Huyo mama nimempenda, miaka yote hiyo na anzungumza kiswahili kizuri bila hata kuchanganya na kiingerza, wakati huku TZ kuna watu ambao hawajatoka nje ya TZ lakini kila sentensi moja anaweka meno la kiingereza. Hongera sana kaka kwa kutuletea watu kama hawa....
Alienda Marekani hajui Kiswahili, amejifunzia hukohuko hicho Kiswahili. Aliondoka akiwa anajua Kihaya na kule alipofika akakutana na Kingereza kabla ya Kiswahili.
Kuna wengine wamekaa wiki tatu tena katika nchi ata hawaongei English kwamfano Sweden au Ufaransa nk utakisia Kiswahili changu sio kizuri anaanza yes no she dasent ovyooo ona mama uyo miaka 40 Kiswahili safi kabisa ❤❤❤❤
Asanteni..!! sana, sana.. Nimesikilizia majungmuzo yenu kwa bidhi.. tena yamenifurahisha sana.. Muganda (Ugandan) mini.. lakini nilipenda Kiswahili miaka mingi iliyopita.. basi nikajitahidi sana tujifundisha.. [ndiyo nilifahulu namna inaonekana kwa uwezo wango wa kukiandika (Kiswahili)].. Sasa hivi naishi London (UK).. nyumbani nitarudi ndiyo.. Kwahereni..
Asante EBM kwa kutuletea mtanzania smart kama huyu. Hongera sana Dada kwa kushuka kiswahili kizuri pamoja na kuishi huko kwa kipindi kirefu kama hicho. Angekuwa mwingine angezuga hajui kiswahili wakati hana ramani USA. Lakini na position yako unaonekana very humble
EBM!! you r the game changer....bcoz most of the diaspora...used to discourage us when it comes the issue of going abroad...they didn't want other people to know the ways and other stuff....but you have to change this mindset.....others r our classmate and relatives! Shame on them😄😄😄 May Allah bless you
Nimefurahi sana kumusikiliza dada yangu, kutoka nkowa wa kagera, na mimi natoka mkowa wa kagera kanyigo. Dada nimempenda sana kawongeya vizuri kiswahili bila kuchanganya......👍🤝
Hadi raha ukifungua ukakuta mtu wa kijijini kwako ndo anahojiwa unahisi kama umemwona ndugu yako . huyu dada anaroho nzuri sana na ndugu zake karibu wote wapo marekani . mtoto wa Kamugisha toka kyelima . ila siyo yeye bali hata babake ni mwema mno mzee kamugisha very humble Niwagira . witi. Kadogo . wote hao wapo nje Mungu awalinde na mwendelee na roho nzuri
I like the way you promote your mother tongue , all Africans should copy from you , thank you brother , keep on , that is a very positive thing , thank you
EBM ni moto. Endelea kutupa habari, elimu na hali ya maisha Marekani na Ulaya. Kwakweli tunajifunza, kunufaika na kujua hali tafauti za watu, nchi, maisha iwe ya raha au shida. Asante EBM🤛.
Huyu mama kaishi USA miaka mingi lakini bado anaongea kiswahili kizuri na bila ya kuchanganya na maneno ya kiingereza, Siyo kama hao baadhi ya wabongo haswa wasanii hapa Tz. wakiongea kiswahili ni lazima wachanganye na maneno ya kiingereza, Yaani wanadhani wakiongea kiingereza Ndiyo wanaona wamesoma ,kumbe kiingereza ni lugha tu kama lugha zingine.
Kaka, mama huyo ni mnyenyekevu sana na muwazi kwa kuwa yuko vyuoni mara nyingi mhoji tufahamu milango ya kusoma vyuo hivyo badala ya waTz kuja kufanya vijikazi. Kazi yako ni nzuri sana.
Mama ameishi USA miaka 43 lakini wala hana maringo, anaongea Kiswahili vizuri bila mbwembwe, I like it, and very big up mama! Kuna wanaoenda kwa wiki mbili tu wakirudi hukooo mnakoma...
Kwanini mnashangaa mtu kuishi marekani ni lazima awe looking glamorous? huyu katokea kijijini ni rahisi sana kubaki vile vile ,kuliko walio kulia mjini na kuwa exposure( sasa hapo exposure kwa kiswahili ndio tatizo) ambapo unakuta wanakulia culture zotembili zatu za kimagharibi ,hivyo ni rahisi kujikuta wana zamia kwnye tamaduni za nje zaidi ,kuliko wale walio kulia kwa tamaduni za kinyumbani zaidi .
Waaaoowww, nimempenda sana huyu mdada jamani. (Yaaanii..... ni mrembo sana & yuko mwerevu sana kichwani na juu ya yote pamoja na kukaa Marekani kwa kipindi chote hicho, hana maringo ya kuongea kingereza kwenye mazungumzo yake, tofauti na kasumba tuliyonayo Wa-Afrika wengi sana ya kuchanganya lugha ya Kiswahili na Kingereza. 👉Mungu amtunze sana Mama & kumpa maisha marefu sana yenye furaha na amani tele.
Hata watanzania wengi sana ndio tabia xao. Akigusa tu kitabu cha enhlisha hata kama hajui maneno basi anaanzakuweka maneno kama. you know., Actually. Infact😀
Kumbuka alikwenda Marekani ana umri wa miaka 16.ongeza miaka 43 alioishi huko.Hivyo umri wake ni miaka 59.Hesabu rahisi.Nakupongeza mwana Kagera mwenzangu.Mungu akupe umri mrefu.
Hellow madam, mimi nineolewa na muamerika, ninawatoto wawili, ninataka nipate kazi amerika, mume wangu amestafu, na anaogopa kunileta amerika anafikiri sitopata kazi, kwasababu yeye hana connection kubwa ya kunitafutia kazi, ushauri please
Mama. Pongezi kwa kuongea vinzuri kiswahili bila kuchanganya na kizungu. Apo wabongo tukesikia ok yes nyingi sana 😂😂😂😂ubarikiwe mama na kaka kwa kutuletea mtanzania
Ninachowapendea Watanzania walioko Marekani wako cool,humble na wanajitahidi sana kutukuza lugha ya Kiswahili. Sisi huku mtu hajui Kiingereza fasaha lakini you know!know! nyingi!!!. Ulimbukeni unatusumbua sana.
Sitaki kuonekana naleta ukabila ila marekani wahaya wengi ukikutana nao wanaongea kihaya muda wote au kiswahili. Watu wameishi zaidi ya miaka 30 na bado kiswahili chao kimenyooka tu
Ni kweli wasiokaa nje wanadhani waTz wakikutana wataongea lugha ya nchi hiyo, hawajajua kwamba ni kuna ile kitu ku miss mambo ya nyumbani unajikuta unaonea lugha yako. Watambue ni kama vile baba zao wanao kuja mijini toka vijijini , wakikutana mjini na mtu wa kabila lake wataongea kilugha chao , hivyo kusahau ni ngumu .
Dahh kwanza nikupongeze bi mkubwa uko proud na lugha yako maana kuna vijana wakizamia afrika kusini mwaka 1 tu wana pretend kusahau kiswahili lol lakini wew ni wa tofauti sana...najifunza vingi sana hapa kupitia mahojiano yako barikiwa sana
Huyu mama nimempenda jamani yani miaka yote hiyo lkn anaongea kiswahili kizuri sana. Safi sn mama jasiri haachi asili. Wewe nijasiri sana. Hongera sana muha wetu umepata mwenzio ambae hajapoteza asili yake
I don't think you can really forget how to speak your mother tongue unless you immigrated as child. I too came to the US while fairly young and have lived in this country for 42 years. Sometimes I tend to forget some Kiswahili words or in some cases people tell me I am speaking backwards lakini lugha bado iko haijaoza.
Huyo mama nimempenda, miaka yote hiyo na anzungumza kiswahili kizuri bila hata kuchanganya na kiingerza, wakati huku TZ kuna watu ambao hawajatoka nje ya TZ lakini kila sentensi moja anaweka meno la kiingereza. Hongera sana kaka kwa kutuletea watu kama hawa....
Ww Jasper acha kupenda wazee penda wasichana, huyu acha tumpende wazee wenzake !
Kuchanganya maneno n vbaya?
Kwani unataka anger kixungu na may b anaeza kuongea broken English 😅, better aongee tu kiswahili k
Tz wengi washamba WA kuongea kizungu. Ndio maana uwa wanachanganya
Alienda Marekani hajui Kiswahili, amejifunzia hukohuko hicho Kiswahili. Aliondoka akiwa anajua Kihaya na kule alipofika akakutana na Kingereza kabla ya Kiswahili.
Baada ya haya miaka yote huyo dada yetu anaongea kiswahili kizuri. Tunashukuru sana Bwana EBM.
Wengine wote ni kujifanya tu, huezi sahau luga at that age . Am proud of her🇰🇪🇰🇪
Af Kuna mtu akienda week mbili to huko this is the the nyiiiiing
@@saleheinnocent7636 😂😂😂
Kuna wengine wamekaa wiki tatu tena katika nchi ata hawaongei English kwamfano Sweden au Ufaransa nk utakisia Kiswahili changu sio kizuri anaanza yes no she dasent ovyooo ona mama uyo miaka 40 Kiswahili safi kabisa ❤❤❤❤
@@levinaringoma😂😂😂😂😂pole yao
Asanteni..!! sana, sana..
Nimesikilizia majungmuzo yenu kwa bidhi.. tena yamenifurahisha sana..
Muganda (Ugandan) mini.. lakini nilipenda Kiswahili miaka mingi iliyopita.. basi nikajitahidi sana tujifundisha.. [ndiyo nilifahulu namna inaonekana kwa uwezo wango wa kukiandika (Kiswahili)]..
Sasa hivi naishi London (UK).. nyumbani nitarudi ndiyo..
Kwahereni..
Hongera sana, umeshajua kuandika Kiswahili kizuri sana sasa
@@mariamagesa429
Asante sana.. nafurahi.. kwani umenipa "pass mark".. na tena nimefahulu (kupita) kwenye mtiani..
Afya njema sote...
Hongera sana
Asante EBM kwa kutuletea mtanzania smart kama huyu. Hongera sana Dada kwa kushuka kiswahili kizuri pamoja na kuishi huko kwa kipindi kirefu kama hicho. Angekuwa mwingine angezuga hajui kiswahili wakati hana ramani USA. Lakini na position yako unaonekana very humble
EBM kaka yangu..Tunajivunia wewe sana,Unafanya kazi nzuri sana.💪🏾🇹🇿❤️👏🏾
This is wonderful she never forget her roots.
EBM!! you r the game changer....bcoz most of the diaspora...used to discourage us when it comes the issue of going abroad...they didn't want other people to know the ways and other stuff....but you have to change this mindset.....others r our classmate and relatives! Shame on them😄😄😄
May Allah bless you
Hongera Sana mama wewe ni mfano wa kuigwa kwa kutukuza lugha yako na utamaduni wako
Safi sana, mama etu, wengine wako bongo wana ongea kingeleza kibovu wanatuganya tuuu, kiswahili lugha yako ipende 😀😀😀
Nimemaliza high school and l believe my dream came true
Thanks makulilo 😍
Thanks very much l have learned something from that lady be blessed my sister much love from mombasa Kenya
Nimefurahi sana kumusikiliza dada yangu, kutoka nkowa wa kagera, na mimi natoka mkowa wa kagera kanyigo. Dada nimempenda sana kawongeya vizuri kiswahili bila kuchanganya......👍🤝
Hadi raha ukifungua ukakuta mtu wa kijijini kwako ndo anahojiwa unahisi kama umemwona ndugu yako . huyu dada anaroho nzuri sana na ndugu zake karibu wote wapo marekani . mtoto wa Kamugisha toka kyelima . ila siyo yeye bali hata babake ni mwema mno mzee kamugisha very humble Niwagira . witi. Kadogo . wote hao wapo nje Mungu awalinde na mwendelee na roho nzuri
😂vp tena na ww kutuchanganyia lugha au upo USA ???
@@salamasaidi6620 mwenzio anajifunza acha kumuoma mshamba Sasa Tanzania wapo wanaojifunza kikolea ,kichina wakiongea utawaona washamba eti wamekaa china?? Kuchanganya sio shamba na Wala sio ajabu tujaribu kijifunza na ambae anajifunza usimkatishe tamaa
@@salamasaidi6620kwanza na kiherehere kama ameulizwa 😊😊😊😂
Aise imekaa poa
I like the way you promote your mother tongue , all Africans should copy from you , thank you brother , keep on , that is a very positive thing , thank you
sasa huyu brother naye ni yupi tena?
@@joeldickson5322 mimi nataka kuonana na huyu dada napita huko North Carolina
"I like the way you promote your mother tongue". How ironic is it kusema hilo kwa lugha ya mkoloni. 😄
Huyu mama anaishi sehemu naipenda kuliko chochote.na sijui nafikaeje. North Carolina.. Dah..Mungu nisaidie
EBM ni moto. Endelea kutupa habari, elimu na hali ya maisha Marekani na Ulaya. Kwakweli tunajifunza, kunufaika na kujua hali tafauti za watu, nchi, maisha iwe ya raha au shida. Asante EBM🤛.
MashaAllah 🥳🥳👑👑inapendeza kuwaskiliza waliotangulia katika harakati za greener pastures
Hongera sana mama, na ubarikiwe sana kwa msaada wako kwa watanzania wenzetu huko Marekani.
Hii nimeipenda sana.,mama mtulivu mnyenyekevu..,hana you know you know hata moja. Hii nimei wow.
Angekuwa Well Sengo tungekufa kwa kidhungu
@@judyngowi391😅😅😅😅😅
Huyu mama kaishi USA miaka mingi lakini bado anaongea kiswahili kizuri na bila ya kuchanganya na maneno ya kiingereza, Siyo kama hao baadhi ya wabongo haswa wasanii hapa Tz. wakiongea kiswahili ni lazima wachanganye na maneno ya kiingereza, Yaani wanadhani wakiongea kiingereza Ndiyo wanaona wamesoma ,kumbe kiingereza ni lugha tu kama lugha zingine.
Nawaza kama TID angeishi Marekani hata miezi 3!!
Arafu muhaya ndo hapo utachoka 🤣😂🤣
Vipi shilole je?
Wadada wa bongo movie🤣🤣🤣
@@emanuelmhoja2411 😂😂😂😂
Nice. I'm Iranian girl.🧑🎤🌹 village life is very and relax and nice. Thanks for you .❤️👸🤗
Hongera kutunza mila nadesturi za watz nadhan hata watoto wako unawafunza hivo,omukama abe naiwe onyegere Ishozi.
Kaka, mama huyo ni mnyenyekevu sana na muwazi kwa kuwa yuko vyuoni mara nyingi mhoji tufahamu milango ya kusoma vyuo hivyo badala ya waTz kuja kufanya vijikazi. Kazi yako ni nzuri sana.
Mama ameishi USA miaka 43 lakini wala hana maringo, anaongea Kiswahili vizuri bila mbwembwe, I like it, and very big up mama! Kuna wanaoenda kwa wiki mbili tu wakirudi hukooo mnakoma...
Kwanini mnashangaa mtu kuishi marekani ni lazima awe looking glamorous? huyu katokea kijijini ni rahisi sana kubaki vile vile ,kuliko walio kulia mjini na kuwa exposure( sasa hapo exposure kwa kiswahili ndio tatizo) ambapo unakuta wanakulia culture zotembili zatu za kimagharibi ,hivyo ni rahisi kujikuta wana zamia kwnye tamaduni za nje zaidi ,kuliko wale walio kulia kwa tamaduni za kinyumbani zaidi .
@@robbemanase9051 Sawa mkuu
Ndio maana sipendi kuongea kiingereza kwani nitaonekana naringa bure maana waswahili hawapendi huzungumze kiingereza 😅😅😅
Nilihisi tuu atakuwa muhaya Kabla ya kujielezea, wahaya mnapapenda marekani jamani🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Huyu mama yuko powa. Anaonekana ana roho nzuri na mukweli. Asante mama kwa ushauli wako na mapenzi kwa watanzania wenzio
Waooo Kipenzi wa kiziba, omkama akwebembele ozidi kuguma ninkukwatila empumbya🙏🙏🙏
@Oscar Kabobo na ona tata
🙏🙏🙏🙏
EBM unawezaa!Unaeza!! Unaweza tenaaaa!!!!!
Napenda sna mama angu lafudhi ya kwetu ipo vzr hakuna kuiga ubarikiwe
Yaani ma umeishi America miaka 43 na kiswahili it's on point na wakenya wezangu wakishaa fika America miezi 3 wamesahau.... Hongera mama
😂 😂 😂
Hongera sana Dada angu mungu akubariki sana kwa heshima uliyonayo nimekupenda sana.. Naomba Namba yako.
Waaaoowww, nimempenda sana huyu mdada jamani. (Yaaanii..... ni mrembo sana & yuko mwerevu sana kichwani na juu ya yote pamoja na kukaa Marekani kwa kipindi chote hicho, hana maringo ya kuongea kingereza kwenye mazungumzo yake, tofauti na kasumba tuliyonayo Wa-Afrika wengi sana ya kuchanganya lugha ya Kiswahili na Kingereza.
👉Mungu amtunze sana Mama & kumpa maisha marefu sana yenye furaha na amani tele.
Mdada 🙄
👍👍👍👍
Ingekua ni mkenya angekua asha sahao kiswahili safi sana ndugu zetu watanzania
But sio wote!! huyo amekuja akiwa 16 lugha hawezi kusahau.
Mi ni mkenya lakini ni kweli bro wakenya tunajisahau sana 🤣
Hata watanzania wengi sana ndio tabia xao. Akigusa tu kitabu cha enhlisha hata kama hajui maneno basi anaanzakuweka maneno kama. you know., Actually. Infact😀
Mazungumzo mazuri sana yananifundisha hongera sana Mr.EBM
.
🇹🇿
Duuu Uyumama nimempenda kimaongezi yupovzur Mwenyewe Mungu amjarie Afya njema daimaa
Hello Dadangu huyo... Nitafutie connection nami mitue USA angalau
Asante sana dada yetu Ma koku
Kuna mbuzi zikienda mwez 1 tu zikirudi hazijui kiswahili kabisa hongera mama
Umeona eee wanachefua
😄😄😄😄
🤣🤣🤣🤣wadada wa bongo movie
Kakakakakaka
Wow! Miaka 43 nitakuwa nimesha sahau kiswahili kabisa. Dua zenu ndugu nisipoteze lugha yetu😁
😁
Hahaha
Kama unaongea na ndugu nyumbani. Kwenye. Sm hutosahau kiswahili
Sio kweli Unaweza kupoteza lugha mama ikiwa ulitoka kabla ya miaka 12 kwenye nchi yuko ya asili.ila ukishafikisha miaka 13 sio rahisi kusahau.
🤣🤣pumbavu
Safi sana mtu mzima mwenye kujitambua ni huyo. Siyo tu watu wengine
Great job ebm
Kumbuka alikwenda Marekani ana umri wa miaka 16.ongeza miaka 43 alioishi huko.Hivyo umri wake ni miaka 59.Hesabu rahisi.Nakupongeza mwana Kagera mwenzangu.Mungu akupe umri mrefu.
Nmependa hiyo “Na niposition kubwa”
Asante sana kwa kutupa njia zote za huko tulizokua hatuzijui
Nimeguswa..... Kumbe shule hainaga mwisho.... FOCUS.... TIME IS MONEY
Hivi mmemsikiaaa mama alivyo pronounce computer lkn ❤️❤️❤️🇹🇿
hebu ona elimu ya wenzetu ilivyo simple toka VETA npaka UNIVERSITY then juhudi yako kusonga mbele
Community college siyo sawa na VETA bwana. VETA ni similar na technical college.
Elewa maelezo yake husika halafu ndo hulinganishe na ulichukulia uhalisia wa mada,asante
Sawa mkuu pengine sawa au si sawa, ila imetupa tu picha alimaanisha nini.
Dada ubarikiwe sanaaaa .
Hellow madam, mimi nineolewa na muamerika, ninawatoto wawili, ninataka nipate kazi amerika, mume wangu amestafu, na anaogopa kunileta amerika anafikiri sitopata kazi, kwasababu yeye hana connection kubwa ya kunitafutia kazi, ushauri please
Pole sana. Hao watoto ni wa mmeo? Mnaishi wapi? Umesoma secondary au high school?
Hongera sana Madam@@agnettakamugisha4984
Mama. Pongezi kwa kuongea vinzuri kiswahili bila kuchanganya na kizungu. Apo wabongo tukesikia ok yes nyingi sana 😂😂😂😂ubarikiwe mama na kaka kwa kutuletea mtanzania
Ninachowapendea Watanzania walioko Marekani wako cool,humble na wanajitahidi sana kutukuza lugha ya Kiswahili. Sisi huku mtu hajui Kiingereza fasaha lakini you know!know! nyingi!!!. Ulimbukeni unatusumbua sana.
😂😂ushamba
Anaongea kiswahili vizuri 😘 ingikua mwengine hapo kasheshe ya maringo yes no
Daahh very nice
EBM wewe ni mtu muhimu sana, ningekuwa na hela ningekutumia ila sijajaaliwa ila asante
Anatoka Kyelima kijiji jilani muulize kama anajua Katano nyalugongo,Luano na Kaloleni? Basi tungeonana
Anapajua. Nyumbani ni kwa Mzee Kamugisha kijiji Cha Kyelima.
Huyu mama nimempenda na nimemkubali sana sana❤❤❤❤❤❤
Sitaki kuonekana naleta ukabila ila marekani wahaya wengi ukikutana nao wanaongea kihaya muda wote au kiswahili. Watu wameishi zaidi ya miaka 30 na bado kiswahili chao kimenyooka tu
Ni kweli wasiokaa nje wanadhani waTz wakikutana wataongea lugha ya nchi hiyo, hawajajua kwamba ni kuna ile kitu ku miss mambo ya nyumbani unajikuta unaonea lugha yako. Watambue ni kama vile baba zao wanao kuja mijini toka vijijini , wakikutana mjini na mtu wa kabila lake wataongea kilugha chao , hivyo kusahau ni ngumu .
Yuko vizuri Mama, naomba nisaidie namba zake
Dahh kwanza nikupongeze bi mkubwa uko proud na lugha yako maana kuna vijana wakizamia afrika kusini mwaka 1 tu wana pretend kusahau kiswahili lol lakini wew ni wa tofauti sana...najifunza vingi sana hapa kupitia mahojiano yako barikiwa sana
Asante sana
Masibotaige Mae! Nashemerelwa muno munonga kukubona! Mbanyegere muno Owaitu Kyelime!
Hongera sana mama yetu Bukoba Ishoz Ishunju tunajivunia uwepo wako asante sana kwa saport yako
😂😂😂😂😂saport tena
Brother sio kama unajisifia hapana mmi naona unatumotivate ssi vijana wa wakulima😅😅😅😅
unatumotivate ndio nn na ww yaleyaleeeee😂😂😂😂😂😂
Hivi kwa Canada Institute gani mafunzo ya vocational
Tumia Google zipo kibao Sana ....
Safi Sana !miaka 43 ughaibuni lakini kiswahili kimenyooka !wengine miezi tu kiswahili wanakinyanyapaa
Wengine hua wanajidai TU Cyo kwamba unaweza kusahau lugha yako
Huyu mama nimempenda jamani yani miaka yote hiyo lkn anaongea kiswahili kizuri sana. Safi sn mama jasiri haachi asili. Wewe nijasiri sana. Hongera sana muha wetu umepata mwenzio ambae hajapoteza asili yake
Hongera wifi yangu kutoka Ishozi 🙏🏼
Ila mwandishi badili heading yako
; kwanini useme Tanzania ni kijijini?!!
Huyo ni muhaya Yani rafudhi yake haijaisha Kwa kuishi marekani miaka 43
Ndio mjue sasa wanaojua kugha ya kigeni vizuri hawaringi ila tunaojifunza ndio kila saa yea, of course, zat iz why n.k😅
Nimempenda huyu mama kwa maelezo yake mazuri
Thanks for your talent,I blessu
Watching from Kenya.
Mama uko vizuri
Barikiwa sana
Angekuwa Shilole hapo,kizungu kingekoma
Penda sana Mmama
Haya hongera mama
Vizuri Sana EBM....WENGI WETU TUNHITAJI KUTOKA KUFIKIA KAMA MAMA HUYU, KUNAWENGUNE WAMEULIZA MASWALI LAKN HAWAKUJIBIWA....WASAIDIENI
I don't think you can really forget how to speak your mother tongue unless you immigrated as child. I too came to the US while fairly young and have lived in this country for 42 years. Sometimes I tend to forget some Kiswahili words or in some cases people tell me I am speaking backwards lakini lugha bado iko haijaoza.
Safi sana
Je unaweza kunipa masiliano na uyo Mama?any ishi marekani?
Miaka yote bado anaongea kiswahili vizuri kbs ila mbongo akiamua kiinglish kdg kiswahili inageuka kbs
Nimependa sana kufatilia habari zako kwawingi sasa kaka vipi naweza kufika huko??
Moshi unakuja lini mda wa green card unakaribia ??
October
Mm bado sijaelew jambo aliendaje endaje ingali akiw na umri mdogo wa miaka 16 mbn mtangazaj hukumuulzi hayo maswali ....
Nililetwa na Shangazi yangu. Anaishi Chicago.
Mie mwenyewe sitaki masihara miaka yote hio hata kiruga ningesahau kabish hapa enyewe nikikaa Moshi ndani ya miaka miwili kitabadilisha uongeaji wang
Kuna mmoja kaenda south miaka kumi sahv ajui kiswahil
Angekua wema au irene nadhani ingekuwa kiingereza tupu hapo
Safi sana inapendeza hongera sana mama.
Mini naitwa Elineema Munuo nipo USA Louisiana ,
Kuna mtanzania yupo Louisiana?
Hi Elineema
Hi Madam,
Habari ya North Carolina
Sorry Cath, Nimekosea sijui kama upo North Carolina.
Hi Elineema Mimi sipo USA nipo Tz umenikumbuka?
Hapana Cath nikumbushe
Kila la kheri Mr EBM
Kiswahili kizuri na lafudhi yake ya kihaya haijapotea🎉🎉🎉 hawa walioenda ugaibuni juzi juzi wanaweka kiswanglish😂
SUPER GREAT👌
EBM mm ni mtanzania Niko nairobi naeza apply green card na passport ya Tanzania Nikiwa kenya
As long as una internet haijalishi upo wapi wakati wa kuomba uwe Tanzania, Kenya au popote pale unaruhusiwa
Haijalishi inchi gani... una weza jisajili green card popote ulipo!
Kutana sasa na dada zetu hapo tusingeskia kiswahili hata neno moja saruti kwa mama yetu
Ehh..EBM hujui kumbe Japanese ni lugha nzuri na watu wengi kweli wanajifunza..its the best language ever..most people go for it..
Kingereza Cha nn sasa
Ujamuuliza familia .??
Kiswahili chako ni kile kile cha kitanzania..hongera sana, wengine wangeongea na mapua😂😂😂
Laaana mnabahati nyie. Hongera
Ishozi Moja Hiyo Dadangu, uwezi nikumbuka Zaid ya umri wangu..
Asante umeitendea haki bukoba wahaya oyeee
MashaaAllah MashaaAllah