Unataka kuwa Truck Driver Marekani? Unajua truck drivers wanapata hela zaidi ya Tsh Milioni 250?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Kuendesha malori, Truck Driving hasa USA na Canada inalipa sana. Mtu analipwa zaidi ya dola LAKI MOJA kwa mwaka kwa kuanzia.
    Fuatilia interview hii na Shaban, Mtanzania ambaye ni owner-operator wa Truck kupitia kampuni yake TEMBO LOGISTICS.

ความคิดเห็น • 2K

  • @mpugizinelson1215
    @mpugizinelson1215 2 ปีที่แล้ว +8

    Very humble brother Shabani.... Mungu awabariki sana kwa hizi info , kaka Ernest tuwasiliane ....

  • @muhozacaleb4897
    @muhozacaleb4897 2 ปีที่แล้ว +3

    You man you are wonderful man of compassion.Helped by others and helping others.

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 ปีที่แล้ว +42

    Hongera sana EBM and Shabani.Very informative and inspiring story. Watanzania wengi wapo hapo USA ila wanabana information na wengine wanakufa nazo.. Watanzania wenzangu kuna jambo la kujifunza hapa.

  • @hassanajiruu7793
    @hassanajiruu7793 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaka Shaban Daima Mwenye Moyo Wa Mapendeleo Kwa Waingine Mafanikio yake Kuwafikia na wengine Dunia Kwake huwa ni Nusuu ya Janah.Mwenyezi Mungu Uwondosha Pazia Kwa Kila hatakalo Wewe Kaka Shaban Umefahulu Kuwa Mteuliwa miongoni mwao waja wemah.Allah always be with u. InshaAllah

  • @eranguide
    @eranguide 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kutazama tu hii vide tayali Kuna watanzania wengi na watu wengi kutoka Africa tumepata mataminio na kazi hiyo japo tulikua tuki iona tu na tusijue kua inaukweli ndani yake kazi nzuri sana kwakweli tunaitaji msaada wenu Ili tuwe miongoni mwenu then mung awabariki sana.🙏

  • @aurelialema3945
    @aurelialema3945 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi kazi nzuri, ushauri huu unatupa moriii one yes... be blessed you two

  • @BITEBOC
    @BITEBOC 2 ปีที่แล้ว +5

    I wish I had seen this year's ago. Brother `Dangote` big up. Watu kama wewe ndio wataleta maendeleo ya kweli. Wengi wetu wanaficha haya mambo ili tu waje kuonyesheana ubabe. Thank you brother. May the almighty bless you and the Kenyan brother. 🙌🏾

    • @harunaharuna74
      @harunaharuna74 2 ปีที่แล้ว

      my brother nahitaji namba zako

    • @harunaharuna74
      @harunaharuna74 2 ปีที่แล้ว

      my brother nahitaji namba zako

    • @BITEBOC
      @BITEBOC 2 ปีที่แล้ว

      @@harunaharuna74 namba yangu au ya 'Dangote'?

    • @harunaharuna74
      @harunaharuna74 2 ปีที่แล้ว

      yadangote

  • @bonnkewest88
    @bonnkewest88 2 ปีที่แล้ว +187

    Mkenya kasaidia mtanzania. Kwa kweli sisi east Africans ni mandugu. Watching from nairobi kenya. One love TZ ❤️

  • @isaacwahome1823
    @isaacwahome1823 2 ปีที่แล้ว +3

    My bro you are one in a million.
    Not many people can do what you are doing.

  • @apostlejustinbgakwalu1808
    @apostlejustinbgakwalu1808 2 ปีที่แล้ว +23

    Hi. Am a Kenyan, and I would want to join this guy in the truck operation business. Can you connect me with him? Or how do I go about it?

  • @johngaby3362
    @johngaby3362 2 ปีที่แล้ว +4

    My word,
    Barikiwa sana shebe,
    Nakutakia afya njema.

  • @kimutaiketer208
    @kimutaiketer208 2 ปีที่แล้ว +5

    Very inspiring and eye opening.

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 2 ปีที่แล้ว +8

    Hongera sana kaka, mwenyezi MUNGU akutangulie ktk kazi zako za mikono.

    • @mussababu5623
      @mussababu5623 2 ปีที่แล้ว

      Ww Trucker umekuwa muwazi kuzidi kiasi. Ur openess and courage. Waliofanikiwa wengi huwa wanaishia kusema walianzia chini na mtaji Mdogo and blah blah without going into detail. Wealthy people Huku Africa wangekuwa wanaimpact young entrepreneurs

    • @marykaaya6314
      @marykaaya6314 ปีที่แล้ว

      Mungu akutunze na akubariki sana. Una upendo wa ajabu. Natamani sana kuja huko nijifunze kuendesha Lori nipate kazi huko. Lakini sijui namna ya kupta namba yako ya simu. Mimi ni Mama wa Tanzania Nina umri wa miaka 50. Nisaidie. Naomba nijibu

  • @FunAdict
    @FunAdict 7 หลายเดือนก่อน

    THIS ONE RIGHT HERE IS A LIFE CHANGING INTERVIEW ..shukrani kwa wingi

  • @selinabanda8789
    @selinabanda8789 2 ปีที่แล้ว +11

    Kaka wewe, Mungu akubaliki. You are focused and you do not waste time when an opportunity comes to you. You are willing to go and do your best. No wonder, you are successful and helping others. Keep it up. When started listening to this interview. I could not stop listening and is very interesting

  • @alexandrew8483
    @alexandrew8483 2 ปีที่แล้ว +30

    Kwa muda wa tanzania ni saa 0301 usiku , hii interview imenipa kitu kipya kwenye maisha yangu , shukrani sana brother shaban , shukran sana sana alieandaa hii interview

  • @omaringulangwa7880
    @omaringulangwa7880 2 ปีที่แล้ว +8

    Miaka23 marekani unaongea kiswahili kama upo rkn wenzagu namie akikaa miaka3 anajifanya kiswahili ajui ongera sana brother

  • @kelvingitau396
    @kelvingitau396 2 ปีที่แล้ว +28

    This is how an interview should be

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndio interview bora zaidi kuwahi kuiskiliza kwenye chanel ya EBM keep it up namm nitafika huko insha Allah

  • @Ambrose-kc2sq
    @Ambrose-kc2sq ปีที่แล้ว

    Shannan you are a hero you have a true heart God bless you

  • @jasonmwesigwa6292
    @jasonmwesigwa6292 2 ปีที่แล้ว +20

    I am speechless... Kwa hali ya kawaida siyo rahisi kwa Mtanzania kuweka wazi kila kitu hivi. Hii kweli inaleta hasira ya maisha. Na siyo kila mtu lazima aende USA ila waweza kupambana na pale ulipo ukafanikiwa kama Bro.Mungu akubariki sana kwa mambo 2 ndo maana unazidi kufanikiwa kusaidia jamii na kuwa na shukran

    • @Kapesa-bu7yv
      @Kapesa-bu7yv 9 หลายเดือนก่อน

      Watanzania wengi ni wapo wazi kwa mambo yao

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 ปีที่แล้ว +10

    Dangote wa North carolina asante sana kwa kutupa dondoo muhimu. Nikishinda DV na nikiwa na nauli yangu, hela ya kurent na hela ya kianzio cha maisha ya mwzi mmoja hivi na nikahitaji support yako ktk kurent, ktk kupata training ili nifuate nyayo zako ktk trucks MAWASILIANO YAKO TAFADHALI...

  • @davidshoo6863
    @davidshoo6863 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks so mch Bro

  • @smartworkers2023
    @smartworkers2023 ปีที่แล้ว

    Congratulations from Kenya Naomba nikutumie kijana wangu Tutu umshike mkono
    God bless you

  • @FaustineTz
    @FaustineTz 2 ปีที่แล้ว +14

    Aya ndo mambo sio unaenda ughaibuni alafu unakuja kututambia bongo baada usaidie kutia moyo wengine waende uko wajalibu maisha

  • @bensonculture2947
    @bensonculture2947 2 ปีที่แล้ว +6

    Naomba namba yako kaka, Rudisha mkono Kenya🇰🇪🇹🇿, mshindi wa Lottery Mimi hapa,

  • @bristownagila3137
    @bristownagila3137 2 ปีที่แล้ว +16

    Thanks "Dangote" for the informative session. You are a blessed man na mwenyewe roho safi. Am really encouraged. You have made my dreams valid. One day our paths shall cross.

  • @tiganahussein8914
    @tiganahussein8914 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana bro unatuamsha kwakutupa siri yakaei yako ilo niwachache wana liweza,truck driver nikazi naitamani sana kabisa.Thx for that be blessed

  • @joellumala3206
    @joellumala3206 2 ปีที่แล้ว +1

    Brother Shaban, may God Bless you,.

  • @sammywaiganjo5811
    @sammywaiganjo5811 2 ปีที่แล้ว +4

    Shukrani na Ahsante sana bro kwa uwazi wako na maelezo yako bila unafiki.Umesaidia wengi May God Almighty bless you n multiply your income ten fold

  • @iam_mgaya
    @iam_mgaya 2 ปีที่แล้ว +12

    Brother tunamshukuru Sana kwa kutufungua vichwa, big up Sana Makulilo!!

  • @MartinWakibe
    @MartinWakibe 2 ปีที่แล้ว +58

    No wonder this man is shining with each day, because he offer helpful advice to potential truck drivers.Mungu akubaliki ndugu Shabban.endelea kung'ara.

    • @mussahasan6062
      @mussahasan6062 2 ปีที่แล้ว +1

      danget wengin mafund tz mazil ya ufunf huk yakoje

    • @henrymamathias4905
      @henrymamathias4905 2 ปีที่แล้ว +3

      Hi hatar

    • @francojoseph6106
      @francojoseph6106 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwa hakika, kila anaetoa kwa moyo wa upendo,Mwenyezi Mungu HUMZIDISHIA, na wala hapungukiwi

    • @francojoseph6106
      @francojoseph6106 2 ปีที่แล้ว

      Ndugu Shaban. . . . Kwa dhati kabisa nikuoe kongole kwa kufunua ukweli wa mafanikio ya maisha yako, Nimehamasika sana kaka !, na hii iwe mfano halisi kwa waafrika walio bje kuhamasisha na kusaidia wenzao kuweza kupambana na maisha huko ughaibuni

  • @abdurahmanhassan334
    @abdurahmanhassan334 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah huyu kaka ana roho nzuri sana na anaweza ku saidia watu ila tu mm ni naomba namber yake ili nikifika marekani piya nikabate usaidizi wake kwa track nina niya ya track sana wlhi insha allah ni na niya ya kuja marekani mungu akipenda from kenya

    • @SadickMadidiga-id9fh
      @SadickMadidiga-id9fh 8 หลายเดือนก่อน

      Kusema ukweli Mimi sijuwe nifanyje mana daah Ii kazi ilikuwa kwenye ndoto YANGU sema tu sijuwe kwanini sijasoma please nomba nisaidie na Mimi niwezii kufanya kazi ya ndoto YANGU please nomba musahada wako

  • @kimanisirjames8519
    @kimanisirjames8519 2 ปีที่แล้ว +2

    God bless you Dakote for your advice. Have learned something about trucks. Have someone in US. Have forwarded this TH-cam mjuane @TX. That's an amazing job and advice. God bless you abundantly and may your dad continue RESTING IN PEACE 🕊️🕊️🕊️🙏🙏🙏

  • @amazingadventures.8019
    @amazingadventures.8019 2 ปีที่แล้ว +25

    You guys got me today, I was planning to watch for 8min then switch, miraculously, I followed till end.
    Green card has been my biggest dream, though I was not sure what I was to do in America. Renewed my passport last November and soon God willing, a dream will come true. Thanks for this video. The best I have watched so far. I am impressed that a Kenyan showed you the technical secret.

    • @danielmacharia3155
      @danielmacharia3155 2 ปีที่แล้ว

      Amazing Adventure, i pray for your prosperity in line with that dream...how i wish to be guided how to reach there as well. i like driving with passion.

    • @jenniferswai483
      @jenniferswai483 ปีที่แล้ว

      Napenda sana iyo kaza kaka sema sinamtu wakunishika mkono

  • @mediheal4676
    @mediheal4676 2 ปีที่แล้ว +10

    Such an inspiration from both of you…kazi nzuri sana ndugu zetu….I’m you brother from South Sudan 🇸🇸 🇸🇸✌️❤️

  • @jamestindi8672
    @jamestindi8672 2 ปีที่แล้ว +56

    Bonge la interview..na hii ndo maana halisi ya kuishi nje ya Tanzania, Thanks so much Brother "DANGOTE" for sharing experience.

    • @ramadhanhassan9546
      @ramadhanhassan9546 2 ปีที่แล้ว

      Hello brother James mambo mm nataman sana kuja huko naisitoshe mm nidereva na nimeendesha mpaka daladala unanisaidiaje mpaka kufika huko kama nigarama zako nikifika huko baada yakazi nakurudishia please nakuomba unisaidie mm nimtanzania mwenzako nipo dar mm shida yangu kubwa nikazi tu

    • @levymugedo1830
      @levymugedo1830 2 ปีที่แล้ว

      Soo proud of this Tanzania/American guy...He's so open

    • @henryandakofoundation
      @henryandakofoundation 2 ปีที่แล้ว +1

      How do I reach you "Dangote"

    • @henryandakofoundation
      @henryandakofoundation 2 ปีที่แล้ว

      How do I apply for DV lottery 2023

    • @frankpaul1616
      @frankpaul1616 2 ปีที่แล้ว

      Je nikiitaj kujifunza inakuaje

  • @benwilliamstz
    @benwilliamstz 2 ปีที่แล้ว

    Very informative aise contacts napataje

  • @peterkamau5105
    @peterkamau5105 2 ปีที่แล้ว +9

    Hi Mr. Ndangote, I am very grateful for your insight. This is not common with many people. I wish to join you in the future. Thank you so much

  • @martynkalasya9749
    @martynkalasya9749 2 ปีที่แล้ว +95

    As a kenyan, i feel so proud of this man mentioning and acknowledging my fellow country man, b blessed hv really enjoyed watching this

    • @husseinm.george5431
      @husseinm.george5431 2 ปีที่แล้ว +3

      Ebwana kwanza hongera sana bro, una history nzuri sana ya safari ya maisha yako, nimevutiwa sana na mimi ni mwana tasinia hiyo Truck driver Nafanya nyumbani Tanzania natamani siku moja nipate nafasi kama hiyo, Kupitia wewe natumaini unaweza kunionyesha njia ili nifike ndoto yangu kuwa Truck driver USA

    • @ibrahimmkwama5265
      @ibrahimmkwama5265 2 ปีที่แล้ว

      Kaka umeniinspire hata Mimi nilioko huku tanzania nipige KAZI,safi sana broo dangote

    • @benjaminmukeshimana5626
      @benjaminmukeshimana5626 2 ปีที่แล้ว +8

      Wa Kenyan mubalikiwe sana. Mimi Munyarwanda na Mimi nimebalikwa mikononi mwa wakenya. Hongereni sana

    • @harunaharuna74
      @harunaharuna74 2 ปีที่แล้ว +3

      ntampataje

    • @ruockbabanguza4014
      @ruockbabanguza4014 2 ปีที่แล้ว

      Mm naitaji kuwa kama nifanyaje kaka

  • @jeanjacquesledos3158
    @jeanjacquesledos3158 2 ปีที่แล้ว +9

    Ni furaha kubwa kwa kuwa pongeza kuhusu informations ziko open. Tuna wezaje kuwasiliana in box kwa Watu typo hapa marekani? Tunawezaje kupata contact ? Shukran

    • @geophreynaaman3265
      @geophreynaaman3265 2 ปีที่แล้ว

      Great inspiration Shabby. this is Geophrey Naaman from Tanzania

    • @vianokayombo4171
      @vianokayombo4171 2 ปีที่แล้ว

      @@geophreynaaman3265 hellow

  • @Tino_Official_tz
    @Tino_Official_tz 2 ปีที่แล้ว +11

    Aiseeee!!! Hii ndio interviews yangu bora kutoka kwako kwa mwaka huu. Na pengine kwa kipindi cha miaka mi5. Mungu akubariki sana

  • @monalisarichy3889
    @monalisarichy3889 2 ปีที่แล้ว

    Kaka nashukuru sana kwa taarifa nzur. Mm naomba kama unaweza kumpata Dentistry Mtanzania anaefanya kazi Marekani na kama mtu amesoma Dentistry Tanzania anweza vip kupata ajira Marekani

  • @dagomotionpictures4303
    @dagomotionpictures4303 2 ปีที่แล้ว +4

    Am proud of you kijana Shaban nakumbuka way back Songea... tumecheza mpira wote Majimaji Primary School hongera sana.

  • @jordanmwamlima7579
    @jordanmwamlima7579 2 ปีที่แล้ว +10

    Hii ni kitu kikubwa sana Makulilo, asante nyingi kwa brother Shabani for sharing this!! ni Mara chache sana mbongo kushare deal za kupata michongo ya hela.

  • @MrRonjoz
    @MrRonjoz 2 ปีที่แล้ว +10

    Kaka Shaban aka Dangote, Mimi personally nakushukuru kwa hiyo information mungu azidi kukubariki.. imenipa motivation ya kuchase my vision and passion of becoming a Truck Driver huko marekani..Kwa sasa niko Qatar as Limousine driver, trying to save up nieze kulipia CDL.. Naomba unge share your email iliniweze kuwasiliana nawe for more advice. Asante.

  • @esphoneochengo
    @esphoneochengo 2 ปีที่แล้ว +9

    As a kenyan married to a tanzanian🇹🇿 am grateful to this guy na vile amejielezea and the way amejitolea kuzaidia wenzake one day i go to America ntakutafuta big luv from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @fauziaomar6763
    @fauziaomar6763 2 ปีที่แล้ว

    May Allah bless you more brother Shaaban, your information is precious.. May you get what your heart desires in'shaa'Allah

  • @johanesthobias8742
    @johanesthobias8742 2 ปีที่แล้ว

    Kaka umanionya utu hongera sana Mungu akubarki sana.

  • @yobrahyobrah2335
    @yobrahyobrah2335 2 ปีที่แล้ว +9

    Am into trucking business after listening thank you so much for the information,

  • @lawrenceoyoo6416
    @lawrenceoyoo6416 2 ปีที่แล้ว +11

    The relationship between out two countries is long standing, mostly by sharing the Kiswahili language.

  • @geofreyngambeki2695
    @geofreyngambeki2695 2 ปีที่แล้ว +8

    Habari yako kaka,pole na majukumu big up brother!!.mi ni mdau wa hii industry ya logistics nafurahi kuiona umefanikiwa kiasi hicho ukiwa uganini ninatamani sana kufika hatua uliyopo.Mungu akubariki sana

  • @franktonjewa9305
    @franktonjewa9305 ปีที่แล้ว +1

    Brother mi nataka unisaidie kijana wangu ana miaka 38 na yuko na heavy driving license na ACTIC stamped sasa nianzie wapi ndugu yangu mi niko kenya Mombasa,brother plz advise nianzie wapi mpaka aweze kuwafia na mmsaidie,,plz advise

  • @woshingtonojode3723
    @woshingtonojode3723 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hello brother I'm happy to hear your reality 🎉lm from Kenya lake Victoria but I'm in Nairobi city I'm total ophans but I have hope to come in USA looking for painting jobs house painting and decorations if God willing we shall meet you may God guide you

  • @musa_bin_moses
    @musa_bin_moses 2 ปีที่แล้ว +7

    Great great inspiration , this story imenifungua macho kaka Shaban Dangote. Thanks alot for sharing it kudos.👍🏾🇰🇪

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mwamba MUNGU ambariki sana, maana wabongo wengine utasikia, usifanye mchezo jipange haya mambo siyo mchezo, then anaishia hapo 😅
    Mkuu tuunganishe na huyu jamaa, tuna mswali zaidi

  • @jean-baptistkanyamikenke4505
    @jean-baptistkanyamikenke4505 2 ปีที่แล้ว +11

    Thanks for everything ! But what about to us Congolese u can't receive us in case we come that side coz i never listen form you talking about Congolese since the biggening of the interview and yet we also speak Swahili and Tanzanians are our brothers and sisters

    • @shabanmpambe3857
      @shabanmpambe3857 2 ปีที่แล้ว +4

      I am So Sorry I will Mention ya’ll on the next one

    • @hajisabuni3456
      @hajisabuni3456 2 ปีที่แล้ว

      @@shabanmpambe3857 bro naomba contact zako

  • @salimhamad9280
    @salimhamad9280 2 ปีที่แล้ว +1

    Habar Kaka jina langu naitwa Salim Ahmad ni mtanzani nilikua nakuomba unisaidie namba za brother dangote nimependa ushauli wake 🙏🙏🙏 unisaidie

  • @yohanasoly3578
    @yohanasoly3578 2 ปีที่แล้ว

    Nashukuru kaka zangu kwa taarifa mzuri za fursa na mm naomba Mungu anisaidie na mm niweze fka USA kwani ni ndoto yangu ,da hadi mwili unanissimuka kwa furaha namna Mnavyotupatia nondo zenye kweli mtupu

  • @elikanakiheka8242
    @elikanakiheka8242 2 ปีที่แล้ว +14

    Aiseee! Braza EBM from my heart nimekuwa nafarijika sana na kazi yako, I promise to you in America 🇺🇸 hii ni spirit braza , tuombe uzima tu.

    • @amanmohamed220
      @amanmohamed220 2 ปีที่แล้ว +1

      Mm naitwa aman nipo dar bunju napenda sana kaz iyo ila wengine hatuna uwazo wakuja uko kaka utatusaidiaje kaka shaban?

    • @amanmohamed220
      @amanmohamed220 2 ปีที่แล้ว +1

      Nitumie whatsap yako kaka wapambanaji tupo Bas tu iku noma

    • @eranguide
      @eranguide 2 ปีที่แล้ว

      @@amanmohamed220 sure blo mim niko mbeya

    • @rebeccaalbinus5589
      @rebeccaalbinus5589 2 ปีที่แล้ว

      Imenichukuwa muda mrefu kuangalia hii video mpaka mwisho niseme tu wewe kaka una moyo Mungu akulinde uishi miaka mingi uendelee kusaidia wengine. Hata hivyo nashukuru alonitumia hii link, nimepata kitu kichwani.asante kaka kwa jitihada zako.

  • @petercollins4376
    @petercollins4376 2 ปีที่แล้ว +19

    Very insightful,and that's the true brotherhood Africans need. Keep it up brother

    • @harrykilongola3092
      @harrykilongola3092 2 ปีที่แล้ว

      Naitaji hivyo kz bro...am a kenyan man and am drive like u

  • @tumsifujoachim5877
    @tumsifujoachim5877 2 ปีที่แล้ว +6

    Very impressive information hukupenda kutumia shortcuts wala kula ngada na kuendekeza upuuzi
    Badala yake umekuwa mfano mzuri

  • @khaliladen9800
    @khaliladen9800 2 ปีที่แล้ว +1

    Very inspiring wallahi, very helpful and informative...No wonder the guy is so blessed...pass my regards

    • @gabrielsanga5313
      @gabrielsanga5313 2 ปีที่แล้ว

      Hatari sana aise tunateseka na wahindi tu huku

    • @joshuamora3624
      @joshuamora3624 2 ปีที่แล้ว

      Mimi ni mr Joshua mtanzania kutoka Mwanza nitumie njia gani kuja Marekani?

    • @joshuamora3624
      @joshuamora3624 2 ปีที่แล้ว

      Naomba majibu

  • @junihtz5287
    @junihtz5287 2 ปีที่แล้ว +1

    brother nilikua naomba unielekeze jinsi yakufanya iyo kaz nakuomba uniambie na unipe fursa kama mdg ako kaka

  • @kennedyojijo3746
    @kennedyojijo3746 2 ปีที่แล้ว +5

    Very powerful testimony and encouraging. Please look for John Paul and interview him. You are doing a great job. What's the social media page for Dangote. I would like to follow him. Thanks.

  • @greenenergybriquettemachin694
    @greenenergybriquettemachin694 2 ปีที่แล้ว +10

    This man is a blessing walahi

  • @lillianmasinza1787
    @lillianmasinza1787 2 ปีที่แล้ว +8

    A very good eye opener.
    Be blessed as you continue helping .

  • @LucksonEdwardmgallah-tf5nc
    @LucksonEdwardmgallah-tf5nc 11 หลายเดือนก่อน +1

    The way I’m listening 👂🏿 this story najisikia hata kulia but mimi ni dereva nina ndoto hiyo nimefuatilia sana haya mambo ila napata vipi support ya kwenda huko? Niko tayari kulipiwa na kuitumikia hiyo kampuni ili inikate kiai fulani😢

  • @NUSRAHAHMED
    @NUSRAHAHMED ปีที่แล้ว +1

    Hello uko vizur kk .naomba nipatie namba zak tuwaciliane

  • @eonsinyo
    @eonsinyo 2 ปีที่แล้ว +7

    Thank you brother 🙏 ,not even relatives can give such a detailed information, Asante sana

  • @kamauwillis3584
    @kamauwillis3584 2 ปีที่แล้ว +9

    Bro stay blessed u r so down to earth and humble

  • @luckydubebello1131
    @luckydubebello1131 2 ปีที่แล้ว +8

    This is why I love Tanzanian wanakuwaga honest sana kusema ukweli lkn wakenya wetu they think ukienda huko utawashinda anyway good job brother 👏

    • @jamleckkagiri9643
      @jamleckkagiri9643 2 ปีที่แล้ว +1

      Nashukuru sana sana Kwa hii mafundisho.mi ni mkenya,mi ni truck driver natumai ntajiunga na hii sector,natumai nitapewa visa sababu Nisha Fanya Application.

    • @luckydubebello1131
      @luckydubebello1131 2 ปีที่แล้ว

      @@jamleckkagiri9643 gd hp everything goes well

  • @randere777
    @randere777 ปีที่แล้ว +1

    Shabani asante kwa video zako zakutuelimisha. Mi ni dereva mkenya, naezajefika uko? From scratch unavosema wewe?

  • @joeltreasor
    @joeltreasor ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana kaka, hamna video nyingine TH-cam yenye information kama hii. I subscribed bcz of this video.
    This is life changing information indeed

  • @DuncankGtv
    @DuncankGtv 2 ปีที่แล้ว +28

    This is one of most educative interview with detailed information and step-by-step advice.. Big up bro

  • @gee_gm
    @gee_gm 2 ปีที่แล้ว +32

    Aisee, wakubali wakatae EBM scholar ndo kisima cha fursa ughaibuni... Madini Yako ni ya hali ya juu kaka.
    Ubarikiwe sana kaka Shabani kwa moyo wako kwetu ndugu zako, umejitoa sana kwaajili yetu.
    Tanzania to the World!💪👌

    • @shabanmpambe3857
      @shabanmpambe3857 2 ปีที่แล้ว +3

      Real Talk

    • @dreamtvkenya4096
      @dreamtvkenya4096 2 ปีที่แล้ว +1

      @@shabanmpambe3857 how can I get to connect with you am in Kenya please

    • @amiryamse2729
      @amiryamse2729 2 ปีที่แล้ว

      @@shabanmpambe3857 tunapataje nafasi na sisi braza coz ni dream yangu

  • @joffmateru9682
    @joffmateru9682 2 ปีที่แล้ว +8

    Inspired, Much inspired bro Sheby.
    God bless you for the kindly love toward us, whom we are looking great success as you. Nimejikuta nimependa Trucking jobs from this interview by Mr EBM.

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 7 หลายเดือนก่อน

    MAASHAALLAH KAKA
    ALHAMDULILLAH

  • @fredanunda7719
    @fredanunda7719 2 ปีที่แล้ว

    Kaka uko sawa.na kiswahili sanity kabisa!! Nimependezwa na job yako na miaka umeishi marekani!!!!. Ninaweza kufaulu kuja huko vipi??naomba msaada wako kaka,nena nani kwa WhatsApp kakangu, Natamani sana kuwa hapo,!!!!ubarikiwe.

  • @emauf
    @emauf 2 ปีที่แล้ว +4

    Wanyumbani kabisa 🇹🇿
    Hizi ndo story napenda kufatilia youtube, nlikua nafatilia story za car-enthusiasts na car community ya marekani, ikiwemo racecars, modded cars, channel kama Daily Driven Exotics, channel hasa za African-Amerricans kama Tall guy car reviews ambaye saivi pia kahamia kwenye trucking business ndio imeweza nipa recommendation nimepata kuona story ya brother Shaban.
    Hoping to see more.

  • @mwangiikabz206
    @mwangiikabz206 2 ปีที่แล้ว +6

    Very Inspiring i appreciate you brother.... ningependa kujua zaidi kuhusu ejenzi pia watu wa civil engineering

  • @samsonnyinge9970
    @samsonnyinge9970 2 ปีที่แล้ว +7

    Am so grateful of you guys. Am from Kenya Naomba msaada wa mawaidha sijui niwafikie aje.

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bro nimempenda sana kwasababu ni mkweli na kwakweli anatia hasira kuliko mwingine oooh inategemea na matumizi ya mtu wee

  • @simpenzweshabani
    @simpenzweshabani 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtanzania wakwanz ambaye simchoyo ndo uyu anatupa somo labure Sanaa mungu akupe maisha marefu

  • @55goodmen
    @55goodmen 2 ปีที่แล้ว +5

    These brothers should be leaders in Africa, so humble and do for the people and community !! Nyerere type. JPM type, Sankaras, Nkrumahs, Mandelas, Bob Marleys etc

  • @fatehkaluta9653
    @fatehkaluta9653 2 ปีที่แล้ว +9

    Daaah jamaa ana moyo sana wa kusaidia wanaotaka kufika huko.
    See you soon kaka mkubwa

    • @shabanmpambe3857
      @shabanmpambe3857 2 ปีที่แล้ว +1

      Karibu

    • @raheemaathumani8663
      @raheemaathumani8663 2 ปีที่แล้ว

      Kaka shabani me nipo Oman ninashida naitaji niingie canada naitaji information zaid maajent wananipa mambo yasoeleweka ,,naweza kupata namba yako kwa maongezi zaid

  • @jamestemba3112
    @jamestemba3112 2 ปีที่แล้ว +12

    Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu na afya njema kwa moyo wa kuonyesha njia kwa watu wengine

  • @kwizeramo-white6086
    @kwizeramo-white6086 ปีที่แล้ว +1

    Hi🇧🇮👌👌👌👌♥️♥️♥️🙏🙏🙏

  • @cosmasrichard8122
    @cosmasrichard8122 2 ปีที่แล้ว

    Ntafurahi sana shaban anitrain truck business

  • @muhozacaleb4897
    @muhozacaleb4897 2 ปีที่แล้ว +6

    You man are wonderful man of compassion.Helped by others and helping others.

  • @getabduul
    @getabduul 2 ปีที่แล้ว +32

    Mashallaah what an inspiration interview. You have given a lifetime information for a game changer. Your advice is more than money can buy. Allah akubariki na uendele na kuwapa faida wenzetu. Information is wealth and power

  • @rogersnyagah2555
    @rogersnyagah2555 2 ปีที่แล้ว +6

    Very insightful and inspiring. Keep up the good work. You are a living legend.

  • @franktonjewa9305
    @franktonjewa9305 ปีที่แล้ว +1

    Good hearted bro big up

  • @GOSPELLAND.ONESMO
    @GOSPELLAND.ONESMO 2 ปีที่แล้ว

    Good...nimeipendaaaaaa sanaaaa

  • @ULR1618
    @ULR1618 2 ปีที่แล้ว +4

    Roho Safi Kabisa! You are one in a million!! God bless you My Brother.

  • @yusufmruma2870
    @yusufmruma2870 2 ปีที่แล้ว +6

    Congratulations sana Shabani, very inspiring true story!

  • @omarmahboob6340
    @omarmahboob6340 2 ปีที่แล้ว +3

    I’m soo humbled and motivated on this video, my American truck driving will come true inshaAlaah.Be blessed. How can get Shaban’s contacts?

  • @ramadhanathuman8498
    @ramadhanathuman8498 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kufika nafikaje Kaka from Tz mwanza

  • @jasonkogei2765
    @jasonkogei2765 2 ปีที่แล้ว +1

    Brother how can you help refugee person to be a truck driver, SECONDLY,
    how do you help them get legal documents to work.

  • @simonmaina2165
    @simonmaina2165 2 ปีที่แล้ว +7

    Nimefurahi kuskia vile mkenya alikusaidia na pia wewe unasaidia wengine. As a Kenyan, I have always dreamed of being a trucker na nimeangalia soo many videos mingi sana za truckers, but this has been the best. I was almost giving up on my dream lakini huyu kaka amenipa moyo sana na najua Majaaliwa nitamake it. Thanks a lot for this. You have changed my life in soo many ways. one day God willing ntakuja marekani kufanya Trucking.