 6 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu dada apandishwe cheo mara moja,,,,watching from Kenya❤❤❤❤

    • @MaryMatereadvicer011
      @MaryMatereadvicer011 6 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤

  • @joyce55727
    @joyce55727 6 หลายเดือนก่อน +48

    Mama samia Mungu azidi kukubariki pia azidi kukupa afya njema uendelee hivyo hivyo mama ❤❤

    • @user-gg1gp8ib2u
      @user-gg1gp8ib2u 6 หลายเดือนก่อน +1

      😊

    • @user-gg1gp8ib2u
      @user-gg1gp8ib2u 6 หลายเดือนก่อน

      😊😊

    • @Bikhafija
      @Bikhafija 6 หลายเดือนก่อน

      Lkn usimchoke kaka yangu ndio mgonjwa tena

    • @Bikhafija
      @Bikhafija 6 หลายเดือนก่อน

      Lkn na uyu msichana ange mlea uyu.mama kama mzazi wake

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 6 หลายเดือนก่อน

      acha unafiki amekuwa magufuri

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 6 หลายเดือนก่อน +59

    Mm naomba uelewe
    Huyu mama ni Mgonjwa sawa na umeoa nakubali.
    1. Huyu bi mdogo ni mpuuzi na hajui kula na kipofu. Angemhudumia huyo bi mkubwa kwa upendo kwakuwa ni mdogo kwa upendo wote ila kakosea sana atafutiwe pakukaa eneoblingine kabisaaaa
    2. Baba ambae ni mume mtunze mkeo kwa Upendo amtafutie msichana wa kazi wakumtuza na Pia msomeshe mwanao wa Kiume na baba mpatie chakufanya aweze kujisimamia nakumsimamia Mume wake.
    3. VIONGOZI WA DINI NA WANASAIKOLOJIA WAITEMBELEE HII FAMILIA MARA KWA MARA KWA AFYA YAO YA ROHO NA MWILI
    Mbarikiwe sana mloshiriki kwa Hili❤❤❤❤❤❤

    • @zaidasalumualute6437
      @zaidasalumualute6437 6 หลายเดือนก่อน +2

      Mpuuzi sanaa huyo bimdogo,angemuhudumia huyu mama kwa nguvu zote angerisi malizote zahuyu mama,lakin sasa kujitafutia laana,haya yalimkuta huyu mama nayeyatamkuta,Chezaa matajiri wa kichaga??

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@zaidasalumualute6437selekari za afrika ni mbovu sana kesi ya kuipeleka mahakamani munaiongelea barabarani hiyo kesi ni kubwa ingekuwa huku ulaya huyo jamaa angeisoma namba tatizo la selekari za afrika hazina sheria hata kidogo

    • @stamillusatila9084
      @stamillusatila9084 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hata ongea yako unaonyesha jinsi ulivyo fedhuli wee Baba

    • @orsolinaleonsminja6436
      @orsolinaleonsminja6436 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mkatili kabisa huyu. Hana lolote! Hizo Mali atakuwa na ataziacha! Mungu hapendi! Kama ana fedha kwanini asimuwekee mtu WA kumhurumia?

    • @annamosha968
      @annamosha968 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@stamillusatila9084Sana, sura tu inamuonesha ni KATILI

  • @ruthhamisi2902
    @ruthhamisi2902 6 หลายเดือนก่อน +26

    Asante mungu kwa kuona mda mrefu mateso ya huyu mama na ukashuka mwenyewe kumsaidia, ameeen

  • @mariansumari2179
    @mariansumari2179 6 หลายเดือนก่อน +28

    Mama Samia kipenzi cha wanawake rais wetu MUNGU baba akutunze Mama TUNAKUPENDA ❤❤❤

  • @paulmisalaba3364
    @paulmisalaba3364 6 หลายเดือนก่อน +34

    Mungu aniepushe na visa kama hvi siwez mfanyia hv mke wangu akiwa katika hali hiyoo😢😢

    • @user-xc4or2vp6l
      @user-xc4or2vp6l 6 หลายเดือนก่อน +1

      Na iwe hivyo kama ulivyosema

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 6 หลายเดือนก่อน +1

      Amina kaka mungu akuwezeshe

    • @annamosha968
      @annamosha968 6 หลายเดือนก่อน +1

      Na ukabarikiwe mnooo kaka, wewe una Mungu 🙏

    • @marysdiosa8764
      @marysdiosa8764 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kama mim siwezi mfanyia mume wangu hivyo, sema hatupatagi watu wa kuolewa nao wakweli

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabsa kaka

  • @marthakimia4075
    @marthakimia4075 6 หลายเดือนก่อน +11

    Uko vizuri Kolumbas Mungu atakubariki sana Kwa Kwa hilo

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t 6 หลายเดือนก่อน +19

    Kusaga na wenzie mungu awabarki kwa kuwa jana mlilifikisha hili jambo kwenye mamlaka za juu nasasa tunaona likifanyiwa kazi ahsante Mungu

  • @stellamoses4496
    @stellamoses4496 6 หลายเดือนก่อน +8

    Mum Samia your amazing Mungu akupe maisha marefu na Amani.

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 6 หลายเดือนก่อน +27

    Mama. Samia. MPENDWA WETUUU Rais WETU mwema 🎉. Mungu. AKUZIDISHIE mama

  • @LevinaMichael-oy8cu
    @LevinaMichael-oy8cu 6 หลายเดือนก่อน +31

    Duuuh aisee mama kumbe anaona mama mungu akulinde sana

    • @mackarioussmakuri6147
      @mackarioussmakuri6147 6 หลายเดือนก่อน +1

      Lakini ingekua ni wewe bwana umeugua je ungekubali hayo unayomtendea mwenzako akutendee?

  • @vickylupemba6055
    @vickylupemba6055 6 หลายเดือนก่อน +10

    Mwandishi msomi hongera, you are the best, God bless you 🙏🏾

  • @gorethlupembe5502
    @gorethlupembe5502 6 หลายเดือนก่อน +75

    Kulipa pesa ya dialysis na huduma zote huyo ni mke wako ni haki yako.muogope Mungu hujui kesho yako.usifikiri mkeo aliomba huo ugonjwa.

    • @latifamama4627
      @latifamama4627 6 หลายเดือนก่อน +6

      Wewe mke mdogo jiangalie, yatakukuta mambo tofauti na umri wako

    • @user-el6ev9dt5k
      @user-el6ev9dt5k 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa yaani anahisikm anamsadia tu

    • @user-xk7vy4gb6g
      @user-xk7vy4gb6g 6 หลายเดือนก่อน +5

      Huyo mfanyakazi ambae kwa Sasa ni mke wallah kipo kitu kitamkuta Mungu hachezewi

    • @joymrema4141
      @joymrema4141 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mama samia mama bigapu

    • @joymrema4141
      @joymrema4141 5 หลายเดือนก่อน +2

      Wana wake tumepitia magumu mengi mimi niliwahi kunywanyasika nikaacha kit lakitu huyo dada wakazi hanaakili w

  • @user-jx4rx6jy6y
    @user-jx4rx6jy6y 6 หลายเดือนก่อน +10

    Nimefulahi sana kusikia ivyo mungu akubaliki mama samia

  • @MaryMatereadvicer011
    @MaryMatereadvicer011 6 หลายเดือนก่อน +5

    Aki huko Tanzania 🇹🇿 nitaamia uko yaani serekali yao❤❤❤❤

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 6 หลายเดือนก่อน +13

    Mungu ni mwamnifu sana asntee sana jamani 😢 ee yesu mwema bariki viongozi wetu Rais wetu Mungu akutunze

  • @sunherybabie1472
    @sunherybabie1472 6 หลายเดือนก่อน +42

    Baba hana haya huyu,kumtolea damu ni wajibu wako si mke wako,si uliapa kiapo kanisa katika hali zote za utajiri na umasikini,furaha na maradhi,leo hii unaongea maneno kwa jazba unataka kujiliza unafiki. Mungu atadili na wewe maumivu anayopitia mwanamke huyu juu yako utalipia hapa hapa dunia. Na huyu mfanyakazi Mungu atakuchapa kisawa sawa,na wewe ni mwanamke bado unasafari ndefu,utakuja kujuta.

    • @user-uc8ei8kn3l
      @user-uc8ei8kn3l 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kabsa

    • @anneth7572
      @anneth7572 5 หลายเดือนก่อน

      Baba katili bado anaonekana tu, Mungu halali we baba

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 6 หลายเดือนก่อน +18

    Hapo mwanaume angeumwa mwanamke angeolewa tungeskia maneno Mengi Saana

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u 6 หลายเดือนก่อน +24

    hatasisitumefurahi kwahilo asantedawati lakijinsiya asanteni majirani pamojana mwenekiti

  • @JehovaJonas
    @JehovaJonas 6 หลายเดือนก่อน +8

    Adui wa mwanamke ni mwanamke full stop

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 6 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu baba jeuri mshenzi mkubwa mungu ampe na yy maradhi akome

  • @user-dm8pv2ck3i
    @user-dm8pv2ck3i 6 หลายเดือนก่อน +6

    Rais Samia hongela saana mungu akukulinde

  • @gorethlupembe5502
    @gorethlupembe5502 6 หลายเดือนก่อน +9

    Asante mama Samia Mungu akulinde sana uzidi kututetea

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 6 หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana afisa wa tz,yaani tz bwana, nawapenda munakuwa na ujamaa na ni uzuri sana!!!! Asante Raisi wa tz

  • @neemaisaac8356
    @neemaisaac8356 6 หลายเดือนก่อน +9

    Pole dada utaona Mungu ni mwema huyo mwizi wa mabwana za watu dunia itamfundisha

    • @victorianganyagwa2467
      @victorianganyagwa2467 5 หลายเดือนก่อน

      Waachen waendelee Hao wanawake wanaoiba wa ume za watu n kutesa fmlia za wtu ipo ck yan wayalip kwa uchung San n km dem c angeend UK mbl n hudum ziendelee km kawaid lkn hamuheshimu mkew huo n mtihan wa kiapo walichokul mbl y madhabah

  • @tatutumbi4640
    @tatutumbi4640 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mama Samia, Rais wetu. Mungu Azidi kukulinda. Ubarikiwe Daima🙏

  • @user-im9wf2tb2r
    @user-im9wf2tb2r 6 หลายเดือนก่อน +16

    Jaman we mwanaume hukumbuki hata mlikotoka!!!!ugonjwa hajauomba jua hata ww hujui kesho yako!pole mama Mungu atakusaidia

  • @juliuslengai5089
    @juliuslengai5089 6 หลายเดือนก่อน +12

    Hongeren global.. ila hii saut ya unatazamaaaa global tv inanikera

  • @rosekilawe786
    @rosekilawe786 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nimshauri huyo mgonjwa usimpe shetani nafasi kaa karibu na Mungu mpe maisha yako Yesu anaponya na anafanya njia ukimkubali anakupa uzima Kama alivyofanya kwangu na atakupa kila kitu msaada wa mwanadamu aufai pia Akikupa Amani ya moyo wako inazidi utajiri wa Mali Mungu akuponye Kama alivyoniponya Ameeen.

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 6 หลายเดือนก่อน +24

    Hilo housegirl ndilo lichawi liliomroga huyu mama.

    • @Rich-wo
      @Rich-wo 6 หลายเดือนก่อน +3

      Mtu wa kwanza kbs kumsuspect ni mme wake

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 6 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน

      Usikute kweli yaani

    • @lucykimambo487
      @lucykimambo487 6 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @ZainabuOmary-nt7xf
      @ZainabuOmary-nt7xf 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wanaume shikamoniiiii mungu atawalipeni apa chini ya jua

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 6 หลายเดือนก่อน +15

    Asante Mungu! Hilo malaya mwixi mchawi, acfikiri hakuna Mungu.Mtakoma mbwa nyie. 2:45

    • @roviykamage5423
      @roviykamage5423 6 หลายเดือนก่อน

      Usifikilie katika ubaya ona mazur ya mme pia . Uwewepesi wa hukumu huku na hulka hio

    • @salmabinyaga2357
      @salmabinyaga2357 6 หลายเดือนก่อน

      We nae huyo mume ana mazuri gani

  • @goodluckminja9101
    @goodluckminja9101 6 หลายเดือนก่อน +12

    Global TV wacheni ushamba,, Sasa hiyo sauti NI ya nini wakati tunaona NI global TV

    • @monicambuva529
      @monicambuva529 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @norahkyando8809
      @norahkyando8809 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 2 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣 unatazama, global tv

  • @bulengepetite6062
    @bulengepetite6062 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu apewe sifa ❤❤❤❤❤❤

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ubarikiwe sana Mama Rais wetu Samia..

  • @cleversalbaba-em4jf
    @cleversalbaba-em4jf 6 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu akuponye mama Liston Mungu akupiganie na usisahau kuomba huenda huyo House girl aliyeolewa kwenye ndoa ya mwenzake ninavyomuona huenda kashamloga mwenzake ili yeye aweze kumliki huyo mume na kula alichotafuta kwa jasho mwenziwe aliye mgonjwa. Ashindwe kwa jina la Yesu na Damu ya Yesu ikuponye mumy..

    • @teresiangoya6950
      @teresiangoya6950 6 หลายเดือนก่อน +1

      Haugel kamloga mwenzie

    • @marrypius576
      @marrypius576 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@teresiangoya6950mimi natak kujua huy House girl ni kabil gani tuanzie hapo 😂😂😂

    • @teresiangoya6950
      @teresiangoya6950 6 หลายเดือนก่อน

      @@marrypius576 mwenzangu mhh hatujui kabila gani

    • @JasminMneney
      @JasminMneney 6 หลายเดือนก่อน

      Alafu kapendeza kushindaa Mama mwenye mji kaivaaa uso unateleza khaaa wafanyakaziii@@teresiangoya6950

  • @eddahkobong271
    @eddahkobong271 6 หลายเดือนก่อน +3

    Rais wetu mama Samia. Kweli nimefurahi sana kwa kulishughulikia hili jambo Mungu azidi kukubariki, uendelee kutuongoza. Kweli wewe ni mama yetu.

  • @user-rl3yh6ls7b
    @user-rl3yh6ls7b 6 หลายเดือนก่อน +4

    Swafiii Sana Amiri Jeshi Mkuu, yaani hawa waumeeeee

  • @saida5091
    @saida5091 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mama yetu mpendwa Samia Suluhu.......umetisha mama...hapo ni kazi tuu❤❤❤
    Mungu awabariki nyote.

  • @stanleymsenga2436
    @stanleymsenga2436 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mama SAMIA MUNGU Akupe maisha marefu sana na aendelee kukuweka kwenye hicho kiti akubariki na uzao wako kwa kumtetema huyu mama,

  • @user-mc5zb3ox9c
    @user-mc5zb3ox9c 2 วันที่ผ่านมา

    Mama mungu akubariki

  • @user-uh7to2kw2z
    @user-uh7to2kw2z 6 หลายเดือนก่อน +18

    Mama Samia mungu atakulipa.kwa kumpigania mm huyu huyu baba anaonekaa mkatili sn na huyo bimdogo.kua makini mm wasikutilie sumu2 apew ulinzi

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki sana korumba tarifa zako tunazielewa sana" hilo li hose gal liondoke haraka mshenzi mkubwa huyo " mama samia hoye rais wetu kipenzi anaye jali

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mh Rais ni Mama mwenye huruma na utu.Matukio mengi yakimgusa anawajibika,kongole nyingi Mh Rais Dkt SSH.Mungu aibariki hii familia na ampe hekima huyu mwanaume kumsitiri mkewe wa ujana wake,Amen🙏

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu twakuomba utuomdolee maradhi jaman 😭😭

  • @martinmollel1363
    @martinmollel1363 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Afande,hiyo ni positive observation na umeeleza vizuri sana,umeonesha professionalism heko sana,hiyo ndiyo image ya serikali tija sana.Huyo mwanaume hajasimamia wajibu wake,ni unyanyasaji uliobeba dhambi sana.Huyo dada wa kazi aache tamaa,kimtizamo yeye ndiye muharibifu na amemdhibiti huyo jamaa mpaka ameshindwa kusimamia wajibu wake.All in all hii Dunia tunapita, tupendane,tuthaminiane, MUNGU hadhihakiwi.

  • @mwakamwatsimu
    @mwakamwatsimu 6 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu baba Mungu amuongeze na azidi kusimama na mkewe licha ya changamoto aliyonayo ya mkewake asimchoke akatupa baraka na kujibebea haraka.kisha mke mdogo nawe siatumie busara na hekima ya kuishi kwenye ndoa yaani anajisahau unataka kutawala kila kitu ulisikia wapi mali ambayo haukuitolea jasho inaweza kusitiri hebu ajiongeze nadhali ashaolewa na ajue kubalance mambo na sio kujitoa fahamu akifanya mchezo mume atamkosa na mali atakosa ajui kula na kipofu anatanguliza wivu badala ya kutumia akili na marifa kama mke acha tamaa na kujisahau.

  • @NdongaKichwa-hz7jf
    @NdongaKichwa-hz7jf 6 หลายเดือนก่อน +7

    Nani kaona msuko alosuka kamanda😅😅😅😅

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂. Kumbe na wewe umeona na wewe 😂😂😂😂

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @NdongaKichwa-hz7jf
      @NdongaKichwa-hz7jf 6 หลายเดือนก่อน

      @@azizaaziza7996 nimeona

  • @rahabumwalongo25
    @rahabumwalongo25 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeanza kumuelwa Rais wetu mama samia. Uyumama angekosamsaada sijui nini kingetokea. Mama mimi kwahili niponaww kilichokua kinarndelea hapo niuonevu. Mungu akulinde mama samia🎉

  • @nenenongi66
    @nenenongi66 หลายเดือนก่อน

    Ruth Mungu akuponye hayo maradhi.

  • @MohammedLali-k3r
    @MohammedLali-k3r 15 วันที่ผ่านมา

    ❤Hongera mama samia god blee you

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 6 หลายเดือนก่อน +32

    Huyu msichana wa kazi anaonekana mkatiliii balaaaa yani Ana hasira anaongea anahema baoaaa

    • @lizzynkifu4179
      @lizzynkifu4179 6 หลายเดือนก่อน +2

      Na nina wasiwasi alipokuwa mfanyakaz alikuwa anaitamani ndoa ya huyu mama akayafanya aliyoyafanya kumpa ulemavu mwenzake ili achukue nafas yake MUNGU ATUSAIDIA SANA

    • @rosedohho8971
      @rosedohho8971 6 หลายเดือนก่อน

      Asante mungu hakika wewe nimwaminifu

    • @marysdiosa8764
      @marysdiosa8764 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@lizzynkifu4179umewaza kama mimi

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 5 หลายเดือนก่อน

      Yan mh

  • @zainabuhamisimmbaga1840
    @zainabuhamisimmbaga1840 6 หลายเดือนก่อน +3

    Afande YUKO vizuri Sana 🙏🙏🙏😭😭😭

  • @user-hs3er6ui3w
    @user-hs3er6ui3w 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ila wanawake mungu anatuona 😢

  • @jamilankaya6825
    @jamilankaya6825 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mama samia

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mama yetu samia tunakuombea sana Mungu akutunze kwa ajili yetu.

  • @mysoulproclaimsthelordmygodmam
    @mysoulproclaimsthelordmygodmam 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Atukuzwe sana na Kumbariki kila anayemtetea mnyonge na anayeonewa. Ubarikiwe sana Mama Samia. Mtu mwonevu Atubu na kuacha uonevu wake.
    Kama kuna mtu anayeweza kujitolea kumpatia figo Mama huyu endapo Madaktari wanashauri hivyo, Mungu Ambariki sana.

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema ❤❤

  • @gracemuro4109
    @gracemuro4109 6 หลายเดือนก่อน +1

    Big up Rais wetu kipenzi Mhe. Mama Samia Sulusu Hassan kwa kuingilia kati swala hili la Ukatili wa Kijinsia kwa huyu Mama na kusimamia vema upatikanaji wa Haki zake. Mungu yu nawe Rais wetu katika kupiga vita na kutokomeza kabisa Ukatili huu ndani ya Jamii.
    Hongera kubwa kwa Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri. Naamini mnafuatilia kwa karibu utekelezaji wa makubaliano kuhusu upatikanaji wa haki zote za huyu Mama.
    Mungu awabariki.

  • @tianarest
    @tianarest 6 หลายเดือนก่อน +1

    Viburi vya uzima vinaponza sana hiv huku tukiwa hatuijui kesho yetu, ahsante sana mama Samia kwa kuliona ilo Mungu akuweke kipenzi

  • @user-mq4yq6rw1w
    @user-mq4yq6rw1w 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mama yangu Samia Suluhu Mungu akubariki,kwa hayo unayotenda Mungu atakulipa .Mungu akubariki na kukulinnda wewe na Familia yako.Soma Isaya 41:10

  • @EsterMbise-pj4vd
    @EsterMbise-pj4vd 4 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana sana kwa rais kujali wananchi wake nakukubali sana mama Samia rais wetu

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 6 หลายเดือนก่อน

    Amina mama Samia mungu akulinde mama akae bali na moto Rais wetu wa Africa yote na mama wetu sote watching from Capetown

  • @veronicaagonga7415
    @veronicaagonga7415 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mama samia hakikisha huyo mama na mtoto wake wako salama na haki zao za msingi wanazipata niko hapa kenya thank u very much

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mama Samia,pole mgonjwa,pole familia,bimdogo toka Ktk boma lamwenzio,kama nikufa afevizuri,asife nawewe moyoni.

  • @user-yz2it2qm3p
    @user-yz2it2qm3p 6 หลายเดือนก่อน

    Mama samia wengi wanateseka sana,Mungu akupe maisha marefu,utulivu wa familia ili upate muda wa kupitia mitandaoni huyaone haya,Mungu akufunike kwa bwawa zake kila

  • @mariamutarimo5398
    @mariamutarimo5398 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kamanda umeelezea vizuri kabisa suala la ndoa ,huyo baba ni mnyanyasaji aondoke na huyo mwanamke wake mbona sisi tunavumilia wao wakiumwa au anafikiri kuna fungu ambalo kampa Mungu yeye abakie kua mzima ,hebu ona huruma kaka wewe tambua hayo ni maisha hata yeye anahitaji kupona na kua mzima kama zamani .

  • @lightdahaye9099
    @lightdahaye9099 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah jamani wanaume…😭😭😭
    Yeye angekuwa anaumwa mwanamke wake angekuwa na mwanaume mwngne hapohpo kwake ingeezekana 😰😰😰
    Huo ni ukatili Mkubwa sana,
    Mama samiah tunakushuru kuingilia kati hili swala wapo weng sana wanateseka na kunynyasika msichoke kuwasaidia dawat la jinsia hongeren sana 👏👏👏 Mmefanya jambo ambalo licha ya kaz yenu tu hata mbele za Mungu mnathawabu zake, nachoomba tu msiache kumfutilia huyo mama apate haki zake Kama mke wa ndoa huyo na ndoa yake batili ya pili na ndoa ya kanisani haijafa waktafute vyao hapo aondoke anamuumiza huyo mama akili na kumpa mawazo, kingne wasisahau kumukea dda wa kumtunza huyo mama hajaomba kuumwa, wamuekee deadline huyo baba wa utekelezaj aliombiwa na wamfutilie Kama ameshfanikisha waliyokubalina,
    Wasimuache tu aamue bila kumuekea ukomo wa siku, mwsho
    Asante Mama yetu samia kumsaidia mwanamke mwenzetu Ruti,
    Mwenyez Mungu aendelee kukutunza 🙏

  • @SalimhchialaAtilio-qj5cs
    @SalimhchialaAtilio-qj5cs 5 หลายเดือนก่อน

    Simlikuwa mnasema vibaya Samia suluhu Hasan raisi wetu ssa kiko wapi aibu inawatoka hongera sana raisi wetu nikiwa omani muscat mungu akulinde sana❤❤❤

  • @mzirayshangwe8224
    @mzirayshangwe8224 5 หลายเดือนก่อน

    Happy barikiwa . Piga kazi

  • @maryammeme3203
    @maryammeme3203 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Akujali kwa utedaji wako wa kazi

  • @aidaharuna5549
    @aidaharuna5549 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Mama yetu Samia Mungu akubariki umemtendea Haki huyo Mama

  • @eliseurio2755
    @eliseurio2755 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuponye Mama Liston.

  • @angelaminde1247
    @angelaminde1247 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mama yetu Samia Suluh. Tunakupenda mama

  • @user-sh4ig6cf6z
    @user-sh4ig6cf6z 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Mama.Mungu akubariki

  • @mhubirichoir-ntyuka568
    @mhubirichoir-ntyuka568 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki sana.Huu ni uandishi wenye faida za ukombozi na siyo majungu

  • @user-pm7pj6zi6q
    @user-pm7pj6zi6q 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani safi sana mama yetu kipenz na Rais wa Jamhuri ya mhungano Wa Tanzania Mungu akubariki sana na akutunze kwa kitendo kama hiki kuguzwa nacho hongera sana mama wetu mlesi❤❤❤❤

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mijanaume 🙌

  • @kulwakibasa5396
    @kulwakibasa5396 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mwandishi musomi Kwa kuungamisha hiii familia

  • @FrancisMartha-hb5zo
    @FrancisMartha-hb5zo 5 หลายเดือนก่อน

    Mwenyenzi mungu awabariki sana

  • @wamadoropushthestar4145
    @wamadoropushthestar4145 6 หลายเดือนก่อน +8

    Global TV Punguzeni Ushamba Sasa Ninaona Kabisa Ni Glogal TV Lakini Bado Mnaendelea Tu Kuongea Unataza Global TV.. Badilikeni.....Wanaume Ndio Maana Tunachukiwa Na Watoto Unafikiri Huyo Mtoto Wa Kiume Anamuwazia Nini Baba Yake?.

    • @africandarling6925
      @africandarling6925 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa baba anajisaau kabisa kama kuna mungu anawza kubadrisha Maisha sekunde tu yani mwezake mgonjwa yeye mijaziba tu sijui vipi huyo

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 6 หลายเดือนก่อน +1

    Msichoke kutembelea family ili muwe mnajua kinachoendelea jamani shukrani mama Samia Kwa kuguswa na hii family

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 6 หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana mama Samiya mungu akutangulie inshaallah, Amin 🤲🤲

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 6 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU AKUBARIKI SANA MAMA YETU MPENDWA ❤️ RAISI WETU MAMA SAMIA.

  • @mariamusameer3742
    @mariamusameer3742 6 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo baba atakuwa ndio anamloga mke wake sio bure😢

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimefurahi kuona Mh. Raisi wetu kutuma watu wake kufatilia issue ya huyo Mama, Asante Mungu... Asante Mama Samia ❤🙏

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana mama Samia kwa kumjali huyu mama

  • @siasia5469
    @siasia5469 6 หลายเดือนก่อน +2

    Global acheni Kelele

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mshukuru Mungu alikuinua kiuchumi hivyo huwezi kushindwa kumtunza mama mkubwa. Huyo mkeo mdogo ondoa hapo akakae kwake.

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 6 หลายเดือนก่อน +8

    Glory to God🙏🙏

  • @mamirybenson2516
    @mamirybenson2516 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki Rais wetu aendelee kukupa jicho lakuangalia zaidi watu wenye shida kubwa ktk jamii

  • @user-ly3ob4vp3c
    @user-ly3ob4vp3c 6 หลายเดือนก่อน

    Afande asante sana mungu akubariki sana

  • @eduwadisamwelimasay-im1ln
    @eduwadisamwelimasay-im1ln 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie jmn pole sana

  • @devothaanga2446
    @devothaanga2446 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera mama

  • @user-jf8sn4cf1s
    @user-jf8sn4cf1s 6 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa hatua hiyo.

  • @carolinenjiro41
    @carolinenjiro41 6 หลายเดือนก่อน +27

    Acha jazba wewe mwanaume, ungekuwa wewe unaumwa hivyo mkeo akaongea hivyo ungefurahi?????

    • @hyacintagugu7
      @hyacintagugu7 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mwambie huyu mbwa

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa wanaume ndiio wanaofaa kuuliwa kwa sumu

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu ametenda haki thank you god 🙏

  • @antelmawilfred-zv8cr
    @antelmawilfred-zv8cr 4 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh , hongereni

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 3 หลายเดือนก่อน

    Naipenda serikali yetu ya Tanzania....namkubali mama Samia,asante sana mama yetu, Mungu azidi kukulinda, na sasa tunaona hata alivyomteua Makonda kupambania haki za binadamu..